Kitale agombana na Ustadh.!!

  Рет қаралды 425,326

KitaleMkudeSimba

KitaleMkudeSimba

Күн бұрын

#IpoTv #Kitale #FundiBeka #StanBakora
Director - Emilian Kobelo

Пікірлер: 282
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 2 жыл бұрын
ACHENI MCHEZO NA QURAANI ALLAH ATAWAPA MTIHANI HAMTASAHAU MNACHEKESHA WATU KUHUSU QURAANI. SHEKENI ADABU ZENU .NAMUOMBA ALLAH AWAANGAMIZE WOTE WANAOCHEZEA KITABU CHAKE
@idisaidi287
@idisaidi287 2 жыл бұрын
Acha kuwalani bali waombeye dua kwa ALLAH awaongoze
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 2 жыл бұрын
Washitqkiwe
@vibesonvibes9189
@vibesonvibes9189 2 жыл бұрын
I'm a Tanzanian🇹🇿but to the honest, online support for the Tanzanians from Kenya🇰🇪 massively
@zidaneommie911
@zidaneommie911 2 жыл бұрын
Allah is the great, He is the creator of universe, He is beyond to human comprehension, Mungu ni mkubwa halinganishwi na na kiumbe chochote, tuyatamke maneno yake aliyotuteremshia kwa heshima na utulivu na si kuyafanyia mzaha, Wallah ogopa siku ambayo huyu uliemfanyia mzaha dunian ndie mfalme na Hakimu wa siku ngumu ya kuhesabiwa cku ya mateso.. May Allah grant us goodness and be among those have achieved your mercy on the day of judgement
@Jojonation7
@Jojonation7 2 жыл бұрын
Ostadhi usije ukatoa mimba yangu uwiiii mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohdzotv2676
@mohdzotv2676 2 жыл бұрын
Innah Lillah Wainnah Illah Rajjiun wallah sijapanda Hata kidgo kuona maeneo matakatifu ya Allah yanachezea kizemba kama hvyo
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 жыл бұрын
Maigizo
@allykazoa8324
@allykazoa8324 2 жыл бұрын
Tofautisha Uhalisia na Maigizo
@aboubakariramadhani1121
@aboubakariramadhani1121 Жыл бұрын
Ayo ni maigizo sio uwaĺisia
@ernesthenry9589
@ernesthenry9589 Жыл бұрын
Mungu anajipigania mwenyewe hahitaji msaada wa mwanadamu.. hayo maneno tu we usichokipenda kitu gani hapo?
@farajially3660
@farajially3660 2 жыл бұрын
Uwo ni mzaha na maneno ya Allah tena mnajifaharisha kwa watu muombeni Allah msamaha
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 2 жыл бұрын
Apo ww umekwazika nn
@elbarrey3305
@elbarrey3305 2 жыл бұрын
Msiyaaambatanishe maneno ya muumba ktk upumbavu wenu TAFADHALI 🙏🙏
@mkudesimbaoriginal2027
@mkudesimbaoriginal2027 2 жыл бұрын
Yani hadi Mm mwenyewe Nimecheka wallah 🤣🤣
@kadogorimwinyi1466
@kadogorimwinyi1466 2 жыл бұрын
Hahahahahaahah
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Mkude wa mchongo 😂😂
@atukuzwesanga4982
@atukuzwesanga4982 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙌🏼🙌🏼 jinga sana
@atukuzwesanga4982
@atukuzwesanga4982 2 жыл бұрын
Jina la move
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 жыл бұрын
Ila wewe nizaidi ya chizi😂😂😂
@youngweezy3846
@youngweezy3846 2 жыл бұрын
Daaah kitale kitale sasa cm kachukua saa ngap🙌🙌😁
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 жыл бұрын
Waislamu bana sasa wamechukia hata video za Comedy khaaaaaaaa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@mohammedmahamud9060
@mohammedmahamud9060 2 жыл бұрын
Msifanye mzaha na maneno Ya mwenyezi munguo
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 2 жыл бұрын
Innaa lillah wainnaa ilayhi raajiuun achen kufanya mzaha na quran kitale 😭😭
@kilimanjaro77international26
@kilimanjaro77international26 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 жыл бұрын
🚮🚮🚮 Mzaha gani sasa
@petercharles3787
@petercharles3787 2 жыл бұрын
Mmmh!! Unafiki upi ss
@youngweezy3846
@youngweezy3846 2 жыл бұрын
Ila kitale anajuaa bhanaaaaaaaa😁😁😁😁😂😂et afande
@jonathanmj9374
@jonathanmj9374 2 жыл бұрын
Kitale wee noma bro
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 maostadh wa mchongo 🤣🤣🤣🤣
@saurijafary3581
@saurijafary3581 2 жыл бұрын
Inalillah wainnailah raj hoon daaah 😭 bro japo mi ni shabiki ako umezingua sana Quran sio ya kuifanyia mazaa hivo tafadhali
@fatemazanzibar877
@fatemazanzibar877 2 жыл бұрын
Kitale unajua unajua tena
@saidomari001
@saidomari001 2 жыл бұрын
Masha Allah alhamdulillah
@RockCityTV
@RockCityTV 2 жыл бұрын
Nimependa jinsi mwamba alivyomaliza hii inatufundisha jambo moja kubwa sana kiukweli. Vipigo vya maisha havimaanishi kwamba hatuijui dini.
