Kisinda, Sarpong wanogesha Siku ya Mwananchi, Yanga ikiipiga 2-0 Aigle Noir; Tazama Highlights

  Рет қаралды 1,229,670

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

YANGA 2-0 AIGLE NOIR: Usajili mpya umelipa: Wachezaji wawili Tuisila Kisinda na Michael Sarpong wameifungia Yanga magoli mawili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi.
Ni mchezo wa kirafiki ukiwa na lengo la kutambulisha wachezaji katika kilele cha wiki ya mwananchi, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Mkapa, Dar es Salaam. Tazama Highlights.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 384
@adrianodiasdossantos8050
@adrianodiasdossantos8050 4 жыл бұрын
Força Carlinhos, da o teu melhor mostra todo teu potencial para este público que te acolheu de braços abertos, justifica o teu contrato o resto é acrescentado por Deus. Desejo os 3S na tua carreira. "SUCESSO, SUCESSO e sucesso" 👊 estamos juntos
@tumsifusanga3232
@tumsifusanga3232 4 жыл бұрын
Yangaaa mpira tunajua 🙏🙏🙏🙏🙏
@deusmbalazi3552
@deusmbalazi3552 4 жыл бұрын
Nawapongeza sana yanga kwa ushindi naona mwaka huu ushindani utakuwepo yanga Safar hii watatusumbua sana tusipo kaa vizuri wanaweza tufunga timu yao nzuri mno ngoja tusubir ligi kuanza
@habilinhohezron3099
@habilinhohezron3099 4 жыл бұрын
Kama wew shabiki wa yanga gonga like twende saw
@johnbaraka379
@johnbaraka379 3 жыл бұрын
7lllllll
@johnbaraka379
@johnbaraka379 3 жыл бұрын
7lll7
@johnbaraka379
@johnbaraka379 3 жыл бұрын
7l77
@johnbaraka379
@johnbaraka379 3 жыл бұрын
7l7l7l7l7l7l7l7l
@johnbaraka379
@johnbaraka379 3 жыл бұрын
7lllll7lllllllllll77ll77lllll7lllll7lllll7l
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 4 жыл бұрын
Mpo vizuri YANGA AFRICAN. Upinzani PEMBENI. Mmedhihirisha kua nyinyi Ni wananchi wa kweli🙏🙏🙏🙏🙏 tunawasubiria ktk ligi
@regnoldjosephatsilaa5863
@regnoldjosephatsilaa5863 3 жыл бұрын
Hii yanga haipo tena tuna kwama wapi cc
@Sergio-om8tu
@Sergio-om8tu 4 жыл бұрын
Menino bonito, força Carlinhos 🇦🇴 🇦🇴 🇦🇴 🇦🇴 🇦🇴 🇦🇴 🇦🇴 🇦🇴 🇦🇴
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 2 жыл бұрын
TK master karibu yanga tena
@gracesikalion9486
@gracesikalion9486 4 жыл бұрын
hawakosi wenye roho mbaya hatamsemeje yanga iko juuuuuu naipenda sana timu yangu love sana
@zainaburaahidi9070
@zainaburaahidi9070 3 жыл бұрын
X4 set f ftgetTV ex Jew all
@zainaburaahidi9070
@zainaburaahidi9070 3 жыл бұрын
On Md CT
@zainaburaahidi9070
@zainaburaahidi9070 3 жыл бұрын
FYI
@zainaburaahidi9070
@zainaburaahidi9070 3 жыл бұрын
Ft
@kruverthmasanula9914
@kruverthmasanula9914 4 жыл бұрын
Wa kwanza ku comment like zangu jamani..... Ila yanga tunatisha yan leo full house ✌😂
@emanuelkiluwa4360
@emanuelkiluwa4360 4 жыл бұрын
Yanga ni nzr kipindi hiki watatukoma. Azam tv asanteni sn kwa kutuonyesha burudani.
@jacques_polite
@jacques_polite 4 жыл бұрын
Jamani naipenda yanga kutoka Australia
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 4 жыл бұрын
Imagine these are fans of one team incredible
@iddisillas4522
@iddisillas4522 4 жыл бұрын
So wonderful
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 4 жыл бұрын
about 60000 people the stadium capacity
@yazidmachele5822
@yazidmachele5822 4 жыл бұрын
Heshima imelejea I love you yanga
@debbymwaka4048
@debbymwaka4048 4 жыл бұрын
Nafatilia yanga kutoka DRCONGO 🇨🇩🇨🇩 tuisila kisinda tres bien denko nanga
@RwandaAtlas
@RwandaAtlas 4 жыл бұрын
Sarpong former striker of Rayon Sport (Rwanda),he was a nice striker
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 4 жыл бұрын
Even now he is a good nice stricker.
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 4 жыл бұрын
Kwa Yanga hii tukiacha ushabiki Timu ni nzuri hatarii😂😁😁😁😁💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥👊👊
@djswahilimovie3826
@djswahilimovie3826 4 жыл бұрын
yanga hii tamu sana mpk rahaaaaaa
@omaryomary1538
@omaryomary1538 4 жыл бұрын
Wape salam
@sumahtanzania4991
@sumahtanzania4991 3 жыл бұрын
Yanga oyeee raha sana ukiwa mwananchi💛💚💛💚💛💛
@paulshaban8933
@paulshaban8933 3 жыл бұрын
Yanga ndio mabingwa wa kimataifa lobbying work is not young🤢💚💯👨‍🏫💚💛🤑💚🤑🤮
@dannykatahunga5452
@dannykatahunga5452 4 жыл бұрын
Tk master nakukubali sana
@moseyusuph9712
@moseyusuph9712 4 жыл бұрын
T k master noma sana
@geraldisamweli5164
@geraldisamweli5164 4 жыл бұрын
T k masta hatali kama umeme
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 4 жыл бұрын
Shabiki wa simba damu hapa lkn Yanga Leo mmecheza vizur tatizo speed tu mchezo
@selemalucas5097
@selemalucas5097 4 жыл бұрын
Asante kwa kuliona hiloo
@olivermartin3747
@olivermartin3747 4 жыл бұрын
Naipenda sana yanga
@umildiamathew454
@umildiamathew454 2 жыл бұрын
good team
@geofreymheni2831
@geofreymheni2831 4 жыл бұрын
safi saaan yanga
@tumsifusanga3232
@tumsifusanga3232 4 жыл бұрын
San
@chakuboyofficial9720
@chakuboyofficial9720 4 жыл бұрын
Mwaka huuuu wapinzani wata jipanga sanaaaa 🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺 waliyo toka wata tamani kurudi to from Australia iyo
@youngstarmuhenga1721
@youngstarmuhenga1721 4 жыл бұрын
Yangaaaa freeeee🔥🔥🔥
@tumsifusanga3232
@tumsifusanga3232 4 жыл бұрын
San man
@samweljackson4563
@samweljackson4563 4 жыл бұрын
Makamba Burundi🇧🇮🇧🇮
@gittugulindwa2469
@gittugulindwa2469 4 жыл бұрын
Tk master
@emanuelymalley8602
@emanuelymalley8602 3 жыл бұрын
This is yangaa brother 💚💚💚💚
@ramahassan2338
@ramahassan2338 3 жыл бұрын
Lamar in at
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
Yaaan yanga km hiii ipo wapiiii😭😭😭😭
@nguzotv
@nguzotv 3 жыл бұрын
Yanga nakupenda Mungu nisaidie
@bernaldjohn7538
@bernaldjohn7538 3 жыл бұрын
Haaq
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 4 жыл бұрын
Niwapongeze Waliopiga Picha, Na Walioinguza Sauti. Salute Kwenu, Kwani Waliopiga Picha Siku Ya Watani Hawakuipatia Kama Ninyi.
@hildembilinyi7346
@hildembilinyi7346 4 жыл бұрын
Mtachonga sana safari hii tunakula sahani moja na hicho kikosi hakijakaa muda mrefu tusubiri wa kumi kutakuwaje maana wapo akina Morrison wa bongo Fei toto.
@lubuvahussein5556
@lubuvahussein5556 4 жыл бұрын
Tk Masta
@McKim6263
@McKim6263 4 жыл бұрын
Hatari sana
@louis-rolandkoffi3580
@louis-rolandkoffi3580 4 жыл бұрын
L'aventure continue!
