Asante sana Kaka unatufunguwa sana na historia zako Mungu akubariki pia kwakutujuza mambo mbalimbali
@deusjohn11074 жыл бұрын
Nimefurahi sana kwa imani kali asante jamani hadithi hii nzuri jinsi unafyo elezea unanigusa adi vilindi fya moyo wangu atukuzwe Mungu baba juu mbinguni na duniani kote
@deusjohn11074 жыл бұрын
Mungu ni wa ajabu sana ahahimidiwe milele bwana Mungu wangu Amen