Ukidumu Na Adhkari Hizi Basi Maisha Yako Hayatakua na mashaka yeyote. #masjidmtorotv #Adhkar #Nyiradi
Пікірлер: 352
@kaltumaissak66313 жыл бұрын
Jazakalahu kheir Allah akupe jannahtul firdhows
@asiaissa9764 жыл бұрын
Lailaha illa anta subhanaka inniy kuntu minadhdhwalimiyn Shukran ya sheykh Jazakallahu khayra
@salimali79303 жыл бұрын
Shukran
@aliidrisahmad28122 жыл бұрын
Ali
@nasraiddy96784 жыл бұрын
Allah akupe nguvu na afya Sheikhe wetu wallah tunashukuru sana mnoo hujui tu jinsi gan unafusaidia kwenye maswala ya kujifunza katika dini yetu
@mamuubongisa69404 жыл бұрын
JazzakalahU khayra sheikh wetu allah akuzidishie kwa kutumbusha yalo mazuri inshallah🙏
@sistertrashid24884 жыл бұрын
Yaani mungu anakulipa mara nyingi sababu unatupa faida nyingi sababu ata kama mtu ajui kusoma surat furani lazima atajifunza mungu akulipe kwa hilo pia sababu unatupa faida nyingi tunajua na kusoma Quran sasa shukran kasillah
@mwanahawaiddi432 жыл бұрын
Maashaaallah shekh wetu Othman Michael Mwenyezi Mungu azidi kukuweka ili tuzidi kunufaika na elimu yako na akuongoze vyema wewe pamoja na familia yakooo na baraka telee🙏🙏
@AishaNshinzabandi-op1it8 ай бұрын
Shukran sheikh wetu Allah atufanyie wepesi tuwe wepesi wenye kufanya adhkara
@nushabdile36105 ай бұрын
Mashaalah ❤❤ nakupenda shke kwa ajili ya ilmi ya kutupa taufig shke osman alaah akupe maisha marefu inshaalah.wabilahi taufiq mashaalah alaah akulinde na hasan inshaalah.
@RakhmanHassan-ei3kn5 ай бұрын
Alhamndulillah shekhe Allah akuzidishie umri uendelee kutupa dawaa
@tumajunior60804 жыл бұрын
Ya Allah mlipe kheri duniani na akhera ustadh Othman Michael ameen ameen ameen
@wardaawadh49314 жыл бұрын
Yaa ALLAH mlipe kila la kheri duniani na akhera ustadh wetu othman Michael Allahumma Ameen yaa Rabb
@shubemponda54704 жыл бұрын
Aamin
@saumukileo98054 жыл бұрын
Ameen
@ZainabZainab-tv9ir4 жыл бұрын
Amiin
@aishahela17353 жыл бұрын
Shukran ustadh Allah akubariki kwa mawaidha
@buswairasuleiman11303 жыл бұрын
Mashaallah nakukubali sn sheikh Allah akulipe kl LA kheir fidunia wal akhera ishaallah
@aishavogelmann50214 жыл бұрын
Isha Allaha mola akupe umri mrefu kwa zawadi ulio tupatia na akujibu pia duwa zako , na akulipe wema wako🤲 Amiin.
@hamiduhenjewele53694 жыл бұрын
Mashallah Allah akupe mwisho mwema akupe uhai akupe hitaji la moyo wako na yapenda sana mawaidha yako Allah ka kujalia kipaji Allah atujalie nasi kizazi chetu
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Amiin yarabi
@hassanhamisimwaropia23144 жыл бұрын
Shukran al akhy,na in sha Allah Mungu akupe jaza njema
@mariamsaidi76254 жыл бұрын
Masha Allah mungu akulipe kheri kwa elimu unayo tupa insha allah
@mahanur44684 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah,Jazzaka Allahu kheyr cna budi na mm ni comment tu coz zlikua 199 na mm ya kwangu itakua ya 200 Inshallah Allah atufanyie wepec ktk kila zto kwa sote waislamu inshallah 🤲
@zulfaiddy76123 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuongoze
@karimkibwana79724 жыл бұрын
Othman maalim na othaman Michael wote kutoka tz.. Asante Allah kwa elimu uliyowapatia ..by shabaaz nour
@samiroman5756 ай бұрын
اللهم صل على سيدنا محمد وآله وصحبه وسلم
@sharifaabdullah68253 жыл бұрын
Alhamdulilah tunakushukuru shekhe wetu mungu akuzishie' kheri insha allah
@alishor60203 жыл бұрын
Shukran Sheikh wetu mpendwa Othman nakupenda kwa ajili ya Allah
Maashaallah tabaraqallah..shukran kwa Darsa sheik wetu..allah akuzidshie umri mrefu inshallah
@maida27104 жыл бұрын
Mashaallah shekh kwa elimu yako
@haythamsaidalmugheiry98124 жыл бұрын
Amiin
@mariamually95023 жыл бұрын
Masha Allah
@barutwanayohussein77764 жыл бұрын
Wa alaykum salaama wa Rahmatul Llahi wa barakatuh Sheikh Othman Michael kwa kudufundisha duwa nzuri tofauti tofauti. Wa jazaka LLAHUL khayra.
@safiasuliman51368 ай бұрын
Jazaka Allah kheri shekhe 😊
@inabikorwaneema88154 жыл бұрын
Mashaa Allah Tabaraka Rahman.Allah akupe umri mrefu wenye kheir na Baraka.
@fatmaabubakhar79943 жыл бұрын
Ameen
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah. ALLAH Akijaalie mema duniani na kesho Peponi Ameen
@ariesfire92304 жыл бұрын
Sub hanallah.... shukran kwa darsa . LAKO
@fatmarefai92094 жыл бұрын
MashaaAllah.shukran jazeelan sheikh darsa zuli sana.Allah barik fik
@mahanur44684 жыл бұрын
Mashallah shekhe wetu shukran sana kwa swadaqa yko kwetu hakika tumeipnda na itatufaa
@ayrahanifamuslim16294 жыл бұрын
Masha allah asant san mwalim wetu mungu akulipe
@khadijaadam15313 жыл бұрын
Mashaallah shukran Allah akulipe kheri tunakupenda pia kwa ajili ya Allah
@faizunmohd98394 жыл бұрын
Shukran jazakallah kheri.Niko Kenya napenda sana darsa zako
@faizaismail78274 жыл бұрын
Subhanallah mashallah udtadh
@yussuflucas70494 жыл бұрын
Baraka llah fii ahlika wamaalika jazaka llah feeq Allah akulipe kheri inshallah kwakutupa mafaida makubwamakubwa pia tuombeane du'a kwaajiri yake Allah..!!!
@sistertrashid24884 жыл бұрын
Mashaallah shukran mwenyezi mungu akulinde sheikh wetu wallahi unatugaia faida mungu akulipe kher twakuombea kher wallahi
@saeedsaeed73814 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Authuman kwa kutufunza hizi Adhkar.. shukran Sheikh wetu lnsha Allah mungu akubareek wewe na familia yako..Ma Salam
@dab88594 жыл бұрын
Amin Amin
@buswairasuleiman11303 жыл бұрын
Mashaallah Allah mlipe kl LA kheir sheikh Othman Michael na mzidishie umri mrefu wenye kher nae Ameen Ameen
@salimanasri39803 жыл бұрын
Shukran mwalim othman michael
@haythamsaidalmugheiry98124 жыл бұрын
MashaAlla Allah akubarw sheikh wetu
@mrfashion16874 жыл бұрын
Wandamu tuna matatizo sana ......sasa mtu kwa mfano ana dislike mawaidha kama haya anahitaji nini sasa katika dunia hii....hao ndio makafiri wenyewe la'anatullaahi alayhim...sheikh othmani michael allah akuweke tuzidi kustafiid na mawaidha yako baaarakallaahu fiykah
@dab88594 жыл бұрын
Amin
@alannahshariif91754 жыл бұрын
Mashaallah sheikh
@sirabahendakaima66114 жыл бұрын
Manshallah
@tatunjenje53654 жыл бұрын
Swadqata hao ni makafiri
@osamashakeeb71944 жыл бұрын
Shukraan sana shekh wetu tunakupenda kwa ajili ya Allah
@hadijangina70254 жыл бұрын
masha alhamdulilla jazak Allahhu keran
@ibrahimabdallah61593 жыл бұрын
Mashallah Shekhe kiukweli kupitia chanell yako wotee hapa na familiar yangu tunafanya ibada sana baada yakusikiliza mawaiza yako inshallah mungu akuzidishie
@khadijacimpaya42704 жыл бұрын
Mashallah skukran Allah akulipeni duniani na akhera.
