Hukumu ya talaka tatu kwa mara moja.

  Рет қаралды 7,595

 Faidika na Mwanamke Muislamu

Faidika na Mwanamke Muislamu

Жыл бұрын

Пікірлер: 6
@AbJsm
@AbJsm Ай бұрын
Talaka Sio TAMKO - Talaka Haiwi Kwa TAMKO Sawa Ukitamtamkia Mara Moja au Mara Mia
@MohamefMullah
@MohamefMullah 5 ай бұрын
Talaka 3 za pamoja kuna medheikhe wengi na wanavyuoni wengi hawakubaliani nalo na katika wasiokubaliana na talaka 3 kuwa ni 3 ,mmoja wapo ni sheikhe Nurdeen kishki nae ana mchango mkubwa juu ya kadhia hii,kama masheikhe mulitakiwa mutowe ilimu kwa wana ndoa waache mchezo huu huu aliozungumza Saiydina Omar wa kuacha talaka 3 kwa pamoja na sio kwenda kinyume na sunna ya mtume maana talaka tatu zimeanza wakati wa saydina Omar Tufuate Quraan na sunna Talaka anazozitambua M,mungu ni Talaka 3 rejeea moja baada ya nyengine na ndio utazikuta ndani ya Quraan tuguate sunna
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 3 ай бұрын
Sheikh nurdeen kishki yeye sio mwanachuoni Bali yeye ni mlinganiaji na kama ipoo hiyoo kauli ulioisema wewe basi kauli hiyoo Haina nguvu ,Kwa sababu mtume s.a.w amesema mambo matatu ukweli wake huwa ni ukweli na uwongo wake hua ni ukweli akataka talaka ,ndoa na kumrejea mwanamke ,kwahiyoo unaposema umemuacha MKE talaka tatu basi hpo hakuna uwongo ndani yake mazali umetamka mwenyewe Kwa ulimi wako ,
@EricabrunaSousayaorrou
@EricabrunaSousayaorrou 2 ай бұрын
Yaorrou
HUKUMU YA UZINIFU KWA WANA NDOA
24:37
ABUU MANAAHIL
Рет қаралды 6 М.
MUISLAMU ANAHIMIZWA KUOMBA DUA KATIKA HALI HII.
11:07
Fauz Production
Рет қаралды 134 М.
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 81 МЛН
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 32 МЛН
JE TALAKA YA MESSAGE/KARATASI INASWIHII? /AINA ZA TALAKA
21:30
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 12 М.
Hukumu ya talaka tatu kwa mara moja Sehemu ya pili.
4:44
Faidika na Mwanamke Muislamu
Рет қаралды 884
MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA TALAKA KWA NJIA YA SIMU
13:01
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 13 М.
Hukumu ya swala kwa mwanamke alie tia dawa nywele zake.
5:25
Faidika na Mwanamke Muislamu
Рет қаралды 14 М.
Shekh Muhammad Idd - Awakosoa Mashekh juu ya Ibada ya Arafa
15:05
BABDEO MILADU
Рет қаралды 148 М.
FATWA|Mtu akitamka talaka tatu kwa mara moja jee zinahesabika ni tatu au moja?
4:40
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 336
NDOA BAADA TALAKA YA PILI
8:37
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 4,9 М.