Ubarikiwe sana kwa kuokoka umechagua fungu lililo jema
@AntonyGolya29 күн бұрын
Amen mtumishi, Mungu akubariki sana sana kwa neno hilo nilolitafuta muda mrefu BILA kupata kujua maana yake. Leo nimeelewa sana.
@emmamlangala521 Жыл бұрын
Barikiwa mnoo mtumishi
@zebedayokatamaduni967610 ай бұрын
Kwa kweli Mtu wa Mungu umetutendea haki Kuweka mahubiri yako na mafunzo ya neno la Mungu kwenye you tube , asante sana Mimi binafsi nilikuwa natafuta mafundisho yako kwenye mtandao, tuko pamoja Absalom Longani
@dennismbote4771 Жыл бұрын
Amina,mtumikie Mungu wetu ,Bwana Yesu akubariki sana,songa mbele,usijali vizingiti.Maana ninahakika vipo
@ElieNdeze-k6i21 күн бұрын
Mungu akubariki baba kwa mafundisho mazuri sana. mimi ni ev. elie niko congo goma ata ivi na mimi nakusaidia kutuma hayo mtandaoni. ila baba tafazali usiwe unatumia biblia ya simu mazabahuni ni makosa sana.
@TarusDaisykobilo Жыл бұрын
Barikiwa mchungaji Bwana Ani rehemu na watoto wangu na jamii yangu wasipotee hata mmoja Amen
@Mwesige-s8q2 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana 🙏 Karibu katika mkoa wa Kagera Mjini Bukoba Mtumishi wa Mungu kuna Roho za kuokolewa Tunahitaji Neno la Mungu Maana mafundisho kama aya kuyapata ni bahati sana Wakristo tumelala sana, Mtumishi wa Mungu karibu sana uku Bukoba Naamini yupo mmoja ataisalimisha Nafsi na Roho yake kwa Yesu Kristo na kuokoka 😢🙏🙏
@frankdanford82459 ай бұрын
Wewe ni Mwl wa kweli umetufundisha somo kubwa sana na YESU akubariki sana. Ni kweli tupu umezungumzia. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@ferixsikota389810 ай бұрын
Thank you so much for beautiful message me from Zambia Amen and Amen
@dorsandollah3384Ай бұрын
Mungu akubariki sana unabadilisha maisha yangu
@latifakikoti98082 ай бұрын
natunabalikiwa sana mtumishi mungu akubaliki
@EvangelistMathayo2604 Жыл бұрын
ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa kutulisha Neno la Mungu Amen
@yohanaswalo4716 Жыл бұрын
Haleluyaaa Mt wa BWANA Ubalikiwe sana tu YESU ASIFIWE
@juliethchavala331411 ай бұрын
ubarikiwe saana mtumishi
@dorcaswaithera4871Ай бұрын
Asante saana mtumishi wa mungu
@lidyagadyaaminasana5762 ай бұрын
Amina
@nashonkibayayu37766 ай бұрын
I try to follow your preaching about the end time.
@user-b5tz2 ай бұрын
Tunabarikiwa sana babangu
@neemambully2769 Жыл бұрын
Amepewa hekima yote ya Mungu na Mungu mwenyew
@AgnesKalinga-if3uf Жыл бұрын
Tunakusikiliza Mtumishi wa Mungu aliye hai!
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa
@EZRA-b1c Жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe sana
@aisiamkonyi497711 ай бұрын
Barikiwa baba kwa kusema ukweli
@johnnguttu9516 Жыл бұрын
Hakika Rabbi, watu ni wengi tunatamani kusikia habari njema za KRISTO YESU katika nyakati hizi za hatari na za mwisho za kurudi kwake MWOKOZI WETU. Jambo la msingi kwetu ni Maisha ya milele ya badaye baada ya hapa dunian.... AMEN, AMEN. Barikiwa Rabbi
@alphonsinemauwa Жыл бұрын
Mchungaji Mungu Akutiye nguvu baba tunaamini uko salama tunakuombea Mungu Akufunike kwa Mbawa zake tunakuombea.
@SamwelKekora5 ай бұрын
Mungu akubaliki kwa kulitangaza neno lililo hai
@livebeyond8213 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba kwa ujumbe mzito huu
@akothchristine475210 ай бұрын
Amen yesu ni bwana
@IdahNambelasiwala-qs3su Жыл бұрын
Eeh mungu nikumbuke namimi na family yangu 😭😭
@IsackDogani-d5q3 ай бұрын
Balikiwa sana mtumishi
@melckizedecktemba5373Ай бұрын
Ni ujumbe wa Mungu peke yake..
