MAPENZI KWA SHEIKH KISHK VIJANA WASAFIRI MASAA 8 KUMUONA MARA YA KWANZA/HATA WAKRISTO WANAMKUBALI

  Рет қаралды 13,777

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 189
@RaimamomedSaide
@RaimamomedSaide 25 күн бұрын
Mimi ni mdogo wako kishki ❤nakupenda kuliko unavojipenda mwenyewe toka ninamiaka 10 nakuskiliza sana ktk redio ww pamoja na othaman maalim 😊mpaka miaka 15 nakuona ktk tv za vichogo zile,mpaka sasaiv nakuangalia ktk kiganja changu ambayo ni you tobu kwahakika Allah amenipa moyo waupendo kwako toka ubri huo mpaka leo 32 sjawah kujaribu kukuchukia sababu hujabadilika msimamo wako wa dini km mashekhe wengine kuleta bidaa ktk dini yetu🎉Namuomba Allah akupe umbri mrefu na wenye faida kwetu na kwako 🤲
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 25 күн бұрын
watu hawajamjua tuu shaikh Kishki ni mtu mpole sana na mkarimu ukikutana naye imani inapanda Allah Amzidishie umri mrefu wenye kheri na baraka Aamin
@KhadijaAli-y8t
@KhadijaAli-y8t 25 күн бұрын
Ameen
@AminaKaifa
@AminaKaifa 25 күн бұрын
@@mpondamedia2416 Amiin🤲🤲
@JdjJjd-f4g
@JdjJjd-f4g 25 күн бұрын
Mashallah tabaraka Allah
@BarackBarack-w1g
@BarackBarack-w1g 25 күн бұрын
Amiin
@SakinaSakinat-qd9rs
@SakinaSakinat-qd9rs 25 күн бұрын
Amiin
@AishHassan-p8l
@AishHassan-p8l 25 күн бұрын
Maashallah hongereni vijana kiukweli tuna mpenda sn sheikh wetu allah amkinge na Shari za viumbe Shari za ucku na mchana
@dhamiirrashid6175
@dhamiirrashid6175 25 күн бұрын
😭😭😭 Allah akulipe kher sheikh wangu tunakupenda wote in shaa Allah, Allah atukutanishe peponi pepo ya firdaus amiin. Wallah sheikh tunatamani umoja vijana tupo teyari subhanallah duniani tumekuja kwajili ya kumuabudu Allah tu.❤
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 25 күн бұрын
Amiin yaraab
@RaimamomedSaide
@RaimamomedSaide 25 күн бұрын
Amin ❤🎉
@AminaKassim-ni9wd
@AminaKassim-ni9wd 20 күн бұрын
Ma'shaallah Ma'shaallah Ma'shaallah sina mengi yakusema ila kikubwa kila anaemkubari shekh kishk anapokumbuka ni kumuombea duwa tu Allah ampe umri mlefu ampe afya na mwisho mwema amiiin
@faizanassor6336
@faizanassor6336 25 күн бұрын
MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH Sheikh wetu ni kipezi cha watu ALLAH akueke akupe AFYA njema umre wenye kheri THUMMA AMIN
@Shomari-q8k
@Shomari-q8k 25 күн бұрын
Mashaallah Allah akulipe yaliyo mema leo duniani na kesho akhera shekhe wetu, mimi ni shahidi wa kweli juu ya ahadizako za kweli na matendo yako yalio mema dhidi yetu waislam, by shomari mwinyimkuu.
@HabibaHemed-u4b
@HabibaHemed-u4b 24 күн бұрын
Hata mimi namkubali Shekhe Kishki.Allah amlinde amjalie afya na uzima .aendee kutuelimisha zaidi na zaid
@abdulkarimisihaka2145
@abdulkarimisihaka2145 19 күн бұрын
Alhamdulillah Namuomba ALLAH utuzidishie upendo kwa mashekhe wetu Namuomba ALLAH atupe mwisho mwema
@hedaya-e9j
@hedaya-e9j 5 күн бұрын
Mashallah tunakupenda sana shekhe kishiki ❤❤❤❤❤❤🎉
@zainabudotto
@zainabudotto 25 күн бұрын
Ni kwel Allah akulinde na akuzidishie nguvu na Imani ya juu zaidi nakupenda 💖 sheikh nurdin kishki
@Zuwenamchuzi
@Zuwenamchuzi 23 күн бұрын
Mashaallha. Nimezaa mtoto nimemwita jina lako shekh wetu❤❤❤❤
@naahally936
@naahally936 19 күн бұрын
Mashallah unatufunza mengi sana Shekh Kishki tunakupenda na allah akuzidishie kila la kheri
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 25 күн бұрын
MashaAllah TabarakaAllah ALLAH Amjalie umri mref wenye kheri sheikh wetu kipenzi Twampenda kwakweli❤❤❤
@MwanaijaOmary
@MwanaijaOmary 23 күн бұрын
Mashallah kakaang Allah akujalie kher abdi ndgu yangu usmame kweny njia ya khaq nampenda San shekh kish napend San hutba zake nmefrah San kukuona abdi jamn
@KwizeraNasri
@KwizeraNasri 25 күн бұрын
Wallh nimemwaga macozi 😢kwafuraha Mashallh chekh sisi woto tunakupend san mungu namuomba sikumoja nukuone yani ntafurahi sana wallh 😭😭😭😭😭
@Tabibuibrahimu
@Tabibuibrahimu 23 күн бұрын
Allah ampe nguvu zaidi Shekh Kishki ktk dini amyin
@ZaZa-ck9sf
@ZaZa-ck9sf 25 күн бұрын
❤❤❤❤wallaah wallaah wallaah nimefalijika mpaka machozi yamenitoka kipindi ni mbali nimefalijika kusikia kumbe kunawatu wanapenda kipenzi changu nakupenda shekhe kwa ajili ya allaah allaah akhifadhi
@rehemaathhmani357
@rehemaathhmani357 24 күн бұрын
Mashaallah 🤲mashaallah Allah awape Afya njema na awakubalie Dua zenu tupendane kwa Ajili ya Allah 🤲❤️
@zeharaz4116
@zeharaz4116 25 күн бұрын
Mashaa Allah Tabarak Rahman hata sisi sheikh tunakupenda Allah akuhifadhi na hasada
@omargargaar5611
@omargargaar5611 25 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi vijana wtu Allah amuhifadhi sheikh Nurdini Kishki mpe salamu Nurdini Kishki anajulikana na West Africa niko nao huku Belgium mpe salamu zake sheikh Nurdini Kishki ameitangaza Dini Tanzania kwa Dini ytu Allah amlinde na shari za wanadamu na majini
@Fildaus6306
@Fildaus6306 23 күн бұрын
Mashaallah Sheikh Kishki anapendwa jameni Mungu azidi kukubalik Sheikh wetu akupe afya njema na familia yqko tunakupenda saaaana
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 25 күн бұрын
Allahumma Swali Alaa Habibi Muhammad SALALLAHU ALAIHI WASALAM ❤❤❤
@DjumaAsha
@DjumaAsha 25 күн бұрын
Allahumma Swali wasallim 'Alayhi 😍
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 25 күн бұрын
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء مع اسلامة Mm binafsi kwa moyo swafi nampenda khekh LETU kila siku namuomba Allah anikutanishe na shekh nipate Nasaha ....nahitaji shekh aniusie Lakin bado Allah hajaniwafikish NAOMBA SANA SANA.
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 25 күн бұрын
ENDAPO NITAPATA NA SHEKH WALLAH NITAFURAH KIKUBWA NIHATAJI NASWAHA ZAKE ......NAMUOMBA SANA SANA ALLAH KWAHILO مع اسلامة
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 25 күн бұрын
ALLAH akufanyie wepec uonenane nae kwa mapenzi mliokuwa nayo
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 25 күн бұрын
ALLAHUMA AAMEEN YAARB ALAAMEEN 🤲
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 25 күн бұрын
@@nikrahayubu-sz3pw Allah takabbal duwaa
@SaadiaOmar-xd6qg
@SaadiaOmar-xd6qg 19 күн бұрын
Ameen thumma Ameen So emotional May Allah preserve sheikh kishiq Ameen thumma Ameen
@rahmaally5128
@rahmaally5128 25 күн бұрын
Masha Allah, 😊 i feel dem, i really feel dem subhanallah, Sheikh wetu kipenz , Allah akuhifadh , nafurah sana nkiona watu wanavy mpend Sheikh Nurdin, ila pia wanantia wivu coz nahis nampend zaid yao, n even i sukukubal kuupa dhiki moyo wang kwa shauk yakutak kumuon sheikh live ckukubal mpk nkafanikiw kumuon live n it was lk a dream coz I couldn't blv dat it was really him, kw furah yang kumuon live on dat day csahau nlip rudi home tu nlitoa sadak kumshukur Allah kunijalia kumuon Sheikh Nurdin Kishk live na kuongea nae, alhamdulillah Ila truth is huishiwi ham yakumuon Sheikh live hata ka utamuon ×2 au 3 utataka kumuon tena na tena, hadi nawaonea wivu hao vijan wake anao kua nao, Allah akujaz kheir na barka, furah na aman, Allah azid kukup nguvu ktk kulinganis uislaam na kutetea haqq kwa ajili yake amiin 🤲 na sisi tuzid jifunz meng mazur kupitia yeye, Sheikh Nurdin Kishk jannahfirdaus karib na mtume wetu yakawe makaz yako ya milele, amiin 🤲🤲
@AishaTarimo-d5v
@AishaTarimo-d5v 23 күн бұрын
Mashaallah Alhamdulilah Allah awajalie afya njema na baraka tele kwenye familia zao ,❤❤❤
@omarothman-bj2wf
@omarothman-bj2wf 25 күн бұрын
Nakumbuka siku Moja mwaka 1999 nikiwa mdogo niliiswal maghrib masjid Tungi aliswalisha sheikh kishki.Sisahau mpaka Leo ladha ya quraan niliyoiskia.ikawa Kila siku natoka kwetu mbali tandika maguruwe naenda tungi kumsikiliza kishki.ALLAH azidi kumuinua San kimali na kielimu aaamin
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 25 күн бұрын
Aamin
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 25 күн бұрын
ALLAHU AKBAR
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 25 күн бұрын
ALLAHUMA AAMEEN YAARB ALAAMEEN 🤲
@DoubleA-i8m
@DoubleA-i8m 25 күн бұрын
اللهم آمين يا رب
@zainabudotto
@zainabudotto 25 күн бұрын
Mashaallah 🥰 nimelia kwa furaha nataman na me nikuone
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 25 күн бұрын
JAZAAKA LLAHU KHAYRA
@MutoniwaseMadinah
@MutoniwaseMadinah 24 күн бұрын
😢😢😢mimi pia
@zainabudotto
@zainabudotto 24 күн бұрын
@MutoniwaseMadinah inshallah Allah atatufanyia wepesi
@Johnnduwayo8666
@Johnnduwayo8666 22 күн бұрын
Inshaa allah utamuona
@HakizimanaSalima-sg7cv
@HakizimanaSalima-sg7cv 25 күн бұрын
Allahu Akbaru Allah akulimpeni kwa umpendo wenu kwa Sheikh wetu mpendwa Nurdeen kshk akuifadhi napia atuifadhi sote Ameen yaarabby 🤲🤲🤲
@yusufathman2478
@yusufathman2478 25 күн бұрын
Maa shaa allah Sheikh kishki kipenzi cha watu. Nampenda sana sheikh kishki. Allah amlinde na anilinde pia mmi. Na sote in shaa allah
@HadjatZuzuZuleikha
@HadjatZuzuZuleikha 25 күн бұрын
Mash'Allah tabaarakallah hata mim nampenda saan n'a nina imani Siku mojaa insh'Allah nitamuona 🥹🥹🥰🥰🤲
@hasnakid
@hasnakid 25 күн бұрын
InshaAllah Allah akufanyie sahal ktk hilo
@ikramsuleyman2710
@ikramsuleyman2710 24 күн бұрын
Maanshallah hata mimi shekh wetu nakupenda sana Allah akuhifadhi
@AyubuIkaku
@AyubuIkaku 24 күн бұрын
Allah azidi kutufanya waislamu wote tuwe wachamungu
@rahmaally5128
@rahmaally5128 25 күн бұрын
Masha Allah, vijan wamepat bahat hadi kuchukuliwa na Sheikh , aisee mwaka unaish kwao na kumbukumb nzur sana hawat sahau daiman, how I wish nami ningekua mwanamu ili nikawez kumfikia Sheikh kirib lk dem , wanamme mnarah khasa, Brother Khaled msalimie Sheikh Nurdin Kishk kwa niab yetu tel him 2nampend kwa ajil ya Allah
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 25 күн бұрын
Ata mimi nimeweka nia INSHA ALLAH nimuonage shekh kishki
@MwanjumaSalimu
@MwanjumaSalimu 19 күн бұрын
Maashaallah hakika hao ni washika vijiti wako,mola mlezi akuzidishie nishati
@AishaMohamed-dr6ud
@AishaMohamed-dr6ud 25 күн бұрын
Allah atuhifadhie sheikh wetu
@HudaSaed-g5v
@HudaSaed-g5v 25 күн бұрын
Mashaallah allah awalipe kheri na amuhifadhi shekh wetu
@kayfatvonline9654
@kayfatvonline9654 25 күн бұрын
Masha allah huyi abdi ametoka kijiji cha mabalanga nawajua hawa
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 25 күн бұрын
Allah atutakabalie dua zetu Allahumma ameen 🤲🤲🤲
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 25 күн бұрын
MAA SHAA LLAH SHAIKH KISHKI KIPENZI CHA UMMA
@AminaKaifa
@AminaKaifa 25 күн бұрын
Mashaallah❤❤❤❤tupo wengi barakallah fiikum
@mussaidd4509
@mussaidd4509 22 күн бұрын
ALLAH AKUHIFADHI SHEKH NURDIN KISHKI.
@FasidaShaban
@FasidaShaban 24 күн бұрын
Mashaallah hata Mimi ninatamani Sana kumuona laivu natamani Sana mimiI nimwanamke natamani Sana Ile darasa la wanawake niwemo ya Allah mpe umri mrefu shekhe wetu tunampenda Kwa ajili yako ya Allah na pia nikutanishe naye kwenye darasa lake la wanawake amin
@husseinmukwambo9001
@husseinmukwambo9001 24 күн бұрын
ALLAH ANIFANYIE KILA SAHALI NA PIA MIE NIKATE KIU YANGU YA KUMUONA SHEIKH NURDIN KISHKI LIVE❤❤❤❤😢😢😢NATAMANI SANA KUMUONA SHEIKH NURDIN YA ALLAH NIFANYIE WEPESI
@a.856
@a.856 25 күн бұрын
Jazaka Allah khayran
@SalmaSeif-o4n
@SalmaSeif-o4n 12 күн бұрын
Sheikh kishki Allah ampe umri mrefu wenye manufaa tunampenda kwa ajili ya allah
@amneyabubakar
@amneyabubakar 25 күн бұрын
Mungu akupe umri mrefu wenye amal njema shekh wetu kipenzi
@EpcDistributor09
@EpcDistributor09 24 күн бұрын
Sheh kishki ana pigania Sunnah ya mtume swalallahu alaih wasalam Allah amhifadhi
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 25 күн бұрын
Ma sha Allah Allah awahifadhi
@MuhsinMohd-lh5ev
@MuhsinMohd-lh5ev 25 күн бұрын
Subhanalla...Namuomba Allah amuepushe kilala shar na ampe kilala kheiry
@shangazshangaz4222
@shangazshangaz4222 23 күн бұрын
Mimi ni mkrsto lakini natamani sana kumuona huyo SHEIKH KISHIKI mawaidha yake hua yananipa amni kabisa na naninacho mpendea sasa hachafui ndini za WAKIRSTO naninataka kumuonatu nimsalimietu ❤❤
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 24 күн бұрын
Mungu akujali shekhe kwa ukarm wako
@fat-hiyarashid4605
@fat-hiyarashid4605 23 күн бұрын
Mashallah ❤like it
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 25 күн бұрын
Wallahi Uislam ni Raha sana
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 25 күн бұрын
Waleikum salam warahmatullah wabarakatuh. Masha Allah Tabarakallah ❤❤❤
@professorwangwande1752
@professorwangwande1752 21 күн бұрын
Assalamu alaikum warahmatullah wabalakatuh Mimi naomba mamba ya shekh kishiki
@sabrinayounisaden7238
@sabrinayounisaden7238 25 күн бұрын
Jamani msiwe baqili na " likes".hit like bottom,maybe it can help the channel.
