Kwa kweli mungu awabariki nyarugusu fanyeni kazi mungu msirudi nyuma
@petershunda3827Ай бұрын
Barikiweni sana mnaendelea kutumika shambani mwa bwana Mungu azidishe upendo na amani,nawatakia sabato njema
@DoricasElias-q4k4 ай бұрын
Amen amen, nabarikiwa hasa ninapomwona rafiki yangu kipenziiiiiiiii hapyness lumuli wa nkololo anaimba nyarugusu hatimaye 🎶❤️
@geraldareba92225 ай бұрын
Viewer Number 1. I like your music. God bless you abundantly
@janetmbaheze44502 ай бұрын
To all KAPSEA and all KCSE students in Kenya at this very moment. Hongera sana Nyarugusu . Nawapenda na amungu awabariki sana.
@Mdanny-b7n3 күн бұрын
Ashukuliwe mungu anatosha vyote
@jailomhengilolo28985 ай бұрын
Amina barikiwa watumishi wa mfalme, Bwana azidi kuwatumia ahsante.
@RobertMpelwa3 ай бұрын
❤nabarikiwa Sana na nyimbo zenu ikipendezea siku moja tuwe dhehebu moja.Mungu awatangulieni nyote katika mipango yenu.
@devismusic1403 ай бұрын
karibuni SDA
@devismusic1403 ай бұрын
apa ni SDA
@MsigwaFesto2 ай бұрын
Karibu
@TheMorachasАй бұрын
@@devismusic140
@carolineomori10325 ай бұрын
Eeeeeeeeeh eeeeeeeh, amina amina my people . Uimbaji mumeweza sana. Mungu asifiwe kwa talanta alizowapa
@ndahibajoseph48933 ай бұрын
Hakika mwalim hunyamanza, tudumishe Imani kwake
@CharlesWanyeche-er6rw5 ай бұрын
Kwaya yang pendwa mnanifariji sana,, Mwenyezi Mungu awainue viwango vya juu zaidi.
@M_Machuka5 ай бұрын
This choir stands out in all EAC. Keep up the good work. Incredible counsel in the song of the “Woman at the Well”❤
@PriscaPeresi5 ай бұрын
Ameen nabarikiwa saana mwende mbali mpaka Dunia ishangae
@jacklineakama23765 ай бұрын
You're such a blessing to me, watching you from turkey Europe
@yohanachiristopher30875 ай бұрын
Hii tamu imeniingia barikiwa sana mwalimu enorck pamoja na waimbaji wote mungu awafikishe mbali hatimaye watu wa mungu wakombolewe ❤❤❤❤
@NashonLusana5 ай бұрын
Home land choir. Mmekuwa na mchango mkubwa sana kumtangaza Mungu na Nyarugusu kwa ujumla.
@nancymoraa9354 ай бұрын
This is beautiful ❤. Good work. Glory be to God. Stay blessed.
@DottoDSamwel3 ай бұрын
Natamani kuimba kwaya yenu maana mko vizuri sana
@meshackmomanyi20974 ай бұрын
You don't disappoint in your songs both in singing and composing: God bless your ministry
@Mathias-yi5bo4 ай бұрын
Mungu awabariki sana nyarugusu nawapenda sana ❤❤
@Happysilivester-t7t4 ай бұрын
Nabarikiwa nikiwa nchini oman mungu awazidishie
@blevinsmbeche42045 ай бұрын
Kazi nzuri.God bless you
@qssamoramachel9525 ай бұрын
These young people are such a blessing in my life. Following from Kabiria, Nairobi, Kenya.