@huseinmashimo858
@huseinmashimo858 4 жыл бұрын
Yes wananchi
@arifissa269
@arifissa269 4 жыл бұрын
Wananchii ndio ss tunajambo letu kesho
@stepsstudio187
@stepsstudio187 4 жыл бұрын
Aliyetengeneza hii clip ni fundi sana , anataka kutuaminisha kuwa Aigle Noir hawakugusa mpira. Nchi hii bhana!
@saidikasawale5138
@saidikasawale5138 3 жыл бұрын
Mavii wee
@stevekayumbo2138
@stevekayumbo2138 4 жыл бұрын
Yanga ndio timu yenye washabiki wengi tumeweza kuijaza taifa tofauti Simba chura
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
Uyu feysal_toto izi pasi zake atakuja kuwavunja viuno wezake😇
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 4 жыл бұрын
Kwel kabisa
@dadasim2749
@dadasim2749 4 жыл бұрын
Fundi Sana DOGO HUYU
@ceciliaassenga4015
@ceciliaassenga4015 4 жыл бұрын
@@dadasim2749 Alikuwa mchezaji bora ligi iliyoisha,.
@antidiustibaijuka1584
@antidiustibaijuka1584 4 жыл бұрын
Tk master pambana wanayanga tupate raha
@nancyjohn6723
@nancyjohn6723 3 жыл бұрын
Jamni hii yang ilienda wp
@andrewhongo1707
@andrewhongo1707 4 жыл бұрын
Duuh! Jezi mpya ni Kali kweli za mwaka huu yanga ni yamoto😂😂
@pilisadiki1972
@pilisadiki1972 4 жыл бұрын
Xanaa
@hidayashabani1088
@hidayashabani1088 4 жыл бұрын
Piga kelele kwa ynga ake weuweeeeeee
@silvestakadushi5750
@silvestakadushi5750 4 жыл бұрын
Nimependa
@shabaniiddykisamakishabani4730
@shabaniiddykisamakishabani4730 4 жыл бұрын
Hataaariiiiu
@omiomi8093
@omiomi8093 2 жыл бұрын
We have new young African now Michael sapoung is MAYELE.
@jennifernduka720
@jennifernduka720 4 жыл бұрын
Kweli kikosi kiko vizuri
@erineusmassawe6121
@erineusmassawe6121 4 жыл бұрын
Ila azam bn mnaonesha mbali sana mpira weken kamera karibu
@ramahmwislamu8456
@ramahmwislamu8456 4 жыл бұрын
Nice
@jumashaibu8084
@jumashaibu8084 4 жыл бұрын
Sawa
@nasplumbingservices2926
@nasplumbingservices2926 4 жыл бұрын
Yanga daima mbele nyuma mwiko
@annamarry2033
@annamarry2033 4 жыл бұрын
Huyu feisal ni hatari
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 4 жыл бұрын
Yanga wamepoteza nafasi nyingi sana,,,hizo goli 2 bdo sijaona Kama zimetosha kuna tumishinda,,,,,,,,, Ila hongera Tanzania hongera yanga
@sullehtz9327
@sullehtz9327 4 жыл бұрын
TkMaster🔥🔥🔥
@juniorchilongola2191
@juniorchilongola2191 4 жыл бұрын
TK master
@sassboy9360
@sassboy9360 4 жыл бұрын
Fei toto 🔥🔥🔥🔥🔥
@anastaziamorce3389
@anastaziamorce3389 4 жыл бұрын
Hiii yanga yamotooo
@tumsifusanga3232
@tumsifusanga3232 4 жыл бұрын
TK master wape salam
@stivenkisinda3219
@stivenkisinda3219 4 жыл бұрын
Kisinda kaonyesha maajabu yake
@kruverthmasanula9914
@kruverthmasanula9914 4 жыл бұрын
Full house dadeq 😂
@lucywilson5875
@lucywilson5875 4 жыл бұрын
Yanga wanatisha kama Ukoma!!!!!!!!!
