Kenyans tufanye huu wimbo uende viral we really need this now. big love my favorite choir KMK🥰🥰
@janemwirikia68172 жыл бұрын
Let us share share
@paulinelokuruka7598 Жыл бұрын
Thanks St. Kizito Makuburi choir we are all equal in God eyes so we are all God children despite of our tribes, regions or riches be blessed my best Catholic choir for the beautiful song
@mykendoch Жыл бұрын
Mbarikiwe saaana St Kizito . sikujua mnatupenda hivi jameni . During my holiday i will visit your church 💙💙. I love your choir Alot a lot.. Mubarikiwe all the way from Kiambu
@nicegichuki82362 жыл бұрын
Aminaaaa. Kenya ni yako Mungu Mkuu.🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Asanteni majirani wetu. God bless Kenya God bless Tanzania and the whole world.
@evelynnjoroge3491 Жыл бұрын
Thank you . God bless Tanzania for this great love. Amina
@kmkmakuburi Жыл бұрын
Thank you too
@georgewebstar34552 жыл бұрын
Wimbo safi sana, mnaliimba Kwa uzalendo mkuu nikama ninyi ndio wakenya...... Shukrani sana kwa kutupenda hivi...
@Superfly254 Жыл бұрын
I pray that before my time ends on this earth I visit your church in Tanzania and hear you guys sing in person much love from Nairobi
@marywaititu3506 Жыл бұрын
Who is still here in 2023 cz can't get enough of this Song. Mungu awazidishie Baraka wanatanzania
@evon80672 жыл бұрын
Kenya ni ya Mungu .We are even more blessed to have Tanzanians as not just neighbours but brothers and sisters..Much love ❤❤❤❤
@catherinemwangi72822 жыл бұрын
Thank you God for our neighbour is praying for us Kenyans especially when we are most vulnerable. Asante kwa kutukumbusha eti mama Africa ni mama yetu sote, watoto ana wengi wa makabila mbali na mataifa mengi pia. Asante Tanzania God keep blessing us in the eastern Africa region with love and peace. Shalom shalom shalom amani kwenu nyote.Mama Maria awaombee na si pia. Amen
@benedictbigawa59762 жыл бұрын
Late us join together and pray, for fare and peaceful election. Tubaki tuki tukifurahi Kama ndugu tunawapenda ndugu zetu
@evansileli16802 жыл бұрын
Wow!!!!! 😘😘💕🥰 Hakika Kenya nchi yangu,Ni ya Mmoja. KMK makuburi choir Mwenyezi MUNGU awape nguvu imara na kusimama na Nyinyi Kwa kila KAZI ambayo mwaitekeleza Kwa pamoja kama kikundi na Awaongoze vyema Kwa Maisha yenu mkimtumikia Kwa kumsifu kupitia burundani ya nyimbo. I love your songs my fellow neighbor country Tanzania. Huu wimbo wenu umetufikia vyema na tukajua Tanzania mwatupenda Sana ,,kama nchi ambayo iko karibu na Sisi na nchi ile tunaeza Lilia tukiomba Maombi nchi yetu Kenya. Hii wimbo umenikubusha mengi Sana na kunifuza mengi mengi Sana na kutafakari kwa undani mwangu. 🙏🙏I say Thank yo, thank you and Thank you. GOD bless you more . Mimi Ni mwanakwaya wa Jimbo la nairobi but mmefanya nikawa na NGUVU mingi Sana ya kuzidi Kumuimbia MUNGU wangu Sana. Aki barikiweni Sana 😭 we love you so much wanakwaya wa Mt.kizito. Nimemuona Mwalimu mkuu wenu Ambaye na mjua Sana Bernard mukasa Kwa hii kanda yenu. Hongera Sana Mwalimu B.M Kwa utunzi wako mwema wimbo twaujua KENYA YA MUNGU Mmoja. Zidi kubarikiwa Sana Mwalimu na Wanachoir wako wote,na pamoja na familia yako. Evans from kenya
@janemwangi60652 жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya wenzangu kutoka nchi jilani kwa mama wetu mpoa mama Samia suluhu, naona mnajiadaa vilivyo,na wimbo wa UPENDO karibuni KENYA. NAEDELEA KUWAOMBEA SAFARI JEMA IFIKAPO WAKATI WA KUKUTANA NA WAKENYA KUOMBEA UCHAGUSI UJAO. MUNGU AEDELEE NA KUWALIDA NA AWAMBALIKI. AMINA AMINA AMINA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bernardsyengo6772 күн бұрын
Heri kwenu Mt. Kizito kwa maombezi yenu kwa taifa letu la Kenya.
@eventinyari36452 жыл бұрын
Kongole! Ndugu zetu watanzania kwa kutufikiria si wakenya. Baraka!!!
@CarenMakori6 ай бұрын
Asante sana Wana kwaya mt kizito kwa wimbo mzuri kwa kutukumbuka wakati inchi yetu ya kenya tunakabidiwa na janga hili la Vita mungu tupiganie
@margaretnguru73162 жыл бұрын
Asanteni sana wana KMK wimbo mzuri sana Kenya ya Mungu mmoja
@constantmukhebi93442 жыл бұрын
Am a Kenyan living in Ghana just moved from Tanzania!! I love the love our Tanzania brothers and sisters have for us, God bless Kenya, God bless Tanzania
@malvinmidika46872 жыл бұрын
the goosebumps as i listen to this song is just at another level ...asanteni Wana Tanzania kwa kutujali. Mungu awalinde na awabariki
@gracewamaitha73822 жыл бұрын
Absolutely overwhelming friendship, Absolutely Amazing song thanks our beautiful neighbors Tanzania for standing with us , proud to be a Catholic 🙏🙏🙏🙏🙏
@roselynedeche60862 жыл бұрын
Wonderful! Thank you for the love Mungu azidi kuwajalia afya njema ili muzidi kumuimbia na kumsifu siku zote. Nice song, voice iko 👌. 👏👏👏
@canisiuspeter7832 жыл бұрын
Praying and standing with us when we are most in need. What a good and caring neighbour Tanzania.Tunawapenda sana
@peterfrancis6712 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa utume uliotukuka, hakika mmefanikiwa kuimarisha uhusiano mzuri baina ya Kenya na nchi yetu Tanzania
@njeveh Жыл бұрын
Asanteni sana ndugu zetu watanzania kwa kuwa majirani wema na kwa maombi yenu. Mungu awabariki sana
@jeypiikeya2 жыл бұрын
Mwatupa nisi waKenya mtihani mgumu kutinga nyimbo yenye uwepo na karama kama hizi. Heko hatujapoa na tunzo lenye Tunakuja Nairobi kusali boom mshalipua jingine... Heko sana. Hii kiswahili si yangu ni ya mkopo. Mapendo tunaposali mara mbili kwa kuimba..
@tumainimongi2 жыл бұрын
Usijali Ndugu, tunakuelewa vizuri sana. Mungu ni mwema Kila wakati. Watz tunazidi kuwaombea muwe na uchaguzi wa Amani. "Kenya Moja, Mungu Mmoja"
@Adips121282 жыл бұрын
We thank God for giving us very wonderful neighbors like Tanzania .... We love you guys 🇰🇪
@josephmuriithi60672 жыл бұрын
am Joe Muriithi. AHSANTENI SANA Ndugu zetu kwa haya Maombi. As you know Ndugu zetu, when you sing, you pray twice.Am sure The Almighty God we hear your prayer. KMK Choir spot- on. GOD BLESS you all ABUNDANTLY.am Joe Muriithi one of your ardent supporter
@vyolamargaretakinyi49702 жыл бұрын
Tanzanians still remain to be real Africans! Their love for other people is still withheld... 💞💞💞Thank you KMK 🌹💓
@kareenamwikali40982 жыл бұрын
God bless Mt kinzito makuburi na watanzania wote for the love 🥰😍karibu Kenya we love you 💕💕
@justineobwaya72192 жыл бұрын
🙏🙏🙏 am really humbled for what you did to this nation. Especially in queen of apostles makadara yesterday. Msipohudhuria harusi yangu sitakuja tulivyozungumza. Mukasa yashike hayo maneno 😀😀. Mlikuwa baraka kwetu na mzidishiwe kabisa sauti tamu za mbingu 🙏🙏🙏
@emmaloko42452 жыл бұрын
asanteni sana wana KMK...wimbo ulio na funzo nzuri sana .Wakenya hakika tunaomba Amani.
@NeneTresorPaul Жыл бұрын
Nawa penda sana ila akuna uwezo wakufika uko
@boniemawira69712 жыл бұрын
Nafurahia sana Jinsi ndugu zetu waTanzania wanavyohubiri amani hasa kwetu sisi Wakenya tunapoelekea uchaguzi .Mungu awabariki zaidi.
@augustinekimkagua2 жыл бұрын
Amani yangu amani yako from ctk githurai Asanteni kwa kututembelea na kutakia amani Mungu awabariki 🙏🙏🏼
@yuyutiub19432 жыл бұрын
Wow!!!! Asanteni sana ndugu zetu waTZ! Tanzania my second home! Wakenya mko wapi!?
@sangiikyaloz2 жыл бұрын
Hakika Kenya ni yako eeh Mungu. Much love from Kenya, we feel loved and valued by you our brethrens from Tanzania 💓❤
@LucyMKyalo2 жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@evansileli16802 жыл бұрын
Am here and thank you so much for your wonderful song. 🙏🙏Much blessings from GOD you guys.
@veronicasyombua61932 жыл бұрын
Mungu awazidishie baraka ndugu zetu Watanzania kwa upendo mkuu mlionao kwetu Wakenya.personally nawapenda sana,Mungu awamiminie baraka zake zisizo na kifani hatuna zawadi kubwa la kusema asante ya kutosha kwenu ila kuwasemea dua Jalali azidi kuwajalia mema na kukuza vipaji vyenu
@richardmakuthu486852 жыл бұрын
Kenya ya Mungu Mmoja Asanteni Mt Kizito Makuburi Napenda Venye mnaimba
@carolinealexandriambaire85932 жыл бұрын
Asante Majirani wema Tanzania for praying for us in Kenya 🙏🙏🙏. Mungu awabariki tena na tena.
@amourwcwchia2 жыл бұрын
Ishara ya upendo mkuu toka Tz kwa minajili ya taifa la Kenya. Mola abariki kazi ya mikono yenu ama tuseme sauti zenu. KMK nawaenzi sana 🖒
@wokojuma83102 жыл бұрын
A Very prayerful song. Thank you KMK. To all my Fellow Kenyans this song should be sung at the end of every Mass celebration till after the general election. God bless KMK Makuburi.
@AnthonyMbane Жыл бұрын
Much love to our brothers and sisters from Tanzania we really appreciate for your good work mungu azidi kuwajalia 🙏🙏
@anthonynziokikimeu60232 жыл бұрын
Baptised and sent to preach peace...always loving neighbours. These guys should be invited to one of the state functions to reinforce this message.
@mwengasam14272 жыл бұрын
One of my favorite choirs.Am amazed how we Christians spread love and care beyond borders.Thank you for remembering my dear country in your prayers.Kenya belongs to God indeed.
@raphaelotuke94752 жыл бұрын
Wana KMK mkiongozwa Bw Mukasa God bless you. Please nawaomba kama mtaweza pata nafasi jameni mkuje Embakasi barracks kanisa linaloitwa Holy Rosary catholic jameni tutashukuru sana tukiona macho kwa macho nyimbo zenu zimekubalika hapa Kenya
@erickmugia5202 жыл бұрын
now as a kenyan, i recommend this to be our second national anthem🙏🙏
@theresiajoseph19432 жыл бұрын
My favorite choirjmn ,hongereni Sanaa🔥
@jasujoseph63152 жыл бұрын
Wanakwaya Mwenyezi Mungu awabariki sana na Karibuni sana.Kenya.mbarikiweni sana kwa sauti nzuri za kumsifu Mungu.Tunawasubiri sana
@JustusNyamongo6 ай бұрын
...am overwhelmed listening to this beautiful song, asanteni sana KMK...Be blessed.
@michaeltutah532 жыл бұрын
Tamasha limekuwa la kufana sana hapa kwetu. Huu ndio ujirani mwema. Twawatakia mema kwa yote mtakayoyatekeleza siku za halafu katika uinjilishaji kupitia kwa nyimbo hizi tamu.
@Francis.Safari2 жыл бұрын
Hongereni sana wana Makuburi. Tunawapenda sana. Maombi yenu na yatakabaliwe Leo Leo. Kenya moja, amani iwe msingi kweli.
@jemo52612 жыл бұрын
Amina. Mungu awabariki sana kwamaombi Yenu katika nchi yetu ya Kenya.Mungu aibariki Kenya Mungu aibariki Tanzania
@aidahnjeru69693 ай бұрын
Where have I been????❤❤❤
@dericnyakundi43142 жыл бұрын
Thanks for remembering Kenyans God bless you for your good work and also pray for Ukraine in Jesus name amen
@paedsresus Жыл бұрын
❤❤ God bless MKM and all Tanzanians! Thanks for praying for us our dear brothers and sisters. Tunawapenda sana!❤❤
@MajendaMajay2 жыл бұрын
Tanzanians are full of love❤️Thank you so much KMK Makuburi🙏
@francisdeus80622 жыл бұрын
The one who sing, fortunately prays twice, thank you St. Kizito choir from Makuburi Tz.for your praying to our neighbour Kenya peace.
@isaacsheen40542 жыл бұрын
Asanteni sana Wana Kizito kwa Nia yenu Njema kwetu sisi WaKenya. Mungu Awabariki.
@francisngahu82802 жыл бұрын
What a wonderful gift to Kenyans. Asante na hongereni sana
@dannjoroge20022 жыл бұрын
Shukrani sana majirani zetu.😍😘🎶🎹🎼🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@tabswanjiru4628 Жыл бұрын
I love this choir, i love Tanzanians. Katoliki dini yangu.
@bernardmaia58232 жыл бұрын
Njirani wetu wema Tanzania twawapenda na kuwapenda.
@davidnchoji2 жыл бұрын
Sina cha kuongeza hapa, I really love you guys too much ❤️❤️❤️
@romes-tz73232 жыл бұрын
Saut nzur ,mziki sanifu ladha zakipekee💯🇹🇿
@Theearwin254-l9n2 жыл бұрын
am in deep love with this choir..I love you much from jkuat Kenya,KMRM catcom choir❣️❣️❣️❣️❣️
@udakukanairo27042 жыл бұрын
Thanks for representing our catcom group 😊😊
@samuelekiruh2 жыл бұрын
Huu ndo ujirani kamili. Ahsanteni sana kwa sala zenu. Mungu na azidi kuwabariki 🙏
@annmwende26322 жыл бұрын
Wow thanks Tanzania,,,aki you guys adopt me niwe mmoja wenu🙈I love your music kmk,,,asanteni
@christinendambuki6522 жыл бұрын
Thank you for your prayers and commitment to pray for our nation.We're desperate and in dire need of your prayers especially before and after elections.God bless you for your love.
@dariusorao60392 жыл бұрын
My choir ever..... eeee bwana tukumbuke Kenya........ We thank you our neighbor brothers and sisters hongereni Tanzania
@pauljuma61542 жыл бұрын
On behalf of my Kenyan brother's and sisters, I warmly say Thank you, Asante sana Tanzania kwa kuiombea amani nchi ya Kenya.
@liliankinyanjui67562 жыл бұрын
Sisi ni wako mungu,hatuna kilicho chetu, Asante kwa wimbo mzuri,mungu awabariki, Mungu bariki Kenya 🙏
@evansgicharu66012 жыл бұрын
Thank you for your love through what you do best. My favourite choir.
@paulinemwangi20459 ай бұрын
Waaaah what kind of love❣❣❣
@davidmumo38642 жыл бұрын
Hii ni kazi nzuri. Muzidi kutuombea tuwe na uchaguzi wa amani na upendo. Mungu awajaze kwa kutujali.
@martinmurimi52402 жыл бұрын
USAWA HUUA KUUNGANA!! Shukrani kwa wimbo mzuri Makuburi.
@glorianduku95672 жыл бұрын
asanteni sana 🇹🇿🇰🇪 kwa kutukumbuka wakati huu wa uchanguzi, true you are more than neighbours, but our brothers and sisters, sifa na utukufu zimrudie Mungu 🙏🙏🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪
@scholasque80452 жыл бұрын
Jaman hongeren nilitaman kufika na nimekua Kenya hii kwaya naipenda jaman
@deniznyiguy9242 жыл бұрын
Asanteni sana Watanzania kwa kuungana nasi kuiombea nchi yetu
@carolinemutheu15422 жыл бұрын
We thank you for having such a wonderful country neighbour, may the Lord continue bless you so much as you pray for us Kenyan 🇰🇪🇰🇪
@toppieakinyi12132 жыл бұрын
Ahsanteni sana kwa upendo wenu kwetu sisi waKenya. Mwenyezi Mungu awabariki.
@mercywanjiru23562 жыл бұрын
Mungu Na Asikie Maombi Yetu Wote Tukae Kwa Amani ❤️🇰🇪🇹🇿
@davidkamau17152 жыл бұрын
This got me so emotional. Asanteni sana ndugu zetu Watanzania. Kwa kweli Kenya yetu ni moja, Tanzania pia ni moja. Tunawapenda sana. Mzidi kubarikiwa
@fredmhiche36142 жыл бұрын
Superb!!!!Hongereni sana kwa kazi nzuri iliyotukuka!!!
@kimirungu29302 жыл бұрын
Mungu aibariki kwaya hii tunawapenda Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@maryannewanditu27132 жыл бұрын
This is our anthem right now,kenya ya kabila moja thankyou so much my favourite Mungu awazindishie baraka zake
@mceerickymbesa15972 жыл бұрын
Twawakaribishaa!!! Karibuni Kenya. Thika twawagoja kwa hamu
@maureenmowakimani2 жыл бұрын
Amina message home ifikie kila mkenya asanteni na hongereni
@nicho122 жыл бұрын
Beautiful song with great message of unity during the election season. God bless this choir from Tz.
@ibel4lf2 жыл бұрын
Nyie ni kwaya yangu pendwa sana Mungu awatunze nawapenda sana
@ireneakello20542 жыл бұрын
Sisi sote ni Wako, MKM Makuburi, nawapenda bure
@franklinkirimi7816 Жыл бұрын
From dust we were made and to dust we shall return...we all belong to one God,let's love be our shield forever❤❤❤
@johnmwadime88512 жыл бұрын
Asante za dhati kwa mtunzi na waimbaji wa wimbo huu ulio na uzito sana kwa taifa letu la Kenya haswa kipindi hiki cha uchaguzi. KMK, Makuburi you have a big place in my heart❤️.. na palipo maajaliwa nitawatembelea.siku za usoni.Salamu kutoka Ujerumani💕
@ianmukala2 жыл бұрын
Hakika Tz hutuombea mema kila wakati. Mungu awabariki sana
@violahmitei55422 жыл бұрын
Kenyans we really needs this now, lets show love back by subscribing and liking and sharing this song.... God bless you MTK 🙏... THIS LOVE IS ON ANOTHER LEVEL 😭😭
@MerrySaimon Жыл бұрын
❤🙏🙏
@juliustarimo12572 жыл бұрын
Very impressive, ujumbe mzuri Sana kwny uchaguzi wa majirani zetu.
@ryterberyl78142 жыл бұрын
I wish Kenyans would appreciate 🤗their efforts 👌 I love ❤ 😍 💖 ❣ this KMK God bless Kenyan
@kennethnuma73692 жыл бұрын
This is definitely one of your most amazing songs. I've listened to it like 100times. This should be a message spread by every mouth. Thank you MKM. You always bless us with your songs and your heavenly voices. Mungu awazidishie neema yake. I love each one of you.
@rosenyabokee22092 жыл бұрын
Thanks for standing with Kenya and continue praying for us. May the Almighty God bless you all for this good work you are doing.
@martinnganga46872 жыл бұрын
Ujumbe mwafaka kabisa kwa Wakenya wote. Asanteni sana ndugu zetu KMK kwa kusali pamoja nasi. Karibuni Kenya.
@vaneazael53642 жыл бұрын
Don't know why am shading tears 😭😭😭,this is love in another level....Asanteni ndugu zetu
@simonlyavatwa40222 жыл бұрын
Mnajua Sana mpaka mnakera Tena mnaboa Sana 😁 stay blessed watumishi