@farouqsilvester99184 жыл бұрын
Shukran sheikh kwa mawaidha sheikh, Na kwa dua hizo sheikh ... inshalah kila la kheli sheikh allah akuzidishie sheikh inshalah.
@user-iz2oc4lq4j6 ай бұрын
A w w Allah akuhifadhi siku hizi mm nashukuru kuna duwa na adhkari nimejifunza kwako shukran Allah barik
@habibaramadhani-xv2ed4 ай бұрын
Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah ya Allah
@habibaramadhani-xv2ed4 ай бұрын
ITTAKI LWAHA HAITHU MAAKUNTA -MUOGOPE MWENYEZI MUNGU pOPOTE ULIPO . RAWAHU TRIMIDHIYU.
@noory69103 жыл бұрын
Shukrani shekhe letu mungu akulinde. Na kila shari naakupe umri mrefu ln. Shaallah
@adaliasalum25834 жыл бұрын
alhamdulillah jazakahllahu khayran sheikh othmani michael wallah nimefanya dhikri moja wapo hapo imenisaidia alhamdulillah
Wallahi nimeinua mikono yangu umesema kweli kabisa
@sistertrashid24884 жыл бұрын
Mashaallah alhamdulillah nimefanya zikir moja kati ya izo ulizotufundisha alhamdulillah leo nimepata majibu ALLAH AKBER mungu akulipe kher sheikh wangu nakupenda kwaajili ya ALLAH
@mwanaidiramadhan39194 жыл бұрын
Assalam alaykum naomba uniambie zikri gani hiyo mwenzetu ulosoma na kufanikiwa
@sistertrashid24884 жыл бұрын
@@mwanaidiramadhan3919 alaykum msalam warhamatullah wabarakatu LAA ILLAH ANTA SUBHAANAKA INNI KUNTU MINAZALIMINI nilisoma mara 110 habibti kisha nikamuomba ALLAH nilifanikiwa alhamdulillah
@kavorama9834 жыл бұрын
@@sistertrashid2488 mashaAllah
@mwanaidiramadhan39194 жыл бұрын
Ahsante Sana sister t rashid jazakallahul kheyr
@mariamyoyote81724 жыл бұрын
@@sistertrashid2488 asalam aleykum sister t yaan hiyo dua unaisoma pindi umemaliza kuswa swala yoyote eiza ya dhuhur , alasir magharib ishaa au alfajir na wakati huo ushamaliza kuswali na umeshasoma dhikir SUBHAN ALLAH , ALIHAMNDU LILLAH, na ALLAHU' AKBAR hapo unakuwa ushamaliza swara harafu unasoma hizo au waweza kuzitaja mahara popote pasafi nifahamishe
@halimarajab3897 Жыл бұрын
Mashaallah shukran sana shekhe wetu tume jifunza mengi sana ambayo hatukuwa tuna yajuwa Allah akuzidishie
@mozasaid38694 жыл бұрын
Shukran shekhe kwa ukumbusho
@yusufally68534 жыл бұрын
Mashallah wallah ALLAH gives you jannat Firdausi
@mariamali18874 жыл бұрын
MashaAllah Allah barik
@asmamohamed14224 жыл бұрын
Shukran sheikh
@halimaomari34154 жыл бұрын
Shukran shukran sana ustadh jazakallahu kheir namola akubarik kwa kutuelimisha kiasi kikubwa sana.waumiao niwengi umetuokoa sana
@shaadenshaduni77554 жыл бұрын
Mash'Allah ! Shukran
@aliidrisaxmad51693 жыл бұрын
Asalam alaikum
@aliidrisaxmad51693 жыл бұрын
52710094
@mwajumahaji37184 жыл бұрын
Shukran shekhe Allah akulipe kheir nyingi InSha'Allah
@chogomama72854 жыл бұрын
xxx
@mariamshabani25083 жыл бұрын
Ma sha Allah ,tunakuombea kheri,Allah akupe umri mrefu kwenye kheri na akulipe janatu Firdaus ksho akhera
@mariammuscat43003 жыл бұрын
Aallaah tupe mwisho mwwema yarab
@afandemsanzu36862 жыл бұрын
Allah akuongezee umri uzidi kutupatia ilmu
