KITU ALICHOFANYA RAIS MAGUFULI DARAJA LA MKAPA, APIGA PICHA NA WALINZI WAKE

  Рет қаралды 79,283

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@yanawezekana9429
@yanawezekana9429 Жыл бұрын
MTU ANAYEISHI BAADA YA KUFA
@mrbayuali6916
@mrbayuali6916 4 жыл бұрын
Niseme ukweli huyu Raisi wetu anapendeza Sana kwa watu wake wala tusidanganyane kabisa hivyo basi sote tuseme MUNGU MBARIKI RAISI WETU Magufuli UMPE AFYA njema
@yt-nu4tm
@yt-nu4tm 4 жыл бұрын
Kwa kweli inafurahisha kumwona na kumsikia.
@dhahajongo9049
@dhahajongo9049 4 жыл бұрын
itachukuw zaid ya miaka mia kumpta huyu mzee wte magu
@issangyabertha5741
@issangyabertha5741 4 жыл бұрын
Pole baba
@roi2554
@roi2554 4 жыл бұрын
sina hamu na rais mwingine tena Kwasababu magufuli tuu ananitosha hao wengine bra bra wanasiasa ah ah MUNGU IBARIKI TANZANIA,MBARIKI NA KIONGOZI WETU PENDWA JPM
@ActionUpdateworldwide
@ActionUpdateworldwide 24 күн бұрын
2024??
@maikopaulmaiko1900
@maikopaulmaiko1900 4 жыл бұрын
Mzee anajikaza2 lkn kaumia sana, pole baba
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 4 жыл бұрын
Kweli asee hasa naona anakumbuka wakati Akiwa Waziri. Wakajenga ili daraja.
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 4 жыл бұрын
@@jabarmalid5393 ila kweli I see... Nouma sana mwanangu. Ila Usiseme "ili daraja" sema "hili daraja"
@respiciusrogsev9
@respiciusrogsev9 4 жыл бұрын
TAZAMA MAKOMBE MAKUBWA YANAYOSHINDANIWA CHUO KIKUU (gusa link👇👇👇 kutazama) kzbin.info/www/bejne/pHzOlmVvhZuJlac
@simonnkane2563
@simonnkane2563 4 жыл бұрын
Magufuli ongoza mileleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee baba
@shadracksospeter536
@shadracksospeter536 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka Raisi wetu Magufulii😥😥😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@dhahajongo9049
@dhahajongo9049 4 жыл бұрын
itachukuwa zaid ya miaka mia kumpta raisi kma magu
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
MHESHIMIWA MAGUFULI CHAPA KAZI ILA MCHUNGE SANA MUSIBA ANAKUCHAFULIA JINA LAKO NCHINI NA KIMATAIFA. MATAMSHI YAKE HAYANA TIJA KWA KATIBA NA USTAWI UTAWALA WAKO. MROPOKAJI SANA.
@kibajetihassan6218
@kibajetihassan6218 4 жыл бұрын
Daa uyu raisi ndio anaifaidi Tanzania yake sio wengine ofisini tuuuuuuuuuii
@videozaaj1069
@videozaaj1069 4 жыл бұрын
Sure man
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Toka na wewe. 😁😁😁😁😁😁
@mbarouknassor9146
@mbarouknassor9146 4 жыл бұрын
Ila mzee me napenda da way unavyowachangamsha hata hao walinzi wako
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 жыл бұрын
Daah Mungu awe nawe Hayati Rais JPM katika makao ya milele mbinguni!!!
@yarimapoly6361
@yarimapoly6361 4 жыл бұрын
May God c to strengthen ad protect u DR john magufuli this is the kind of President we need in Africa not the looters, ur doing well sir keep it up
@marrymosha3618
@marrymosha3618 4 жыл бұрын
Kaumizwa sana yaan Hadi ajaamini ,imebid tu apige picha ila kiroho kinamuuma ,, Mungu akutie nguvu raisi wetu, sote tumeumia kwa kifo hiki
@ains1122
@ains1122 4 жыл бұрын
Very right, that's what I wanted to say, umentangulia kauli, imemuuma Sana magufuli kifo cha mwenzie
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 4 жыл бұрын
Hii ilikua kabla mkapa hajafariki
@jumannesaid4873
@jumannesaid4873 4 жыл бұрын
Pole my president bado huamini kilichotokea. Amini tu kua mzee mkapa atunae tena. ishi katika hilo kama ulivyotusii kuiishi covid 19
@zenj1986
@zenj1986 4 жыл бұрын
Rais wa watu. Rais makini. Rais mwenye hekima. Yaani kila nikiona Habari ya Mzee ni lazima niiangalie. Rais wangu. Mungu asante kwa Neema hii. Tuvanye tuwe waja wa kukushukuru daima.
@zozohmeed5546
@zozohmeed5546 4 жыл бұрын
Amen
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 4 жыл бұрын
Mr President is very simple man akijadili na wasaidizi wake. Mungu akuwekee udumu INSHALLAH tufaidike na HEKIMA zako
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 4 жыл бұрын
Yaani mpaka inapendeza..... Rais mpole yupo SOCIAL sana anazungumza na walinzi wake na ku-share ideas kama marafiki tu.... Marais wajao wajifunze mengi hapa..... Hizi ndio tabia za watanzania.... TO BE SOCIAL...... Nianaaamini hata hawa walinzi wake wana-enjoy sana with this man
@bundukitv1322
@bundukitv1322 4 жыл бұрын
Tunaendelea na simulizi yetu ya bwana aliyepitia mazingira ya kuwa TEJA (Mla unga)👇👇 kzbin.info/www/bejne/eGrUYn6uZstqiaM
@emmanuelntalima1717
@emmanuelntalima1717 Жыл бұрын
A living President 💓
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣HAPA KWA KWELI CCM OYEEEE... SAWA BAAABAAAA TUKOMESHEEE
@janeyoj8228
@janeyoj8228 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohamedidrisa4192
@mohamedidrisa4192 4 жыл бұрын
Ni kweli yani kaumia sana mueshimiwa
@lucymbonde440
@lucymbonde440 4 жыл бұрын
Hakika Rais umefanya jambo la maana sana kujionea mwenyewe hali ya kusini. Tunaimani na wewe
@felisterchimtunga7011
@felisterchimtunga7011 4 жыл бұрын
Tatizo la watani wangu wa kusini uchawi mwingi hadi viongozi wanakimbia🤣🤣🤣🤣 maana akija kiongozi mzuri mnataka kumjaribu na vibuyu vyenu maendeleo lazima yachelewe coz mtu akiondoka anakosa hamu ya kugeuka nyuma🤣🤣🤣🤣🤣 watani bhana
@michaelluhinda260
@michaelluhinda260 4 жыл бұрын
Samahani sana kwa usumbufu ila please nikuombe ki2 ila samahani sana sana huwenda ukapuuzia ila naomba unisaport ndugu yako nakuomba U subscribe You Tube channel yangu nakuomba 🙏🙏👇👇👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 kzbin.info/door/QMxKxHnhZi0Fr3Hr8X_sbw
@chrismassawe326
@chrismassawe326 4 жыл бұрын
Daa kweli mzee hiki kifo cha mzee mkapa kimekuumiza hakika
@jambo3751
@jambo3751 4 жыл бұрын
Amepiga picha nayeye!😄 Alitwambia wazaramu tutapiga picha za harusi kwenye flyover za ubungo😄 Na yeye sasa zamu yake kumtania mtani wetu na ni Rais wetu mpendwa Mungu ampe afya na nguvu ya kuliongoza taifa letu.
@brobabuu3973
@brobabuu3973 4 жыл бұрын
😂 😂 😂 Wazaramu hamuishiwi maneno. Safi lkn inapendeza
@jambo3751
@jambo3751 4 жыл бұрын
@@brobabuu3973 😄😄😄
@brobabuu3973
@brobabuu3973 4 жыл бұрын
@@jambo3751 mko vizur bwana
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 жыл бұрын
Asante kwa kutuwakilisha 😁😁😁😁
@brobabuu3973
@brobabuu3973 4 жыл бұрын
@@naimasaid7763 Natambua uwepo wenu sana
@hassanissa4792
@hassanissa4792 4 жыл бұрын
Mzee kaumia sana aise pole mzee
@moshicrusadeday3nivacom72
@moshicrusadeday3nivacom72 4 жыл бұрын
I want to meet Mr President
@sudymgeni701
@sudymgeni701 4 жыл бұрын
Unajua uyu bana anavituko mda mwengine ndo mana awamwelewi.duh ivi mkali au mpole mi sijui jamani
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Kweli aiseee hata atabiliki Rais Magufuli. 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@liliansamson674
@liliansamson674 4 жыл бұрын
Pole sana rais wetu kwa huu msiba, umepitia machungu kwa kweli
@kanukanute1514
@kanukanute1514 4 жыл бұрын
Mzee hyu mwanajeshi mbona apumziki hata siku moja
@neemasaidi5138
@neemasaidi5138 4 жыл бұрын
Vfr 1
@muhammadsaidi4872
@muhammadsaidi4872 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭MUNGU AKUPE SUBRA MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI POLE SANA UNAMOYO WA KIPEKEE MUNGU YUKO NA WEWE AMIN
@hassandalati2823
@hassandalati2823 4 жыл бұрын
Kwakweli ccm oyoo
@sophialaurent2876
@sophialaurent2876 4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu hapa dunian,rais wetu mpendwa
@omaryhamadi6659
@omaryhamadi6659 4 жыл бұрын
dah mungu ametushushiy mtu wapekeee n wamfano wakee tupo pamoj n yy magufuli mvuwaa juwaa
@robertnandapa2583
@robertnandapa2583 4 жыл бұрын
Robert
@godfreymatemu5334
@godfreymatemu5334 4 жыл бұрын
Inauma sana
@asifiwempagama27
@asifiwempagama27 4 жыл бұрын
Hiyo nzr mkuu
@freygodfurugutu9075
@freygodfurugutu9075 4 жыл бұрын
😄😄😄 CCM oyeeeeeee
@asheryngaiti5549
@asheryngaiti5549 4 жыл бұрын
Ila huyu mbaba hatari
@edwinmichael9360
@edwinmichael9360 4 жыл бұрын
Mkapa atakauwa kaumia San na huu msiba dah r.I.p mpka tutakukumbuka san
@keiphilemon6941
@keiphilemon6941 4 жыл бұрын
Magu huyo
@polycarpmicky4151
@polycarpmicky4151 4 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwaajili ya Rais wetu kwa kusikiliza wimbo huu kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo
@chumamihambo8060
@chumamihambo8060 4 жыл бұрын
Pamoja sana mkuu mwaka huu wataisoma
@jmnafaka9451
@jmnafaka9451 4 жыл бұрын
WHOZU NAE AFUNGUKA KUHUSU KUMFUMANIA TUNDA 💥🔥💥 LINK Hii hapa 👇👇 kzbin.info/www/bejne/o2qUZn2IqpmLedU
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 4 жыл бұрын
Daraja La Mita Mia Sita Eti Ccm Oyee
@geofreybahema5118
@geofreybahema5118 4 жыл бұрын
970 meter dogooo fatlia
@officialgivenjacksonngalla
@officialgivenjacksonngalla 4 жыл бұрын
Unateseka😂😂
@leonelleo4425
@leonelleo4425 4 жыл бұрын
@Samoo cooling system Mita mia sita ndio umbali uliopo kati ya nyumba yenu na GUEST HOUSE nayomtombea Mama yako.GUEST HOUSE oyeee
@rukayyamahmoud7038
@rukayyamahmoud7038 4 жыл бұрын
Ni moja kati ya madaraja kumi africa hlo sio kitu kidogo kenge wew
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
@@rukayyamahmoud7038 linashika nafasi ya tisa Afrika. Huyo punguani anilichikulia poa.
@aggymc1203
@aggymc1203 4 жыл бұрын
😄😄😋
@saumuhemed3878
@saumuhemed3878 4 жыл бұрын
Dah
@stephenpaul8679
@stephenpaul8679 4 жыл бұрын
Ndy maana umeshuka kuangalia daraja mzee mkapa
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe unajijisifia mwenywe bila ya kusifiwa huo ni upunguwani wa kiwango cha kileleni kamisa.
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Hongera Rais Magufuli kwa kazi nzuri. Haya nimesha msifia sasa sema lingine. Wafuasi wake tupo sema tumetulia tu.
@wakatigaudens3884
@wakatigaudens3884 4 жыл бұрын
We trust in God, we trust in you prezo Magufuli
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Tulishamsifia ya kutosha sasa akijisifu tatizo liko wapi? Naona unaumia sana na bado utaumia
@eliaelibariki2892
@eliaelibariki2892 4 жыл бұрын
ccm
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
TAZAMA RAIS MAGUFULI ALIVYOSIMAMA KUPANGA MSTARI NA KUPIGA KURA
11:47
KUMBUKUMBU YA MZEE MKAPA ALIVYOAPISHWA KUWA RAIS MWAKA 2000
40:29
MAGUFULI Alivyowaona LEMA, SUGU, MNYIKA, NYALANDU AKAWASALIMIA Mwanza...
6:14
Balaa!!! Ulinzi Wa Rais Magufuli Msiba Wa Ruge Mutahaba
3:44
KidaniStars
Рет қаралды 124 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН