Рет қаралды 9,577
Kauli ya Trump kwamba Marekani itauchukua Ukanda wa Gaza na kuunda "Pwani ya mapunziko Mashariki ya Kati" yakosolewa vikali.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.