Saut nzuri inayoendana na wenyewe hongera kaka mungu akuzidishie ubunifu🙏🙏🙏🙏🙏
@FrancisJosephathi16 күн бұрын
Unaweza sana mzee wangu toka kitambo nakufuatilia 🎉🎉
@EliasMakelemoАй бұрын
kazi nzuri sana hongera sana kaka bhudagala kalibu kasoli bariadi
@massanja221Ай бұрын
Imekuwa kama surprise legend is back again na Mbula kazi bomba sana
@hamidahilal9828Ай бұрын
Hongera kwa wimbo mzur kaka angu bye madaha mwanamalonja
@MrishoMajuto29 күн бұрын
Lya luma hangi bhagosha bha mpeni
@Lugiko-o2jАй бұрын
Bhudagala you made it congratulation brother Mbula is the best song I'm listening it from Mwamalize Simiyu One!
@Pastorymasanyiwa1998tzАй бұрын
Wew siku zote upo kwenye ubora zaidi hongera sana❤❤❤❤❤ my brother.
@Lufuta33.Ай бұрын
ongeza dakika ziwe zinafika ata 12 hizo hazitutoshi mashabiki!!!!
@benyvoice9415Ай бұрын
Wp wasukuma wenzangu tujuane kw like❤❤
@makandagregory597715 күн бұрын
Tupo
@MathiasDeus-y7kАй бұрын
Wimbo unaujumbe Sana, hongera sana father
@teacherkaligodottonjigeАй бұрын
Kazi nzuri brother bhudagala.....
@HassanWilson-f7qАй бұрын
Abhalemi dimane ❤
@JumamgemamatogoloMatogoloАй бұрын
Yeyote hatakiwi kujiita mfalme kama hajachanguliwa na watu sisi ndio ntunajua kazi anayo pingana mtu na ndio ntunasa huyu ni mfalme kwenye asli tuko na mfalme bhudagala toka mwaka fulani jamaa anasbua hadi leo kuna wengine wanakurpuka miaka 3 akishaonekana na kuanguka kimya wanabako kuchungulia kwa mbaaali budagala king 👑 of African asili sukuma
Wasukuma tuwasapotiii wasaniii wetu hasa kwenye platform ZAO mtandaoniii🙌🙌
@TozzyNyamaАй бұрын
Nakuku balisan kaka simutu wa maneno mengi ila vitedo vinaonekana🌹💐
@MathiasDeus-y7kАй бұрын
Hongera sana father wimbo unaujumbe sana
@DirectorJozeeАй бұрын
Kwa sasa nipo dodoma kk nimeipata pia hii🎉🎉🎉🎉
@LuqmanNyokaАй бұрын
Anko hapo umeachia jiwe la ukweli big up
@KataniPaul16 күн бұрын
Bhudagala kwakweli anae imba nyimbo za kufunza Jamii
@Hamis-w2lАй бұрын
Safi sana mwana mpotevu ila umekuja vizuli👍👍
@makambamussa5209Ай бұрын
Amepotea lini au humfatilii tu
@PaulCharles-ox9pgАй бұрын
Mzee wetu anachia mawe sisi ndo watoto wa usukumani kanda yaziwa tuko macho kwahii kazi hatulali saluti sana Mzee wetu budagala ushi sana Niko dar nakupata vyema sana napenda sana kusikia hizi mikito nakumbuka nyumbani kabisa 🙏🙏🏄😂
@majimotostudioАй бұрын
Nyanda Ong'wana Malunja 🎉🎉🎉 Uyu nhu mna nkololo dungamanyha majimoto doli na Felix
@nongajlumala-t5jАй бұрын
wasukuma tupo vizuli sana❤❤❤❤
@NeyPius-p5oАй бұрын
🎉🎉🎉Kazi nzuri sana VIDEO jitaidi uwahishe ❤❤❤❤❤❤
@chiefnyihocha1415Ай бұрын
Congole sana Bhudagala Mwanamalonja
@PascalLulangalilaАй бұрын
Duuuu hii Ngoma ni noma sana aise🔥🔥🔥🔥🔥Big up sana Broh
@jumapetro-h8lАй бұрын
Hongera kwa kutoa nyimbo zenye ujumbe endelea hivohivo tuko pamoja
@nongajlumala-t5jАй бұрын
kumekucha tena wasukuma gonga like hapo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@KulwaMahumbiАй бұрын
Hongerai kwako kaka mambo mazurii
@kalivideoproductionАй бұрын
Ogopa HIZi ni zawachache wewe❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@KadoKamaguАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ kazi imepikwa ikapikika saf sana kaka
@yusuphmatibula3819Ай бұрын
Safi sana kaka kunagoma moja inaitwa gomisi tuwekee hewani
@malifedhamachimu4882Ай бұрын
Unafanya kazi nzuri sana Komaa na vijana wako wa digital Mdogo wako majabala anafnya vzuri kwenye digital
❤❤❤ budagala the best musician tz sukuma gang 💪🏾🔥🔥
@rogetichuo4687Ай бұрын
Haka nika diamond ketu kawasukuma kana idea nyingi sana duh...!!
