Masha allah masha allah Allah allah akukinge na kila shar maana wew ni kiongoz muadilif na allah akuongozee elim ya juu zaid mengi twayajuw kwa kupitia ulichojaliw na allah ❤❤❤❤ kishk kwa ajil ya allah 🤲
@DjumaAshaАй бұрын
Ma sha Allah Tabaarakallah Mada muhim saana hatakama hatujaolewa Jazaakallahu khayr shekh Kishki
@a.856Ай бұрын
Jazaka Allah khayran
@MmwanasitiАй бұрын
Assalam alaykum sheikh nakufatilia kutoka kenya mashaallah Allah akupe umpire mrefu wenye kheri na je tunaambiwa ikifika ijumaa tunafalishwa nguo nyeupe alafu usiongee mpaka mshuko wa swala ya ijumaa vp his sheikh
@AfsaNdoreraАй бұрын
Jazakaallah kheir
@AminahajiNkАй бұрын
Mashallah Allah akujaliye umi
@zainabudottoАй бұрын
Allah akulinde wakati wote na atujalie kwa sote pepo ya firdoos kwamaana daawa zako zimenitoa katika shimo ambalo sikujua natokaje
@MochammdHadija-pn7nnАй бұрын
Mashaallah ❤
@MohamedMejaАй бұрын
Asalamu alkumu shukrani kwa kutuilimishaa mambo ya talakaa na edaa shukrani
@MmwanasitiАй бұрын
Assalam alaykum sheikh na je his yakuvalishwa nguo nyeupe kila ijumaa
@1102imaniАй бұрын
Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh shekh Mimi mbona nakosa update za hii mihadhara yako muhim nifanyaj maan nahitaj kuhudhuria inshaa Allah kila muhadhara wako nipo dar es salaam.
@tahiyamushi8153Ай бұрын
Upo Dar es Salaam sehemu gani?
@1102imaniАй бұрын
@@tahiyamushi8153 mwenge
@1102imaniАй бұрын
@@tahiyamushi8153nipo keko
@MimunaIddiАй бұрын
Muhadhara Nikila Juma pili ya kila mwisho wamwezi Mahali ni Al hikma primary school