JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 39
@user-ze2wh2we9y21 күн бұрын
Kurujuann ya magoma ilimpata manara
@NgamelaYussuph20 күн бұрын
Yanga Kubwa Sana Haji Anajisifia Yeye TU
@charleskuyeko440021 күн бұрын
Arudi nyumbani Msimbazi akawe Afisa habari. Lakini ajue Ahmed Aly yeye ni Meneja habari. Wote watafanyakazi sambamba wala haina shida.
@johnmwita937020 күн бұрын
Walimchukua Mara ili akawape Siri za Simba 2 Nasiri ameisha wapa anakazi tena
@davisbwatwa11520 күн бұрын
tusiharibu abaki huko yanga
@user-ju8zg7td2f17 күн бұрын
Abaki huko huko tu msaliti huyoooo
@swadahamningo194820 күн бұрын
Hivi nyie manara harudi simba mtamlipa nyinyi mshahara? Alivyo mtukana boss mo mmesahau
@allymwashambwa592020 күн бұрын
Kisugu the great professor of Simba sports club
@LetasKomba-br1xh21 күн бұрын
Yanga walimchukua haji kwasababu ya kuivuruga Simba tu yeye mwenyewe hakujua kama anatumiwa Ili kuisimamisha yanga nakwakua imeshasimama hawana hajanae Tena tunamhurumia ndg yetu nidharau hizo hiyo yanga nitimu ya vijana wahuni tu hao hawana busara
@charleskuyeko440021 күн бұрын
Kurujuani ya Magoma imeanza kufanyakazi.😂😂
@JosephMwaipopo-px4wi21 күн бұрын
Utasubili sana hiyo kurujuani,,,
@charlesjoseph108114 күн бұрын
Simba hatumtaki kizabinazabina domo kunuka mnara
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx21 күн бұрын
Kwanini ateseke, watuludishie haji wetuu
@YussufBuji2520 күн бұрын
Eti fastility acha ujinga
@AbubakarMjaja20 күн бұрын
Hbr zenu naomba na huooo kisung sio kwauby
@EliaMdachi-w4q12 күн бұрын
😮
@binbadru840821 күн бұрын
Njoo uturudushie waganga wetu furaha irudi simba tunakujua manara mzee wa nongwa
@MchungajiNzelani20 күн бұрын
Weeee acha kabisa
@emanuelyngailo680721 күн бұрын
Apo unazingua na iyo akademi ni ya ubaguzi mbona hamsemi
@AliDola-g7w17 күн бұрын
Ali Dola kutoka Kenya naungama na Kisugu time imefikia manara achane na kungangania kulihali cheo kimemtoka
@RaphaelRapha-vz2sh21 күн бұрын
Mbona hii itavy yenu inakuwaga haina sauti Kila nikiwafatilia kwenye chaneli yako
@RichardMgweno16 күн бұрын
Wewe simba lakini kwenye siasa nakupotezea huo uwanja ni Kodi zetu halafu hebu niambie uwanja wa Dodoma umeishia wapi
@user-wq5gb2pr6r20 күн бұрын
Kasoma alama za nyakati kesi ya magoma anaelekea kushinda
@user-zb2mj5nd5g21 күн бұрын
Huyu kisugu anawapeni kitu gani kila siku mnampa mic wakati anaongea utumbo tu kila mala
@BarakaIlomo-re9je20 күн бұрын
Madevu hivi haji nje na mdomo atafanya Kaz gan
@SeuriMollel-im5yw20 күн бұрын
Manara haiwezi simba atabàki yanga
@SalimRamsei-ok9el19 күн бұрын
Mmhm
@joachimkalungwana865421 күн бұрын
Msichanganye ushabiki na uchawa
@DavidSemu-gu6wp17 күн бұрын
Wewe una mtania manara!? Arudi nyumba kwao wapi? eti Simba baada ya matusi na kashfa alizo mwaga, aende zake kuna timu nyingi tu aende namungo.