Shekhe leo Alhamndulillah nakushukuru umenijibia maswali yangu mengi kuhusu talaka yaani kila nikisema mbona hichi hajasema mbele anakifafanua Shekhe Akulipe kheir akupe umri mrefu uzidi kutupa Elimu nimefurahi sanaaa MashaAllah
@zulfazulfa1454Ай бұрын
Assalamu alaikum mimi tulikuwa mbalimbali kutoka 2013 haya hilivyofika 2018 ndiyo hikaelezea kama niko pekeangu hivi juzi hakanipa talaka moja jee shekhe yafaa kuolewa
@QueenMuniiza2 ай бұрын
اللهم آمين ثم آمين يارب العالمين جزاك الله خيرا
@رحمةمحمد-ش1ه3 ай бұрын
Mashaallah tabaarakahllah sheikh Allah akupe kheri ya dunia na akhera.
@ShabaniMwalyawaАй бұрын
Shukran sana shekh maana tulikua ahujitambui kabisa dah Allah akupe umrimrefu yakher na barka
@sabrasaid77393 ай бұрын
Shukran Sana Shekh hili Dars muhimu Sana tena Sana Allah akulipe Tupe Duruus za Talaka bado hujamaliza Shekh lete mpaka tulifahamu Sisi na Waume Pia Talaka za Uongo pia Zimejaa
@MejumaaRashid-s8g3 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu shekhe uzidi kutuelimsha shukurani jazillah
@HawaaUmibrahim-um7zi3 ай бұрын
Mashallh , shukran kwa darsa nzuri🤲
@aishamumy84023 ай бұрын
Shukran sheikh Allah akujalie afya njema na umri wenye kher, Alhamdulillah twajifunza mengi kutoka kwako
@mansour123beastshassan92 ай бұрын
maashaa Allah darsa zuri allahu baarik shekhe.uzidi kutupa daawa.
@LUTFIAAHMADA3 ай бұрын
Shukrani sanaa Jazzaka Allahu kheir... Kwa kweeli hili darsa ni muhimu saana wengi wetu hatulifahamu
@KhairatRashid-c1h2 ай бұрын
Mashallah shekhe unafanya kazi nzur ya kutoa elimu kwa jamii
@omarjuma31463 ай бұрын
Mashallah baraka Allahu fiik
@MwaliSuleih3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Masha'Allah sheikh wetu baraka'Allah fiika wa jazaka'Allah Khair insha'Allah mafunzo mazur xan Iman uzidi kua nasi tuzidi kuishi katika ndoa halali ya mwenyezi Mungu, Aamin ya rabby Aamin 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 alhamdulillah rabbil Aalamin
@maryamadam56223 ай бұрын
Amma ni darsa nzito hii Wanawake na waume pia kujuwa haki zetu na taratibu zote husika. Mashallah Sheikh Kishki. Tunafaidia sana. Raha pia kusikiliza ukisoma Quraan. Quraan isomeni kwa sauti njema na kufuata amri zake zote. Watching.from Canada
@SiwemaRwanja2 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@AdamJuma-i9q2 ай бұрын
Darsa nzuri sana Allah akupe umri mrefu tuzidi kuelimiswa habari ya Allah.
@AlbaloshiAlbaloshi-f1w3 ай бұрын
Barakallahu fiika yaa sheikhe Nuurdeen kishki❤ Allah azidi Kuku hifadhi sheikhe wetu mpendwa na akujalie mwisho mwema
@ShadyaCHORA2 ай бұрын
MA shaa Allah shukran sana kwa darsa sheikh kishik. Lkn nina swali ktk Hilo. Kwa mfano mume kaniacha talaka moja, na eda nikakaa kwake, lkn kabla eda haijaisha akaja kunitamkia mke wangu nakurejea, lkn mimi nikakataa. Na hatimae nikakaa hadi nikamaliza eda. Je hy imekaaje?
@AbdiHassan-n6sАй бұрын
Allah akuzidishie❤
@MunnahAchaniAchani2 ай бұрын
Shukran Sana sheikh wetu Allah baarik.Allahuma Amiin
@QueenMuniiza2 ай бұрын
عليه افضل الصلاة والسلام على رسول الله صل الله عليه وسلم ❤❤❤❤❤❤❤
@BatuliHamis-z8q3 ай бұрын
Allhamdulilah mashallah allah akulipe heri akupe umri mrefu wenye kheri naww
@ZuberiKikoti-zo2on3 ай бұрын
Alhamdulilah mwenyezi mungu akulipe kwa darsa unayotupa inshaallah na akupe maisha mema inshaallah
@Husna-z6f3 ай бұрын
shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazur jazakah Allah kheir
@meowzna3 ай бұрын
Jazak'Allahu Kheir Sheikh🙏💫
@IDRISANTILA3 ай бұрын
Walillahi-lhamd, Allah amjaze kher nyingi Shekh wetu
@AnifaJuma-p9c3 ай бұрын
Mashallah ,Amina yaaraby
@AbasHabimana3 ай бұрын
Sheikh kishki Allah akuifazi akupe umri mrefu wenye manufaa uzidi kuelimisha jamii
@sein.2083 ай бұрын
Masha Allah Amiiiiiiiiiiin yaa Rabby 🤲 Allah akulipe mema mengi Sheikh wetu Jazaakallah kheiry
@Baushi-t6z2 ай бұрын
Mashaallah barakaLlah 🥰🥰🥰
@Husna-g9k2 ай бұрын
Nashukul sana kwa kutufahamisha allah akuzidishie
@QueenMuniiza2 ай бұрын
الله اكبر ولله الحمد ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@zuwenapandu39552 ай бұрын
Mashaa Allah❤
@mctoman-op1zxАй бұрын
Amina❤❤
@rahmaally51283 ай бұрын
Masha Allah, tabaarakallah
@BinaminOmari2 ай бұрын
Allah akulipe shekhe kishk
@salmaalkyumi60303 ай бұрын
Allahumma Ameen Yaa Rabby 🤲🤲🤲
@AishaJuma-zz2rj3 ай бұрын
Shekh shukran san Allah akujaalie
@MustafaOsman-oc7ly3 ай бұрын
Mwili hunisisimuka wakati sheikh Noor Din Kishki akisoma Qur'an tukufu yarab mungu azidi kukupa uwezo wakutujuza kuusu dini yetu ya kiislam
@kenedyNdosa2 ай бұрын
Mashaalah jamn Allah akupe kher 😂😂😂 natamani tuyashiks
@shamimuleslie17033 ай бұрын
Amina shekhe Alhamdulillah kwa darasa zur umetutoa gizan ,shekhe Kama unataka kujivua na mume hakumaliza mahari he unalipa alichotoa au unalipa mahar yote?
@fatumalaay2 ай бұрын
Alkhamndulillshi.asante sana shekh kishki kwa darsa laleo.
@IssaDulle3 ай бұрын
#mashallah nafaidi darasa hapa youtube pia na faida darasa nyumbani maan mke wangu alihudhuria #Al- hikma Allah akulipe sheikh
@aminaabdulghanim82563 ай бұрын
❤ Jazakallahu kheir sheikh
@MilupoAly-tl1pk3 ай бұрын
Alhamdulilah rab lalamin Mashaallah shek kushik Allah akulinde na mahsad akuoe umri mrefu ila ss wengine tu ZNZ tunaomba na simu zikuwepo iyo siku ya maswalu tunataka fursa ya kwenda umra ishaallah
@fatmabunu51453 ай бұрын
Jazaka llahu khery
@halimayusuf35013 ай бұрын
Masha Allah tabaraka Allah
@AshuraAyubomar3 ай бұрын
Asante sana shehe nitaufanyia kazi
@halimamsafiri2883 ай бұрын
Shukran Sheikh ❤❤❤
@mwanasomomuhaji61303 ай бұрын
Allah Akuhifadhi Atujalie wenye kusikia na kufuata amiin.
@IsaKitagame3 ай бұрын
Allah akbar nashukur kwa hii darsa
@MilupoAly-tl1pk3 ай бұрын
Tunakupebda sana kwa ajili ya Allah
@HadijaSilimu3 ай бұрын
Allahuma Aminii
@KhadiaAli3 ай бұрын
Shkh nchoo na zanzibar utupe elimu InshaAllah
@AshuraLikwaya3 ай бұрын
Asalam alykm shekhe...mimi nimetelekezwa yapata mwaka wa 3 huu..nanikimwambia nipe talaka yangu..majibu yake mimi najua kuoa sijui kutoa talaka..lkn pia kwenye mawasilianonaweza akaa hamiezi..6 bila mawasiliano...kwaupande wa matumizi.anaweza akakaa hata mwaka akatoa matumizi mara 3..sasa mimi nifanyaje shekhe..na pia yeye hana pakuishi mpka sasa anaishi kwa dada yake...tafadhali nipe mwongozo...nilienda mpaka bakwata wakalijadili ..wakanishauri nimpigie tena sm niombe talaka..lkn majibu yake ni kwamba mimi najua kuoa sijui kuacha..na mimi ni binadam ninakula nashiba..na waume wakunioa wapo...nifanyeje.tafadhali shekhe nijibu...