@danielstephano9723Ай бұрын
😂😂😂
@KubiluTabuАй бұрын
Kaz nzur nyanda obakambaa
@PhilipoJemsi12 күн бұрын
Mbula neyoi nkoi😂
@SausanMayungaАй бұрын
Piga kaz kwend mble msanii w wasani kw nymb za asili, Wimb una Ujumbe mzur
@IsackCostantine-rb8bcАй бұрын
Wasukumaaa tujidai na lugha yetuu
@YonaBangiliАй бұрын
Budagala, why are you a good teacher of singers in the Sukuma tradition?
@makandagregory597715 күн бұрын
Ww na kijana Ako kisima mnatufanya tuinjoy
@MussaNtungaАй бұрын
Kaka nukukubali sana
@KataniPaul16 күн бұрын
Bhudagala ni mfalume kwa nyimbo za asilia ukweli ndo huo
@kejamakoyeАй бұрын
budagala nakupenda pamoja nyimbo zako za ujumbe
@yusuphmisomado1058Ай бұрын
Ujumbe mzuri sana wabhagehu
@KapejiTzАй бұрын
Wakwanza Kusikiliza Hiii Kazi Ya Kaka Mkubwa 🎉🎉🎉🎉🎉
@AmosFelesh11 күн бұрын
Msaani Bora kuwahi kutoka katika tasnia ya nyimbo za asili hakika wasukuma tutakukumbuka enzi na enzi
@DmanSaberaАй бұрын
Baba kazi nzuri
@josephjohn5Ай бұрын
Msanii kaimba mbula akiwa na maana ya mziki wake ukilia ubongo wake huwa unafurahi
@KulwaLeonard-lf6boАй бұрын
Uko vzr kaka piga kazi
@Lugatayonalugatayona-tp4sfАй бұрын
kaka sawa iko vizuri kaz
@yosamyusuphАй бұрын
Tuache unafiki mwamba mi huwa nawaambia watu kuwa huyu namba moja kwa song za kisukuma sasa ni♨️♨️♨️♨️♨️
@andrewmishack3218 күн бұрын
Nikweli lakini kisima ni moto wa kuotea mbali
@MasanjaSamweli-b3rАй бұрын
Huyu ndiye king wa mziki wa asili anayebisha alaaniwe
@EvaAlphonce-n3m7 күн бұрын
Nakuelewa sana king
@MwinyijumaThomas-rp4szАй бұрын
Huyu Ndo Simba wa usukuman nyimbo za kisukuma wengine wafuate muite Mwamba Budagala.
@IsabellaYoweriАй бұрын
Kaona watoto wanauchezea mziki awafundishe
@mahonakunza6138Ай бұрын
King of sukuma songs Big up sana bhudagala
@RobartMaige-g6sАй бұрын
Shikolo shilambu 🎉
@JosephMasaswaАй бұрын
❤❤❤kaz nzur
@HAFIZIJUMA28 күн бұрын
Hongela kwako bulaza
@MASEBRAINTVАй бұрын
wewe mbasha wewe .kazi zako nazikubali sana ,kwa beat kali na vocal kali ,hasa kwenya hii nyimbo ya mbula bhudagala sauti yake imekaa nyema sana kuliko nyimbo zake zote,hongeleni sana ,by masebrain
@AbubakariJuma-wl3dbАй бұрын
itanyesha tu
@jersonlukinda9410Ай бұрын
Much appreciated my brother.
@NTEMI-OBURUDANIАй бұрын
Uhakika kaka yangu❤🎉
@teacherkaligodottonjigeАй бұрын
Good song brother bhudagala
@SIDEBOYTV2024Ай бұрын
Mmelala sio😂😂😂😂😂
@PauKija-q5kАй бұрын
Ujumbe mzuri 💪💪💪🫶
@sosomacharles9920Ай бұрын
Mwamba huyo karudi tena,wengine wapishe,ila Limbu kidogo asiwe mbali sana.
@JosephShattaАй бұрын
Hawakuwezi wasanii wote asir
@MusaMaige-q9bАй бұрын
2naomkubali bhudagala ❤
@sadicksamuel2005Ай бұрын
Legend, King au Leader
@JosephShattaАй бұрын
Nyimbo safi mipaka sasanimeamka
@EliasNjemuАй бұрын
Nyimbo ikovizu tulime
@EliasNjemuАй бұрын
Nyimbo ikovizu tulime
@japhethlyamba232Ай бұрын
KaZ nzur
@LeonardMatinde-t2jАй бұрын
Namkubal Sana bhudagala
@lameckfabiano6676Ай бұрын
Goshoka kaya lolo mbula ya gilima tojagi bhabehi kaya