@martinpaulo7799
@martinpaulo7799 4 жыл бұрын
Mbaraka mpenja unajua nakuamini sana
@salomejonson1713
@salomejonson1713 4 жыл бұрын
simba acheni roho mbaya mtu akijitaid msifien tu Mimi simba lakin watan wamejitaidi bwana
@alexjohn1189
@alexjohn1189 4 жыл бұрын
Upo vzr wew hakika unajua soka
@sumahtanzania4991
@sumahtanzania4991 4 жыл бұрын
Yanga oyeeeee
@pilisadiki1972
@pilisadiki1972 4 жыл бұрын
Oyeeeee
@leemabibaphotography8053
@leemabibaphotography8053 4 жыл бұрын
Hii ndo yanga tunayo itaji
@gunguliluzuba1316
@gunguliluzuba1316 4 жыл бұрын
yanga wamecheza katika hali ya ubora sana
@frankjacob8929
@frankjacob8929 4 жыл бұрын
Jamani jersey za Yanga sc Mungu anawaona madizaina😂😂😂😂
@mariagodwin7669
@mariagodwin7669 3 жыл бұрын
Hii ndio yanga tunayoijua bhuana
@boniphacerevocatus8721
@boniphacerevocatus8721 4 жыл бұрын
Hiviii vichwa xhv wanopga duniani wamefika wawili Christian Ronaldo..na SALPONG
@NSG_RECORDS
@NSG_RECORDS 4 жыл бұрын
The game is so slow try to get some friendlys with team that compete like APR FC,KCCA FC,RAYON SPORTS,GORMAHIA and others .coz there was a huge difference
@grandtzentertainment6251
@grandtzentertainment6251 4 жыл бұрын
other countries are still on lockdown, u cant get their team easly. eg was supposed to be against Rayon sports but their Gov banned sports for now.
@NSG_RECORDS
@NSG_RECORDS 4 жыл бұрын
@@grandtzentertainment6251 owk thanks for the information I didn't know that! Coz I had just wondered how those teams in Tz(Yanga&Simba) on their eventsday play against those teams. Thought that they do that for the case of just winning in front of their fans! Thanks tho bruv
@grandtzentertainment6251
@grandtzentertainment6251 4 жыл бұрын
@@NSG_RECORDS Simba was supposed to play with Al Haly of Egypty. Same as Yanga, but after restriction, they tried on East Africa, so only burundi was available by this time.
@johnkilaryo3943
@johnkilaryo3943 4 жыл бұрын
Sema kisindinyooooo
@arnoldkamala5287
@arnoldkamala5287 4 жыл бұрын
Wanacheza, lakini Simba is far more better team. Yanga will match-up. Uk.
@danfordflance3214
@danfordflance3214 4 жыл бұрын
Ngapi
@reveriengermaine2406
@reveriengermaine2406 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4HchItqYp6SpdU Dufatanye kuvuga ko Imana yera hamwe n'aba baririmbyi. Kumbuka kupiga*Subscribe na share*
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 4 жыл бұрын
Nimemuona Kariia Manara na Kamati ya ligi wakunya kwa woga huku wana lamba hovyo kwahofu ya kikosi kipya cha Yanga ijay
@Ndayaki
@Ndayaki 4 жыл бұрын
🛑Red card has saved Yanga
@pablozuu7446
@pablozuu7446 4 жыл бұрын
You is led our gent
@regiuskitosi7101
@regiuskitosi7101 4 жыл бұрын
yangaaaaaaaaaaaaahhhh
@keviantoni4585
@keviantoni4585 4 жыл бұрын
So powa
@regiuskitosi7101
@regiuskitosi7101 4 жыл бұрын
@Kikamba Steven pamoj sana
@hamadyhamisy8272
@hamadyhamisy8272 4 жыл бұрын
🙋🙋
@kelvinbeautus1335
@kelvinbeautus1335 4 жыл бұрын
Full house
@imaninjovu2624
@imaninjovu2624 4 жыл бұрын
Nasikia kuna mtu ameshinda jina la T.K MASTER
@kelvinbeautus1335
@kelvinbeautus1335 4 жыл бұрын
Wanga wemejua kikomesha full pat
@sniperboy7098
@sniperboy7098 4 жыл бұрын
Tk master yaan mpenja unasumbuwa watu
@jodsonmbezi838
@jodsonmbezi838 4 жыл бұрын
Full 🏠
@evameryemmanuel4020
@evameryemmanuel4020 4 жыл бұрын
yanga oye jikazeni mashabeki
@toseyabdullahabukar3605
@toseyabdullahabukar3605 3 жыл бұрын
Yanga
@johanesdeocles6337
@johanesdeocles6337 4 жыл бұрын
Msafal mamba kenge wapo
@kelvnjay1055
@kelvnjay1055 4 жыл бұрын
Young imenonga
@deniswaryoba73
@deniswaryoba73 2 жыл бұрын
🤞waionaiyo
@masoudkipara5053
@masoudkipara5053 4 жыл бұрын
Hi yanga ilikua pa1 itakua bora sana ila saiv kocha aclewe cfa anatakiwa aunganishe Tim .
