Lete mistari apostle ! Thank you for a spirit of revelation that is upon you. I have learnt a lot from you, you have been mentoring me through your preaching, whatever you preach it pertains me 100%. I'm still learning and I'm ready to be rebuked. For all scriptures are God - breathed, for correcting, for rebuking.......🤚
@jamesmangu3374 жыл бұрын
Mungu na akuinue utoke hadi nje ya mipaka ya nchi, Kamatilia hapohapo naamini utatoboa! Enendeni ulimwenguni kone mkahubili na kuwafanya watu wote kuwa wanafunzi wangu! Na sio watu wote kuwa matajili. Nimeipenda sana bidiiiiiiiiiii!
@happymlay46964 жыл бұрын
Ee Mungu nakuomba unirehemu,unisaidie from today I wake up ntafanya bidii katika kazi yako kuliko zamani nilipokua duniani ,Gos of major 1help me I need your strength in Jesus name amen ,Mungu akubariki apostle kwa kumtii roho mtakatifu kukubali kutuonya na kutukumbusha wajibu wetu kweli Mungu anatupenda
@jacklinekapinga81923 жыл бұрын
Amina apostle na mungu azidi kukuongoza Katika mafundisho yako
@jacquelineelly66844 жыл бұрын
Bwana Yesu anisaidie nikawe n bidii katika maisha yangu ya kiroho kuliko bidii niliyokua nayo katika maisha yangu ya mwilini. Namshukuru Mungu kwa ajili ya neema niliyopata kusikiliza somo hili, i am so touched 🙌.... Mungu akubariki Apostle
@godianmande49204 жыл бұрын
Mungu anirehemu kwa kuwa haki yangu ndani ya wokovu haijaivuka ile haki ya 'uandishi na ufarisayo' kabla ya wokovu. Kwa neema ya Mungu nitaishinda haki ya mafarisayo, Mungu akubariki sana #ChiefApostle kwa kazi yake!!
@angelkanoga21753 жыл бұрын
Amen nisaidie Bwana niwe na bidii kwako
@jamesdioniz32434 жыл бұрын
Amen nimekuelewa vizur Sana Mtumishi wa Mungu nimeipata Ufunuo nilikuwa sijui ila sasa nimeelewa, Mungu azidi kukutumia na akuinue zaid
@raphaellotilem4 жыл бұрын
Baraka mtumishi wa Bwana
@EndTimeCrusander4 жыл бұрын
My father my father sijawahi kuona umenikondolea macho hivi! Thank you servant of the Most High God for that timely word of REBUKE. I receive it in the name of Jesus and I ask for God's quickening grace . I wake up from sleep understanding that the days are evil
@bishopjacqueszirhumugisaja8042 жыл бұрын
Nilikuwa bingwa katika zamba naleo mimi nibingwa katika injili Askofu Mungu wako unaye mutumikia akubariki
@richardesther67384 жыл бұрын
Amina mtumishi, somo limeniingia, asante kwa kunivusha
@josephclemence44414 жыл бұрын
Amen asante ilisomo nimelielewa sana nanimelipenda🙏🙏🙏
@neemahamisi43024 жыл бұрын
Shalom watu wa ECG kwakweli Mimi niko TAG ila kuanzia nimeokoka sijawahi kuelewa Neno likihubiriwa Ila nikimsikikiliza chief naelewa Sana na nalifanyia kazi na nabadilika mf hili la waandishi na mafarisayo huwa linahubiriwa Sana lakini leo ndiyo nimeelewa vizuri Mungu ambariki Mtumishi wake naomba Mungu anipe juhudi katika kutenda mema na kushuhudia wengine amen🙏🏻🤝
@neemahamisi43024 жыл бұрын
Penda ECG💟
@irenealen95984 жыл бұрын
Karibu ECG karib San
@neemahamisi43024 жыл бұрын
@@irenealen9598 niko njiani nahitaji maombi yenu tuu ndio yatanitoa huku Mungu awabariki
@papilumona18964 жыл бұрын
Wamwabudio halisi watumwabudu kwa roho na kweli na sio sehemu .mtumishi amesema bidii yako nasio bidii ya mahali unaposalia .wala hajasema uhame bali wewe utafute haki yako
@neemahamisi43024 жыл бұрын
@@papilumona1896 ni kweli ila Mungu akisema huwezi kataa
@anjelithanjaulemsoffe40694 жыл бұрын
Amen hakika hili somo limenibariki mno
@upendoeliudi51964 жыл бұрын
Ameeeeeen barikiwa sana mtumishi
@suzanfusi38774 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa kutuelewesha ,hakika nimeelewa somo
@oliviarevocatus95404 жыл бұрын
Mwalimu wa walimu nabarikiwa na mafundisho yako my Apostle
@yohanasimtenda7484 жыл бұрын
Huyu Apostle ni Mwl hasaaa
@bethelionlinejpm18274 жыл бұрын
Mungu awariki sana
@joelsagide9607 Жыл бұрын
Mtumishi kwa mafunzo haya nikose kumjua Yesu kristo!!!!!
@mariahgaudence5434 жыл бұрын
Ee Mungu Mungu nisaidie niwe na bidii
@rosemarymallya44583 жыл бұрын
TEACH US🤲DELIVER US THROUGH GODS WORD🙌SASA NI WAKATI SAHIHI KWANGU KTK WOKOVU HAKI YANGU NA BIDII ZAIDI YA ILE NILIPOKUA DUNIANI🤲🤲HELP ME GOD🙌🙌🙌
@jacksonwambua26764 жыл бұрын
Ansate sana mtumishi
@victoriamahanga37814 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzur
@tigerchristmas54914 жыл бұрын
Mungu roho mtakatifu asante🙏🖐
@happinesstimothy61204 жыл бұрын
Amen amen apostle 🙏🙏
@apostlesammymutachicfc.37444 жыл бұрын
Apostle kwa kweli, unanibari Sana, nitamani Sana, kukutana nawe.
@jacquelinenyange55494 жыл бұрын
Thank you Apostle 🙏
@alicebeza26224 жыл бұрын
Nakufuatilia kwa makini chief Apostle 10G
@amosjeremiar80064 жыл бұрын
AMEEN APOSTLE
@clinton31682 жыл бұрын
Amina KUBWA
@queenmariana58874 жыл бұрын
Napenda vlee anaafusiri Bible 🙏🙏🙏
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Haleluyah
@essaukinunda31984 жыл бұрын
mie siku hizi napenda sana mafundisho yanayojikita zaidi katika biblia. ila wachungaji wengine ni story tu za ndoa, uchumi, utajiri, umaskini lkn kiroho changamoto kidogo,,,, hapo kweli unaweza ukaona umuhimu wa kubeba biblia maana baada ya dkk lazima uangalie kimeandikwa nini...
@rahabnkya82764 жыл бұрын
Nimepokea somo hili la wandishi farisayo na sadukayo (Torati),
@perfecttvonline65034 жыл бұрын
I connect
@dausonphilemon2704 жыл бұрын
Have mercy on me o Lord
@brigitamakoha99414 жыл бұрын
Amen
@amenlazimakieleweke11434 жыл бұрын
Ameen AmeenAmeen HALLELUJAH
@janetfrancis71804 жыл бұрын
Amina
@magrethmihonye55183 жыл бұрын
Mungu ni yeye yule jana, leo na hata milele. Tunajifunika damu yako YESU, tutendee sawasawa na mapenzi yako.