Watu wanasema mahakama hakuna Kwahiyo watu wote wanaenda kudhulumiwa huyu mzee atulie tu sjui anahangaika nn na uzee wake baada achekeshe wajukuu nyumbani
@RBMBAKARI-bv6wn4 сағат бұрын
Tatizo la nyie mawakili mnaingiza sana siasa katika masuala ya kisheria si kila neno lazima ulitoe nje ya vyombo vya habari.kumbe mnajua serikari si ya kuchezea chezea ovyo .lazima sasa tutambue umuhimu wa sarikari
@lusekelonelson72564 сағат бұрын
Maridhiano ni muhimu sana. Hongera Mhe Wasira kwa kusisitiza maridhiano
@temesjames88674 сағат бұрын
Ni kweli maridhiano ni muhimu kuliko sheria au ndoo serkali inachukua nafasi ya kuumiza watu kupitia mahakama?
@IbrahimKasambala-ts8re28 минут бұрын
Mzee wasira tumia busara ya kawaida ccm mtoeni ndani drsilaa mzee mwenzako mwonee huruma mambo haya yanawaharibia uchaguzi ujao tutapungukiwa nini tukimtoa ndani dr slaa mama samia rais wetu msaidie dr slaa
@MichaelAlbertin-b1kСағат бұрын
Sheria haifanyi kazi.
@AhmedYusuph-g3f5 сағат бұрын
Kamdomo
@EzronNtarabanyi3 сағат бұрын
Eee MUNGU uketie mahali pa juu naomba ushughulike na watu hawa wanaonyanyasa wengine kisa nafasi zao walizopata Kwa msaada wako ikiwezekana zifute ili nao uwape malipo hayahaya wanayowatendea wengine yawape na watoto wao hadi vitukuu vyao Amina.
@temesjames88674 сағат бұрын
Kama mumeshindwa kwenye sheria inakuwaje muombe malidhiano kinachotakiwa ni haki.
@marcokaroje89802 сағат бұрын
Wewe naye urudi darasani ukasome Kiswahili hakuna malidhiano kuna maridhiano katika mada hii
@Piussimon-n4z4 сағат бұрын
Mungu atawashughulikia mapema sana, msiogope pambaneni tu lakini matumizi ya nguvu dhidi ya wapinzani na mauwaji yamefika mahali
@NiyonkuruThierry-r7v3 сағат бұрын
Hahaha Inaonekana mnajifanya vipofu. Shaurini mzee alee wajukuu wake. Nguvu imemuishia, mikimiki ya siasa siyo yake tena.
@ladislausriwa77682 сағат бұрын
Huyu hajiamini ndiyo maana anatoka mara kwa mara kujitetea kws umma. Upande wa pili wanafanya mambo kitaaluma zaidi. Huyu anaomba maridhiano pia na viongozi wa siasa.
@OmaryMwande2 сағат бұрын
Acheni unafiki mzee slaa amelekodiwa akitoa matusi hazalani mkisema mahakama haitendi haki hizo siasa kumbuukeni nyie ni mawakili Hampaswih kulalamika bali tumieni uwezo wenu wa kisheria kumtetea mteja wenu
@JumapiliLyangaСағат бұрын
Achan siasa fatenisheria acheni kutumia nguvu kama mmeshindwa acheni
Sasa nyie mawakili mnataka kuigeuza serikali ya ccm kama mwanasesele (mdori. Zombi).
@yussufhashim447239 минут бұрын
Huyu mzee ni mnafiki anamakosa wakili zakake maji imaefika puani hawana lakufanya sasa wanataka mariziano
@muharamijuma1569Сағат бұрын
Mbona mashehe Walikaa miaka kibao Mawakili na Watetezi wa Haki za Binadamu HAMKUWAPO? ACHENI POROJO NA IACHENI SHERIA IFANYE KAZI
@Mufti-g3xСағат бұрын
Haswaaaa
@usafiaps3185 сағат бұрын
Madeleka Umekengeuka.Maamuzi Yako Sio Ya Kimkakati.Ungetulja Kwanza.Mbinu Za Kisiasa Sio Mbinu Za Kisheria.Ungeendlea Kisheria Swala La Dr Silaa.
@ashaali71543 сағат бұрын
Mumeona huo mdomo wa Slaa ulipomfikisha? Ajirudi na kuomba msamaha kwa maneno yake mabovu yasiyokuwa na msingi.
@maxlesijila65983 сағат бұрын
Daaah !! CCM
@hassannyalile2256Сағат бұрын
Madeleka umeongea vizuri sana, ila huyo wa haki za Binaadam ameongea pumba tupu.
@abuumuhammad71335 сағат бұрын
kamdomo tatizo la mshtakiwa
@gidongailo71745 сағат бұрын
Kwahiyo wewe hauna kamdomo.? 😂😂😂 Au una limdomo
@RomanMwinyi4 сағат бұрын
Kumawe Sasa mdomo watu wana iba wasiongee sio wakiiba sm mitaa ana Muna waita vishandu ao wakiambiwa Muna sema kamdomo Sasa maana yake waibee 2 sio kumawe
@benjaminmichael8114 сағат бұрын
@Tufutu vichwa vya habari zako 98% ni uongo ukilinganisha na yaliyomo kwenye video husika, jirekebishe utafika mbali
@NiyonkuruThierry-r7v2 сағат бұрын
Guys, mawakili mnafurahia hizo kesi pia, si mpo kazini.?