@nancyjohn6723
@nancyjohn6723 3 жыл бұрын
Yan hii yanga sjui ilenda wp jamni
@bumbucha6441
@bumbucha6441 2 жыл бұрын
Tungeendelea na hii hatungechukua ubingwa forever
@musatbobius5472
@musatbobius5472 4 жыл бұрын
Kiukweli hapa furaa
@tabyhamisi7797
@tabyhamisi7797 4 жыл бұрын
Hahahahaha Raha sanaaaaa narudiA rudia hi Mara kumi
@patrickjuvenary5815
@patrickjuvenary5815 4 жыл бұрын
Kikosi Cha pili Cha hawa wananchi hakikuwa na positive impact pamoja na upande wa pili kuwa pungufu...mfyuuu
@okwonkopeter8034
@okwonkopeter8034 3 жыл бұрын
TK master inabidi achezeshwe namba kumi kama counter attacks
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
Yanga wanakikosi Cha ushindani, huu ndio mpira wa asili wa Yanga speed kwa malengo mwanzo mwisho, kwa speed hii hata Mnyama anakaa, Hii speed ya back to back wazee wote watakaa tu Hamna namna.
@johanesdeocles6337
@johanesdeocles6337 4 жыл бұрын
Kwa yanga hii mtanyooka tu
@venancemwarabu7168
@venancemwarabu7168 4 жыл бұрын
Mimi nina uhakika mwezi wa 10 ndo tutajua ni nani ana kikosi kibovu.... ni swala la muda tu
@pascalmsuyajr.7980
@pascalmsuyajr.7980 4 жыл бұрын
Hahahahhahah nice game vijana wameperfom usajili umetiki mikia fc mtaisoma yajayo yanafurahisha
@cosmaskomba2723
@cosmaskomba2723 4 жыл бұрын
Safari hii tumelamba dume, yan yanga hii ya leo weka mbali na watoto tena shake well before use
@highlife6779
@highlife6779 3 жыл бұрын
Au sio😆😆😆
@kusekwasita1576
@kusekwasita1576 4 жыл бұрын
Full House
@abdulkarimhamissi3755
@abdulkarimhamissi3755 4 жыл бұрын
Yani tuna uwezo wa kucheza mechi Tatu kwa siku mana ichi sio kikos ni hatar
@jumakassim8718
@jumakassim8718 4 жыл бұрын
Haswaa
@fanwelykanan2409
@fanwelykanan2409 4 жыл бұрын
Kbxa
@ceciliaassenga4015
@ceciliaassenga4015 4 жыл бұрын
Toka lini? Dunia itageuka
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 4 жыл бұрын
Hii timu iliyocheza na Yanga ni nzuri sana.Lakini Yanga imekuwa bora kuliko wao.Ukizingatia watu walisema hooo Yanga hawajakaa pamoja sasa kama hawajakaa pamoja moto uko hivi je wakimaliza mwezi pamoja??
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 12 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 46 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН
Mamelodi vs Yanga Lile goli ni letu by Sam People (Official Mp4)
2:49
Lamine Yamal will never forget Endrick's performance in this match
14:22
Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023
12:02
UTV Tanzania
Рет қаралды 1,8 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН