Sasa tuna Rais Mpya na uchaguzi ulikuwa wa amani na wa haki. Asante KMK Makuburi
@benimj23232 жыл бұрын
kizito nawakubari sana baraka munazo kama zote maombi yenu yamenifurahisha sana maana nyumbani walikua wameshaanza kuniita nirudi lakini nikawaambia mama wetu maria nikinga bola tutaishinda vita kwasasaivi tunamshukulu mungu nikirudi hom nitakuja ni jiunge na hii kwaya ya kizito kabisa mubarikiwe sana kizito
@nyamasyomaneeno45202 жыл бұрын
This choir needs a recognition by the Kenyan state for their love for us as a country. I think our citizens should recognize the need for peace before and after the elections through this beautiful voices blended to bring the message clear. Be blessed so much KMK Makuburi and all the time best composer MR. B.M.Mukasa.
@eaglestarmwendeisaac78822 жыл бұрын
Exactly 💯
@johnkabia3206 Жыл бұрын
Wao, very beautiful song to us Kenyans,st Kizito God bless you soon much
@mosesmusyem96122 жыл бұрын
Shukran zangu na Familia ziwafkie ndugu na dada zetu, majirani kwa ombi lenu kuliombea hili Taifa letu wakti huu tunapoelekea uchaguzi.Mwenyezi Mungu awabaliki nyote...Amina
@jedidahkisio78912 жыл бұрын
Asanteni sana wana makuburi udungu na udumu kati yenu na kenya milele.we are so much honoured and blessed to have such neighbours.more grace♥
@philipthyaka79182 жыл бұрын
Thanks so much KMK choir we appreciate you, may your prays be answered to bring good tidings to our nation kenya these crucial moments of our lifetime. We love you
@fransiscowaweru69612 жыл бұрын
Asante sana Wana makuburi kwa jitihada zenu ili kenya iwe na uchaguzi wa amani.thanks for your sweet voices ad God bless you as you continue preaching
@michaelmutua11072 жыл бұрын
Thank you so our dear brothers and sisters.....Aki mnatupenda sana, Mungu awakirimie zaidi. Tunawapenda sana na tunafurahishwa sana nyimbo na kila kitu chenu
@fayliz37462 жыл бұрын
Yaani huo upendo ❤️.Mungu aibariki hii kwaya daima
@immanjoki37452 жыл бұрын
Asanti sana watazania kwa kuombea inchi yetu ya Kenya...peace peace peace in our country
@hannahwmuriithi8942 жыл бұрын
I wish this song had a sign language interpreter so that even those with disability can have that message.....a good prayer indeed
@rebeccawandia62402 жыл бұрын
To the kenyans who feel that this elections will be very unique and different from others ,piteni na like,i mean hii uchaguzi imeombewa sana ,lord graciously hear us🙏🏼
@annastaciahkaiva17482 жыл бұрын
God bless you Jamaa zetu MKM Kizito Makuburi kwa kutuombea ndua kwa Maulana hasa tunapokaribia uchaguzi.Mungu atupe amani amani.
@SautiTamu2 жыл бұрын
Hongereeni KMK, kazi nzuri
@sabinawambui25302 жыл бұрын
mungu twakuomba utujalie uchanguzi mwema,sikia maombi yetu kupitia huu wimbo wa MKM,asanteni sana wana MKM,barikiweni
@patricknguli43222 жыл бұрын
St. Kizito makuburi asandeni Sana kwa maombi yenu mema, hakika tutakuwa na uchanguzi wa Haki na amani. Barikiweni sana
@constantinennonjela39222 жыл бұрын
Hakika Mungu wa kushukuriwa uchaguzi umepita salama asanteni wanakenya kwa kutimiza katiba yenu asante wanakwaya wa mt. Kizito kwa utume wenu
@rosemoile16322 жыл бұрын
Mungu Nakuomba uzidi kubariki wanakmk Katika umbaji wao.Amina Majirani wakarimu kweli
@mikey_karuko2 жыл бұрын
Jamani Mungu awabariki Sana Ndugu zetu kutoka Tanzania,we are humble to have you as our Neighbors
@erickernest999 Жыл бұрын
Even Kenyan can't made a Good song like this. Ow guy Kmk mmeweza kwakweli yani mmewapenda kuliko. Mmewaimbia Song mzuri ambayo hata who wenyewe hwakuwahi kufikilia kuutunga.hapo awali. Congratulations to all
@DavidNjagi-g6pАй бұрын
5:06 ilove the way these men an women are gifted, keep the gospel work moving
@kennethmuthini32502 жыл бұрын
Najipata katika ile hali ya kudondokwa machozi ninapoimba kwa kichinichini huu wimbo.... sala zenu ndugu zetu watanzania zinatufaa sana kipindi hiki... asanteni MK
@joycechelulei51942 жыл бұрын
Asanteni kwa kutuinua juu Kwa maombi...yatupa utulivu tukiona vile mwatukumbuka. Mungu azidi kuwabariki waTZ. Twawapenda sàana 💖💖💖💖💖💖💖💖💖
@jaredkitili44202 жыл бұрын
Amina..Tunashukuru sana ndugu zetu wa🇹🇿🇹🇿..Mola awabariki sana injili izidi kusonga mbele...#ujiranimwema at it's best
@lilianalara80072 жыл бұрын
Asanteni kwa maombi mungu ameyasikia maombi yenu kwetu wakenya🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@stephengichohu93782 жыл бұрын
Asanteni ndugu na dada zetu kutoka TZ hata sisi tunataka uchaguzi wa Amani.great angelic voices
@hildaodongo6262 жыл бұрын
Akika upendo wenu wana mukuburi kwetu hamna kipimo asanteni sana kwa kutukumbuka kwa sala be blessed too
@djkollokollinstrumental50662 жыл бұрын
Mungu awazidishie baraka mnapoitenda kazi ya kuhubiri kupitia uimbaji. Shukrani za dhati kutoka kwetu sisi Wakenya. Hakika uchaguzi utakuwa wa AMANI...!
@teresamorara54072 жыл бұрын
Tunawashukuru sana kama wakenya kwa maombi yenu Mungu awabatiki sana 🙏🙏🙏
@janemwangi60652 жыл бұрын
BABA ULIYE MBINGUNI SIKILIZA SALA ZA WATOTO WAKO KULIOMBEA TAIFA LETU LA KENYA, NASI WANAKENYA TUNAOMBA MUNGU ASIKIE SALA ZETU ZOTE AMINA AMINA AMINA. KMK MUNGU AEDELEE NA KUWALIDA NA AWAMBALIKI PAMOJA NA FAMILIA ZENU. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏FROM QATAR
@vincemnatishow63812 жыл бұрын
We love you kwaya ya mtakatifu makuburi ,,,,tuwe na uchaguzi mwema wakenya
@dannjoroge20022 жыл бұрын
Shukrani kwa maombezi yenu❤
@lisabeshy78942 жыл бұрын
May God bless you kwa upendo wenu mnao waonyesha wakenya, Mungu azidi kuwapa upendo nabaraka tele na mzidi kumtukuza kwa nyimbo zenu hizi nzuri
@pharilenelima4014 Жыл бұрын
May our father in heaven bless this choir for us .. Thanks so much mkm choir for the unique love towards your neighbouring country and you are indeed part of the reason we are enjoying peace..We Love you back our good friends indeed..🤣🤣 my pretty Matilda always smiling.. Mrs mukasa really proud of her son Vinnie 👌👏👏🙏
@rebeccawandia62402 жыл бұрын
Yaani napenda tu hii kwaya bure,,,sisi kama wakenya tunawapenda ,twashukuru sana kwa maombi yenu.mungu awalinde pia
@Patrick_Mndeme2 жыл бұрын
Mungu Ibariki Afrika, Mungu Bariki uchaguzi wetu Mungu tunakuomba
@rosemwaura97872 жыл бұрын
Asanteni sana tena na tena Ndungu na Dada zetu. Twawapenda sana pia ....
@oliverwabwire2836 Жыл бұрын
Ama kweli, undugu ni kufaana sio kufanana. Asanteni sana ndugu zetu Watanzania kwa dhamana hii yenye upendo halisi. This does elicit such a deep vibe.....may you all be blessed right back🙏🙏🙏
@purityfatuma35832 жыл бұрын
Kupedwa rahaa jemeni ❤️❤️wapi like za wakenya
@kalokijohnbosco69592 жыл бұрын
Mungu awabariki sana Kwa kuiombea nchi yetu kweli ndugu ni kufaana....asanteni sana
@denomaluki56442 жыл бұрын
Tunashukuru sana. Tunapendwa sana. Asanteni Tanzania.
@ceciliahkauchi71112 жыл бұрын
Thanks Makuburi kwaya.... Fabian and Hansi big up
@wkjshsxbbsbs63922 жыл бұрын
Am humble, thanks for your prayers may there be peace in Jesus name
@johnkabia3206 Жыл бұрын
Hongela wanakizito, ahasanteni saana, Terry kutoka Nairobi
@josefmojo2 жыл бұрын
Kutoka Kenya,Ahsanteni sana Wanamakuburi..Na Mungu ayasikie maombi yenu.
@maryannewambua97862 жыл бұрын
Na maombi yakamfikia Mola. Wooooooow baraka iwe nanyi pia
@Mamie2862 жыл бұрын
Thanks 4 yr love our neigbours..majirani wema Mungu awabariki.
@nyachaeomwoyo31722 жыл бұрын
Twashukuru Wana makaburi. Kenya iko imara kupitia maombi yenyu. Mungu bariki Kenya na Tanzania
@lillianwairimu96912 жыл бұрын
MAPENDO DAIMA🙏🙏 Mwenyezi Mungu awabariki pia kwa Kila Jambo mfanyalo.. Asanteni Sana dear Bros & Sis from TZ Continue spreading love ❤️, peace ☮️ & unity .. love from 🇰🇪🇰🇪
@irenematari62182 жыл бұрын
Si mnatupenda wajameni, asanteni sana nyote kwa maombi haya
@gladyssala80892 жыл бұрын
Asanteni sana ndugu zetu watanzania kwa Sala zenu kwetu Wana Kenya. Mungu atujalie yote kwa mapenzi yake
@Catholic_Lyrics12 жыл бұрын
Amina 🙏 Asanteni Sana ndugu zetu watanzania kwa maombi yenu. Mzidi kutuombea uchaguzi umekaribia. Nawapenda Sana. Mungu awatunze na kuwalinda
@joycewangui65972 жыл бұрын
Asantaeni sana Wana Makuburi nini ninyi ni shemeji wangu damu nzito kuliko maji
@veronicamugo34872 жыл бұрын
For sure our Kenya is peaceful thanks for your prayers,my choir to the world.
@cleophasomondi54752 жыл бұрын
Asanteni sana kwa maombi Wana makuburi.... Ee bwana tunakuoomba utuskie
@evansileli16802 жыл бұрын
😭😭😭we Thank GOD for your prayers our neighborhood country Tanzania. 🙏🙏Wanakwaya wa mt.kizito makuburi MUNGU awabariki Sana Sana. 😭😭🙏 Nakuomba MUNGU Uiongoze taifa letu tuwe na uchanguzi wa Amani na upendo Kwa jamii zetu na Kwa kila mkenya mzalendo.
@alexnjuguna59422 жыл бұрын
Ahsanteni saana. Kwa hakika Mungu anatupenda kwa kutupa majirani wema watukumbukao kila muhula na wakati. Tunaomba Amani, umoja na upendo utokanao kwa Mungu baba uzidi kuenea pande zoote nchini na Dunia kwa jumla.... Ameen
@frediekyalo3882 жыл бұрын
Wow wimbo safi kabisa. Hongereni wenzetu kwa kitumbuka
@eunicechepkemoi3159 Жыл бұрын
Mt. Kizito Makuburi: My favorite choir of all time, endowed with powerful, angelic voices. Thank you for praying for the people, the leadership, the peaceful election and the peace of the Republic of Kenya. God bless.
@maureennzioka1712 жыл бұрын
Asanteni sana wana makaburi kwa upendo wenu mungu awabariki na aibariki inchi yetu Kenya tuwe na peaceful election
@mathewonguti37662 жыл бұрын
Asanteni kwa maombi yenu, wimbo mtamu mungu awabariki , sifa na utukufu kwa mungu. 🙏🙏
@PhilipOkello-p7l Жыл бұрын
So nice song to our beautiful country Kenya 🇰🇪. I intervin God's grace and blessings to our leaders and all Kenyans
@monicanyagari9252 жыл бұрын
Ndugu zetu Wanakwaya wa Makuburi., Asanteni sana kwa sala zenu na Maombi yenu. Mwenyezi Mungu awazidishie neema zake. Tunawapenda sana. You are a God send angels at a time we needed you most. Be blessed.
@fl117372 жыл бұрын
Eee bwana twakuomba utusikie🙏🙏
@domitilamadeleke55452 жыл бұрын
Hongereni sana Makuburi mmeinjilisha vizuri katika uchaguzi huu wa Kenya be blessed
@lucykitela66622 жыл бұрын
Ee Mungu mwenyezi na liwe hivyo, Mapenzi Yako yatimie, baraka nyingi Kwa waimbaji was makuburi, Amen
@lovinevallary13352 жыл бұрын
Asanteni Sana kwa kutujali,Mungu awazidishie Neema.Tunawapenda Sana .
@jenifferogoba36422 жыл бұрын
Ooh my.....kitu safi🔥🔥🔥mbarikiwe sana twawapenda🙏
@BonfriInsuranceAgency2 жыл бұрын
Maombi imemfikia Mwenye henzi. Shukrani tele.taamu isiyokifani
@milairyn25492 жыл бұрын
Thank you TZ for the love 💕 thank you for the prayers 🙏🙏🙏Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪is blessed na tutadumisha amani kwa uwezo wa Mungu
@ciekagiri32862 жыл бұрын
Our God heard and answered your/our prayers. 🇰🇪🇰🇪 All glory to God the Father, Son & Holy Spirit now and forever. Amen!
@natrinemweha86252 жыл бұрын
😭😭😭, i shed my tears by listening this, it's not just a song but a very strong prayer....Asanteni sana wana kizito, you knew very well that we needed God in our elections, that's the love we want in East Africa, Africa nzima and the whole world.
@Superfly254 Жыл бұрын
Mtu anipeleke Tanzania aki ata kama ni Misa tu moja nishuhudie
@marywahome77942 жыл бұрын
Asante Sana wanaKMK, Baba tunaomba utusikie, amina. 🙏🙏
@henryoreo22832 жыл бұрын
woow.. ata kutumia the famous mimina attire on this prayer is enough love and respect.. thenks wanaKMK🙏
@annkyeki59722 жыл бұрын
Asanteni sana ndugu zetu wa Tz. Mungu amesikia sala zetu. Ni Mungu hakika
@johnsimiyu77002 жыл бұрын
Asante sana ndugu na dada zetu kwa upendo wenu kwetu,Mungu awabariki sana
@josephabunde54802 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu bariki Kenya yetu tuwe na amani siku zote na tujiliye viongozi wema wanaokuheshimu.
@veronicamusyoka76372 жыл бұрын
Asante sana ndugu zangu kwa maombi yenu mungu na azidi kuwabariki nahakika mungu atasimama na nchi ya kenya
@rina19952 жыл бұрын
First here.... Asanteni
@joycewangui65972 жыл бұрын
I just feel like you praying for my kids whom their dad is your brother
@nyangalaann21562 жыл бұрын
Shukran za dhati wana Kmk Makuburi hakika undugu ni kufaana twashukuru sana kwa maombi yenu from your mouth to God's ear's mbarikiwe saaaaana
@GodwillAkilimali2 жыл бұрын
Uchaguzi mwema kwa ndugu zetu
@bonifacenyati20392 жыл бұрын
I am in love with the spirit of KENYA. I am reminded of the Bible passage, “if my people, who are called by my name, shall humble themselves, and pray, and seek my face, and turn from their wicked ways; then will I hear from heaven, and ..” 2 Chronicles 7:14. - You have recognized your SINS, sins of tribalism, division etc - You have humbled yourselves as a nation - You have sought GOD’S face - AND you have prayed - And I hope you stay on the God path Well done Kenya! Let this be replicated across AFRICA
@veronicanjogu3622 жыл бұрын
Thanks so much our dear neighbours wana makaburi you are really true neighbours and true freinds....we are humbled and may our good lord continue blessing you .......Asanteni sana
@Rafaeljay76.2 жыл бұрын
Asanteni sana majirani wetu...udungu ni kufaana🇰🇪🇹🇿
@simonthongori85862 жыл бұрын
Barikiweni sana dugu na dada zetu kutoka Tanzania 🇹🇿, Hakika nyinyi ni zaidi ya majirani.
@rosemalaba52052 жыл бұрын
AMEN,AMEN.ASANTENI SANA WANA MAKUBURI.
@puritykiende2332 жыл бұрын
I love you choir.Nimelia kidogo.mungu awabariki
@perpetuahmungai59882 жыл бұрын
Thank you so much for your prayers KMK. This means a lot to us Kenyans. God bless you abundantly.🙏🙏🙏
@morinkinga65602 жыл бұрын
Wow! Wow! Kenya mikononi mwako. Lovely lovely. Thanks so much kmk. Mungu ameyasikia maombi yenu kwa taifa la Kenya
@esthermaina53822 жыл бұрын
Amina Amina Amina Asante kwa maombi yenu Mungu azidi kuwambariki
@luciakaveke30502 жыл бұрын
Thank you so much MKM 🇰🇪🇰🇪
@teddymulu23642 жыл бұрын
Love for this flag🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@moseeblessed36802 жыл бұрын
thank you Tanzania for the love 💕💕💕💕
@Martinez84752 жыл бұрын
Mungu mbele. Shukrani za dhati kwenu ndugu wana KMK.
@cherymwende72202 жыл бұрын
Asanteni sana Kwa kutujali na kutupenda....mapenzi yenu kwetu ni ya dhati kuliko hata zetu sisi wenyewe...ndugu wa kweli wa kufaana sana 💜
@davidjeremiah44782 жыл бұрын
This means a lot to us as a country. May God continue blessing you KMK. May you continue blessing us with those nice songs and voices you have been blessed with. We continue to pray for peace in our country, let us live as brothers and sisters of one nation. #KENYA TUNAYOIPENDA
@stellanjunwa92412 жыл бұрын
Reminds me this line in your national anthem, Nchi yetu ya Kenya tunayoipenda, tuwe tayari kuilinda. Mungu amsaidie kila mmoja wenu awe tayari kuilinda Kenya na watu wake. Amani itawale katika uchaguzi ujao. In our prayers
@SirMePsalmy77112 жыл бұрын
Asanteni sana wana Makuburi Choir kwa maombi yenu. Mungu awabariki sana
@lydiawabule62912 жыл бұрын
Tunawatabua huku Kenya ur Heroes. May God bless you so much.
@janeakinyi30202 жыл бұрын
What more can I say to my fellow KMK Makkuburi choir a BIG THANK YOU THANK YOU THANK YOU.
@LynCvlogs2 жыл бұрын
Thank you so much.You guys need a state recognition here in Kenya. The song "Tunakuja Nairobi"left me emotional 👏👏👏 The love you've shown us is amazing🙏🙏 God bless Tanzania🇹🇿🇹🇿🙏God bless Africa🙏🙏 Wakenya tudumishe Amani na undugu Kati yetu,uchaguzi usitutenganishe.. let's be our brother's keeper. #preachpeace