Nini kimepelekea anguko la Assad nchini Syria? Ni mtego ama ni baraka?

  Рет қаралды 9,176

DW Kiswahili

DW Kiswahili

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@roypeters9829
@roypeters9829 Ай бұрын
Lakini katika chambuzi hizi nyie dotchvalle..kuna hali flani ya udini..
@rindenimwanga6355
@rindenimwanga6355 Ай бұрын
Yote sawa,je asadi kaondolewa kwa maslahi ya wasiria?
@KhalifaMshana
@KhalifaMshana Ай бұрын
Iran ajiandae upo usemi usemao mwenzio akinyolewa tia maji Iran ni swala la mda Iran itachapwa na haitakuwa na utawala kwa mda mrefu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
👊✌️👍.
@shaabanmrisho-ko5fg
@shaabanmrisho-ko5fg Ай бұрын
Udikteta hapo ni natija ya mfumo wenyewe wa kibepar na democracy yake Mana assad alikua alitekeleza mfumo huo KHILAFA ndio mabadiliko ya kweli
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk Ай бұрын
Wangeimaliza tu Iran na ugaidi wote utakwisha watu waishi kwa amani Hawa wanakubali kutumiwa kirahisi Kama walivyodanganywa wakatumiwa kumuua Sadam hussein sasa wanajuta Wakakubali kumuua rais wao gadafi sasa wanajuta!!! Shida wanapenda magomvi Wanapenda kutumia nguvu badala ya akili na busara Hata hawa syiria watakuja kujuta kumkataa huyu rais wao
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Ай бұрын
Israel alianza mikakati ya kumdhoofisha Bashir El Assad kwa kuwashushia kichapo Hizbullah nchini Lebanon na Iran. Lakini adui mkubwa wa wasiria si Israel bali ni Russia.
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b Ай бұрын
Yoweri museveni kama al,asad na kagame wa rwanda wajiandae kuondoka madarakani kwa AIBU
@shaibhamdun5225
@shaibhamdun5225 Ай бұрын
Hii tabia ya udikteta ni tabia ya wasiria wenig hata walikuja hapa ulaya, rabda ni hindi walivokuzwa.
@SipembaGeorge
@SipembaGeorge Ай бұрын
Subili waone cha moto kama ribya
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Ай бұрын
Israel alianza mikakati ya kumdhoofisha Bashir El Assad kwa kuwashushia kichapo Hizbullah nchini Lebanon na Iran. Lakini adui mkubwa wa wasiria si Israel bali ni Russia.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
MAUMIVU YA MGONGO, CHANZO ,DALILI NA TIBA
19:17
MOI TV
Рет қаралды 33 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН