KIVUMBI! POLISI WATINGA NA BUNDUKI KUZUIA NDOA YA MWANAFUNZI ALIYEKUWA AKIOZESHWA KWA LAZIMA

  Рет қаралды 162,393

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

Пікірлер: 268
@nassirali7499
@nassirali7499 Жыл бұрын
Na wanaomaliza masomo muwafate kama hivyo muwape ajira, sio kuzuia ndoa tu
@pennykiruka9314
@pennykiruka9314 Жыл бұрын
I respect this governor i salute u yoooo u do ur job no favours .am kenyan n am proud of this tanzanian government ,good good step for girl child no more child marriage 👏 😅 😄
@joliapantaleo349
@joliapantaleo349 Жыл бұрын
Safi sana jeshi la police nawote mliomsaidia Mungu awabariki
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Mtt gani miaka 20 acheni ujinga mbona mtt anaonekana na furaha zake mna acha kufanya mambo ya maana mnalazimisha ujinga tu acheni kuingilia uhuru wa mtu kila mtu na uhuru wake,
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
Kama bi harusi ana miaka 18 ana haki ya kuolewa,kwani akiolewa akaendelea na masomo,huu ujinga,hii ni kinyume na haki za binadamu,kusoma ni maamuzi yake mwenyewe,huyu DC hafai,
@leoniaathuman1038
@leoniaathuman1038 Жыл бұрын
Binti mwenyewe kabla ya harusi alikuwa analalamika kwa majilan kuwa kalazimishwa , Kwa mazingira ya kawaida tu hata kwa picha hyo familia inaonekana wanamaisha ya kawaida tu ko hakuna kiongoz yeyote angejua kama bint asingesema
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Askari na mabunduki yenu mara akapimwe akuwe na mimba 😂😂
@aydamohamed4508
@aydamohamed4508 Жыл бұрын
Ndoto gani kakatishwaa asomee weee mwisho wa siku ajira hakuna,..au huko atalipiwa adaa?? Hyo mikopo chuo mtihanii
@beatricelivigha4959
@beatricelivigha4959 Жыл бұрын
Safi Sana tia Ndani wote hao washenzi
@leoniaathuman1038
@leoniaathuman1038 Жыл бұрын
Safi sana hongeren kwa kaz nzuriiiii
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili Жыл бұрын
noma sana
@gracemacha9357
@gracemacha9357 Жыл бұрын
Safii sana acheni kunyanyasa watoto
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Duh! Hatari kweli kweli
@DessyTT
@DessyTT Жыл бұрын
Very good job.Keep it up
@jumafundi3133
@jumafundi3133 Жыл бұрын
Basi musiwe wepesi kuingilia harusit mlipieni na gharama za kuendelea na masomo maana hamjui kaolewa kwa maanagani
@rereshap9416
@rereshap9416 Жыл бұрын
Hovyoooo , hamnazo kwelikweli wewe !!
@jumafundi3133
@jumafundi3133 Жыл бұрын
@@rereshap9416 haya ukiwanazo wewe inatosha ila pia zikiwa nyingi tuuzie nasisi wajinga.
@jumafundi3133
@jumafundi3133 Жыл бұрын
@@rereshap9416 mana nchihii mukisharisisha hivyo via jira au mtu akimiliki milioni 1t basi wasonakaz wala pesa wot niwajinga
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Kwann hamkuja kabila yakufungwa ndoa acheni ujinga mnataka tu kiki hiyo ndoa ya kiiristo uwa inatangazwa kabla ya kufungwa mnataka wazin
@helenmdee4004
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Hongera mkuu wa mkoa Mungu akubariki
@odalomary5446
@odalomary5446 Жыл бұрын
Safi sana..pelekwni wote whusika ndani pumbavuu...mana wazazi wanaona wakiwa na mtoto wa kike..kitega uchumi ..ya mahali
@iddimwamtemi-ow7kn
@iddimwamtemi-ow7kn Жыл бұрын
Elimu yenyewe tulonayo ni yahovyo watu wamewafikisha vyuo watoto wao wanamadigrii na hakuna ajira wanaishia kwenye msongo wamawazo nakunywa pombe,,muacheni huyo binti aolewe 4m4 keshafuta ujinga..
@joyce55727
@joyce55727 Жыл бұрын
Nikatoka na mtt wangu saiz namaisha yangu mazul tu namshukuru Mungu lkn wazaz achen tamaa ya kutaka mali haraka achen binti asomen mim ilifika mda wazaz wangu walianza kujuta kwa nin waliniozesha
@bushimpinatv
@bushimpinatv Жыл бұрын
Dj bado anapiga ngoma tu huku harusi ishaingia mdudu 🤣🤣
@ismaelmatano3571
@ismaelmatano3571 Жыл бұрын
Hahahaha
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@user-is4nz8bo8d
@user-is4nz8bo8d 10 ай бұрын
Anamalizia maokoto😅😅
@kudramzee5769
@kudramzee5769 Жыл бұрын
Sasa hapo ada atalipa nani
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
Mkuu wa mkoa kichwa kitupu, Kama bi harusi ana miaka 18 ana haki ya kuolewa,kwani akiolewa akaendelea na masomo,huu ujinga,hii ni kinyume na haki za binadamu,kusoma ni maamuzi yake mwenyewe,huyu DC hafai,
@mayrose9772
@mayrose9772 Жыл бұрын
We akishaolewa kule haendi Tena shule zaid ya kuzalishwa na mwisho wa cku manyanyaso
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 Жыл бұрын
Wamemkatisha shule hao....Khatari hii...wangemuwacha akamaliza hata diploma au degreee
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 Жыл бұрын
Mmemuaribia maisha mtoto wa watu Sasa mumuoe nyinyi
@Ramadhan-to2ie
@Ramadhan-to2ie Жыл бұрын
Acha ujinga inamaan uko anakoenda kuolewa unajua kama ndo anaenda kuwin maisha acha ujinga
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
​@@Ramadhan-to2ie Sasa si wafungie Kwanza hivyo vyombo vinavyohamasisha uovu , na Bora aolewe kuliko kwenda kuziniwa
@user-ws6ho3bi9q
@user-ws6ho3bi9q 8 ай бұрын
Hakika
@marierobert42
@marierobert42 Жыл бұрын
Hata mkimchukua kikubwa wamefunga ndoa kanisan Tyr,
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 Жыл бұрын
Safi sana.. kuna wazazi wengine hovyo kabisa..
@dogomojatz3492
@dogomojatz3492 Жыл бұрын
Kasome tu mdogo wangu kwa moyo ♥️ mmoja kama bahati yako ipo ipo tu.! Naimani hiyo miaka miwili ukisoma kwa bidii utafaulu tu.! Shem kama anathubira akusubili tu.! Usomee miaka miwili sio mingi Sana serikali imesema usomee soma tu.! Dada angu hakuna ujanja.....By dogo moja conk ze don..
@jacobshao1260
@jacobshao1260 Жыл бұрын
Hiyo sufuria mbona kama ugali au naona vibaya😂😂😂
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
Kwan sio chakula acha usenge
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Safi sana muheshimiwa asome tu kwakweli
@KijukuuTz-in6of
@KijukuuTz-in6of Жыл бұрын
Bora waolewe wakisoma ajira Haman
@CatherineMmbaga-qe4zf
@CatherineMmbaga-qe4zf Жыл бұрын
Ninachoamini ndoa Ni tayari hapo,ilikuwa Bado ubwabwa tuuu 🤣
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 Жыл бұрын
Saaaafi sana good job
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Jitahidin kutoa ajira kwa sababu wasomi wapo tele mitaani na vyeti vyao wanauza mapera, lkn sisi vichwa maji tupo nje tunasugua gaga za warabu tukitunza familia zetu 🇹🇿🇴🇲
@adamapollo9859
@adamapollo9859 Жыл бұрын
Ni kweli
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Жыл бұрын
Kweli 😂😂😂😂
@sihabaaly287
@sihabaaly287 Жыл бұрын
🇹🇿🇧🇬🙏🙏🙏👊🤛
@chepkirui-vn1bu
@chepkirui-vn1bu Жыл бұрын
Aki Tanzania nimewapea muhuri kabisa hapo lazima mulale ndani😮🇹🇿wakenya wameongozwa na hongo bure kabisa
@Aisha-zi1be
@Aisha-zi1be Жыл бұрын
Wawekwe nadni alfu huyo stakuja awasaidie naitakuwa walikuwa wasukuma hao wanapenda mali sana
@judithmkiramweni4137
@judithmkiramweni4137 Жыл бұрын
Wazazi tamaaaa za mahali. Watoto wana ndoto zao unamuoza binti baada ya mwaka mgogoro wa ndoa. Sheria ichukue mkondo wake kwa wazazi mnnnhhhh! Siwezi gawa mtoto wangu akaolewe kirahisi hivyo
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
Jamani mtu ana miaka 20 mnamzuia asiolewe, Kama bi harusi ana miaka 18 ana haki ya kuolewa,kwani akiolewa akaendelea na masomo,huu ujinga,hii ni kinyume na haki za binadamu,kusoma ni maamuzi yake mwenyewe,huyu DC hafai,
@Dantaata
@Dantaata Жыл бұрын
tunajua wewe uliolewa na miaka 11 Sasa hili halikuumi kabisa
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
@@Dantaata mimi nimeolewa miaka 18
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
Na Nina virembwe sasa,umri wangu sasa ni miaka 65
@Dantaata
@Dantaata Жыл бұрын
@@sabraham5308 pole sana ndio mana bado upo mitandaoni Hadi umri huu,, Kuna maisha yalikupita km uliolewa 18
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n Ай бұрын
vizuri polisi sukuma ndani
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Жыл бұрын
Tatizo wa tz wenzangu tunazarau erimu mtto kashafauru
@geraldmakeremo3578
@geraldmakeremo3578 Жыл бұрын
Jamani someni kuoelewa mtaolewa tu
@christinanjombi1830
@christinanjombi1830 Жыл бұрын
Hii Kali 👌
@haikatheo6362
@haikatheo6362 Жыл бұрын
tuanze na mchungaji kwanza
@Amos-c3f
@Amos-c3f Жыл бұрын
Daaah
@kapondazenaida-nq5hk
@kapondazenaida-nq5hk Жыл бұрын
TANZANIA 😭😭😭😭😭😭
@user-is4nz8bo8d
@user-is4nz8bo8d 10 ай бұрын
Kuolewa napo nibahati jamani wengi madunga embe humu wana angaika😂😂😂
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Dj nimempentaa huyoooooo chaguo lakooooooo😂😂😂😂😅
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
😂😂😂hana habar na waja🤣🤣chezea mchele wew🤣
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
mngepima kama ana mimba tayari. maana kama anayo mliomkataza kuolewa mtakua mmemuharibia maisha
@moseskillagane4848
@moseskillagane4848 Жыл бұрын
Huyooooo,.nichaguo lakoooo😅😅😅
@jacklinemsechu221
@jacklinemsechu221 Жыл бұрын
Noma
@user-xj5vm7ig2d
@user-xj5vm7ig2d Жыл бұрын
Duh
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 Жыл бұрын
Uyo binti asipoolewa tena atailaani serikali 😂😂😂😂
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Ha ha ha 🤣🤣
@johnjilala415
@johnjilala415 6 ай бұрын
tatizo nchi yetu inilisha uzwa elim yeyewe ya kuunga unga sasa nini kitatokea baada ya hapo?
@jacobshao1260
@jacobshao1260 Жыл бұрын
Waache wale kwanza bufee, nakeki yao 😂😂😂😂
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@nyasaniofficial
@nyasaniofficial Жыл бұрын
🤣
@saudashani5981
@saudashani5981 Жыл бұрын
Duh hataleee sana
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty 7 ай бұрын
Safi sana
@user-vb2pu2gh3n
@user-vb2pu2gh3n Жыл бұрын
Tupa ndani kabisa hao pumbavu zao washenzi
@user-gu2qn2vg7h
@user-gu2qn2vg7h Жыл бұрын
Jesh mko saw komesha Tania mbaya
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 6 ай бұрын
😂😂😂nimeona masufuria ya pilau
@nelsonjonathan7660
@nelsonjonathan7660 Жыл бұрын
Hatuelewi mpaka hatuelewani😂😂
@WILLYMAJALIWA
@WILLYMAJALIWA Жыл бұрын
😢
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Umefanya vizuri mama mndeme wasukuma wamezidi kisa kutaka ngombe
@DevidsLema
@DevidsLema 8 ай бұрын
amna lofoten kwa hapa dar wanganui wamesoma na awana ajira pia
@edithajonh2970
@edithajonh2970 Жыл бұрын
Kama mzazi Hana uwezo wa kumusomesha inakuaje et
@salhaayub1338
@salhaayub1338 Жыл бұрын
Duh 😅
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Жыл бұрын
Kee
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
Kwan Si Katimia Miaka Kumi na nane
@EliatoshaLema-rw5hm
@EliatoshaLema-rw5hm Жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa
@saidsalum9587
@saidsalum9587 Жыл бұрын
Kwanini ndoa iwe ki kwaxo kwa wao kuendelea kusoma? Wakati huyo anayezuia kuolewa tauar ni mzoefu wa tendo la ndoa. Nahis sheria inahitaji mabadiliko
@thegchannel7528
@thegchannel7528 Жыл бұрын
Kuna Wazazi Hawathamani Ndoto za watoto Wao
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 Жыл бұрын
Lakini wimbo unasema uyu ni chaguo lako😂😂
@AminaMussa-ov9ft
@AminaMussa-ov9ft Жыл бұрын
😳
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 Жыл бұрын
DAA HUO WALI ULIKUA TAYARI KULIWA
@yasintamichael-bg9fk
@yasintamichael-bg9fk Жыл бұрын
Afadhali 😂😂😂 dj huyo ni chaguo lakooo
@lucymtui8680
@lucymtui8680 Жыл бұрын
Jamani ubwabwaa😛😄😄😄
@user-is4nz8bo8d
@user-is4nz8bo8d 10 ай бұрын
Uleniungabroo wanyewe wanajilia Donalao😂😂😂
@allymoe7689
@allymoe7689 Жыл бұрын
Jamaa kapokonywa tonge kizembe kabisa ukute alikuwa hajawahi ipiga kabisa hiyo pisi
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
Kama sheria za Tanzania ni hivi,ni mambo ya ajabu.mtu ana miaka 20 anazuiliwa kuolewa,ni ujinga wa mwisho,hizi ni Kiki za mkuu wa mkoa na wenzake,Rais alifuatiliye hili,huenda haki za kibidaamu,zikawa zimevunjwa,aibu.
@user-is4nz8bo8d
@user-is4nz8bo8d 10 ай бұрын
Shida nisifa ilituonekane mitandaoni sasahivi😂😂😂
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 Жыл бұрын
😮😮MUNGU mkuu jamani😊
@alonchobasamiye6844
@alonchobasamiye6844 Жыл бұрын
Da ila demu kifaa sana
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Kwani akiolewa hawezi kusoma??
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Umri unaruhusu au bado ? Wanafunzi wangapi ni Mrs na wanasoma !? Familia hiyo itagawanyika tu !!! Mazingira ya zoezi hilo yangelenga ustawi wa familia. Hakuna kitu hapo.
@thabitdeco1575
@thabitdeco1575 Жыл бұрын
MWACHE AJE KWENYE DINI YETU YA UWISLAM 😂 NDOA INASIHI KISHERIA AKIBALEHE TU YAFAA HUKO MPAKA AMALIZE SKULI NDO AOLEWE DUH ILA CHA KUCHANGAZA HYO AKIWA ANASOMA LAKINI ANA BOY FREND NA WANAZINI INGEKUWA HAINA NENO KWELI KUSOMA SIO KUELIMIKA
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Ni kweli lakin kuwa na boyfriend wenyewe wanajiiba hata wazazi hawahusiki ila ndoa mpaka wazaz wanajua na kusoma ndo bas tena hapo sasa kuna sheria ya dini na sheria ya nchi
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Waxaxi badala mshukuru mwanenu kafaulu mnatia uchafu,matajiri mitoto yao haina akili,ww Mungu kakupendelea.
