SubhannaAllah inamafunzo mazito na ya kutafakari. ALLAH SUBHANNA WATAALA Akikuandikia Qadar hakuna anaye weza kuikwepa. Allah akulipe Shekh kwa kutupa kisa chenye mafunzo.
@SheikhMuhammadBahero4 ай бұрын
Amiin ya rabb Shukran sana Allah akubariki
@Raissaabdoul4 ай бұрын
Sheikh Allah akuifazi na kupenda kwa ajili ya Allah sheikh kila nikikusikiya na zidi kuilimika Allah akuifazi akupe kiliyo kuwa bora kwako karibu sana tena sana kwetu Burundi
@SheikhMuhammadBahero4 ай бұрын
Shukran sana Allah akubariki
@FatmaSaid-m9l4 ай бұрын
Allah azid akufanyie wepes sheikh kwa kutupa daawa nzur