KUMBUKUMBU YA MZEE MKAPA ALIVYOAPISHWA KUWA RAIS MWAKA 2000

  Рет қаралды 199,418

TBConline

TBConline

4 жыл бұрын

Пікірлер: 47
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Mungu wangu wa kweli na haki naomba uwapumzishi mahali pema peponi amina.
@jamesmussa2602
@jamesmussa2602 Жыл бұрын
Huyu ndiye aliyekuwa Mh.Benjamin W.Mkapa also known as Ben wa CCM. Mwenyezi Mungu umpe Pumziko la amani popote pale katika maisha yake mapya pamoja na ndugu zetu wengine. Amen
@JumaMtonga
@JumaMtonga 4 ай бұрын
Kumbe toka zamani ccm walikuwa wanafanya siasa safikabisa mungu azidi kukidumisha chama cha ccm
@brownmwakipesile7357
@brownmwakipesile7357 2 жыл бұрын
Shujaa, mahili, kiongozi Benjamin William Mkapa nitakukumbuka daima, upumzike kwa amani, Raha ya milele uumpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani amen🤲🙏.
@Kenyan_Duke
@Kenyan_Duke 5 ай бұрын
Daah!!Hata Rais wangu wa Kenya mwendazake Moi alihudhuria
@suleimanikirassahassan9711
@suleimanikirassahassan9711 5 ай бұрын
Kumbukumbu nzuri safi sana Tbc
@jamesk2212
@jamesk2212 5 ай бұрын
Namuona Mzee wetu Kenya Daniel moi
@saadibraahim8561
@saadibraahim8561 Жыл бұрын
Namuona mzee moi wote wapo wamekufa dunia ni mapito tufanye mema
@Kenyan_Duke
@Kenyan_Duke 5 ай бұрын
ila Mseveni ndo bado
@erickimathi6931
@erickimathi6931 5 ай бұрын
R.i.p Benjamin William mkapa
@ernestmpembela2885
@ernestmpembela2885 Жыл бұрын
Tuwaenzi kwa Mema yao namkumbuka alipambana na mfumko wa bei kwanza miaka kumi mfumko haukutisha
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Benjamin William Mkapa(Beni),dah!😭
@berachahvalleys
@berachahvalleys Жыл бұрын
Kumbe records mnazo. Haya tuwekeeni siku Mwl Nyerere anakabidhi Madaraka kwa Mzee Mwinyi
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 5 ай бұрын
Unaulizwa usenge
@donaphertv7229
@donaphertv7229 2 ай бұрын
Grandpa ❤❤❤ rst easy
@adamzuberi940
@adamzuberi940 Жыл бұрын
R i p mkapa kwa kutuvusha pare rufiji dah
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 2 жыл бұрын
See you on the next life Ben!!
@minaside6717
@minaside6717 4 жыл бұрын
Pumzika kwa aman mh Mkapa
@cletusmwanauta9798
@cletusmwanauta9798 Ай бұрын
Kumbukumbu nzuri
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 5 ай бұрын
Rest in peace
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Safi sana
@charlesbulayi4095
@charlesbulayi4095 Жыл бұрын
MKAPA alikuwa kiongozi shupavu sana
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Жыл бұрын
Mzee MKAPA ni Nembo kubwa ya Nchi yetu. Ameacha alama, Sijui wengine wataacha alama zipi.
@Nufaila442
@Nufaila442 Жыл бұрын
Mercedes Benz ☺☺
@thomasgogomoka6404
@thomasgogomoka6404 11 ай бұрын
Endelea kupumzika kwa amani Hayati Benjamini mkapa
@mussadaudi6215
@mussadaudi6215 9 ай бұрын
Hii nch walah nitawaenz marais watatu tu,,jk Nyerere,,mkapa na jp-maghufur ,,
@hmmarjabi4283
@hmmarjabi4283 8 ай бұрын
Kwa sababu ni makafiri wenzako
@severinpascal6514
@severinpascal6514 Жыл бұрын
😥😥😢
@Nyanda506
@Nyanda506 5 ай бұрын
Museven lipo tu mpaka leo na halina aibu😂😂😂
@erickdanielkasindi564
@erickdanielkasindi564 5 ай бұрын
ha😂
@abdulshaferi3053
@abdulshaferi3053 Жыл бұрын
Kifo hakina huruma
@johnmathenge3406
@johnmathenge3406 2 жыл бұрын
Pumzika mzee wa Afrika BWM.
@amanikudeli5297
@amanikudeli5297 2 жыл бұрын
R i p benja
@mudiomari3007
@mudiomari3007 Жыл бұрын
Ah tumetoka mbali
@davidocholla8520
@davidocholla8520 5 ай бұрын
❤😂😢😅😊🎉😮😂😊😂😂😊
@leonidaspaulo1526
@leonidaspaulo1526 5 ай бұрын
Mwanga WA milele umpe ewe bwana apumzike Kwa amani
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Жыл бұрын
Napenda sana adabu ya jeshi. Pumzika kwa amani Rais Ben Mkapa.
@brytonmnyama6562
@brytonmnyama6562 Жыл бұрын
Apumzike nyinyi kwel mikundu uyo sasa yupo motoni muwaji mkubwa uyo
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Жыл бұрын
@@brytonmnyama6562 Pole sana ndugu. Naona una hasira. Huenda ulipata matatizo wakati wa uongozi wake. Pole sana.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 5 ай бұрын
​@@brytonmnyama6562 alikufira nn
@user-oy5st7sf1i
@user-oy5st7sf1i 28 күн бұрын
Tumepoteza jembe
@bahatiisaimbega1149
@bahatiisaimbega1149 Жыл бұрын
wewe kakuwambia nan kuwa kapswa mwaka2000 usiwe unatuma tuma
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
Unayumba wewe. Term yake ya pili ilikuwa 2000. Unabisha nini?
@double8boy802
@double8boy802 Жыл бұрын
mhula wa pili n kweli
@burhanimahmoud8985
@burhanimahmoud8985 5 ай бұрын
This man is mwehu wallah sass term yake ya pili ni lini😂😂😂😂😂
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 28 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
FAHAMU HISTORIA YA MZEE MKAPA :KUZALIWA/UONGOZI/KUFARIKI
9:32
Raisi mstaafu Benjamini Mkapa alivyokinukisha Jangwani
8:19
SIMU. Tv
Рет қаралды 69 М.
SHEIKH KISHKI AWAJIBU WALIOPEWA PESA NA NABII MKUU
23:22
Kishki Online TV
Рет қаралды 182 М.
Rais Magufuli afurahi kukutana na Pacha wake Mafinga Mjini
3:47
Amanitz News
Рет қаралды 2,1 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 28 МЛН