Kituo Cha Ukombozi, Chatekeleza Maelekezo ya Mhe. Ndumbaro, Kukarabati Handaki la Ukombozi Kongwa.

  Рет қаралды 30

AfricanLiberation TV

AfricanLiberation TV

7 ай бұрын

Kituo Cha Ukombozi, Chatekeleza Maelekezo ya Mhe. Ndumbaro, Kukarabati Handaki la Ukombozi Kongwa
Kituo Cha Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, Kinaendelea na Utekelezaji wa Maelekezo ya Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo kuhusu Kukarabati haraka Handaki la Kihistoria lililotumiwa na Baba wa Taifa la Msumbiji Hayati Samora Machel kwa Lengo la kumuenzi na Kuhifadhi Historia hiyo.
Tayari Timu ya Wataalamu kutoka Maliasili na Utalii, Wilaya ya Kongwa na Kituo Cha Ukombozi wapo eneo Hilo wakihakikisha Ukarabati huo unazingatia kanuni za uhifadhi wa Malikale na majengo ya Kihistoria.
Urithi wa Ukombozi Fahari ya Afrika

Пікірлер
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,4 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
MAUMIVU KWA WAZANZIBAR
9:24
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 25 М.
LIVE: Rajya Sabha Budget Session
5:59:30
ThePrint
Рет қаралды 3,3 М.
Tunu Adhimu ya Historia ya Afrika ipo Hapa
4:43
AfricanLiberation TV
Рет қаралды 113
KUMBUKIZI YA MIAKA 24 YA MWL J K NYERERE NA SENSA
19:53
Nbs Tanzania
Рет қаралды 895