@bakarimakame68104 жыл бұрын
Maashallah jazak Allah khairy
@user-ni4ji5kp4e2 жыл бұрын
Masha allah jazakallahu kheey
@mohamedwabwireomar11562 жыл бұрын
Shukran jazakallah khairan
@aminamichael17064 жыл бұрын
Shukran
@kaltumaissak66313 жыл бұрын
Ustadh Allah akupe jannahtul firdhows
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
Jazak Allah khayran kwa faida muhimu Sana ❣ BAARAKA LLAHU LAKA FII AHLIKA WA MAALIKA
@shiddyspy55524 жыл бұрын
Naomba uniandikiye kwa taratibu hizi dhikir na wakati wake
@issakawaya83154 жыл бұрын
Jazak allah
@aliidrisaxmad8563 жыл бұрын
Assalam alykum 52710094
@aliidrisaxmad8563 жыл бұрын
Assalam alykum 52710094
@aliidrisaxmad8563 жыл бұрын
Assalam alykum 52710094
@malkiawa20434 жыл бұрын
Shukra sana sheikh Mola akubariki n atakabali kila dua unayoiomba pmj n familia yk in sha Allah🤲
@saumuruwa1361 Жыл бұрын
Shukran sana Shehe Othman Kwa da rasa Allah akuzidishe kheri na hekima
@awamiabbas2224 жыл бұрын
Mashaallah jazakkallah khairan
@cabdicali99084 жыл бұрын
Mashaallah
@sarakuchanda96054 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah shukran sheikh Othuman
@nusratharuna10094 жыл бұрын
Barraka llahu fiikum🙏🙏
@abuumaabadi71254 жыл бұрын
Allah akukubari duniani na kesho akhera shekh
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Amiin yarabi
@ghibbahally96274 жыл бұрын
Shukran jazakallah, Nakupenda kwa ajili ya allahh
@aminahamadi40174 жыл бұрын
shukran sn shekh wetu ALLAH akupe hifadhi
@othmanomar42194 жыл бұрын
Ma sha allah sheikh , Ahsante sana kwa kutupatia hazina ya dunia fil akhera, Allah S.W akupe umbri mrefu, wa afya nzuri na furaha, akupe jannah firdausi - AMIN DUA YA NABII MUSSA (A.S) : QUR-AN 28 Surah Al-Qasas Ayat 24 Rabbi inni lima anzalta ilayya min khairin faqir ("My Lord, Truly I am in need of whatever good You Bestow on me ") Mola wangu Mlezi! Hakika mimi ni mhitaji wa kheri utakayo niteremshia. DUA YA NABII AYYUB (A.S ): QUR -AN 21 Surah Al-Anbya AYA 83 Annii massaniya dhurru waanta arhamur Rahimiin or ( Rabbi innii massaniya dhurru waanta arhamur Rahimiin ) "Indeed, adversity has touched me, and you are the Most Merciful of the merciful." Mimi yamenipata madhara. Na Wewe ndiye unaye rehemu kuliko wote wanao rehemu. DUA YA NABII Zakariya ( A.S ) QUR-AN 21 Surah Al-Anbya AYA 89 rabbi la tatharnii fardan waanta khayrul warithiin "My Lord, do not leave me alone [with no heir], while you are the best of inheritors." Mola wangu Mlezi! Usiniache peke yangu, na Wewe ndiye Mbora wa wanao rithi. DUA YA NABII ADAM (A.S): QUR-AN 7 SURAH AL-A`RAF AYA 23 rabbana thalamna anfusana wain lam taghfir lana watarhamna lanakoonanna mina alkhasiriin "Our Lord, we have wronged ourselves, and if You do not forgive us and have mercy upon us, we will surely be among the losers." Mola wetu Mlezi! tumejidhulumu nafsi zetu, na kama hutusamehe na kuturehemu, hakika tutakuwa katika wenye kukhasirika.
