MaashaAllah MaashaAllah, hongereni team nzima ya Kishki tv kwa jitihada yenu ya ku elimisha dini! Nahisi haya maeneo pombe ina tumiwa kiasi maana watu wa wili tiyari hawaja eleweka na ni waislam! Subhanallah MwM atuhepushe na hali potovu
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
😁😁🙌 Admin huo 🤣 kichwa chake hakipo sawa 🤔🤣🤣🤣 Astaghfiru llah 😂😂
@hassnakhamis34893 ай бұрын
😂😂😂 dah bora nije kujifunza maan
@maryammdoe5801 Жыл бұрын
MashaAllah hata mm mwenyewe nilikua sijui, wallahi Allah awahifadhi
@safiyaabdalalah4713 Жыл бұрын
Mashaallah kishk tvkarbuni saana mkoa wa kagera
@bintmohamedmalevi8874 Жыл бұрын
Shukran kwa kipindi pendwa nafuatilia kutoka Bahrain 🇧🇭 🇰🇪
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Ukichelewa kuisali.hiyo siku ya Ijumaa ukiikosa jamaa kusali kwa pamoja.inakubidi usali rakaa nne sio mbili.
@latifah6601 Жыл бұрын
Waalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah 🥰 kipindi pendwa Kabisa Shukran sana 😘❤️❤️❤️❤️
@abdulswamadibrahim2361 Жыл бұрын
Hatari Sanaa SIJUI KISWAHILI ndo kigumu au ni Usilamu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hao majamaa wawili wa alhamis wanafaa kupelekwa kotini 😂😂😂