UPANDAJI WA MATANGO: HATUA ZOTE

  Рет қаралды 17,345

AGALUS  TV

AGALUS TV

3 жыл бұрын

Kilimo cha matango ni cha muda mfupi sana katika siku 45 utaanza kuvuna matango yako.
Hatua zifuatazo zitakusaidia ktk kulima matango yako
👉Maandalizi ya shamba
👉 Samadi
👉mbegu

Пікірлер: 68
@FurahaMsangi
@FurahaMsangi 28 күн бұрын
Vzuri mnapatikana wap
@AGALUSTV
@AGALUSTV 28 күн бұрын
Pamoja ndugu kwa matango tunalimia Dodoma
@mariamm2724
@mariamm2724 3 жыл бұрын
Kaka asnte kwa somo zuri , nimependa sana , bat nipo inje ya tz nikirudi lazima nikutafute , sijui uko mkoa gan
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏ukifika utanichek Ntakujuza mahali nitakapokuwepo kwa wakat uo
@FredyMkumba
@FredyMkumba 10 күн бұрын
Nakubali ulicho sema,unapatikana wapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 күн бұрын
Karibu Sana ndugu ktk kilimo
@MkutubyTheboy
@MkutubyTheboy 2 ай бұрын
Mche mmoja unaweza kuzaa matango mangapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Hutegemea na mbegu Video nzima ipo apa fuatilila fuatilila mbegu mbali na kuzaa kwake kzbin.info/www/bejne/g4WthaidnLV-etU
@conselamwageni8551
@conselamwageni8551 3 жыл бұрын
Mwanangu Mungu akubaliki nakuelewa sana bro
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Amina tupo pamoja
@PakTourReal
@PakTourReal 3 жыл бұрын
Big like from paktourreal
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Thnx
@jescangatunga8264
@jescangatunga8264 3 жыл бұрын
Asante kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Karibu sana ktk kilimo
@amorerose693
@amorerose693 3 жыл бұрын
Asante kwa somo rafiki👍
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu
@aminanurdin2216
@aminanurdin2216 Жыл бұрын
Jekwenye ufungaji wa mmea kwenye fito unakaza kamba auinafungwaje???
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Unalegeza ebu fuatilila video hii kzbin.info/www/bejne/eqvLfXlrmauofaM
@josephmabeyo2987
@josephmabeyo2987 3 жыл бұрын
Habari za leo, ninaomba kujua idadi ya mashina ya matango ktk hekari moja na uwezo wa kila shina kuzaa hasa kama nimemtumia mbegu aina ya hibride
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Nzuri ndugu. Katika heka moja ni Miche 5000 na kwa kila mche 1 uweza beba Matango 10 hadi 25 apo kama huduma itakua nzuri 🙏🙏🙏
@user-ls4xy4rz2v
@user-ls4xy4rz2v 6 ай бұрын
Matango yanafaa kilimwa kwenye kipindi cha mvua
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Yatakusumbua Sana kpindi iko maana huduma ni nyingi sana
@mwajumammbaga3256
@mwajumammbaga3256 Ай бұрын
Nauliza unaweka aina gani ya mbolea ya kisasa wakati wa kupanda
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Mbolea zipo nyingi ndugu utegemea na mazingira, kama vile NPK, DAP, MINJINGU, n'k
@gabigabrieliboniventula3462
@gabigabrieliboniventula3462 3 жыл бұрын
Daa Asante sana Mimi nimeotesha Kama chainizi jee inakuwaje hapo ninunuwe mbegu nyingine au,ushauli tafadhali
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Sorry kwa kuchelewa kujibu sms yako. Apo cha Kufanya subiri miche iote baada ya mwez 1 ivi kisha utaipeleka kupandikiza shamba ingawa Uwe makini sana kwenye ubebaji maana miche ni laini sana🙏🙏🙏🙏
@wazuachanel3928
@wazuachanel3928 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV kiongozi..nashukuru kwa video zako nzuri elimu nzur..zimekuwa faida kwangu...lkin nina ushauri..ili uboreshe...punguza kuongea maneno nengi yanayojirudia au yana maana moja..yanafany video unaiangalia kwa kuichoka
@YussuphYusuph
@YussuphYusuph 2 ай бұрын
Heka moja ya tango unavuna kiasi gani? Na mbegu kiasi gani inatosha kuotesha kwenye heka moja ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Fuatilila video hii apa Ina elekeza mchanganuo wote wa uwekezaji ktkt kilimo cha matango kzbin.info/www/bejne/g4WthaidnLV-etU
@user-sj2rh7gk5d
@user-sj2rh7gk5d 11 ай бұрын
Asante ila vp changamoto za soko
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Utegemea na eneo
@user-vz5gv3lo5f
@user-vz5gv3lo5f 5 ай бұрын
Matango unaweza ukarima kifuku,na soko rake rinapatikana wapi,na mbeguu nzuri zinapatikana wapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Ndyo unaweza. Mbegu ni kwenye MADUKA ya pembejeo
@kwilasajday7995
@kwilasajday7995 5 ай бұрын
Mbegu ya Ashley A inafaa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Sawa tu
@annahngururi6595
@annahngururi6595 Жыл бұрын
Mnafundisha vizuri lakini namba za cm hamjatoa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sawa ndugu tutaweka namba. Barikiwa pia
@abeliasajile2535
@abeliasajile2535 3 жыл бұрын
Naomba msaada tafadhali nimelima Matango lakini machungu shida iko wapi naomba msaada tafadhali
