Shukran Ustadh for the video. Nina ombi moja. Tulioko masafarini twaomba utupostie darsa wikendi pia tuskilize ramadhan. Noticed there was no upload over the weekend. Shukran.
@siriyangu47247 ай бұрын
Allah humma mamiin
@eternallyhappy46677 ай бұрын
Ustadh ulikuwa mgonjwa mbona hatukukuskia siku mbili. Mungu akupe afya uzidi kuendelea kutuneemesha
@SakinaSakinat-qd9rs7 ай бұрын
Hakua mgonjwa bali alikua amesafir kidogo
@siriyangu47247 ай бұрын
😂😂😂 sheikh kweli Ramadan hii yaenda jana ivyi leo nane