@saadabulanga64404 жыл бұрын
asante kwa kuiandika dua hii kumsikiliza shehe inakuwa shida Allah akulipe inshaallah
@saadabulanga64404 жыл бұрын
asante kwa kuiandika dua hii kumsikiliza shehe inakuwa shida Allah akulipe inshaallah
@saadabulanga64404 жыл бұрын
othman omari shukrani kwakuandika dua hii kumsikiliza shehe kidogo inakazi kweli kuinasa,dua 4 mwisho kabisa nimeshindwa kuiandika.
@othmanomar42194 жыл бұрын
@@saadabulanga6440 DUA YA NABII AYYUB (A.S ): QUR -AN 21 Surah Al-Anbya AYA 83 Annii massaniya dhurru waanta arhamur Rahimiin or ( Rabbi innii massaniya dhurru waanta arhamur Rahimiin ) "Indeed, adversity has touched me, and you are the Most Merciful of the merciful." Mimi yamenipata madhara. Na Wewe ndiye unaye rehemu kuliko wote wanao rehemu. DUA YA NABII Zakariya ( A.S ) QUR-AN 21 Surah Al-Anbya AYA 89 rabbi la tatharnii fardan waanta khayrul warithiin "My Lord, do not leave me alone [with no heir], while you are the best of inheritors." Mola wangu Mlezi! Usiniache peke yangu, na Wewe ndiye Mbora wa wanao rithi. DUA YA NABII ADAM (A.S): QUR-AN 7 SURAH AL-A`RAF AYA 23 rabbana thalamna anfusana wain lam taghfir lana watarhamna lanakoonanna mina alkhasiriin "Our Lord, we have wronged ourselves, and if You do not forgive us and have mercy upon us, we will surely be among the losers." Mola wetu Mlezi! tumejidhulumu nafsi zetu, na kama hutusamehe na kuturehemu, hakika tutakuwa katika wenye kukhasirika.
@bintyj64964 жыл бұрын
shukran kk kwa kuziandika dua Izi inshaallah mola akujaalie kila la kher
@nkundaamina29754 жыл бұрын
JazakAllah kheir yaa sheikh
@salmasaidally31334 жыл бұрын
Masha Allah Allah Akuzidishi Elimu
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
@aishabunu1737 Жыл бұрын
MashaAllah shukran
@doyohuqa94674 жыл бұрын
MashaAllah...Hakika uislamu ni neema tupu
@a.8564 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@fridussiraj86933 жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifathi
@jamilamohammed27714 жыл бұрын
Ma sha Allah jazakallah kheir
@arjunpanditi54893 жыл бұрын
Da shekh wangu unaongea point sana Allah akupe nguvu utupe mafunzo zaidi
@jawhersalum8924 жыл бұрын
Allah akujaze kheri akuongoze kwenye elimu upate kutuelimisha tunashukuru tunaelimika sana
@fatmaameer53334 жыл бұрын
Mashallah shekhe ALLAH akuhifahi
@fatimaramadhan17454 жыл бұрын
Tunakupenda pia sheikh.baaraka llahu fika.wa jazakallahu khair
@bazilassey12274 жыл бұрын
Mashaa allah allah akulipe kila la heri mawaidha yako nikiyasikikiza nafsi hupata utulivu alhamdulillah
Assalam alykum...Shukran sana nakufatilia nikiwa Kenya napenda sana vile unaongea kwa utaratibu na makini sana MashaAllah unamshabihi Sheikh Othman Maalim kidogo namna unavyo ongea j azakumullahu khairan
@khamisathuman67224 жыл бұрын
Elmu kubwa Allah akuogoze kwa kila hatua na akujaalie mwisho mwema