@RehemahasaniDadi2 ай бұрын
Mawaiza manzuri kwetu sote tunashukulu kwa kutupa dawa kishki Allah akuongoze ishaall
@NasraNasra-l9q3 ай бұрын
Mashaa-Allah darsa nzito na ina rahaa😊
@HadijaSilimu3 ай бұрын
Mashaallah
@omanmct1353 ай бұрын
Masshalllah
@MadinahusseinHussein2 ай бұрын
Kweli shekh
@HabibaMussa-x6pАй бұрын
Asalam alaykum shekhe
@omanmct1353 ай бұрын
Subhanalllah
@Wattingalby3 ай бұрын
Asalam alayekum warahmatullh wabarakati naomba mawasiliano Na taasisi hii Nina maswali ya Dini yalio nichanganya Na mm sifahamu vzr maswala hayo ya talaka
@meowzna3 ай бұрын
Ameen Yaarab🙏
@KhadiaAli3 ай бұрын
Shekh nakusikiliza sana darsa zako na mawaidha yako na nimejifunza mambo mengi kupitia elmu unayotupatia .
@JabuMohd3 ай бұрын
Allah atufanyie weps
@ZakharaNdimangaАй бұрын
mashaallah shukran san
@UmmulsalamaMuhammed3 ай бұрын
Asalam aleykum shekh, mm naomba namba za cmu nina maswali
@MwanaishaZakaria3 ай бұрын
Shekhe hao wanaume wenyewe hakikuacha hataki hata kukuona mpaka kipigo
@balkissMuhammad-sk1ic3 ай бұрын
Bismillah
@ZuenaHaji-t2r3 ай бұрын
Asalam ghaleikum samahani shehe wangu ninashida na namba Yako ninamtihani na mume wangu Naomba nisaidie
@JabuMohd3 ай бұрын
Ishallah
@Raissaabdoul3 ай бұрын
Sheikh Allah akulipe kila laheri nataka kuuliza sheikh mimi mume aliniacha ndani ya nyumba tena nyumba ya kupanga tena kaniacha na watoto akuna ata uduma watoto sheikh uyo ndaweza murudisheya pesa zake sheikh na omba jibu
@BakaryOmally3 ай бұрын
Ulimuomba akuache au vipi hapoo
@halimandune73173 ай бұрын
Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh. Sheikh hio umeeleza vizuri, lkn mm nakuuliza nilikuwa mjane,nikaa eddah,Kisha nikaolewa tena,huyu bwana akauguwa,familia nzima ikaniambia mm ndo sababu ya maradhi yke,hii ikabidi nitoke kwake toka 2014 hdi sasa,mm nikiolewa ni vibaya?.Aliniacha na mtoto na hashughuliki hdi sai,je nn lakufanya?.
@RidhaaHamisi3 ай бұрын
Asalm aleykum?mm mume wang alinitumia talk kweny sm tatu zote? Lakin hakunihudumia had miez mitatu ikaish ni sahihi
@BakaryOmally3 ай бұрын
Hiyo sio talaka rejea ila Allwah ndie mjuzi
@HusseinMsham2 ай бұрын
Swaddaqta sheikh
@zuhramwavyoni84003 ай бұрын
❤❤❤
@bintomar86532 ай бұрын
Sheikh kama chumba kimoja tunafanyaje sasa na wasema hatufai kulala chumba kimoja wala kitanda kimoja.
@ZaynabJumaaa2 ай бұрын
mnaoomba namba za $hekh mkipata mnipe na mm maana mimi ni$haongea ad na katibu wake miez miwili xaxa cpat majibu yoyote napgwa kalenda tu😢 namtu unakuta unachangamoto nzito ha$aa unaona kabxa apa nikiongea na uyu $hekh ntapata $uruhu lakn kalenda kibao 😢daaah
@FatumaMuya-w5h2 ай бұрын
Mimi mwenyewe nahitaji namba yake
@CishahayoDeborahАй бұрын
Shekhe wanaume wemgine hawataki kutowa talaka mwaka mbili
@nkurunzizaabdul-aziz72113 ай бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh sheikh wetu kishik jazakhallah kheir mada ya leo inaweka wazi kila kitu. Sasa sheikh kuna swali :--ikiwa mwanamke amerudutadi huo kuna haja ya talaka na kuika eda ima kupewa cocote kifungasha cakwenda naco kama inavyositahiki kupewa wanapotolewa kwenye nyumba zao bada ya talak? Naomba jibu
@zubeidahamad-vn4ri2 ай бұрын
Hii ndio sababu Sheikh watu wanakupenda human upendeleo wa wanawake Wala wanaume upo ktk haki ambapo masheikh wengi hawapo ivo
@SalmaChota2 ай бұрын
Sheikh niponyumban sijapewa talaka na mume alinikimbia nikaamua kwenda nyumban
@JabuMohd3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@SamirKhamis-s8t3 ай бұрын
ASSAALAM ALEYKUM ME NINASWALI NAULIZA JEE? MWANAMKE AMEENDA KUNUNUA TALAKA KWA SHEKH PASINA SHAHID WA MUME AU SHAHID WA MKE AU MUME WAKE HAYUPO JEE? HIYO TALAKA IMESIHII NAOMBA JIBU JAMANI.
