Рет қаралды 818
Pale neno mkojo, hasa wa binadamu linapotajwa, watu wengi husikia kinyaa. Hali ni tofauti katika wilaya ya Masisi mashariki mwa Kongo, ambako mkojo wa binadamu umekuwa biashara inyovuma, baada ya wajasiriamali kuanza kuutumia kama mbolea mashambani.