KISA CHA SAID BIN MUSAYYIB //SHEIKH OTHMAN MAALIM

  Рет қаралды 48,442

arkas online tv

arkas online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@SwaleheTeacher
@SwaleheTeacher 6 ай бұрын
Mungu akupe kila kheri
@azizaidd6082
@azizaidd6082 Жыл бұрын
Mashaallah shekhe osman
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ Жыл бұрын
Ma shaa allah Sheikh Othman Maalim kisa kizuri sana chenye mafunzo
@mussaathumani9814
@mussaathumani9814 Жыл бұрын
Shekhe kisa kizuri sana Nanifunzo kubwa sana lakini inakua vip asaiv ukitaka kuowa mapesa kibao kama black people kuoa mwarabu ndio kipengere kabisa shida nini ikiwa dini yetu inaitaji uhadirifu
@Hashim-p4d
@Hashim-p4d 7 күн бұрын
Jamani mamangu mungu ampe umrii na mwisho mwema 😢😢😢
@ShekheMsela
@ShekheMsela 5 ай бұрын
Shukrani kwa ukumbusho shekhe
@rahoumkhatry3758
@rahoumkhatry3758 4 ай бұрын
ماشاء الله ❤
@feisalomarakayesu
@feisalomarakayesu 2 ай бұрын
Mashallah
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 Жыл бұрын
MashaaAllah tabark
@AlikanAbdull-oh7nr
@AlikanAbdull-oh7nr Жыл бұрын
Masha Allah
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
Bismillah MashaAllah ❤❤❤❤❤❤
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Afu anatokea mtu anamtukana shkhe wetu aisee nimewamind mawahabi sina upendo nao ata chembe
@Mejusmapishini8573
@Mejusmapishini8573 Жыл бұрын
Ma sha Allah
@hamso254
@hamso254 Жыл бұрын
Jazzakah Allah kheir sheikh,kisa chenye mafundzo mazuri.
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah Sheikh🙏
@Tabia-r1o
@Tabia-r1o Жыл бұрын
Alhamdullilah kisa kizuri mno
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 Жыл бұрын
Mashallah tabaraqah
@abdallahkassim8600
@abdallahkassim8600 Жыл бұрын
Mashaallah
@mohamedabdallah3253
@mohamedabdallah3253 Жыл бұрын
Mashaallah
@indamajid865
@indamajid865 Жыл бұрын
Mashaallah duktur
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Жыл бұрын
msikate Kate vipamde banana tupate fanyd❤❤
@arkasonlinetv2370
@arkasonlinetv2370 Жыл бұрын
Hiki KISA kimeishia hapo huko mbele ni story nyengine Ahsante
@abdirahman7321
@abdirahman7321 Жыл бұрын
Nimekipenda kisa adhwim
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Subhanallah
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 Жыл бұрын
Kisa kizuri
@nadiaharoon9648
@nadiaharoon9648 Жыл бұрын
Kisa kizuri lakini hamujaanza Wala hamumalizi?
@azizaidd6082
@azizaidd6082 Жыл бұрын
Kisa kizer san
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Жыл бұрын
mbona mnakata kata vikande sana
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Жыл бұрын
inshalla ss tupo bara ila shekhe odhuman maalim tunamuwelewa mno tunataman Visa vichukuwe saa2 hv tunufaike
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش Жыл бұрын
Mwandish Umeandik Sayyid Lakin Anaitwa Said bin Musayyib Ni Bwana Mkubwa wa Taabiina. Ila Huyu Ochumani Ni mtu wa visa Tu Na Mengne ya Urongo.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hata mwenyezi mungu amemtolea hadithi mtume wake wa mambo yalopita kabla yake katika ushukaji wa Qur'an angeyajuwaje yalopita na alisoma ya mitume ilopita kwa hizo hadithi vipi shek Othman awe ajabu kutupatia hizo hadithi wacha chuki za kijinga
@arkasonlinetv2370
@arkasonlinetv2370 Жыл бұрын
Shukran
@idrissamohamed1100
@idrissamohamed1100 Жыл бұрын
Acha Husda vya urongo visema tuvione
