#Live: Ripoti Zetu Zinavyo Wasilishwa kwa Muumba Wetu - Khutba ya Ijumaa Sheikh Nurdeen Kishk (Daai wa Kimataifa) Tarehe: 8 February 2025 Mahali: Masjid Ihsaan, Vetenari - Temeke)
Пікірлер: 25
@subbralssasubeerlssa71043 күн бұрын
Shukrani shekhe wetu kwaukumbusho Alalh tupe mwisho mwema kwa sote lnshaallh
@irakozeshela18093 күн бұрын
allah akubariki na akujaze kheri nyingi cheih❤
@زينببنتسعيد-د9ح4 күн бұрын
MASHALLAH TABARAKALLAH MWENYEZI MUNGU atusameh madhambi na mapungufu yetu atuongoze katika njia inayo mridhisha yeye na atujaalie mwisho mwema ummah mzima na walio tangulia mbele ya haki awarehemu awasamehe madhambi yao awaepushe na adhabu zake awaweke mahali pema penye waja wake wema na akulipe kila lililo la kheir na wewe hapa duniani mpaka kesho Akhiirah kwa ukumbusho hu mzito wetu kipenzi #sheikhnurdeenkishk🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼
@ZainabinuriZainabinuri3 күн бұрын
Allahuma amiin yarabby 🤲
@زينببنتسعيد-د9ح3 күн бұрын
Allahummah Amiin ya Rabbil Allamin 🤲🏼🤲🏼🤲🏼@@ZainabinuriZainabinuri
@ikhlaasAbubakar3 күн бұрын
SubhanaAllah ALLAHU AKBAR YAA ALLAH TUONGOZE KTK KHERI 😭😭🤲🤲🤲
@MochammdHadija-pn7nn4 күн бұрын
Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi ❤❤❤
@ZainabinuriZainabinuri3 күн бұрын
Amiin 🤲
@SaleheAmiry-mx1yn4 күн бұрын
Ewe Allah tusamehe sisi tuliohai na wenzetu waliotangulia mbele za haki na utujalie mwisho mwema waislamu wote
@ZainabinuriZainabinuri3 күн бұрын
Allahuma amiin yarabby 🤲
@zuwwnaramadhan694113 сағат бұрын
Amiin
@abdillahmachemba55974 күн бұрын
Subhanallah... Subhanallah.. Uzito mkubwa wa khutba ya Leo ulionekana kwenye kichwa chake Cha habari.. Jukumu letu ni kufanyia kazi ujumbe mzito ulotolewa kwa ufasaha wa Hali ya juu
@abdillahmachemba55973 күн бұрын
Allah akuhifadhi sheikh letu
@Salsabiil124 күн бұрын
Shukran jazzilah waiyaakum nakupenda kwa ajili y allah❤
@ZainabinuriZainabinuri3 күн бұрын
Mashallah
@Yobat_music4 күн бұрын
❤❤❤ Allah akujalie afya iliyo bora zaid
@MauwaSaidAbdalla4 күн бұрын
Masha Allah sheikh kishki Allah amubaric Isha Allah amuigize peponi insha'Allah 💖💖
@ZainabinuriZainabinuri3 күн бұрын
Allahuma amiin kwasote inshaallah 😊
@HadhuiatMoustoifa-sd2jw4 күн бұрын
مشالله ❤❤❤❤❤
@fatmahija41354 күн бұрын
Amiin yarab
@AzizaNyadzua4 күн бұрын
Ameen yarabilaalameen Allah aztakabali Duaa na ibada zote kwa ujumlaa..shukran jazillah ❤❤❤❤❤