Kipindi pendwa Na Sheikh Ismail Muhammad Allah akuhifadhi
@ismailmuhamed6983 жыл бұрын
ameen
@radhiaoman98283 жыл бұрын
Amiin
@mombamo53 жыл бұрын
Shekhee Wang Ismail kipind umekiweza Maashaallah, kiukwel nilijua kipind kitapoa baada ya alihabib masawe kutokuwepo tena😄🙏🙏
@adijarashidi14263 жыл бұрын
Subhana Allah inabidi tujihimize kuisoma diniyetu inama wapoambao awafaham hata ilesiku ya swaumu ya ashra Allah atuongoze sote atupe mwisho mwema in sha Allah yaarab 🤲🤲🤲
@siriyangu47243 жыл бұрын
Allah humma mamiin 🤲
@rajabrajab35603 жыл бұрын
ماشاءالله تبارك الله.... Kishki Tv mmetisha
@furahamossi31993 жыл бұрын
Mansha Allah sheikh tabarakallah shukran, Nabbii Mussa uyo ndie alie vuka bahari na watu wake,Allah awalipe kheir kishki Tv
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH sheikh #ismail na changamsha bongo yake MWENYEZI MUNGU atuzidishie Ilmu na atuongoze Ummah mzima Amiin ya Rabbil Allamin
@eshasalim54963 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@rayasaid19373 жыл бұрын
Allaahumma Aamin
@siriyangu47243 жыл бұрын
Amiin yarrab 🤲
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
@@eshasalim5496Amiin ya Rabbil Allamin habibty
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
@@rayasaid1937 Amiin ya Rabbil Allamin
@algakire3 жыл бұрын
Walaykum salaam warahmatullah wabarakatuhu lkn tuna miss Sheikh Masawe
@@sheikhabdillahmassawe5302 ila huwa unafurahisha!! Ila leo usikose Inshallaah!! KWANYE CHACHU KIDOGO HUCHACHUA NDOGE ZIMA!!?
@sheikhabdillahmassawe53023 жыл бұрын
@@imansaid8020 hahahaahahaaaa lnshaaAllah Bado tupo na Paulo Mzee wa kujipa Utume 🤣😂
@imansaid80203 жыл бұрын
@@sheikhabdillahmassawe5302 haswaaaaa 😁😁😁😁
@sheikhabdillahmassawe53023 жыл бұрын
MaashaaaAllah Tabaaraka Allah Kheri kubwa hii al-akhy lsmaeel
@fahadfahmy3 жыл бұрын
Assalaam alaikum warahmatullahi,Sheikh ingelipendeza sana kama kichwa cha habari kingesema Nabii gani aliepasua Bahari kwa fimbo halafu akapita nawatu wake
@jaz99743 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah .sheihk allah akulipe kila lenye gheir
@nimubonainnocent21832 жыл бұрын
Walaykum Salam warhamatullah wabarakatuh wallah Allah atusamehe na aturayisishiye na atujaliye mwisho mwema kabisa atusomi kabisa
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh habibty #ikhilasabubakar
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
@@zainabmaulidi9846 Alhamdulillah nashukuru mi mzima habibty hofu kwako
@adijarashidi14263 жыл бұрын
Waaleykum ssalam warahmatullahi wabarakatuh
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
Msiba huu 😭 watu wana majina mazuri ya kiislam na hawana wajualo hakika elimu inahitajika.
@fatomhalogandy40453 жыл бұрын
Walaikm salam warahmatulai wabarakatuh.
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah ❤❤❤
@muslihkhamis36122 жыл бұрын
Mashaallah njooni na temeke wailes
@a.8563 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@سعودةتنزانيا-غ6ف Жыл бұрын
Mashallah ❤❤kipindi kizuri kinatup manufaa
@agiasaidi52943 жыл бұрын
MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH
@cishahayoali11363 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة وبركاته يا الششيخنا محترم نور الدين كشك ، إسمي شيشاهيو علي قابلتك في مينيسوتا ، هل تذكرتني ؟ قرأت القرآن عليكم! جزاكم الله الجنة الفردوس الاعلى آمين!
@skjjsj18893 жыл бұрын
Ma sha allah Kafurahi na pengo linaonekana 😁😁😁
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH sheikh #ismail ataka ruka chomo na kanzu😆😆😆
@radhiaoman98283 жыл бұрын
Angeweka tu kanzu pembeni😅
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
@@radhiaoman9828 kuikunja tuu na kulianza 😂
@radhiaoman98283 жыл бұрын
@@زينببنتسعيد-د9ح 😅😅😅
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
@@radhiaoman9828 MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH yaani hapo mahali pameendana swali lenyewe kabisaa jibu mpaka mlangoni😂
@radhiaoman98283 жыл бұрын
@@زينببنتسعيد-د9ح kabisa Zed hata kama hujasoma umesikia mtaani
@richboy10413 жыл бұрын
Ningependa yawpo maswali km nini adhabu ya mtu asie swali ili jamii ata mke mwenywe pengn ikawa sababu ya kuongoka
@zeitunkassim93523 жыл бұрын
Waalkm salaam warahmatullah wabaraqatuh
@LeviTreutel-im4op3 жыл бұрын
Mashallah
@skjjsj18893 жыл бұрын
Sheikh ismaili allah akulipe na akuhifadhi
@salmanassor87323 жыл бұрын
Waislam tujitahidi kuisoma dini yetu tusirizike tu kuwa tumezaliwa katika uislam
@abdulragmababdulsalam51072 жыл бұрын
Mashaallah
@halimakalinga77643 жыл бұрын
MashaaAllah jazzak la kheri
@maryamkhalfan68172 жыл бұрын
😊😊😊. . 😊
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Waisilam km hawa ndio rahisi sana kuelekea kwa wachungaji na waganga. Allah atusaidie sote, amiin.
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Ndio wakiambiwa Yesu kafufua, kaponya vilema...wanababaika na kuamini kua Mungu. Kwa sabbu hawajui km kuna Mitume wengine nao Allah aliwajaalia kufanya miracles.
@MrsallyMsellem Жыл бұрын
A alaykum tunaomba muwaeke na wanawake kuwauliza wanawake wenzie
@shuaibalula9003 Жыл бұрын
Wala huchekwi
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah jazakallah kheir
@afric01 Жыл бұрын
Aslm alkm ww... Masha Allah 🌹
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@tahiyaally72543 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabarakallah Alhamdullilah
@muhammadkipangatv26743 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali
Subhanallah yaarabby tujaalie tuwe wenye kuisoma dini yetu
@mamymdogomamy36703 жыл бұрын
Aamin yarrab aamin
@khadijahali48373 жыл бұрын
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
@abdillahmuhammad27892 жыл бұрын
Duuh!!! Unaswali hujui unachokitamka Allahu akbar
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Leo nilisema watu wote watajichukulia pesa, kumbe!
@saay42733 жыл бұрын
MashaaAllah tabarakallah
@bakariomari87583 жыл бұрын
Waislam tusomeni
@khuiii90323 жыл бұрын
Msiba huuu
@fathimabh14872 жыл бұрын
Muje kenya jaman ndugu
@eshasalim54963 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH habibty #eshasalim
@abdalaauame38633 жыл бұрын
Mashalla ustaz
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR
@husnasalim96142 жыл бұрын
Innalillah wainaillah rajiun
@husnasalim96142 жыл бұрын
Na bii mossa Aly wasalam
@radhiaoman98283 жыл бұрын
Maashaallah
@sophianyangalio37963 жыл бұрын
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh
@duniautandawazi45623 жыл бұрын
Nabii musa
@fatomhalogandy40453 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah tabarakallah.
@khadijahamza56703 жыл бұрын
Masha'Allah
@asiakinia93443 жыл бұрын
Allah akbar😍😍
@saay42733 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
@fatmasoudkhalil57092 жыл бұрын
Nabii Musa alaihi salam
@hashimalahdal58553 жыл бұрын
mashaallah
@sirajuiliyasa20882 жыл бұрын
Ni Nabii MUSSA.
@ibnmafita75853 жыл бұрын
Ndugu zangu waislam tusiusahau uislam wetu hata kama tunasongwa na maisha,.... Huko ni pwani ulipoanza Uislam Hali ni hiyo, vipi huku bara itakuwajee???
@siriyangu47243 жыл бұрын
Walyeku mssalm warramathulai kweli uyo ni mtihani dungu tusome
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH kweli kabisa habibty #siriyangu
@aliyaahswaleh57053 жыл бұрын
Walahi mtiani mkubwa
@radhiaoman98283 жыл бұрын
Leo naona kishk Tv mnakata masafa
@saay42733 жыл бұрын
Yani kweli wanakata masafaaa
@radhiaoman98283 жыл бұрын
@@saay4273 hatari sheikh Ismail anatokomea ufukweni🚐⛵
@saay42733 жыл бұрын
@@radhiaoman9828 haogopi maji
@kilengammbaga79473 жыл бұрын
Asalaam alaikum ndugu hali ya uislamu kwa jamij ni mbaya Sana Nani wakulaumiwa,huu ni msiba mkubwa Sana.Jitahidini kuuliza maswali ya tawheed.
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Swali jepeeesi kuliko maswali yote duniani
@zainabrashid3853 жыл бұрын
Jamani tuisome dini yetu hii ni aibu
@hatujuanisalum93543 жыл бұрын
Ni Nabii MUSA
@khdigahk42463 жыл бұрын
Nabii Mussa
@ZainabZainab-ov2bk3 жыл бұрын
Mashallah
@salmanassor87323 жыл бұрын
Waislam tujitahidi kuisoma dini yetu tusirizike tu kuwa tumezaliwa katika uislam
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@bakariomari87583 жыл бұрын
Waislam tusomeni
@mozasaid38693 жыл бұрын
Mashaallah,
@bybytata74563 жыл бұрын
Waleikum musaalam warahmatullah wabarakatuh
@halimahussein53523 жыл бұрын
Maashaallah
@rokiroki18253 жыл бұрын
Nabii musa
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@bakariomari87583 жыл бұрын
Waislam tusomeni
@tatutza64653 жыл бұрын
Nabii musa
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.
@jimaxtrading95133 жыл бұрын
Suala ni kwamba zawad unatoa kwa mkono wa kushoto badilisha mkono tumia wa kulia, ukumbusho tuu.