#Live: Uislam Unasema Nini Kuhusu Uchawa - Khutba ya Ijumaa Sheikh Nurdeen Kishk (Daai wa Kimataifa) Tarehe: 29 January 2025 Mahali: Masjid Ihsaan, Vetenari - Temeke)
Пікірлер: 38
@zainabudotto5 күн бұрын
Shukrani kwa maneno mazuri sana maana unatuelimish mengi sana nakupenda sheik kishk kwa ajili ya Allah maana unapenda kujishusha na haupend brand kama wengine
Hiz ndio khutba ummah unataka wallahi. Sheikh nurudeen allah akuhifadh. Umessay lingine now wanasema UKIFA HUOZI NA UKIOZA HUNIKI NA UKINUKA UNANUKIA MARASHI YA PEPONI DAH
@YousraSalimMohamad7 күн бұрын
Sheh kipenzi wetu pigilia nondo kisawasawa Allah kulinde na shari na akupe khery nyingi
@ZulfahMuhammad7 күн бұрын
MashaAllaah tabarakaAllaahu hizi ndio hutbah zinazo itajika kwa jaami yetu Sheikh wetu Allaah azidi kukuhifadhi daaimah kwa Neema zake
@MwanahawaaJuma-g7n7 күн бұрын
Shekh kishk Allah akulinde walwah tunakupenda kwa ajili ya Allah ❤😘
@noot-oe2mw7 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏 Shelkh ALLAH akupe maisha malefu na Pepo ya filidas inshallah ❤❤❤❤❤
@حليمهتوتو-ح6ت6 күн бұрын
Allah akuhefadhi sheikh wetu utupe nondo❤❤❤
@MwanahawaaJuma-g7n7 күн бұрын
Mzee mzima Ulimi,ya Allah tujaalie tuwe wenye kuzichunga ndimi zetu ya Rabby 🤲
@YusuphBombwe7 күн бұрын
Allah akuhifadhi akulinde na akupe umri mlefu wenye manufaa
@dullahchampion7 күн бұрын
sheikh kixhk unasema kwel allah akupe umri mrefu n weny hekma
@MwanahawaaJuma-g7n7 күн бұрын
Allahu Akbar 😢 na siku izi watu wanapenda kusifiwa Allah atuhifadhi 🤲
@salmanassor87324 күн бұрын
Mashalah ujumbe umefika shehe wetu
@halimamfaume19257 күн бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@abdillahmachemba55977 күн бұрын
Mashallah The Best speech yenye mafunzo kwa wanaozingatia
@NoraKedir6 күн бұрын
Mada nurin shehena manshaallah tabarakallah
@ibejoe77197 күн бұрын
ugumu wa maisha nao upo. sasa ni wakati muafaka waislamu kuna khutba na darasa za ujasirimali haswa kwa vijana wa wake na waume.
@RuhailaSultani5 күн бұрын
Maashaallha shekhe kishki nakupenda
@libandaonline53582 күн бұрын
Sasa ndio hotuba ya ijumaa hii kweli jamanii😢😢
@subbralssasubeerlssa71046 күн бұрын
Maanshaa lalh tabark lalh kheri
@AbuuJuma-fw3ik7 күн бұрын
Mashallh
@AzizaJuma-p7x6 күн бұрын
Allahu Akbar ❤❤❤
@pillyolsen83777 күн бұрын
Nakupenda mpaka mm naumwa kishiki
@SaraBashiru6 күн бұрын
Akas😂😂😂
@Zaitunmhand6 күн бұрын
In shaa Allah kheri
@NahimanaAssumani7 күн бұрын
Maashaa Allah
@RehemaKhamis-k8s7 күн бұрын
Hakika hua nafulahisana kufumua maovu nakutuongo za mema
@hamisisemagongo43436 күн бұрын
Sheikh kamaliiza
@abuuaidh65007 күн бұрын
Kama Masheikh wa Tanzania wengi walivyo kazi kuwasifia ujinga Viongozi
@FatimaSoufaingadziAli7 күн бұрын
Asalamuolayikuomuo
@MwanahawaaJuma-g7n7 күн бұрын
Mbona chawaaaa😂kunguni
@jokhasaid86663 күн бұрын
Na wanaotoa hela kwa hao machawa ndio wanawazidisha na imekuwa kama ajira mpya . Na watowaje waache ujinga
@RuhailaSultani7 күн бұрын
Maashaallha
@MwanahawaaJuma-g7n7 күн бұрын
Wenye visokolokwinyo😂 wapige nondo 😂tulia upigwe nondo wewee😂 🎉
@Zainab-f9w5x5 күн бұрын
Ma sha Allah
@jokhasaid86663 күн бұрын
Na wanaotoa hela kwa hao machawa ndio wanawazidisha na imekuwa kama ajira mpya . Na watowaje waache ujinga