Waalaykum msalaam warahmatllah wabarakatuh bwana shehe unazingua tuletee ismaili wetu naona unahalibu kipindi mtu ameshakwambia anaitwa pita au Joni bado unamuuliza
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@Arishafa547 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah swadkta 🙏 💯
@ABUUALI-oh2yq5 ай бұрын
Aisha
@aishahusseni7087 Жыл бұрын
Mashalla ❤❤
@AliMuhammad-um1uy Жыл бұрын
Mashallah allah
@bintqassimidarous1636 Жыл бұрын
#anawatu allah ndio kauli mbiu yetu ya mwaka huu iyo ya kuadhimisha mashindano ya Qur-an naotea inshaallah
@hasnakid Жыл бұрын
Me pia nimehisi hivyo
@radhiyaradhiya7149 Жыл бұрын
masha allah.
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Swali la leo gumu sana, sizani kama tuna jibu leo.
@mjedamjeda4734 Жыл бұрын
Nimejeribu kufuatilia maswali mengi mnayo uliza si maswali rahisi kwa watu ambao wapo mtaani kujibu ila wachache katka hao wewe mwenyewe kama mtu akushitukize na swali waweza shindwa sema kwa upande flani inatia hamasa ya kusoma dini
@nahimanamayassa8305 Жыл бұрын
Ndiomana tukaambiwa tuisome dini yetu aijalishi wew niwa barabarani au niwa ndani apana ukiwa umeisoma dini yako na ukailewa vyema kumbe unaeza kujib maswali mengi tu japo Kuna yeny yanaeza kukushinda labda kwakusahau utaeleweka
@bintqassimidarous1636 Жыл бұрын
Yahya usiwe unawauliza wasiokua waislam wanatupotezea kipindi chetu please mtu akeshataja jina lake ikiwa sio muislam muache
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Yaani umeongea ukweli kabisa maana lsmail alikuwa akiskia jina tu anaachana nae anauliza mtu mwengine