Kiwanda Cha Sabuni za Nche kinapatikana mkoani kigoma, kina tengeneza sabuni za magadi na sabuni za aina tofauti tofauti, kama una wazo la kuanzisha kiwanda chako angalia hii video.
Пікірлер: 24
@herenamaduhu Жыл бұрын
Unajunairudia rudiana sana kuiangaria hii Visio nikiangaa tu nakuona kanimefunguwa kiwanda na mungu akubaliki moyo wangu umefurahi sana
@barakalema7274 Жыл бұрын
Good inspiration bro
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv11 ай бұрын
Mashaallah
@herenamaduhu Жыл бұрын
Kaka ubarikiwe sana
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante
@herenamaduhu Жыл бұрын
Daa umenipa hamasa sana yakuifanya hii Kaz bira uonga nirikuwa najifikiria sana nifanyeje
@user-fj4hq7iy2y6 ай бұрын
Naomba namba
@evetheblack3717 Жыл бұрын
nafurahi mafunzo yenu, natumai hivi karibuni nami nitaanzisha kimoja hapa kenya. kutumia ujuzi nao upata katika video zenu watanzania
@simonyaya27092 жыл бұрын
Naitaji kufungua kiwanda cha sabun npo geita mashine nazipataje
@rajabhussein77942 жыл бұрын
Lakini pia bei ya caustic wanauzaje?na Kama hutojali naomba uniunganishe na wauzaji wa mise na caustic wa hapo kigoma
@judithhaule68012 жыл бұрын
Hello! Mm natamani kupata taarifa zaidi kuusu kiwanda
@rabaonetv2 жыл бұрын
Kama ipi ?
@TrustinJesus8802 жыл бұрын
Hello RABA One, plz naweza kuongea nanyi? Nataka kuanzisha kiwanda cha sabuni GEITA
@rabaonetv2 жыл бұрын
Namba ipo kwa video
@johnkayombo4609 ай бұрын
Habari naomba niwaambie mimi nauza mashine kwa bei mafuu sana, ninayo bar soap plodder machine na Iko Dom.
@omarjuma29372 ай бұрын
Nipe namba yako tuwasilane
@yassinbachu48197 ай бұрын
Kazi mzuri kakaa.. sasa kaka swala yangu ni hili. Je sabuni ya mkono no sawa kabisa kama mfano ya machine? Ugumu? Uzuri?
@rabaonetv7 ай бұрын
Zimetofautiana kidogo, Ya mashine ina ubora kuliko ya mkono, pia ya mashine ni ngumu kuliko ya mkono
@yassinbachu48197 ай бұрын
Asante mkuu....jee hizo za mkono ile muhuri yake ( stamps ) inaa patikana wapi?
@rajabhussein77942 жыл бұрын
Mr raba one hapo Kigoma mafuta ya mise Lita 20 ni shilingi ngapi kwa dumu Moja?
@rabaonetv2 жыл бұрын
Tsh 65,000 mafuta kama mafuta bila chombo wala garama nyinginezo.