JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@Mpakauseme Жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu , msamehe huyo msichana na endelea na plan zako za maisha
@nackymrutu1869 Жыл бұрын
Huyu kijana😭😭,da!mamake alihangaika saana ila mpaka amekufa dunia,dunia,dunia,x3 Mungu awalipe wote waliiwaumiza familia hii,da,babaake Mungu akupe nguvu,kiatu chako kigumu akivyaliki kwa mtu mwingine,
@petercostakisoka Жыл бұрын
Hongerani sana global tv mumechangia sana kuachiwa uyo jamaa
@MickeEdward Жыл бұрын
Daaaah hii kitu almanusra inikute mwaka huu mungu atuepushe na watoto waongo
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Glory to God 🙏🙏
@ismailnahato657 Жыл бұрын
Pole mdogo wangu Mungu mwema kila jema kwako litapata muafaka Wasamehe waliokukosea sana.
@buharimwanga284 Жыл бұрын
Dah mungu ni mwema dogo karibu kwenye familia ya mama ako mwanga tupo pamoja.
@mayramayra7945 Жыл бұрын
Kijana wawatu mtanashati jamani alikua anapotelea jela bila hatia 😢😢 Asante mungu
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Kusaini bila kujuwa 😢😢 mm waniuwe tu we tulibishana na mwarabu sikusaini wee
@dayana5513story Жыл бұрын
Kuna jambo nyuma ya hii 2 family's but mungu ajalala hongera umetoka pambana jitafutie siku yatawarudia
@azizamvungi1871 Жыл бұрын
Wewe baba wewe kwanini kumfanyia mtoto wa mwenzako hiyo?Mungu atakulaani wewe mzee sanga wewe mchaga unaroho mbaya sana..Mungu mlaani huyu baba nimeumia sana..mdogo wangu rudi shule na Mungu atakuinuwa
@DeborahMrema Жыл бұрын
Mm najiuliza sana kama mtu kapewa mimba na ni mwanafunzi kwa nini anafungwa moja tu wanatakiwa wafungwe wote ili na hao watoto wa kike watulie maana na wao hawasikii
@shanifesto9037 Жыл бұрын
Pole sana,,wapo wengi sana waliofungwa Kwa kutokuwa na hatia ila mungu hachelewi Wala hawahi kutenda muujiza dahh ila inasikitisha sana
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Mungu ndye mwenye haki kijana kashukulu Mungu kwa kutoa sadaka
@karimukalema4613 Жыл бұрын
Inauma sana hii 😮😮
@almachiusndibalema7764 Жыл бұрын
Hapo somo kubwa askari inabid watambue kuwa Kuna maisha baada ya uaskar
@saitawilson7307 Жыл бұрын
Pole Sana tumaini .. hapa cha kujifunza chonde chonde epuka kusaini bila kusoma unachosainishwaa😭😭
@seneu.2128 Жыл бұрын
Ukikataa kusign wanakupa mateso mpaka ukubali watu wengi sana wameishia gerezani na ulemavu wa kudumu kutoka chumba cha mahojiano ya polisi.
@mayramayra7945 Жыл бұрын
@@seneu.2128😢😢
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Pole mdogo wangu hakika mungu ni mwema ametenda
@fahadbabuy Жыл бұрын
Im bursting into tears😭😭
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Jaman jela wapo wengi waliofungwa bila ya hatia yaani Mungu atahukumu kesho dah
@dayana5513story Жыл бұрын
Tena wengi
@margarethshirima5654 Жыл бұрын
Bwana Yesu, nguruma, usiponguruma haya yataendelea
@bensonjohn9633 Жыл бұрын
Hyo Askari Mpelelezi alitakiwa akamatwe Mara Moja. Semi Hii Nchi bado sana. Wizara ya Mambo ya Ndani inajidhalilisha kwa hili,Jeshi la Polisi pia linajidhalilisha
@saitawilson7307 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭 duuuuuuu inaumizaaa
@hopesumary Жыл бұрын
Daaah pole sana kaka
@Bikhafija Жыл бұрын
Pole sana
@shadyambarukumunguatamfany6291 Жыл бұрын
Pole sana baba mungu mungu yupamoja nawe
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Dunia haina Amani 😭😭😭😭
@marykmbogo7589 Жыл бұрын
Mzee huyo aombe Rehema Kwa Mungu pamoja na aliokula nao njama, la sivyo vizazi vyao watalia mbele ya safari
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Poleni saana kwakweli so naikumbuka hii taarifa
@mdta8161 Жыл бұрын
Huyo maria na wazazi wake walitaka kumkatisha ndoto mtoto wa watu, ila Asikari wetu acheni rushwa muwe na huruma
@sophiayBakali Жыл бұрын
Pole sn mungu yupo na ww
@ashuuabdu1638 Жыл бұрын
Amina mapenzi n hisia na km hazipo ata utembee uchi mbele yake utajichosha
@nakilingwembele9504 Жыл бұрын
