Asallaam allekhum. Hakika Dada nimekuwa nikikufatilia sana hakika unanipa somo sana
@HurumaSelestine9 ай бұрын
❤❤❤ Asante sana mama yangu kwaujumbe mzuri sana.
@diagfinamix186110 ай бұрын
Mama una urembo fulani basi kuwa unaweka niqab , miongoni mwa sisi basi wamoja wakiona sura ya kike khaswa ya kupendeza kama ya kwako roho zina dunda na hilo we ni mwalim unalijuwa kilikoni. Allah allam. Wakuli support hili basi weka like hapo chini.
@HusseinLimbe10 ай бұрын
Tafuta mke uoe shekhe 😁
@Aidhjuma10 ай бұрын
Swadakta
@Aidhjuma10 ай бұрын
@@HusseinLimbekwani mtu akiwa na mke hwawezi kutamani mwanamke mwingine?
@Switielie10 ай бұрын
Khaaaaaa,
@neymarsalah224010 ай бұрын
Acha upwiru ww😂
@omarymlundi51199 ай бұрын
Hayo mambo yanatesa watu wengine sana wanawake wengi hawatosheki na waume zao umalaya umewazid akitoka
@KiongoziMwandamizi10 ай бұрын
Nikipata km huyu naoa ndani ya mwezi mmoja tu👏👏👏🙏🙏
@RamadhaniHamza-m5q10 ай бұрын
Mimi siku hiyohiyo
@mmambamandari44362 ай бұрын
Mimi dakika inayofuata naoa
@IslamKhatibSanzeАй бұрын
😂😂@@mmambamandari4436
@kazungukakiyo10 ай бұрын
Maneno yako yana musingi muzuri saana,, Allah baariq
@ahmedyahya99121 күн бұрын
Ahsante dada❤sana kwaajili ya mwenyezi mungu
@kazungukakiyo10 ай бұрын
Alhamdulillah,,Niko mbali Sana na familia yangu,, ninapo kusikiza au fatilia mawaidha yako hufarijika saana.
@man4nikaah8 ай бұрын
Assallam aleiykum warahmatullahi wabarakaatúhu shida pesa sipati mke .... Wamchao Allah mfano wa Mama yetu Khadija RA wakowapi ,,,
@x7hiaАй бұрын
Ukitaka mke kama Khadija (r.a) hakikisha na wewe upo kama Mtume (S.A.W)
@PierreFundi-fx8sg8 ай бұрын
Allah akupe kwa ujira mkubwa. Na akuzidishiye elimu zaidi na akupe nguvu ya kunyoosha jamii. Ni mzee wako kutoka Burundi. Nafwatiliya sana kipindi vyako.
@RashidMpina-bv6iw10 ай бұрын
Madam mungu akubariki akupe umri mrefu dunian
@RamadhanKhamis-oy2tm10 ай бұрын
Masha allah barakallah fiik, Allah akuhifadhi, akuongoze na akupe umri mrefu wenye khery.
@ShudaBakari4 ай бұрын
Maashaa Allah ukhuty Allah akulipe ziada inshaallah.
@Sunplazaduara8 ай бұрын
Asante madam kwa elimu bora inayotoa kwa jamii yetu, Mungu alibariki sana
@AbedKirway-tr5wx10 ай бұрын
Nakupenda san dada angu una ushauri mzuri naisikia sauti na mama ety kipenz samia na busara zake pia Mungu awe naww dada ang kipenz
@RahmaRashid-lc6nw10 ай бұрын
Na mie nilisema ivo ivo na roho yangu
@haroubalkharusy91179 ай бұрын
Maa shaa Allaah...., nimevutiwa ssna na ww dsdaangu, i wish nipate 2nd wife frm ur young sister......!!!
@johnpascal10604 күн бұрын
Dada aksante Sana Dada
@Lundege_Hips10 ай бұрын
Mashallah Mungu akuweke dadaangu umenifunza kitu
@shekhansaid954310 ай бұрын
Dada yupo vizuri kwa ushauri wa kujenga familia.
@FatimaAbdulla-s4iАй бұрын
Shukrani sana dadangu
@ManPro-ng3op10 ай бұрын
Mm nakupenda
@d1535510 ай бұрын
katika wanawake wenye akili na IQ kubwa basi wewe ni mmoja wapo nilikuwa nakuchukulia kirahisi rahisi kumbe wewe ni kichwa haswa,yaani umechambua mada hujabakisha kitu mungu akubariki kwa darsa lako
@fatmaalnabhani360910 ай бұрын
Kama ulikuwepo katika maneno uliyoyasema, mashaallah tabaaraka rrahmaan.
Akuripe au akulipe. Jinga sana, zingatia amatumizi.ya R n L niwafundushe mpaka lini
@sayeedmsct425510 ай бұрын
Masha-allah anakhekima sana
@SeedsDeep10 ай бұрын
Huyu Dada nampenda anavyo Ongea.!
@clarasimon783010 ай бұрын
Mama mama kizi mkazi sio
@TwahirAli10 ай бұрын
Bsrakallahufika jazakalkahir
@DaddySBuda-dp6nq8 ай бұрын
Mm nme mvumilia sana hata mungu anajua na jans nmepata dawa kwa bagi yake na shanga ya niuno nmezichukua ila sija mwambia kitu nimedundua wazi kuna usaliti mana heshima pia imepungua anaondoka bila ruhusa yangu yote nilimwambia kua ntaoa Akanijibu nioe Amekua kisoi
@a.85610 ай бұрын
Jazakallah khayran
@QadraGure29 күн бұрын
Mabruuk
@jadisaid599310 ай бұрын
Allah akubaarik
@mojakatundu16 күн бұрын
Asalam alaikum, dada samahani kea hili, sijui kama Una familia au!? Ila Mimi nimetikea kukupenda na ikiwezekana unipe nafasi ya mume kwako,
@GhaniyeHaji-hv3je6 ай бұрын
Mm nna mwaka wa 6 ss ndoa yng ina migogoro haijawahi kukutanishwa familia 2 mpk ss mkwe wng kanifukuza kwake na sina usaliti wala ushirikina wala cjalfny baba lililo kithir ni malumban ya kawaida t lkn haijawahi kusuluhushwa ss nipo kwet na mwanang mdogo na yy yupo kwao na mwanang wa kike mkubwa
@zalinamangi803928 күн бұрын
Great
@romanusnjovu684510 ай бұрын
Haya yote ndio anayo wangu mimi
@hatimabubakar179110 ай бұрын
Pole
@YoanWins10 ай бұрын
Shukrani sana🎉
@saldinthegreat226410 ай бұрын
@Kalamutz tafiteni utaratibu wa kupata mic tie clip, hii ya kushika mic haiko poa
@FakHamad8 ай бұрын
Vaaaa nikabu mama
@mswakisaid232028 күн бұрын
Mwenye shida ni wewe
@Muharram-c5n10 ай бұрын
Baaraka llahu fik
@AbdulkarimAdamsumai10 ай бұрын
Daaah shukran sana madam
@abdulrahimsaid786410 ай бұрын
Maashaallah
@dungamchafu760510 ай бұрын
Mashallah amirat
@abumutwaira489210 ай бұрын
Hvi huyu dda anasikilizwa n wanawake wenzie
@yusufkhanna10 ай бұрын
Usaliti sio zaidi ya mara moja ndio umuache,ile moja tayari wamwacha palepale hakuna subra hio yakusubiri tenaa
@FatimaAli-of4gh10 ай бұрын
Wanaume munasaliti kutwa kucha mbona sisi tunavymilia hata mume msaliti
@Muharram-c5n10 ай бұрын
Unakifaham kisa cha bi Aisha(ra) aliposingiziwa uzinifu,etep alizochukua mtume Muhammad (swa)kabla ya wahyi alikuwa ameshamwambia mkewe maneno flan inamaana alikuwa tayari kusamehe,unaweza kusamehe kabisa wala has haina shida
@khamisoothman529410 ай бұрын
Mashaa Allah
@RenataSulley3 ай бұрын
Uko vizur
@hamisichirau498310 ай бұрын
MashaAllah
@mohammedrashid290610 ай бұрын
Upo sawa
@marwaanhanief962310 ай бұрын
Mashaallah
@SahimSahil16 күн бұрын
Kabisa aende darsa km ataka Aya na hadithi jahiliya huyo hajui hata dini yake inasemaje Muhammed watakabaya laahaula
@DadiMohammed29 күн бұрын
Juu ya kua unatufundisha lkn unaonekana ktk clip zako nyengine una marembo mapambo ambayo yalitakiwa mumeo tu ayaone si wengine waigaji watakuiga naomba ujirekebishe kwa hilo usitamanishe watu
@issarashid770710 ай бұрын
Mammy ningetaman kukuoa
@ShabaniShabani-p8c10 ай бұрын
Mashall
@AbdulVitasa10 ай бұрын
safi kabisa
@MikidadRashid-oj8tf10 ай бұрын
Dada anafaa kuwa kungwi
@ummusulaish558610 ай бұрын
❤❤
@MikidadRashid-oj8tf10 ай бұрын
Uje ufunde mwanangu
@joycemkeka376910 ай бұрын
Je kwanaume akifanya hayo nisawa au mwanamke pia aombe taraka ? Nisaidie kujua mana hayo yapo pandezote
@khamisrubea508310 ай бұрын
Mwanamke anaweza kuomba talaka na sababu za kuomba talaka ndo izoizo za upande wa mwanamme