@jumakapilima72953 ай бұрын
Talaka moja ni talaka !!!
@jasminsaidshabani7339Ай бұрын
Samahani shekhe nisaidie mimi nilifunga ndoa tukawa tumeshindwa na leo ninamiaka 7 hajawahi nitafuta wala mimi sijawahi kumtafuta na nimepata naye watot 2 na hawatunz je na mimi hapo nafanyaje
Shekhe naomba namba yako nataka nikuulize kuhusu ndoa maana kwa sms sitaweza ni mazungumzo marefu
@AhmedLavezzi2 ай бұрын
Sheikh, unaweza kukaa ndan alaf mume atakaka tendo la ndoa tena kwa kufox wala hajatamka nimekurejea hii inakuaj
@MariamShabani-eb3oh2 ай бұрын
Some kuubwa natamani niifadhi ila inatoka ya rabby nipe wepesi wa kuhifadhi
@HasnaNassoro-n1v3 ай бұрын
Asalam alleykumu.shekhe kishiki mfano mtu kakuoa taraka tatu kwa pamoja alafu mwez mkakutana ndoa ipo?
@ZubedaNiyonzima3 ай бұрын
Natamani kuuliza kuusu iy Mada Shekh sijuw ntaaziya wapi
@BuhiteAlly3 ай бұрын
Upo.eda.ya.talaka
@othmanhaji18323 ай бұрын
Nimependa uadilifu wako wa talaka 3 kwa 1. Na mimi naona 3 kwa 3.
@MariamJuma-pe4sy3 ай бұрын
Kiukweli wanaume wengine nimtihani kabisa talaka ataki kutoa na anasema yeye anajua kuoa aui kuacha na kwangu sitaki arudi ba nimtihani kwakweli. Shehe kishk tupe muongozo nini tufanye ili kila mtu awe huru?? Yani kama anataka kukomoa 😢😢
@kamarhelo2 ай бұрын
Nenda bakwata kadai haki yako
@MariamJuma-pe4sy2 ай бұрын
@@kamarhelo bakwata nilienda nikapewa barua niende mahakamani wakaniambia mahakama itaenda kuamua kama kupewa talaka au laa nikpewa talaka mahakamani yani serekalini. Sasa nasikia kuwa talaka inatakiwa itoke bakwata bac naona kama wananichanganya
@kamarhelo2 ай бұрын
@@MariamJuma-pe4sy usikate tamaa pia ukienda sema wew mwenyew humtak na umemchoka usitoe sababu yeyote Ile ukitoa sababu mumeo ataichukulia kama kosa lake na ataahid kujilejebisha na mkilud nyumbani ataludia Yale Yale
@MariamJuma-pe4sy2 ай бұрын
@@kamarhelo sawa nitafanya hivyo nikirudi TZ kwasasa nipo uwarabuni
@kamarhelo2 ай бұрын
@@MariamJuma-pe4sy hata mim nipo huku na Wala sitaki tabu na kiumbe kinacho itwa mwanaume kwani yalio nikuta ni makubwa
@LUTFIAAHMADA3 ай бұрын
Shekhe, ikiwa kaharibu mimba jee?? Ndo itakua pia ishamaliza eda?
@GhaniyeHaji-hv3je2 ай бұрын
Kama hana nyumba je sheikh
@AishaAisha-u1q3 ай бұрын
Jee mwanaume akimwita mke wake mbwa bado ni mke wake
@ZubedaNiyonzima3 ай бұрын
Shekhe kwa wale ambawo wameacwa talaka rejeya lakin hakukaaa eda kwa mumewe Vipi hukm ya ndoa hiyo?