Jesus Jesus thank you for this guy❤❤❤❤❤
@leticiakomba6695 Жыл бұрын
Msaidie kupata haki yake please globo
@bintiwayesu2226 Жыл бұрын
Amina Yesu hashindwi na chochote
@jemsamtz8411 Жыл бұрын
This is bless this is magic we thank god welcome our home boy
@dppd4219 Жыл бұрын
😢😢 lengo ni kumkatisha ndoto zake mtt wawatu, muachieni MUNGU atawalipia akuna ubaya usirudi
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Allah awalipe kheri inshallah
@dorahmushi-we6ts Жыл бұрын
Jamani vijana kuna kitu cha kujifunza hapa...mzazi ni mzazi,nani kama nzazi. Mungu awabariki wazazi wote wenye mapenzi kwa watoto wao🙏🙏 huyu baba wa kijana,amempanbania sana kijana wake
@dottohami Жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu😭
@johnsulle4679 Жыл бұрын
Baada ya hapo uyu mwanamke alomsingizia mwenzake mlifanyaje maana kesi kama hii iliwahi kunikuta mpk leo nmepoteza ndoto zangu zote kwa kusingiziwa tu
@Eliza84833 Жыл бұрын
Polesana
@rispermbwambo7804 Жыл бұрын
dah pole sanaaa
@boazambokile2587 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢 tunaonewa sana police changamoto
@pendondulilo7871 Жыл бұрын
Daah inasikitisha sana Pole sana ila Mungu wetu alali wala asinzii
@eladiuspeter586 Жыл бұрын
Hapo nimeelewa. Kuyamaliza kinyumbani. Mda wote wa mahusiano
@welcometoeat165 Жыл бұрын
Kuna watu wana roho mbaya sana loh ! Ila mungu mkubwa
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii😢
@edgarelikana7204 Жыл бұрын
Hii Dunia Acha Tu Nilikuwa nayasikia tu lkn hata mm niliyaona mahakamani aisee yan hakuna Haki 😢😢😢😢
@farajasallah2338 Жыл бұрын
Umaskini mbaya sana, pata picha kuna wanyonge wangapi gerezani
@violetmunuo5053 Жыл бұрын
so sad k😢kwakwelifungua Kes ya madai ulipwe Na huyo Baba kukaa jela miaka 5bila kosa
@antonynhungo8641 Жыл бұрын
Hongera kijana dunia ndiyo hii
@IsraelKisaila Жыл бұрын
Jamani na majirani wote wamekusanyika wanaupendo sana,Mungu awabariki
@dppd4219 Жыл бұрын
Inauma sana usikute mamaake kafa kwa msongo wa mawazo
@IsraelKisaila Жыл бұрын
LAZIMA,HUSICHEZE kabisa mama na mtoto wake WA kiume,wanatupenda sana mama ZETU,kuliko hata baba,huyo mama msongo WA mawazo
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Aisee M/MUNGU mwema pambana na maisha
@nancyg8664 Жыл бұрын
Nimeikumbuka hii jaman Mungu ni mwema katoka
@lusekelokamola3699 Жыл бұрын
Pole ndugu ya dunia ni mengi
@نجمةموبيبي Жыл бұрын
Pole sana kijana
@stevenhassan269 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Ni kwa uweza wa mwenyez mungu tu
@sophiekindem9071 Жыл бұрын
Inasikitisha sana 😢 Pole sana. I hope serikali itamsaidia huyu kijana kimaisha! Sad!
@elishajoshua4892 Жыл бұрын
Asee 😣😖
@mdta8161 Жыл бұрын
Serikali na viongozi wetu mrudisheni shule kijana wa watu atimize malengo yake
@SesyVisent-et4sq Жыл бұрын
Mungu asante kwa yote
@samludo5435 Жыл бұрын
Iv Tz mtu akpotezewa mda iv jera bila hatia hawez kudai fdia???
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Ingepigwa faini kubwa hio familia ikakoma na wengine wapate funzo
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Kweli bongo bado huonevu bado upo mtu wakukumiwa miaka 60 Aiwezekani kusikilizwa chemba cort 🙆♂️🇹🇿
@samludo5435 Жыл бұрын
Ndomana unambiwa ukiskia mtu kafanya jambo la kustajabsha usijngze kushabkia kumuuwa kumdhuru wala kumchukia mtu uyo kabla hujathbsha ukweli utakuja mwaga damu isyo na hatia na kwa Mungu hutasamehewa
@shufaaabdulatif3086 Жыл бұрын
Hii ndio Tanzania nchi yangu mimi
@elishajoshua4892 Жыл бұрын
Asee 😣😖 Natamani hao askari wangejulilkana, wachukuliwe hatua. Halafu unamkamataje mtu bila kujieleza wewe ni nani? Yani askari hao hawana ufahamu wa kazi yao, huko ni kujenga uoga kwa wananchi wanaotakiwa kulindwa nao.
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Leo kijana yupo uraiani yaani hapa nawaza vipi kuhusu wazazi wa yule binti wanaiangaliaje hii familia ya huyu kijana pamoja na majirani wote ila hata hii serikali yetu kwa kukurupuka ndio wenyewe.
@olivernyange2349 Жыл бұрын
Naamini waliohuskika na hili serikali imesikia tunasubiri majibu kama serikali maana mnatuambia serikali yetu lnaongozwa kwa sheria na haki.
@kdloon2030 Жыл бұрын
Yaani kwa mimi,kwa kua nimetoka jela na hali ya kua nimefungwa kwa kusingiziwa.Lazma niwauwe mmoja wapo,eidha baba wa huyo binti au huyo jirani kimbelembele,lazma niwafyeke na panga,ili nikafungwe sasa kwa kua nimefanya kosa wallah.Hayo ni maamuzi yangu.
@PascalinaMushi-je9jn Жыл бұрын
Tabia ya askari.kukmata watu bila kufuata taratibu tutakuja kuuwana. Wanaviherehere sana.
@majaliwawilson9372 Жыл бұрын
Kwaalifa hii inaonesha vyombo vyetu haviwez kutafuta ushahid wakutosha pak inatokea mahaka inahukum mmtu wakat kumbe ni masingizio selikal niyakwaza kuwajibika kumpa mtu kosa asilo nalo pil wazaz wamtoto walio mlazimisha mtoto wao kisema uongo afya ya saikolojia yahuyu kijana hawajuwi wameihalibu paka Sasa
@margarethshirima5654 Жыл бұрын
Hii ni laana kwa hao wazazi. Siwaombei mabaya ila Mungu ni wa haki. Sio vyema, ila angalau ingekuwa ni watoto walisingiziana wao kwa wao. Ila wazazi kumshawishi mtoto, hiyo gharama yake ni kubwa sana. Inabidi aangalie jinsi ya kutengeneza, na hao maaskari pia wanalo. Hakimu labda awe hajua. Hao wote vizazi vyao vitateseka sana. Mungu ni Mungu wa haki
@aishachambo8663 Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@joantharajab4583 Жыл бұрын
nimefurahi sana
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
AKI TUZIDISHE DUA KWA WATOTO WETU WA KIUME JAMAN HII FAMILIA WALIOMUONGOPEA KESI HUYU JAMAA MUNGU ITAWAHUKUMI NA ISISAMEHEWE 😢😢😢
@nyabahailani3169 Жыл бұрын
Huyu mjinga maria wapelekwe wote na huyo mbwa wake magereza wote au walipe huyu kijana milion30 kwakuwahurumia maana masikini au wakatumikie hicho kifungo miaka 60
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Nimefurahi jamani kumuona japo simjui
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Huyo askari alaaniwe na upelelezi unaweza ukamtaja huyo police
@n.dvillagirl3272 Жыл бұрын
Kwani sheria inasemaje kwamtu alie mzingizia mwenzie jamani uyu kaka apate haki yake
@nyax777 Жыл бұрын
part2?
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani jamani kwa nini binaadamu tunapenda kuwakandamiza watoto wa wezetu
@Thecrownchurch Жыл бұрын
Tunahitaji serikali mpya na bora zaidi ya hii iliyopo
@boazambokile2587 Жыл бұрын
Hao pata wapo site😅😅
@Expedito2512 Жыл бұрын
Hivi na hili suala nalo tunahitaji mzungu aje atufundishe kwamba inabidi kabla ya kumfunga mtu inabidi mimba ipimwe kwanza?
@marthageorge5043 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Pole sana dah 😢
@ggfffhii4706 Жыл бұрын
Dunia hii dahhh halafu mtu akichukua panga akienda kuua anaitwa muuaji inaumiza bhana
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Miaka 60yrs du ni mingi
@mkombozsanga Жыл бұрын
Watu wengi wanafungwa bila hatia ila mungu nimwema zaidi
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
True but wenye hatia wako huru
@bensonjohn9633 Жыл бұрын
Jeshi la Polisi linanuka Rushwa sana. Hii kesi hata Polisi wameshiriki,Hivyo ilipaswa hao Askari kukamatwa. Pia nadhan kuna haja ya kulivunja jeshi la Polisi na kuliunda Upya. Liundwe na Watu wasomi na wenye Akili Timamu
@sophiajonas2090 Жыл бұрын
Ila jmn Mambo mengine acheni tu
@keifatuke99 Жыл бұрын
INABIDI NCHI YA TANZANIA IFUNDISHE WANANCHI KWENYE TV KUHUSU SHERIA ZA NCHI ESPECIALLY UKIWA POLICE NA MAHAKAMANI.
@rweyemamualbert9932 Жыл бұрын
Afisa upelekezi aliye usika afukuzwe kazi si vema kumfunga mtoto wa mtu bila kosa miaka 60 ili afie gerezani
@deborahmchona5584 Жыл бұрын
Asante Mungu huyu kijana katoka daaah
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Kesi km hiyo mtoto akizaliwa hua hawapimi DNA????????? au wanatoa hukumu bila kujiridhisha ?? Mnatuchanganya ila km huyo mwanamke alimsingizia mwenyezimungu atawahukumu
@bebebebe5677 Жыл бұрын
Sasa mbona ukumu ilikua kubwa mno miaka 60 Duuh pole san wakulipe