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 2 жыл бұрын
Khatarii hii eti ustadh kageuka afande..mbona mtihanii huu hahahahahaha
@saidmzee8792
@saidmzee8792 Жыл бұрын
Mazinge Mnazini
@ibraahph
@ibraahph 2 жыл бұрын
Umeuwa baba kitale tambatiada abilaha habiu watabba 😂😂😂
@sharomapesataiga246
@sharomapesataiga246 2 жыл бұрын
Buradha kitale na kukubali sana sana ile kindaki ndaki natamani miwe na mimi mchekeshaji mkubwa sana sana
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 жыл бұрын
Kwakuandika buradh kweli utatuchekesh
@khubeybjandal7435
@khubeybjandal7435 2 жыл бұрын
Ole wenu, istihzai kweny dini jahannam inawaongoja!
@NiyogushimaAudace-jk7nv
@NiyogushimaAudace-jk7nv Жыл бұрын
Nakukubali kinyama aiseee
@kombom335
@kombom335 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 msenge kabisa hili kitale
@khadjamhozya
@khadjamhozya 3 ай бұрын
Kitareee🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mussamadua1079
@mussamadua1079 2 жыл бұрын
😂😂😂kazi safi ilammekosea kitukimoja dua huainaandaliwa mazingira maalum yakusomewa siikilamahali nyiimmesomea mbele ya sinki lachooo kitale wemuislam qur'an inakanunizausomaji siihivyo ulivyofanya ingawa unatuburudisha nakutuelimisha ilachunga mipaka nakanuni kaka
@hemednassor2362
@hemednassor2362 2 жыл бұрын
STANLEY Swala haifungwi ivo inakua mkono wa kulia upo juu wa keshoto
@maalimshabanionlinetv7105
@maalimshabanionlinetv7105 2 жыл бұрын
Ombeni msamaha kwa allha mmezifanyia istizai Aya za allha
@abuumkota5505
@abuumkota5505 Жыл бұрын
daa nikweli kabisa
@eid2643
@eid2643 2 жыл бұрын
Na Dua ya waislamu hatajwi Baba mungu. Kuweni makini
@waziriathuman6179
@waziriathuman6179 2 жыл бұрын
Sasa wazeee mnaakoeleeekeaa siko mnachezea maneno matukufu mcheni mola wenu ujingaaa wenu usiwafanye mnachupa mipakaà ohooo
@mahfoudhjuma4833
@mahfoudhjuma4833 2 жыл бұрын
Innalillah nusra ya Allah ni ushindi
@salumhamisi6401
@salumhamisi6401 Жыл бұрын
Yaarabi wasamehe kwakuzitumia ayazako vibaya
@shadadiswalehe3997
@shadadiswalehe3997 2 жыл бұрын
Hawa wapumbafu wanachezea maneno ya ALLAAH
@KmHn-qq4gi
@KmHn-qq4gi Жыл бұрын
Pore sana kitare nimwizi
@MetrixJohn-cx5jb
@MetrixJohn-cx5jb Жыл бұрын
QUR -AN YA ALLAH HAICHEZEWI
@zubeirmuhammad3024
@zubeirmuhammad3024 2 жыл бұрын
Unamkuta huyu nae Kuna wakati anajinadi na kujifaharisha kua ni muislam Akisahau kua waislam wakweli hua na heshima na adabu na mambo ya muumba (mungu) ikiwemo maneno yake (Qur an) Waislam tubadilike kwan mpaka yafanyiwe mzaha mambo ya dini ndio watu watacheka? Tubadilike Mimi Wewe Yeye Wote kwa ujumla Tuache kufanya mambo ya ki Iman Sehemu ambapo hayastahili kuwepo Ahsante .
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 2 жыл бұрын
Subhallah mzaha ya Qur'an?😭😭😭
@SamirBSam
@SamirBSam 2 жыл бұрын
🤣🤣😂😂isotope mimba yangu
@moshiomarymnyeda8907
@moshiomarymnyeda8907 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ostazi kachimba 🤣🤣🤣🤣🤣
@joshuaeliakimumadehwa8593
@joshuaeliakimumadehwa8593 2 жыл бұрын
kariiiiiiiíi nakbar san blooooo
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Sio bloooo ni broo
@deegrotv3215
@deegrotv3215 2 жыл бұрын
Kitaleee Mtt wa Mjini hahahahhahahahahahja😭😭
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 2 жыл бұрын
Ashataghafirullah😂😂😂😂🙌
@mwamedypwemu6117
@mwamedypwemu6117 2 жыл бұрын
allahu akbar kwel leo maneno ya mungu leo yamekua comedy
@SAyosk98
@SAyosk98 2 жыл бұрын
Eti Bwana Afande🤣🤣
@tungozamswahilijk4656
@tungozamswahilijk4656 2 жыл бұрын
Ostaz usitoe mimba yangu
@princemeddy5514
@princemeddy5514 2 жыл бұрын
Aisee kitale katisha😀😀😀😀😀😀
@asdasd9253
@asdasd9253 2 жыл бұрын
Jamani tuweni makini namaneno ya Allah sioyakuchezea
@lazalonzo4607
@lazalonzo4607 2 жыл бұрын
Kitale noma wallahi 🤣🤣🤣🤣🤣
@jamalmohamed3400
@jamalmohamed3400 2 жыл бұрын
Hap.ndugu mumeanguka....hii sio sawa ...kuafnya mzaha na Quran sio sawa
@saeed694
@saeed694 2 жыл бұрын
Tusieke mzaha kwenye aya za quran Allah atusameh sote .
@SaraphinaSam-cw4gf
@SaraphinaSam-cw4gf Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kibititi hiki uku ostadh✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@adammgana3633
@adammgana3633 2 жыл бұрын
Igizo zuri lakin msiichezee qur an kwan ni kitab kitaka tifu kuna watu walitolewa main kwa sabab ya quran ,kuna wat walipoteza meno sababu ya quran mtume mwenyewe pia mfano mzuri sasa mm na wewe tunapokuwa twaichezea inakuwa siyo vizuri Kwenye maisha haya hakuna mkamilifu tutubie kwake kwa Allah maadam tupo hai atapokea toba zetu
@rashidomary5488
@rashidomary5488 2 жыл бұрын
Haifai kichezea Quran kama hivyo ni kosa kubwa kisheria Tubia kwa ALLAAH
@Cambarada
@Cambarada 2 жыл бұрын
Hiiiiii kasoma Tabatiada kweli😂😂😂
@biommy6700
@biommy6700 2 жыл бұрын
Pwahahaaa aaah kitale wewee, uniwachagi salama cku zote
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 Жыл бұрын
Mweu kweli kitalee
@jayvendee8295
@jayvendee8295 2 жыл бұрын
Shekhe leo kakutana nacho 😂😂😂
@Qadablah
@Qadablah 5 ай бұрын
Iptv Tanzania
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 2 жыл бұрын
Msihofu kutumia neno la Mungu kuwafundisha watu.Sisi Wakrìsto imetusaidia sana.Dont discourage these yòung comedians please 😭
@tungozamswahilijk4656
@tungozamswahilijk4656 2 жыл бұрын
Ndo ya kajala na majizo
@tixboymusiciantz
@tixboymusiciantz 2 жыл бұрын
Umekosea Sana
@joyzach8820
@joyzach8820 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 ostadhi usije ukatoa mimba yangu uwiiiii mbavu zangu
@coastermahenge8910
@coastermahenge8910 2 жыл бұрын
Kitale wewe nomaaaaaa
@jumantakebuka
@jumantakebuka 2 жыл бұрын
Allah atawalipa mnachostahiki
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 жыл бұрын
Unawaombea mabaya
@grandpatimi
@grandpatimi 2 жыл бұрын
Hayupo 😂😂😂😂
@mohammedmahamud9060
@mohammedmahamud9060 2 жыл бұрын
Maneno ya mwenyezi mungu hayachezewi jamani ombeni msamaha kwa aliyewaumba
@munamuna4840
@munamuna4840 2 жыл бұрын
Jamani kumbe kitale anajua kusona quran
@YasiniJama
@YasiniJama Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 daaaahh!
@NiyonkuruMussa-t5l
@NiyonkuruMussa-t5l 11 ай бұрын
Jamani acheni kuchezea Quran
@juliusgodfrey9820
@juliusgodfrey9820 2 жыл бұрын
Kitale kuna movies yako natfta siioni
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
duh umeuwa
@rehanijuma1421
@rehanijuma1421 2 жыл бұрын
Kitale kisha staafiru pia usirudie tena kutumia kuurani illa nimeipenda shoo yako noma unatisha ustazi kajikata fasta 😁👍pia kumbe muislam mzuri tuu dini unaijuwa sheh wangu leo mimecheka sana wewe noma broo
@MuhammadHamisi
@MuhammadHamisi 7 ай бұрын
wahuni wakubwa akili zenu mavi
@PauljazmenElMichel
@PauljazmenElMichel Жыл бұрын
Kk mkubwa kitale
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Shekhe kakutana na jini linalojuwa kisomo😂😂😂😂😂
@JRN2612
@JRN2612 2 жыл бұрын
Haifai kufanya mas'hara na Qur-an, na nyinyi mnajiita waislamu.
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Kitale Amiiiiiiiiina😂😂😂😂
@ideedunia3996
@ideedunia3996 2 жыл бұрын
Kitale kiboko nakukubali bro 😂😂😂😊😊😊
@neemairadukunda2113
@neemairadukunda2113 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu❤️🇧🇮🇧🇮❤️
@berrymshana4686
@berrymshana4686 2 жыл бұрын
Naaam😁😁😁😁😁😁
@abubakarmpawenayo2318
@abubakarmpawenayo2318 2 жыл бұрын
Mnayacezea maneno matakatifu wasenge nyie😏 Comedie imewashinda shikeni majembe mkalime wapuuzi wakubwa alaaaaa😏😏😏
@ndayisengaeddy2620
@ndayisengaeddy2620 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣kitale shida kbs
@imanurio485
@imanurio485 Жыл бұрын
😂😂kiboko
@allykazoa8324
@allykazoa8324 2 жыл бұрын
Awapo Wenyewe Wametoka 🤣🤣 Kitale Bhana.
@feli6manangu182
@feli6manangu182 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@idriskinye1190
@idriskinye1190 2 жыл бұрын
Kitare ayah hizo kumbuka hilo
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 2 жыл бұрын
Mlienda kwenye Dua😆😆😆😆
@raimundozacariasjonas7426
@raimundozacariasjonas7426 2 жыл бұрын
Eee😂😂Gwajima tennaaa
@uwezogroupcomedy1135
@uwezogroupcomedy1135 2 жыл бұрын
😄😁😁 hii kali
@SaraphinaSam-cw4gf
@SaraphinaSam-cw4gf Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏✌️✌️✌️
@BlackDevo-k1b
@BlackDevo-k1b 14 күн бұрын
❤❤❤
@TLANDA_BG_93
@TLANDA_BG_93 2 жыл бұрын
Aminaa😂
@luciafrank4406
@luciafrank4406 2 жыл бұрын
Hahaaaaaaa ostazi usitoe mimba yngu
@oliverjalah1662
@oliverjalah1662 2 жыл бұрын
Stan
@andrewfrancis6079
@andrewfrancis6079 2 жыл бұрын
Kudadek Broh Kitaluiii 😂😂😂😂😂
@magerechales9018
@magerechales9018 2 жыл бұрын
😂😂😂bhagosha kaji gashii
@mgeyahnyanga3574
@mgeyahnyanga3574 2 жыл бұрын
Kitali nakubali sana
@SAyosk98
@SAyosk98 2 жыл бұрын
Amina🤣🙏🙌
@jislinmbilizi111
@jislinmbilizi111 2 жыл бұрын
Hi
@rashidalmas3151
@rashidalmas3151 2 жыл бұрын
Vizur San kitareee
KITALE MKUDE SIMBA KUMBE PANYA ROAD.
7:12
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 281 М.
BAKORA FULL MOVIE
1:17:48
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 48 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Kitale Ft Mide Zo&Corner- Hili Dude (Official Video)
5:38
Mziiki
Рет қаралды 1 МЛН
KWA MWENYEKITI KUNA BILIANI
28:54
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 323 М.
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
23:51
Azam TV
Рет қаралды 5 МЛН
CHAWA
10:17
Joti TV
Рет қаралды 505 М.
AUNTY EZEKIEL NI MBWA TU - STAN BAKORA
4:12
Wasafi Media
Рет қаралды 115 М.
MVUVI NA MSOMI
7:21
Joti TV
Рет қаралды 1,6 МЛН
MJEDA"Movie Episode1 Starling Tinwhite  Mwelesi Silva Queen
16:21
WHITE FILMS
Рет қаралды 895 М.
Baba Mwenye Nyumba
19:06
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 101 М.
STAN BAKORA, KITALE MKUDE SIMBA, KOBELO CHA POMBE.
9:06
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 106 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН