KIZAZI CHA UKAIDI KINAHITAJI VIONGOZI GUMEGUME

  Рет қаралды 29,754

Apostle Mtalemwa Bushiri

Apostle Mtalemwa Bushiri

3 жыл бұрын

Пікірлер: 172
@gracekwila5674
@gracekwila5674 3 жыл бұрын
Hizi nyakati za mwisho kanisa linahitaji kiongozi kama huyu mwenye mafundisho kama haya Hakuna kulelewa ki mayai mayai Nimejifunza kitu kikubwa sanaa na nimeinuliwa kiakili na kirohooo Hakuna muda wa kupoteza mambo ni chap chap kwasababu kila mtu anamambo yake kipindi hiki cha nyakati za mwisho Asante sana apostle kwa somo hili 🙌🙏🙏 Mungu azidi kukuweka daimaa.
@mariapendael626
@mariapendael626 2 жыл бұрын
Najinza Sana Apostle mungu akupe hekima zaidi wewe na familia yako
@joshuagodfrey3659
@joshuagodfrey3659 3 жыл бұрын
Daaaaah!!!! Hiii ndo injili
@SonofMajor1
@SonofMajor1 3 жыл бұрын
Very powerful teachings indeed my Apostle. Ulindwe zaidi baba mlezi. Ahsante sana kwa elimu.
@exaveryndelwa2309
@exaveryndelwa2309 Жыл бұрын
Saafi sana kemea kanisa lipone pastor kizazi hiki ni kibaya sana kizazi cha uzinzi na ukaidi. Yesu alisema kemea kwa nguvu nimekupongeza sana unajua mtumishi bila hivyo uovu utaenea kanisani haiitaji kubembeleza ni nyakati za mwisho nyakati za hatari ndo Maana Paulo anasema 2Timotheo 4:2 Karipia kemea onya kwa uvumilivu wote asikuonee mtu na hao waliochoma nywele na na madawa na kujichora na wengine wamevaa nguo za mabega wazi na fupi sana wengine zenye ushawishi ni ushetani huo nao kemea wabadilike wanaangusha vijana
@jamesdioniz3243
@jamesdioniz3243 3 жыл бұрын
Powerful teaching Man of God, Mungu akuongezee maisha marefu
@esthercharles2210
@esthercharles2210 3 жыл бұрын
Kweli kabisa Apostle, asante sana kwa ufahamu huu wa kipindi hiki.
@edithalotto1481
@edithalotto1481 3 жыл бұрын
Big up apostle, kemea, karipia, onya uko sahihi!
@tistarmalafyale1626
@tistarmalafyale1626 3 жыл бұрын
Pastor jaribu kukemea na aina ya mavazi ya wadada wa hilo kanisa wanavaa nguo za aibu sana
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 Жыл бұрын
Kemea kabisa mtumishi ubarikiwe.
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 2 жыл бұрын
Waoooh tunataka wachungaji kama hawa Mungu azidi kuwa nawe
@mgumuwakitaa2234
@mgumuwakitaa2234 3 жыл бұрын
Babaaa mungu akupe maisha marefu
@sallygrace1495
@sallygrace1495 3 жыл бұрын
Brother man of God Nataka niwe kwenye ukoo wako kwa jina la Jesus Christ🕆🙌🙏
@justinenjau7936
@justinenjau7936 3 жыл бұрын
Wowww na sisi tunatamani ushiriki ibada pamoja na sisi. Kanisa letu lipo karibu kabisa na chuo cha ardhi kilicho karibu na mlimani city, ukiwa kama unaelekea makongo juu. Kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi: +255717960901,+255767960901. Mungu akubariki sana
@jemimatumaini7026
@jemimatumaini7026 3 ай бұрын
Amen Apostle
@upendomsuya4754
@upendomsuya4754 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie kizazi cha ukaidi. Mtumishi wa Mungu endelea kusema nasi tupone.
@clinton3168
@clinton3168 3 жыл бұрын
Huyo wa kurushia PASTER mtalemwa na huyo wa kurusha video nae DU Ahahhahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@happypeter4331
@happypeter4331 2 жыл бұрын
NAKUPENDA bule pastre
@josephndali9584
@josephndali9584 3 жыл бұрын
Thic is powerful teaching, be blessed Pastor
@emmanuellawton4441
@emmanuellawton4441 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa san
@neemahamis6399
@neemahamis6399 3 жыл бұрын
Shalom chief unanibariki unatoa ujinga kimwili na kiroho nakuombea mtume wetu tanzania Mungu akusimamishe imara katika kizazi chetu nimecheka pia nimejifunza 😍 penda ECG
@marympemba1829
@marympemba1829 3 жыл бұрын
Mungu akuongezee miaka mingi
@ireneminja1721
@ireneminja1721 3 жыл бұрын
Very true apostle ........ndo maan nakupend baba angu
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 3 жыл бұрын
aaaah hpn aisee apostle😂😂😂
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 3 жыл бұрын
I love this man of GOD,Mungu atusaidie tubadilike
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 3 жыл бұрын
Amazing preach
@doreennkya5524
@doreennkya5524 3 жыл бұрын
Amen Apostle Mungu atusaidie tupone
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 3 жыл бұрын
4sure Apostle unacho kinena uko sahihi saana kaka hakika wanao soma maandiko wanaelewa unacho maanisha nakukinena ila kwawale hambao hawalisomi neno nakuto kulijua hakika hawata kuelewa kamwe wao wanaona unachekecha to ila hakika ukinenacho uko sahihi sana mtumishi barikiwa saana..🙏🙏
@denicejustinian679
@denicejustinian679 3 жыл бұрын
Na Barikiwa sana na mafundisho yako yananipa ujasiri sana na yananifungua Mungu akubariki
@hagulwamalishe8117
@hagulwamalishe8117 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana baba mchungaji, umenena vyema, mwenye sikio na amesikia🙏🙏🙏🙏
@gairoone5288
@gairoone5288 2 жыл бұрын
Kweli nyakati za mwisho yani mimjfunza kt Yani wachungaji wachache wenye msimamo kama ww wengi wanashidwa kusema ukweli kwa ajili ya taamaa zao baba hongra Sana Mungu akuinue ongea ukweli heri ubaki na watu wawil ambao wanamskamo
@ngowiantony8552
@ngowiantony8552 3 жыл бұрын
Hua napenda sana biti ngumu ngumu ndo hua naelewa mungu akubariki mtumishi
@neyhmrs7704
@neyhmrs7704 2 жыл бұрын
Asante Mungu umetenda kwa baba angu
@shedrackgadiel7274
@shedrackgadiel7274 3 жыл бұрын
Ubarikiwe saana Mtumishi
@geophreyjoseph8738
@geophreyjoseph8738 3 жыл бұрын
Kweli kbs aisee, lete nondo zitujenge vizuri
@rachelpilos6964
@rachelpilos6964 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi nakukubali sana
@neemammbando5875
@neemammbando5875 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Apostle
@lanimadato7624
@lanimadato7624 2 жыл бұрын
Mariam Benjamin nipo katari doha Ameen🙏🙏🙏🙏
@jacquelinenyange5549
@jacquelinenyange5549 3 жыл бұрын
God bless you Apostle
@pasteursamuelanicet9129
@pasteursamuelanicet9129 3 жыл бұрын
Amen Pastor
@atkamlowe5379
@atkamlowe5379 3 жыл бұрын
Barikiwa Pastor acha tupone
@gracekabigi9680
@gracekabigi9680 3 жыл бұрын
Barikiwa kwa mafundisho ya kuwajenga na kwa uwazi.Mungu akutunze.
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi 🙏🙏
@evalynerwegasira7485
@evalynerwegasira7485 3 жыл бұрын
UBARIKIWE MNO. NAOMBA NAMBA YAKO YA simu.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 жыл бұрын
ASANTE SAAANA APOSTLE MUTALEMWA MIMI NINABARIKIWA MNOMNO NA MAFUNDISHO YAKO, NIKO MBALI KIDOGO NA MAHALI UNAPOHUBIRIA ECG LA SIVYO LAZIMA NINGESALI NANYI. MUNGU MUWEZA AZIDI TU KUKUPA AFYA NA MAONO YA KUTUJENGA NA KUTUBADILISHA WENGI. ASANTE SANA.
@justinenjau7936
@justinenjau7936 3 жыл бұрын
Bwana asifiwe, asante kwa kumfuatilia mtumishi wa Mungu. Kanisa letu lina matawi mbali mbali nchini. Ninaomba upige namba zifuatazo kuwasiliana na mchungaji ambaye anaweza kukuonyesha mahali kanisa letu lilipo. 0717960901; 0767960901 atakuelekeza tulipo karibu na wewe. Tunakupenda na Mungu akubariki sana
@samsonmahwago98
@samsonmahwago98 3 жыл бұрын
Jamani hizi jumbe hazieleweki hata kidogo kwa waenda mbinguni hubirini utakatifu utakatifu utakatifu udunia dunia umezidi karibu tunaenda kutoa hesabu ya kazi tunayofanya acheni kufundisha faraja na mavituko someni Biblia na kuihubiri mbele iko hatari watumishi
@josephclemence4441
@josephclemence4441 3 жыл бұрын
Wakola Omkama katonda akubele
@harakatilive8717
@harakatilive8717 3 жыл бұрын
Amen chief,
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 2 жыл бұрын
Amen
@danielaidan7576
@danielaidan7576 2 жыл бұрын
Hiiii ndo yenyewe
@mpazielelisifa9187
@mpazielelisifa9187 3 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ujumbe
@lydiapeter878
@lydiapeter878 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣hili kanisa liko wapi kwa Dar I like it this
@linahjozhe2956
@linahjozhe2956 3 жыл бұрын
Makongo juu
@lydiapeter878
@lydiapeter878 3 жыл бұрын
Asante Linah unapanda gari za wapi ufike hapo nipe direction
@justinenjau7936
@justinenjau7936 3 жыл бұрын
@@lydiapeter878 wowwww karibu sana Lydia, kanisa lipo njia ya kuelekea makongo juu, mbele kidogo ya chuo cha ardhi kilichopo karibu na Mlimani city. Ukishuka kituo cha mlimani city, kituo cha mabus yanayokwenda chuo, kuna bajaji ambazo ukipanda zinakuleta moja kwa moja ECG. Lakini usisite kutupigia kwa namba zifuatazo 0717960901; 0767960901 unapokwama. Mtumishi wa Mungu anakupenda na kama kanisa tutafurahi sana ukiabudu pamoja na sisi
@monicakatabi4306
@monicakatabi4306 3 жыл бұрын
Makongo juu
@AgnessNyansambo
@AgnessNyansambo 5 ай бұрын
A meeen Ameeeen
@dela78895
@dela78895 3 жыл бұрын
Mchungaji kemea kabisa mambo ya utofahuti na imani .Mungu akutie nguvu.
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 3 жыл бұрын
Watu hawajui tunabadilika Sana Bora unasema ukweli watakuelewa mbelini
@alimachitechi2107
@alimachitechi2107 3 жыл бұрын
WOOW MTUMISHIIII AMINA AMINA
@rehemamwabukusi1108
@rehemamwabukusi1108 3 жыл бұрын
Your talking the truth apostle
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 3 жыл бұрын
GODS GLORY🙌🙌TEACH US 🤲HEAL US🔥🤲THANK GOD FOR THE MAN OF GOD🙏
@priscalcharles8326
@priscalcharles8326 3 жыл бұрын
Katibu kukemea juu ya mavaz waendane na matendo
@ezekielrunde2881
@ezekielrunde2881 3 жыл бұрын
Upo sawa mtume
@neyhmrs7704
@neyhmrs7704 2 жыл бұрын
AMEEEN
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Yaani acha tu baba sema tupone
@gmdecoration6044
@gmdecoration6044 3 жыл бұрын
Tume kula kiroho mungu atusaidie
@elizabethchales2663
@elizabethchales2663 3 жыл бұрын
Ubarikiwe apostle mung akubariki ivi katikat ya wiki kunakuaga na ibada
@justinenjau7936
@justinenjau7936 3 жыл бұрын
Ratiba zetu za Ibada ni kama ifuatavyo jumapili tuna ibada kubwa inayoanza saa kumi na mbili asubuhi, kisha Alhamisi huwa tuna ibada za jumuiya jioni. Kwa maelezo zaidi piga namba zifuatazo 0717960901, 0767960901. Tunakupenda na asante kwa kumfuatilia mtumishi wa Mungu
@zakariaamon7705
@zakariaamon7705 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@paulwabegi9425
@paulwabegi9425 2 жыл бұрын
Hahahahaha,duu nilichelewa wap mie?
@janetfrancis7180
@janetfrancis7180 3 жыл бұрын
AMEN
@eliaichidoreen8379
@eliaichidoreen8379 3 жыл бұрын
Sema Apostle tupone. Hahahahaha am so proud kuwa ECG member.
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 3 жыл бұрын
Apostle napenda saana kukufatilia aiseee yani injili yako iko sawasawa saana mkuu yani huwa natamani saana kama ningekua napata upoko hapo kanisani kwako hvo balikiwa saana nawatu wako by Gabriel from comoro
@justinenjau7936
@justinenjau7936 3 жыл бұрын
Bwana Asifiwe, Mungu akubariki sana kwa kumfuatilia mtumishi wa Mungu, anakupenda na anaomba kwa ajili yako. Tunaamini kwenye ulimwengu wa Roho hakuna umbali, na popote pale ulipo upako utakufikia. Karibu sana Gabriel
@margarethorgenes4874
@margarethorgenes4874 3 жыл бұрын
Mhuuuuuuuuuuuu! Sijui 👉👉👉
@ellywajatelelli916
@ellywajatelelli916 3 жыл бұрын
Amen❤️🙏🇹🇿
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 3 жыл бұрын
Safi sana ,
@neemammbando1740
@neemammbando1740 3 жыл бұрын
UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU
@edinajossephatgeorg1612
@edinajossephatgeorg1612 3 жыл бұрын
Umenichekesha sana
@priencedamdoek508
@priencedamdoek508 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana Mtumishi I wish ningekuwa DSM
@justinenjau7936
@justinenjau7936 3 жыл бұрын
Na sisi tunatamani pia, ila hakijaharibika kitu, kanisa letu lina matawi sehemu mbali mbali nchini. Piga namba zifuatazo kwa maelekezo zaidi +255767960901,+255717960901
@clinton3168
@clinton3168 3 жыл бұрын
Injili ya leo TAMU sana
@clinton3168
@clinton3168 3 жыл бұрын
Waambie waskie, wabadilike waende MBINGUN
@amosjeremiar8006
@amosjeremiar8006 3 жыл бұрын
AMEEN APOSTLE
@morgankbh3451
@morgankbh3451 3 жыл бұрын
Hakika Injili hii ndio inayopaswa kuhubiriwa nyakati hizi za mwisho.
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 3 жыл бұрын
Wewe ni kiboko pastor 🤣😂🤣😂🤣🤣😂
@hamurabani5386
@hamurabani5386 3 жыл бұрын
Amina
@priscalcharles8326
@priscalcharles8326 3 жыл бұрын
Uko vizuri ila mavaz ya waumin sijayaelewa
@adoniaceisaya700
@adoniaceisaya700 3 жыл бұрын
Hahahaha
@elizabethmambai2072
@elizabethmambai2072 3 жыл бұрын
Ameen
@edinajossephatgeorg1612
@edinajossephatgeorg1612 3 жыл бұрын
Upanga ni neno,
@pauloropian8116
@pauloropian8116 3 жыл бұрын
🙏
@recholmichael2356
@recholmichael2356 3 жыл бұрын
My lovery dady
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂🤗🤗Amen🇰🇪
@juliankamugisha9886
@juliankamugisha9886 3 жыл бұрын
Enjae ya kashanje, apostal nakuelewa......
@samsonmgonja4014
@samsonmgonja4014 3 жыл бұрын
Wamezidi kudeka,wanaodeka wabadilike
@imanuelzakayo7472
@imanuelzakayo7472 3 жыл бұрын
Yaaaani sijaweza kucheka Kama kwenye hii video
@razalophilemon4822
@razalophilemon4822 2 жыл бұрын
At the moment I see you, isee the incoming president's prophet.
@jacklinejohn5727
@jacklinejohn5727 3 жыл бұрын
Ni kweli
@FRANKREIGNERS
@FRANKREIGNERS 2 жыл бұрын
Hehehehe 😂😂😂😂
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 3 жыл бұрын
TEACH US THE TRUTH TO SET US FREE💪🔥DO NOT TOLERATE ITS END TIME SEASON🔥🙌🔥🙌
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
Kweli mtumishi sema tupone.
@alimachitechi2107
@alimachitechi2107 3 жыл бұрын
HAHAHA HAHAHAAA
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Tangawizi pilipili. ........kichaaaa
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 3 жыл бұрын
😂😂😂
@alimachitechi2107
@alimachitechi2107 3 жыл бұрын
LEO LEO HOO
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 жыл бұрын
Time is money
@rehemamwabukusi1108
@rehemamwabukusi1108 3 жыл бұрын
True my apostle, that's why nakupenda Sana apostle wetu, Hakuna cha kuona haya. Toa Ukweli
MUNGU ANAHUSIKA KWA KILA JAMBO LAKO
56:26
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 10 М.
Maoni kuhusu mazungumzo: Oparanya azungumza
12:06
KTN News Kenya
Рет қаралды 8 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 6 МЛН
MWIMBIENI BWANA - Kiambu Melodic Voices Ft.  Cedrick Lumiti
5:28
Kiambu Melodic Voices
Рет қаралды 8 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
KUFUKUA YALIYO FUKIWA(Hatua tatu za kushinda vita vya maadui zako)
57:51
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 3 М.
WAFAHAMU WAANDISHI NA MAFARISAYO
1:00:57
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 14 М.
BARAKA ZA KIJANA UANZIA HAPA
39:20
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 31 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27