@Veronicahcharles61comAsia
@Veronicahcharles61comAsia 23 күн бұрын
Mimi naye nampenda sheikh kishki sababu anaishi ipasavyo yaani Qrn na sunnah ndio maisha yake aki ni neema kubwa kuwa na kiongozi mkweli km huyu ARAHIMANI amjalie khr dunia na Ahera InshaAllah
@hasnakid
@hasnakid 25 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah Allah akuhifadh Sheikh wet.
@SophiaMbogo-in7yt
@SophiaMbogo-in7yt 25 күн бұрын
Alhamndhullillah mwenyezimungu azid kukuza mapenzi kwa ajili ya Allah
@HabibaHemed-u4b
@HabibaHemed-u4b 24 күн бұрын
Allah akihifadhi.unafanya mambo mazuri kwa jamii
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 25 күн бұрын
MashaAllaah khery jamani na ukiskia mapenzi kwa ajili ya Allaah ndio hayaa Allaah azidi kutuhifadhia Sheikh wetu kwa Neema zake
@hasnakid
@hasnakid 25 күн бұрын
Aameen
@ArabOman-x7h
@ArabOman-x7h 25 күн бұрын
Shehe Allah azidi kukuifazi zaid
@nuriatihdjasumin1548
@nuriatihdjasumin1548 25 күн бұрын
Asalam alaykum ww walahi hata mimi namupenda sana im from Congo nami naamini siku moja Inishaallah nitamuonaga tuu ❤❤namuomba Allah uhayi tuu❤❤
@SalamaMustafa-q5h
@SalamaMustafa-q5h 25 күн бұрын
Maashallah nakupenda sana sheikh kishik ❤❤❤❤❤
@hamishussen1589
@hamishussen1589 25 күн бұрын
Tunakupenda kwa ajili ya allah shekh wetu nurdeen kishki
@mwanaaminahusseinsuleiman6980
@mwanaaminahusseinsuleiman6980 25 күн бұрын
Mashaa Allah Allah azidi kumuhifadhi❤
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 25 күн бұрын
maa shaa llah baaraka LLAHU fiikum
@leilasalim-2009
@leilasalim-2009 25 күн бұрын
Ma sha Allah tabaraka Rahm mapenzi ya Allah walah
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 25 күн бұрын
Mashaallah' hata mimi nina kiu kubwa sana ya kuonana na Sheikh Kishki angalau nimsalimie nae anijibu salamu yangu
@HusnaMTITIKO-w3p
@HusnaMTITIKO-w3p 25 күн бұрын
MASHAALLAH 🥰 nimefurahiiii walah Alhamdulilah 🤲
@Jahra2023-gm1qp
@Jahra2023-gm1qp 24 күн бұрын
Mbaka nimetokwa na machoz ya upendo wa uyu sheikh 🤲Mungu azidi kukupa kher nyingi shekhe kishiki
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 22 күн бұрын
Allaah Awahifadhi biidhini llaah
@missmoona4497
@missmoona4497 25 күн бұрын
Bismillah maashallah ❤❤❤❤❤kwaajili ya ALLAH
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 25 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
@zuwwnaramadhan6941
@zuwwnaramadhan6941 25 күн бұрын
Ma sha Allah ❤❤❤
@sheikhmuriditiba146
@sheikhmuriditiba146 25 күн бұрын
SHEIKH NURUDINI KISHKI NI MWEMA HATA MIMI NIKO KENYA TURKANA KAUNTI NAHITAJI KUMUONA MASHAALLAH
@IbrahimIsmail-h6w
@IbrahimIsmail-h6w 25 күн бұрын
Allah akupe mwisho mwema kishk
@thamratysuleiman3053
@thamratysuleiman3053 25 күн бұрын
Ammiin
@AdamuMdoe
@AdamuMdoe 25 күн бұрын
Maashaallah binafs py napend San Allah azid kumpa umre weny manufaa
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k 25 күн бұрын
Wallah huu ndo upendo wa dhati kabisa yaan machozi hadi yananitoka shekh kishk Allah akupe umri mrefu mimi binafs nakupenda sana kwa ajili ya Alla natamani kukuona siku moja insha Allah
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 25 күн бұрын
Amiin yaarabbli al'amiin
@Sofi99-u6o
@Sofi99-u6o 24 күн бұрын
Nakupenda kwaajir ya Allah
@aminamareta9297
@aminamareta9297 25 күн бұрын
Mashallah mashallah allah akuifadh shaikh wet
@firdaus7428
@firdaus7428 24 күн бұрын
‏ما شاء الله تبارك الرحمن
@DjumaAsha
@DjumaAsha 25 күн бұрын
Ma sha Allah Tabaarakallah 😍 Yani hadi raha
@nooornoor120
@nooornoor120 25 күн бұрын
Allah akulinde shekh wetu fatilia kutok keny
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 25 күн бұрын
ALLAHUMA AAMEEN YAARB ALAAMEEN 🤲
@ahmedhamisi-jc2hs
@ahmedhamisi-jc2hs 25 күн бұрын
Mm pia n Moja ambae nampenda sana lmShekh wangu kama kuna mtu aki Namba zake anitumie tafadhalin
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 25 күн бұрын
MASHALLAH ❤❤
@KhadijaAlhajri
@KhadijaAlhajri 21 күн бұрын
Mm mpaka natamani mtt wake amuowe mwanangu kwa jinsi khutba zake nzuri sana
@wemakalama6458
@wemakalama6458 25 күн бұрын
JazakaAllah khery❤❤
@muliamadi859
@muliamadi859 25 күн бұрын
Masha'Allah tabarack allah.
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 24 күн бұрын
Mashallah Baraka Allah🙏
@AminaKassim-ni9wd
@AminaKassim-ni9wd 20 күн бұрын
Kiukweli tunakupenda sana kwaajili ya Allah
@JahidaRashid
@JahidaRashid 25 күн бұрын
Mashaallha ❤❤
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 21 күн бұрын
Kishki twampenda wengi, hakika anapambana na washirikina
@jumaswalehe5085
@jumaswalehe5085 24 күн бұрын
❤❤❤ sheikh kishki
@yasminally1015
@yasminally1015 24 күн бұрын
Asallam maalequ Allahadulilah Allahadulilah Maashallah Maashallah Maashallah Allahadulilah Allahadulilah ❤❤❤❤❤❤
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 25 күн бұрын
Tunakupenda sheikh kishki
@Amina-tw4iw
@Amina-tw4iw 25 күн бұрын
Mashaallh
Waalimu Al-Hikma Wamfanyia Surprize Boss Wao!!!!
9:36
Kishki Online TV
Рет қаралды 4 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 799 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Mkeo akifanya haya muache - Leilah Aboubakar
13:14
Kalamutz
Рет қаралды 57 М.
Mwaipopo Amtembelea na Kumpongeza Sheikh Kishki
29:26
Kishki Online TV
Рет қаралды 6 М.
YATIMA AMLIZA SHEIKH KISHK/AMWAGA CHOZI HADHARANI/ASHINDWA KUONGEA
6:51
Kishki Online TV
Рет қаралды 264 М.
Tafrija Maalum ya Wana-MalaysianKwa Sheikh Kishki
16:27
Kishki Online TV
Рет қаралды 6 М.
UKIFANYA MAMBO HAYA AMALI ZAKO ZITABATILIKA. SHEIKH NURDEEN KISHK
1:22:30
Kishki Online TV
Рет қаралды 35 М.