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pole kwa ilo bt uchungu wa matango Mara nyingi uwa ni upungufu wa maji au joto kuwa kali sana au baridi kali sana jitahidi ku mantain ayo
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 3 жыл бұрын
Yanalimwa mkoa gan haswa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Mazo ya bustani kwa sasa kila. Mkoa Tanzania 🇹🇿 hihi hulimwa ni Ubunifu tu na kuangalia majira ya eneo uliopo. Mfano waweza kumwagia bustani yako na mazao yakakubali. But matango kwa ufupi ni zao linalokubali sehemu yeyote Ndugu. 🙏🙏🙏
@merckjacksonjacksonsalah2082
@merckjacksonjacksonsalah2082 3 жыл бұрын
Boss asante kwa somo nzuri ila mm nimelima yalipo anza kutoa matunda yakaanza kunyauka matunda yote ukibahatika kupata kwenye mche m1 nituda moja au mawili ssa sijui ninn tatizo?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Vipi mbolea ya matunda uliweka kwa wakati? Vp kama. Uliweka unauhakika ilifanya kazi?
@ezratunusanga9738
@ezratunusanga9738 3 жыл бұрын
Mbolea ya kisasa uliyotumia n aina gan
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
DAP ndugu yangu
@lucyhermanmloka8211
@lucyhermanmloka8211 11 ай бұрын
Mbolea ya kuku inafaa kupandia
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Ndyo inafaa ila maji YAWE mengi ktk kumwagilia ili iyayuke
@shabanimikidadi7996
@shabanimikidadi7996 3 жыл бұрын
Habari yako kaka? Mimi naitwa shabani kisesa was kibaha. Naomba unifahamishe, je! Mbolea ya ng'ombe inafaa kwenye kilimo cha matango? Samahani kwausumbufu.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Inafaa ila iwe imevunda vizuri japo iwekwe kwenye shamba au mashimo angalau wiki 2 kabla ya kuweka mbegu itakisaidia kufanya kaz maana kama isipo vunda vizuri itachelewa kifanya kaz
@agneshenry732
@agneshenry732 2 жыл бұрын
Mbegu ya PV sio bora?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
APO VIZURI UKAWASILIANA NA MTAALAM WA KILIMO ALIYE KARIBU NAWE AKUELEKEZe kwa mazingira unayotaka Kulimia vp kwa iyo mbegu
@SahaniPaul-ub4dm
@SahaniPaul-ub4dm Жыл бұрын
Nimeipenda Sana huduma yenu atamani kujifunza zaidi ntawapataje?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Karibu Sana ndugu. Sisi tupo online muda wote km utakua na swali Endelea ku komment kama utakua na Zaid tutakutumia namba za cm
@annacredakavusha1521
@annacredakavusha1521 3 жыл бұрын
Naomba namba ya cm.hapo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
0765467484
@conselamwageni8551
@conselamwageni8551 3 жыл бұрын
Somo hilo ni lini tena?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Kuna masomo mengi tu kwenye hiyo channel agalus tv uwe una pita pita andika tu jina la channel u tube utachagua somo ulipendalo
@kassmmohamed2912
@kassmmohamed2912 3 жыл бұрын
Maji yana mwagiwa marangapi Kwa siku?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Hutegemea hali ya unyevunyevu ktk shamba lako. Bt kwa wastani ni Mara mbili kwa siku yaani asbh na jioni . kama unyevunyevu upo wa kutosha mwagia mara 1 tu. Ila iwe jioni
@gracebenjaminnapokeakatika9565
@gracebenjaminnapokeakatika9565 2 жыл бұрын
Mbolea gani mlio pandia?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
samadi na dapu
@johnmsalluka7530
@johnmsalluka7530 3 жыл бұрын
Jinsi ufungaji kamba ktk miti
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Nakutumia link apa mwisho mwa hii video utaona
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Hali apa chini👇👇👇👇👇👇👇👇.Apa kzbin.info/www/bejne/r3a5c2B8mdeigtk
@beatricedickson605
@beatricedickson605 2 жыл бұрын
Ukipanda mbegu mbili kunashida gan?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Utatoa baadae zikiota zote utaacha 1 iyo ni kwa taadhari endapo isipo ota
@lucyhermanmloka8211
@lucyhermanmloka8211 11 ай бұрын
Mbolea ya kuku inafaa kupandia
How to grow cucumbers to produce a lot of fruit in soil Bags at home
12:26
DIY Garden Ideas
Рет қаралды 36 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 29 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН
Upandaji wa miche ya mazao
31:02
ITV Tanzania
Рет қаралды 9 М.
KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI KIDOGO -KANUNI MUHIMU NA BAJETI (PART 2)
22:44
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 3,7 М.
MBINU YA KUPATA MATIKITI MAKUBWA
3:15
Nemi Tv
Рет қаралды 936
EXCLUSIVE NA NICOLE NAJISHUGULISHA NA KILIMO NALIMA SANA MATANGO
3:12
JINSI YA KUHUDUMIA MICHE YA MATANGO
5:37
AGALUS TV
Рет қаралды 8 М.
Why do potatoes grow in bags of soil have so many tubers? Here is the answer
10:16
KILIMO CHA MAHARAGE: UPANDAJI, MBOLEA NA UTUNZAJI
15:16
AGALUS TV
Рет қаралды 58 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 29 МЛН