@bongo395 сағат бұрын
Hicho ni chama cha siasa wataingilaje mahakama wenye maamuzi ni mahakama waachieni mahakama ili waangalie nini cha kufanya
@gidongailo71745 сағат бұрын
Usishangae kuona mahakama inaamuriwa na CCM na hatimaye Slaa ataachiwa. Nchi yetu ujingaujinga na dhuluma ya CCM na inatumia taasisi zote kama Proxy wake. Bunge, Mahakama, TRA, Polisi na Serikali vyote ni proxy wa CCM
@RomanMwinyi4 сағат бұрын
We chizii au mzm Sasa maamuzii ayoo kilaa siku m2 ana zingishwa 2 unaongea nn ww mimba
@JosephMtui-vw9dn3 сағат бұрын
Mbona tuomba mungu alitujibu hata kwa hili atajibu
@SwaleheRajab4 сағат бұрын
Wanapeleka ccm kwa sababu umekutwa na hatia mawakili mjue kua wanalipwa kikubwa wamuachie mana kazeeka yule mzee
@jacksonmsola1545 сағат бұрын
Mteteze wa haki za raia wapi mbn hatuwaoni kwenye kesi za watu wengine wanyonge waliopo huku mitaani mtandao wa haki ipi,Kila kitu be Ni siasa tu mpk kwenye Maisha ya watu,eti mtandao wa haki za raia hata aibu hakuna
@ZakayoDionisiСағат бұрын
Hii ni ayibu kama dr amekosea si afungwe kwa makosa yake
@himanmwalwala75695 сағат бұрын
Kwani silaa kakosea nini??
@RajabuSeify3 сағат бұрын
😅
@BatazalNdifwa-nk2hl4 сағат бұрын
Kama kweli maridhiliano yatashinda basi Kuna Hatari mahakama zetu kutoaminiwa. Na itakuwa ni kweli Ccm imeshika Dora na unatumia Dola kupiga mkwala wakosoaji wake. Mmmmmmmm! Aibu kubwa mno. Ok
@notnecessary-b7m5 сағат бұрын
Acheni kuipamba u u u shiit
@hamisdodi-cu7bu3 сағат бұрын
Dk slaa.acha.kuropoka.
@serafineslaa1082Сағат бұрын
Wewe, Dr. Anakili hanakosa. Haongei tu.wewe hunaakili hata kifungu kimoja cha Sheria hujui unasemaje unasemaje aache kuropoka? Unakuwa chawa hadi kwenye mahakama?
@Pastorsteverotali5 сағат бұрын
MAHAKAMA SI NDIO INAYO TOA HAKI ZA WANANCHI? SASA KAMA KESI ZINA PELEKWA KWA VYAMA YA SIASA, MAHAMA KWANINI ZIWEPO? NASHAURI KATIBA NI MUHIMU SANA. WASIRA NI CCM KAMA VYAMA VINGINE. MAJAJI WANASOMEA NINI? HADI KESI ZIENDE KWA VYAMA VYA SIASA.
@ElinaNzaly5 сағат бұрын
Wote wanaofanya maamuzi kwa Hila mawakili wote wa serikali MUNGU awaondoe gafla
@abuumuhammad71335 сағат бұрын
Tumia akili kinachonekana kesi ngumu kwa slaa maana hapo wamegonga mwamba
@JacquelineMnishanga7-hw9zp4 сағат бұрын
Na wengine wajifunze kupitia kwa Slaa kuropoka ropoka ovyo mtandaoni . Alafu nyie wa haki kwani kumtukana Rais ni haki? Kwann msiangalie haki na pale mama anaposhambuliwa na maneno.
@SALUMKHALFAN-z4f3 сағат бұрын
@@JacquelineMnishanga7-hw9zp NI SAWA MKUU MANENO YAKO NA NI KWELI IWE FUNZO KWAKE NA WENGINE
@DevidMarhias4 сағат бұрын
Ccm tendeni haki hapa ina onesha mahakama inapewa maelekezo toka juu kumbukeni kuna viongozi walisha ongoza nchi kwa namna hii mwishowe walikuja ishia pabaya
@hamisdodi-cu7bu3 сағат бұрын
Dk.slaa.acha.matusi
@hamisdodi-cu7bu3 сағат бұрын
Kwani slaa.ajaongea.pumba
@FrancisMomo-t6dСағат бұрын
Kwo kuongea pumba ,ndo kunyimwa rufaa
@artsonkimath29174 сағат бұрын
Tatizo mtuhumiwa sii muumini wa marithiano
@Teddy-z4i38 минут бұрын
Maridhiano ndo upuuzi ganiii?
@hamidabarraball31625 сағат бұрын
Tuanze kupiga kelele Free dk slaa
@tisamkenda82844 сағат бұрын
Aache matusi
@ashaali71543 сағат бұрын
Mtu mzima hovyo angetukanwa yeye mungekubali acheni upe deleowa kijinga huo.