MWANASHERIA AFAFANUA KESI YA SANDALAND NA ALLY KAMWE/ ATAJA KESI YA YANGA NA AHMED ALLY

  Рет қаралды 8,317

KISHAMBA MEDIA

KISHAMBA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер
@agnesnombo5516
@agnesnombo5516 17 сағат бұрын
Mtangazaji ni kolo.maana anasema.yanga wamesema uchawi barua yanga imeorodhesha makosa matatu na sio uchawi tu kama anavyosema huyo mtangazaji boya kiazi
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 3 сағат бұрын
Yumo ktk kuficha maana kamili ya madai yaliotolewa kwa Ahmed amemtaja PACOME na SINDANO, a kuohexa nguvu na kudhalilosha
@CarlosRule-p6v
@CarlosRule-p6v 4 сағат бұрын
Bango zile na ss simba tuna ruka nazo
@geraldmmuya6658
@geraldmmuya6658 6 сағат бұрын
Huyu mwandishi hajui ile taarifa ya inayomuhusu Ahamed Ally hivyo anapotosha ukweli.
@DouglasBilishanga
@DouglasBilishanga 16 сағат бұрын
Mwandishi hujui unachouliza sema pacome na sindano
@hassankurwa464
@hassankurwa464 10 сағат бұрын
Hawa ndio wanao dhalilisha taaluma zao. Mpira ni mpira tu. Mpira una ladha yake, una maneno yake una ustaarabu wake na una karaha zake. Mpira hauwezi kuwa kama walivyo wanasheria na Wanasheria hawawezi kuwa watu wa Mpira. Mawakili tuna waina mitaani na kwenye kazi zao maneo ya kejeli na kuogopana yapo huko. Utani wa Jadi hawawezi waache wasituharibie mpira na utani wetu. Kuna watu wanacheza Draft, Bao, michezo ina lugha tata sana lkn ndio hulka ya michezo hiyo. Hata huyo Sandaland inaonekana kadanganywa na hawa hawa.
@MussaIbrahim-p2s
@MussaIbrahim-p2s 14 сағат бұрын
Huyoo anae uliza katoka shule gani
@happymapunda1140
@happymapunda1140 11 сағат бұрын
We mdada umesomea kweli au umekurupuka nenda shule Tena ujui unachoongea
@HalidiSaidi-l7m
@HalidiSaidi-l7m 6 сағат бұрын
Asilikekwaniizo xandazinaukimwi
@MohammedHimba
@MohammedHimba 10 сағат бұрын
Kishamba tafuta waandishi wanaojua kuuliza
@MohammedHimba
@MohammedHimba 10 сағат бұрын
Hawa waandishu maswali yao ni ya kipumbavu anamuuliza shabiki wa yanga au simba swali kwamba mtani wako katoa jezi je wewe unazionaje sasa sawli hilo unategemea kwa utani wa simba na yanga atasemaje...hawa waandishi ndiyo tatizo
@HalidiSaidi-l7m
@HalidiSaidi-l7m 6 сағат бұрын
Kwendeniapo nanyiekavaenisanda
@AllyRamadhani-f2p
@AllyRamadhani-f2p 12 сағат бұрын
Vp kuhusu Pacome?
@damsonzabroni1224
@damsonzabroni1224 9 сағат бұрын
Tokeni zenu kwani ahameda haja taja pakome?
@KingDrew-hw6uc
@KingDrew-hw6uc 18 сағат бұрын
Mwandishi wa habari anajuwa sana kuhusu walicho kizungumza yanga ila anamjoki tu mwana Sheria ili ajuwe atasema nini
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 14 сағат бұрын
NA WEWEMDADA MWANDISHI KWANI HUJAWAHI KUONA JINA LINAITWA KWA KIFUPI?
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz 14 сағат бұрын
Mwandish mbona upande wa pili naswal so meng.ww ni kolo ee.
@OmanSur-tq4br
@OmanSur-tq4br 16 сағат бұрын
Na nyinyi waandishi litawakuta rungu
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 14 сағат бұрын
YANGA NDY WALIOSEMA KUHUSU UCHAWI.NDYMAANA WALIHAMA UWANJA WA AZAM. YAGA WANA UTOTO SANA.WAPI AHMED ALISEMA KUHUSU UCHAWI?KAMWE ALISEMA KUWA SIMBA NI WACHAWI. KAMWE ALISEMA SIMBA NI MAYI WAO SASA SIMBA WAMSHITAKI KWA HILO?
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 13 сағат бұрын
Yanga humwita simba mai wao kwakuwa wameifunga maranyingi kuliko timu youote Tanzania
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 19 сағат бұрын
Jamani iyo sandalend munaisema nyie mbona alky kasema sanda
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 19 сағат бұрын
Ovyoooo kabisa umeshindwa kumuuliza mwanasheria inshu husika ya yanga hawakuzungumzia uchawi tu wamezungumzia vitu vingi kwenye hiyo kesi acha hupotoshaji nakubase upande mmoja
@sebastianmgaya8246
@sebastianmgaya8246 16 сағат бұрын
We kenge sana, usichanganye unyege wako wa uto na Na mambo ya msingi yakisheria. Mwelewe mwanasheria acha umbu mbumbumbu
@atupelemsyani7411
@atupelemsyani7411 13 сағат бұрын
​@@sebastianmgaya8246yaani utopwinyo hawana akili kabisa nashukuru Mungu Mimi sijawahi kuipenda uto na Wala sintaipenda maisha yangu yote na pia nafurahia kuichukia nimeona nimefanya maamuzi sahihi Hawa viumbe uto ni wajinga aisee sijawahi ona dah! Sasa hoja ya kumlipisha Ahmed Ally hoja zote zinadhihirisha ujinga walionao kwani Kuna hoja nyingi za kuweza kuraise mahakamani lkn siyo huo utopolo walioutoa halafu nasikia Azam nao wanataka kumshtaki Ally Kamwe hapo patamu 😂😂
@makusaro2289
@makusaro2289 16 сағат бұрын
Kwa hiyo Sandaland siyo mali ya Simba? Kama Si Mali take analalamika nini?
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 13 сағат бұрын
Hata Ahmed Ally.alisema walogi nyuma mwiko hakuitaja yanga na hata angesema yanga ni utani wa jadi baina ya hizi timu simba na yanga ila Ally Kamwe ahida ni yeye na Sandalend sio utani baina ya yanga na simba
@FransiskaJohn
@FransiskaJohn 15 сағат бұрын
Achen usng
@sebastianmgaya8246
@sebastianmgaya8246 16 сағат бұрын
Nyie Uto achen ushamba
@deodathmassawe3746
@deodathmassawe3746 14 сағат бұрын
Very sad! Anayehoji na anayehojiwa wapo biased hahahah……wote wasemaji wamechemka kolo na uto
@makusaro2289
@makusaro2289 16 сағат бұрын
Kwani kabla ya Simba ilikuwa Sandaland au ni Sunderland? Sasa kwa mini Simba wanakubali iwe Sandland? Je neno Sandaland lina maana yo yote au ni ushamba tu wa Makolo?
@hassankindamba6633
@hassankindamba6633 15 сағат бұрын
Ukiwa hujui Jambo inabidi ukae kimya. Sandaland ni kampuni inayojihusisha na mavazi na sio Simba. Simba ni club imeingia mkataba na Sandaland kwa akili ya jez tu na hakuna ushirika mwingine Zaid ya huo. Kama ilivyokua kwa vunja bei mkataba unapoisha na ushirika unaisha
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 8 МЛН
Russia withdrawing troops? / Navy leaving bases in Syria
12:49
NEXTA Live
Рет қаралды 766 М.
Sourate Al Kahf
36:52
Idriss Abkar - Topic
Рет қаралды 379 М.