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 Hujaelewa Kuna Zama Ambazo Walizuka Watu wa BIDAA Ktk DINI, Kwa kuwasimulia Visa vingi Ambavyo Wanaongea Tuu Bila Kuwa Na Vtabu Ambavyo Vinathibitisha Hayo Yaliyosemwa Kwa Sanadi Safi.Watu Hao Ni Waongo ktk DINI wana Ngano Nyingi sana.Watu Hao Zama Walipozuka Waliitwa kwa jina la QASWAASUUNA. Hukmu yao Ni Kuwa Hawafai kusikilizwa kwa Mujibu Wa Ijmaai ya Wanachuoni wote. Na Watu Hao QASWASUUNA kama Ochumani Malengo yao ni kuwaburudisha Watu kwa Kuwachekesha,Kuamsha Hisia zao za Huzuni na Ama Kutoa Stress.Kama vle Mtu Anayeenda Banda za Sinema Kuangalia FILAMU. sasa Hayo yanayosimuliwa Hayawez kuwanufaisha UMMA Kielimu.kwan watu wake Hawawez Kukhofishwa na Shirki wala Bidaa Ktk Dini yao na wakaambiwa na kusisitizwa wafuate Tawhidi na Sunna.Wala hawawez Kusemwa Kwa yale Wanayoyafanya Ktk Bidaa mfano Bidaa za Mawlid,Khitma,Kunyoa Ndevu O,Kuvaa Isbali kwa wanaume. na n.k Na kuhusu Vile Visa Vya Mitume waliotangulia ambavyo Vimetajwa ndan ya Quraan 1:kwanza Vile visa Vimethibit kweli bali Hata mtume Ameelezea Hali halisi ktk Hadithi zilizothibiti. 2:Pili Visa vile sio Lengo mtu Aburudike Bali Ni YaPatkane Mazngatio Kwa mweny Kusikia ili na yeye Ajiepushe Au ajibidiishe ktk Amali.Na vile Visa Vilikuja Kwa Lengo La Kuuthibitisha Utume wa Mohammad kuwa ni Mtume kwel Anayepokea wahyi. Lakin lengo kubwa Ni Watu waijue Tawhidi.Sas Unapomtaja Mtu kama Saiid Bin Musayyib Hakuwa Mtu Wa Mawlid,Wala Khitma,Wala Sufi,Alikuwa Msomi Mkubwa Ambaye Alikuwa Akifundsha Sunna na kukataz Bidaa. Kwa nn. Asingesimulia Kisa Ambacho Kimethibit Kutoka kwake kwa sanad Ktk kitab. cha Al Imaam Albayhaqiyy kuwa Alimkataza Mtu Asiswali Sunna Nyingne Baada ya Alfajir!Kuwa Huyo Bwana Akatoa hujja kuwa"Hiv Allah ataniadhibu mim kwa Kuswali!? Akajibiwa"Hapana Lakin Atakuadhib kwa sabab ya Kuacha Sunna ukaenda kinyume Na Sunna. Na ukimuona Mtu Mpenda visa Basi Huwapenda Masheikh wasimulia Visa kama Ochumani.Kiukwel huyu Mtu Ni Muongo balaa Na anawatukana Manabii na Mataabiina.Kama ambavyo apo alipomtia sifa ya Ukhawaarij Huyo Said bin Musayyib kwa Anaitwa na Mtawala kisha Agome.Hilo hawez Kufany kwa ni Ktk Bidaa.
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش Жыл бұрын
@@idrissamohamed1100 Sikiliza Hapa uongo wake kzbin.info/www/bejne/l4KwfIJ_ftCioLM
@bauchatv-yd4ug
@bauchatv-yd4ug Жыл бұрын
Mashallah
KISA CHA SAAD BIN WAQAS// SHEIKH OTHMAN MAALIM
39:35
arkas online tv
Рет қаралды 49 М.
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 126 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 7 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3,3 МЛН
Usikate tamaa kwa kitu chochote unachomuomba Allah s.w
1:05
deen_nasih
Рет қаралды 1,6 М.
KISA CHA KUHUDHUNISHA CANADA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
24:07
arkas online tv
Рет қаралды 113 М.
OGOPA SIKU YA KURUDISHWA AKHERA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
50:55
arkas online tv
Рет қаралды 16 М.
Othman Maalim - Waja Wa Allah
44:59
Khidhry 29
Рет қаралды 30 М.
Kisa cha AJABU -  Salmaan al-Farisi (mtafuta haki)
32:21
Abu Umar Abdulazeez
Рет қаралды 1,4 М.
UKITAKA KUSHUKURU MTAZAME ALIYE CHINI YAKO
1:21:58
Al Hijra Video Production
Рет қаралды 70 М.
KISA CHA MAYAHUDI KUGEUZWA MANYANI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
17:14
arkas online tv
Рет қаралды 50 М.
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН