#kivumbi "VURUGU KUBWA" CHADEMA WAMEFUNGA BARABARA ZOTE DAR MAANDAMANO TENA
Пікірлер: 54
@ramadhanshekaoneka700310 күн бұрын
Mmelogwa nyiee😅
@josephsospeter89419 күн бұрын
Safe Sana chadema au Manton inavutia Sana kuelekea kuchukua dola
@Mosmwampa10 күн бұрын
Safi sana vijana. Kuna haja ya siku watz tutembee siku moja kupinga mambo yanayoendelea ndani ya nchi hasa kuhusu chaguzi
@philipongenzatv9 күн бұрын
Rahaaaa
@VictorMgodomi-xj1ey10 күн бұрын
Pamoja sana boniface
@MusaJastini-po8hm10 күн бұрын
Mm sio chadema sijui kwann lkn hoja zenu nazipenda
@MesiakiKayan-qm7tv10 күн бұрын
Iyo upendo enyewe
@user-rn9og1rk3l10 күн бұрын
Unazipenda kwa sababu zina gusa maisha yako.
@simonMollel-rr3gb10 күн бұрын
Lazma upende hoja zenye maana bila kujali ni chama gani
@mariamkasembe501510 күн бұрын
Fanyeni maandano kushika nchi ni ndoto za alinacha
@FikiriniMwaluko10 күн бұрын
Wizi!!! Ninoma
@yassinnabwera427310 күн бұрын
Kwa hiyo akili yako unaona CCM itatawala milele nchi hii?Kwani wao ni malaika wa Mungu?Hata mitume wa kuongoza Dunia Mungu huwa anawabadilisha sembuse hao watekaji na wauzaji wako wa CCM?Mtake,Msitake mtang'oka tu madarakani ni suala la muda tu.
@maligiretongora333310 күн бұрын
Mariam ww unaona ndiyo watu makini. Vipi mbona nchi inagawanywa Kwa wageni.? Au ni mbinu ya kutrudisha kwenye ukoloni!!
@yassinnabwera427310 күн бұрын
@@maligiretongora3333 Vijana wengi wa CCM ni wapumbavu na ni wajinga pia ni wa gumu kuelewa,wengi ni watu.wa ndioooooo tu
@HamisMghuna-fj3vz10 күн бұрын
Yasin Asante hii ya CCM c malaika hata Allah alibadili mitume,hata Firaun Farao mbabe yukowp aliishia bahar ya sham
@nassorsukusilanda948910 күн бұрын
Naona mnazurula
@DottoPeter-h2w10 күн бұрын
Kazurure nawewe makumaku
@abdalahgunda131910 күн бұрын
Boniface is the lmotion leadwe into chadema opposition political party Boniface show haw is capable to creat lmotion and pull saport and chadema member have confidence with the Boniface that why has big saportor going to fighting for his position back
@ndogoroedson19910 күн бұрын
Yaan hao wafunge barabara ya nan? Keeenge
@LingisonMwampashi10 күн бұрын
Ongereni sana
@ReonardBushiri9 күн бұрын
Hizi media za kipumbavu kabisa unasemaje vurugu kubwa sehemu yenye amani asee , jaribuni kutumia weredi sio mihemko mnarudisha nyuma harakati za Demokrasia.
@Peterchipemba10 күн бұрын
RICK ross nakukubali,,upo vizur
@LingisonMwampashi10 күн бұрын
Ongereni sana 7:30
@AlfredAlfred-yd2mg10 күн бұрын
Mungu atasikia kilio Cha waja wake dhulma na ufisadi umelaaniwa