@luciafabiannjuu1988
@luciafabiannjuu1988 Жыл бұрын
Sukuma ndani mpk waliokula ubwabwa
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Жыл бұрын
Wanashindwa kumzui alie uza bandali ya dar wanaenda kuzuia ndoa ivi wanajielewa kweli
@AgnesMgina-ud6ho
@AgnesMgina-ud6ho Жыл бұрын
Hii imependeza sana toeni namba ya mawasiliano matukio kama haya yako mengi ili likitokea tutor lipoti
@abigaelmgabe3417
@abigaelmgabe3417 Жыл бұрын
nilisoma kwa bidii sana sana ila nikipewa nafasi ningeishia form 4 tu nipige mishe nyingine tu yaan.. Vyeti vinaozaaa havinisaidii navichukiaaa...Nimelazimika tumia akili nyingine kusurvive kitaa. Ila wazaz msiwakatishe watoto wenu kisa kuolewa though shule kibongobongo sikuiz kubwa nikujua kusoma na kuandika na kuhesabu. si mimi wala wazazi wangu walonipambania sana aliyejua nitakuwa muuza dagaa. Ukinikuta mwaloni ukaambia nina bachelor ushuz huamini huku aloishia la pili anamtaji mkubwa ujuzi mkubwa na connection kubwa ya biashara kuliko mimi nguchiro mwenye shahada uchwara. Si bora ningeolewa mapema?
@michaelkitebo9305
@michaelkitebo9305 Жыл бұрын
Njoo nikufundishe mishe za MADIN,Mimi nilistuka mapema.nakaa na watu wenye madgrii kupiga story dakika ya mwisho wananiomba elf kumi nashangaaaa!!!
@abigaelmgabe3417
@abigaelmgabe3417 Жыл бұрын
@@michaelkitebo9305 ndo madegree yaloyopo mtaani et elim itamkomboa my foot kusema kweli ni upotezaji muda tu nachokiona. Kuhusu madini noo broo sijawai ata waza
@lucasmasumbuko2098
@lucasmasumbuko2098 Жыл бұрын
Kwan huyo DC hajaoelewaa
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Жыл бұрын
Wasukuma hii kawaida kwao hawapendi shule kabisa wazazi wanataka ng'ombe pia wanakwepa gharama za kusomesha, yaani wanatusumbua sana walimu, hasa huku niliko Kwa wanyantuzu ni shida tunawaelimisha ila wagumu sana.
@joymafur1935
@joymafur1935 Жыл бұрын
Mlipieni na gharama za kuendelea na masomo sasa siyo mnaingilia mambo msiyo yaelewa kiundani
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 Жыл бұрын
@@joymafur1935 tena hata wamtoe kabisa hapo kijijini wampeleke boarding maana akikaa hapo atanyanyasika hawezi soma kwa....
@HassanHassan-sn5cj
@HassanHassan-sn5cj Жыл бұрын
Acha umagharibi we unaeijita mwalimu acha aolewe halafu aendelee na masomo au we unataka aendelee kutoa mimba mpaka afike chuo huku akiendelea na ufuskaa wewe hujui kua wanajiuza wengi ni wanafunzi na ndio wenye soko kubwa kwa wafanyakazi na waalim kama wewe viongozi nk. Na hasa wanasiasa na wafanya biashara kama hauamini nenda mabibo hosteli usiku kwanzia saamoja Pale maeneo ya ubungo huo ujinga utakutoka. Kwenye hizo sheria zenu za kijinga tungeni sheria itakayo waruhusu wanafunzi waumri kama wahuyo mliomkamata aruhusiwe kuolewa ili kulinda maadili na kupunguza dhambi ya usagaji hasa unaofanywa na wanafunzi na wasomi wengi wanajifunza wakiwa mashuleni na vyuoni kama ulikua hujui. Waambie na wenzio wenye pamba maskioni kama wewe!!!.
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Жыл бұрын
Wasomi wa nchi hii Ndio qanatuingiza kwenye maisha ya hovyo tuu hakuna Elimu Tanzania ujinga tu
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 Жыл бұрын
Nlijua2 comment kama hii haitokosa,,akuna mtu asietaka mali sema inatakiwa kwa wakati sahih.
@ashamaneno9819
@ashamaneno9819 Жыл бұрын
Hamna lolote uyo kashaonja hata kama akienda shule hakuna kitu hapo. N ndoa z kanisan nasikia wanaaza kutangaza haya nyie matangazo mulikua amuyasikii mungewah hapo kabla ajaaza kubadilishwa stahil z ulalaji sasa hapo leo anaelew nn tena ukute hapo anaona kuchelew watu wamwagike wakaaze kutiana
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Utanda wazi wote huu mnafanya hayo yote wazazi kweli mna matatizo lakini labda wamekuchukua kauli ya mama zaa kisha nenda shule😂😂
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Polisi acheni ujinga kama ametaka mwenyewe kwann wazuie ndoa Kwan polisi mlimlipia ada nyie kama hataki shule una
@captenndunga6745
@captenndunga6745 Жыл бұрын
Kichwa chako ni kizito kuelewa umeishia la ngapi kwani maelezo yanasema binti amelazimishwa we unasema kama ametaka mwenyewe.... Kingine unatakiwa kijua kua sheria haiangalii alitaka mwenyewe au alilazimishwa ndio mana mimba ni ya kwako lakini ukiitoa na ikibainika umeitoa una kesi ya kujibu ukitaka kujinyonga ukaokolewa pia una kesi ya kujibu... Jifunze kuzijua sheria siku usije ukaingia kwenye mtego.
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
@@captenndunga6745 hapa kuna utata,mkuu wa mkoa kachemsha
@captenndunga6745
@captenndunga6745 Жыл бұрын
@@sabraham5308 mi na wewe kwa sababu hatukuwepo kwenye eneo la tukio inabidi tuanini tulichokisikia.
@yustamushashu-jh9vr
@yustamushashu-jh9vr 9 ай бұрын
If you educate the woman who doesn't know God is embrassed
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 Жыл бұрын
Weka ndani wazazi wa bint pamoja na bwana harusi
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Kisha ili iweje?
@user-pq4or5yd7l
@user-pq4or5yd7l Жыл бұрын
Wapuuuz sana hao wazaz
@jescalutegonsombnambyakoda6719
@jescalutegonsombnambyakoda6719 Жыл бұрын
Mm ningechalaza bakoraaa wazaz na hao wasimamiz
@nordinebaraca4635
@nordinebaraca4635 Жыл бұрын
Sawa
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 Жыл бұрын
Bora aoleke tu make anaweza kuendelea lakini akaja kuzingua vile vile kwa kuzalishwa na kiwa single mother siku hizi Kuna ma single mother wengi kwasababu wanakataaga kuolewa afu badae wanapata ujauzito na kuishi majumbani kwao
@MikeMwaibanje-nw6oq
@MikeMwaibanje-nw6oq Жыл бұрын
Weka ndani wazazi Na huyo jamaa peleka mahakamani
@h169_Jo
@h169_Jo Жыл бұрын
​@@MikeMwaibanje-nw6oqHakuna case apo Soma vizuri sheria ya ndoa.
@stanleymartin2943
@stanleymartin2943 Жыл бұрын
Sasa hii ni maisha ndio magumu tuseme sio
@farajichipote2437
@farajichipote2437 Жыл бұрын
Kwani mtoto mwisho ni miaka mingapi? Maana msije kudhulumu haki zao kwa kigezo amefaulu ikiwa kafikisha 18 mwacheni hata kama amefaulu kwa 7bu wapo wasiofaulu na hamuwashiki au sheria inachagua wazuri tu hawa wasiofaulu mnatuachia?
@victoriatemu-ko8np
@victoriatemu-ko8np Жыл бұрын
Kamata weka ndani duub😢😢😢
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 Жыл бұрын
Ina maana walikuwa bado hawajavarishana Pete? Kama wamepata baraka kanisani itabidi huyo mwanaume amsomeshe mpaka kidato Cha 6.kwa kutenganisha ndoa yakanisani ni ngumu.
@rachelsolomon6974
@rachelsolomon6974 Жыл бұрын
Mngeacha watu wale
@kephajastine7161
@kephajastine7161 Жыл бұрын
Sasa hapo ndoa ishapita huyo ni mke wa mtu itakuaje sasa
VITUKO VYA MUGABE NI AIBU NA USHUJAA !!!
15:21
Wasafi Media
Рет қаралды 800 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
Preparing for war against China, Russia and North Korea | 60 Minutes Australia
26:06
60 Minutes Australia
Рет қаралды 2,4 МЛН
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
Пранк над Махачевым🥶
0:19
FERMACHI
Рет қаралды 11 МЛН