@tabithaEzekiel-y1xАй бұрын
Bwana awe pamoja nanynimebarkiwa na wimb maana umenifajili sana wimb huo msonge mbele sana
@AbiaMwagila5 ай бұрын
nimebarikiwa sanaa na huu wimbo, mzidi kutumika shambani mwa BWANA
@emmanueltangale25875 ай бұрын
Mbarikiwe sana Nyarugusu hakika Mungu anawapenda sana na HAKIKISHENI Injili inasonga
@KimilaSayi4 ай бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu
@hildaaboki85525 ай бұрын
Amina 🙏 Kwaya niipendayo,mbarikiwe
@MarthaKija5 ай бұрын
Mungu awajaalie jaman nabarikiwa na uimbaji wenu jaman
@EzraNyauncho5 ай бұрын
AY Nyarugusu never disappoints🤗🔥 Here music is mined🎵🎵🎶
@malemiym39425 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki kwa kazi njema
@NeemaElias-n8j5 ай бұрын
Ameni ❤ kwa wimbo mzuri mungu awazidishie
@lutemahindiakaje50465 ай бұрын
Naomba Mfanikiwe Katika Mambo Yote
@assamaguchoironlinetv54075 ай бұрын
Amen
@MariamIsaya-d5o8 күн бұрын
Let God bless you and you reach far away especially heaven 🎉🎉❤❤ 4:02
@TheHealingFamily5 ай бұрын
Barkiwen sanaaa huu wimbo nlkuwa na utafuta sanaa tang mmeuimba pale WazoHill DSM kambin mwaka jana ulinigusa saaa❤❤🤗🥰🥰🥰
@VesperLynd-ev2pd4 ай бұрын
Glory to God for such an amazing piece
@musaemiliamwitumba57935 ай бұрын
I'm blessed with songs lesson 🙏🙏🔥🔥
@ZawadiGasana5 ай бұрын
Amen asante sana kwa wimbo nzuri.
@BoniphaceKaje5 ай бұрын
Bwana awabariki jamn kazi njeeema saaaana
@GodwinmBusagi3 ай бұрын
Mbarikiweeeee❤
@sirsimutv76745 ай бұрын
WATCHING FROM NYAMIKOMA BUSEGA SIMIYU, Tupo tunawafuatilia vizuri Vijana, Mungu awabariki sana. Salimia mwalimu Peter Suleiman (Hamisi)😂 By Simon Jonathan
@fredotuoma832819 күн бұрын
Barikiweni sana
@lameckmawuti97595 ай бұрын
Mungu azidi kuwatia moyo vijana❤❤❤❤
@wedsonkihiyo12115 ай бұрын
aminaaaaaaaa tupo kisimani hapa
@MARCOFURAHA12 күн бұрын
Good sanaaa nyarungusu
@EDRAXMusic-fp2vc5 ай бұрын
Mungu awabaliki sana jamani mfike bali
@EDRAXMusic-fp2vc5 ай бұрын
Mfike mbali jamani
@mugetamaiga5 ай бұрын
Wow 🔥🔥 mbarikiwe San
@peteredward71135 ай бұрын
Mbarikiwe mno ni wakati wa kujihusisha.
@rademaadema75955 ай бұрын
Asanteni kwa wimbo mtamu sana
@pascalngaya40505 ай бұрын
AMEN barikiwa sana
@SamwelEliasaph5 ай бұрын
Good performance.... And go a head!!!!!
@MussaTimotheo-rk4wk5 ай бұрын
Barikiwa sanaaaa
@SifaelMpagike-gt1gz5 ай бұрын
Barikiwa sana ujumbe mzuri
@ngwalusondo965 ай бұрын
Mungu azidi kuwatumia
@nyachangulajosephat17935 ай бұрын
Nimebarikiwa sana.
@chrisxander29285 ай бұрын
Amina kubwaaa🎉🎉🎉❤❤❤❤
@DoreeenMduvike4 ай бұрын
Aminaaa Barikiweni sana
@DoricusShabani4 ай бұрын
Amazing!
@GidioniSimon5 ай бұрын
Mungu awabariki
@fideliskivai26695 ай бұрын
Aminaaa! Glory to God Sabato Njema
@danieledward22945 ай бұрын
Mpo vzr wapendwa
@paulineonduro3555 ай бұрын
Amen God bless you
@AmaniJumanne-q9l4 ай бұрын
Sauti nzuri❤❤❤
@rozamere5 ай бұрын
Amen
@brightonjonas695 ай бұрын
Woow
@PendoJohn-q5n4 ай бұрын
Wimbo huu umetulia
@shelevisioninc5 ай бұрын
Kazi nzuri
@DeeOseko5 ай бұрын
Amina. Mbarikiwe
@GIDEONEMMANUEL-hb3ok3 ай бұрын
Be blessed 🎉
@elizabethmgaya46944 күн бұрын
kwaya niipendayo kuliko zote🩷
@Jacksbalampa5 ай бұрын
Ameni 🎉🎉🎉🎉
@user-kz9jy8ju3qAnnasamwel745 ай бұрын
Barikiweni sana kwa ujmbr mzr na mnajihusisha sana ktk huduma ya uimbajii