@ObediMachumuShembe7 ай бұрын
Ubarikiwe nîme kufata Niko Rdc ubarikiwe tena
@MargaretMwangende-rg8xr8 ай бұрын
Eh Rabbi hii ni heavy! Mungu atusaidie
@EstherJuniorAj11 ай бұрын
Be blessed pastor ….Mahubir yako yananitia moyo sana na nguvu
@DieudonneMAHANGO-ws3do5 ай бұрын
Amen 🙌
@floraflora571711 ай бұрын
Àsante Mungu akubariki Sana
@InnocentAbdalah-bo6fx Жыл бұрын
Mungu akubark sana mtumishii wa bwanaa
@shaneryaloyce89047 ай бұрын
Amen mtumishi
@AmaniChilimila9 ай бұрын
MUNGU akulinde Sana Kuna siku nilisikiliza tu maombi nikapokea uponyaji hapo hapo nilikuwa nasumbuliwa na mgongo nina MIAKA 4
@blondyd4256 Жыл бұрын
Namtukuza Mungu kwa zifunua Siri hizi kwangu.
@happytweve6524 Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi abshalom
@siza_fx5 ай бұрын
NABARIKIWA SANA MTUMISHI .UBARIKIWE
@KissimaMary11 ай бұрын
Asante kwa ujumbe muhimu kwetu
@dinairenge Жыл бұрын
Amen
@BetlidaConstantine8 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa neno Niko Bukobs Kagera napenda mahubiri yako
@Frank-b2d6u11 ай бұрын
Ameni
@teddyemmanuel6292 Жыл бұрын
Dunia yaleo tunahitaji injili ya kweli unayohubiri nikweli kweli kweli walio ibebakweli malanyingi Huwa wanachukiwa mchungaji songa mbele songa mbele
@emmanuelsunday832510 ай бұрын
Yaani mimi nakupenda baba
@HosianaSebastian-ly6vj10 ай бұрын
,ijnili ndiyo hii hawa ndiyo walioitwa na Mungu siyo kufundisha mafanikio tu
@floraflora571711 ай бұрын
Niko Oman nabarikiwa
@olaislukumay22089 ай бұрын
Hizi ni habari njema ziletazo wokovu
@MariaJuma-q2k11 ай бұрын
BWANA YESU ASIFIWE,kwasasa MUNGU analiandaa kanisa lililokusudiwa kwenda mbinguni,wasaidieni hai wa awake wanaosuka,na wanaojipodoa,nawanaoingia katika nyumba za ibada vichwa wazi,hawataingia mbinguni,na wanaovaa mavazi yasiyokuwa yakujisitiri,yanayoonyesha mambo yao,kemeeni enyi wachungaji,kemeeni uovu,kanisa litakwaswe Ili linyakuliwe
@simonmuchiri61492 ай бұрын
Murage...Nairobi
@SnhZjhz Жыл бұрын
Haya mahubiri ni ya kulia kabisa sio ya kutoa macho maana tupo mwisho wa dunia sasa
@SafariSaqwreАй бұрын
Tunakusikiliza MANYARA kiteto
@nashonkibayayu37766 ай бұрын
Name pia nafuatilia mafundisho yako ya siku za mwisho, unyakuo was kalisa.
@marionoti5760 Жыл бұрын
Acheni injili za vitisho kwa watu maskini kwa manufaa ya matumbo Yenu. Mungu wetu hana upendeleo, niwaupendo kwa kila amwitaye.
Kwani mnataka wahubiri wasiwaambie watu mambo yatakayotokea yaliyoandikwa ktk biblia
@marionoti57609 ай бұрын
@@DeusiMorisiPole naona umelishwa matangopari yakutosha, yawezekana hujielewi, kwa majibu yako haya napata shaka kama unamuishi kristo zaidi ya kulitumia jina la yesu ktk harakati za kuhadaa watu kwa manufaa ya matumbo yenu. unatofauti gani na waganga wa kienyeji?
@salimajosephine1673 Жыл бұрын
Nikonakufuata kazini hapa marekani naweka Hedifon nasikiya kubarikiwa sana hiininqisambaza mahalipote itakavyo wrzekana ubarikiwe
@bernaldnnko5978 Жыл бұрын
Namanga nabarikiwa na wewe
@neemambully2769 Жыл бұрын
Ndiyo huo wakat wa mwisho ndiyo huu na hicho kitabu kinafunguliwa sasa na huyo aliepewa kufunua Siri ya Mungu dunia yote tunatakiwa tujifunze chin yake ni kama kipindi cha nuhu tu alivokuwa akipewa mwongozo na kuwaambia watu nuhu wa sasa ni mmoja tu pia ambae ndiyo huyo John isaya igumi
@worldelectro2787Ай бұрын
Kwa nini kutumia iyo alama ya PX alama ya kristu mfalme ?inayo tumiwa kwa eklesia quatolique
@FellaMbogela4 ай бұрын
NIPO MOC'AMBIQUE NINAKUSIKILIZA NA KUKUONA VIZURI NENO LA MUNGU KUPITI KINYWA CHAKO LINANIBARIKI SANA
@dorcaswaithera4871Ай бұрын
Niko US nafuatilia hayo mahubiri. Sikuwa nime yasikia
@BetlidaConstantine8 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa neno Niko Bukobs Kagera napenda mahubiri yako