Рет қаралды 3,798
-UN: Iran iliwanyonga watu 901 mwaka 2024
-John Mahama aapishwa kuiongoza Ghana
-Mazungumzo ya kutafuta usitishaji vita Gaza yaendelea Doha
-Putin amtumia salamu za pole mwenzake wa China Xi Jinping kufuatia tetemeko la ardhi Tibet
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Januari 07, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari