Рет қаралды 653
Kutana na Kijana Tumaini Frank Mfinanga mwenye umri wa miaka 25 ambapo mwaka 2018 alihukumiwa miaka 60 kwa makosa mawili ya kubaka na kumpa ujazito mwanafunzi .
Mahakama imeona hana hatia baada ya ya kijana huyo kukata rufaa baada ya ushahidi ulioletwa na pande zote mbili.
(Imeandaliwa na Onike Masayanyika)