Mt. Kizito Makuburi - Amani na Salama Tanzania (Official Music Video)

  Рет қаралды 26,661

KMK MAKUBURI

KMK MAKUBURI

Күн бұрын

Пікірлер
@vicentemmanuel229
@vicentemmanuel229 4 күн бұрын
Very nice waimbaji kwa kuliombea taifa letu Mungu azid kuwaongoza na kuwabariki🙏🙏🙏
@thomasnduva9662
@thomasnduva9662 Ай бұрын
Naona makuburi wamezaa Wanakwaya wapya.good job
@hillary6762
@hillary6762 16 күн бұрын
This is such a powerful patriotic song about peace and serenity to Tanzania. God bless Tanzania and KMK MAKUBURI. Thank you for your great songs
@JosephineMallya
@JosephineMallya 26 күн бұрын
Natamn kuusikiliza kila saa
@lameckmeshack3881
@lameckmeshack3881 25 күн бұрын
Hakika inapendeza
@peterjohn5509
@peterjohn5509 21 күн бұрын
Bonge la song, hongereni sana kwa kazi tamu kama hii
@JohnVicent-d9g
@JohnVicent-d9g Ай бұрын
Wimbo mzuri mtamu hakika mnaweza mpaka mnaweza tena mungu aendelee kumiinua kwa viwango vya kimataifa tunamipenda sana
@restitutapaulfyeka4969
@restitutapaulfyeka4969 26 күн бұрын
Najivuniaga sana hii kwaya❤🎉🎉Mko vzr sana🎉🎉Mungu aendelee kuitunza kwaya yenu msiende nje ya mafundisho na maadili ya KANISA TAKATIFU KATOLIKI!!
@LucasNgaga
@LucasNgaga 25 күн бұрын
Hawa jamaa na AIC Chang'ombe wananipaga Raha sana
@AntonyMucheru
@AntonyMucheru Ай бұрын
Great song,sasa mlete moja ya jumuiya afrika mashariki🙏🙏
@thomasnduva9662
@thomasnduva9662 Ай бұрын
Bonge la wimbo kweli kweli
@kithomeV
@kithomeV Ай бұрын
Amani na salama, Mungu bariki KMK wakiendelea na huo mtindo wa nyimbo tamutamu🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@KwayaYaWatakatifuWoteTMCS-Must
@KwayaYaWatakatifuWoteTMCS-Must Ай бұрын
Mungu ibatiki Tanzania, Mungu ibariki Africa🙏
@matildersendwa9858
@matildersendwa9858 Ай бұрын
Kmk hongereni kwa uimbaji mzuri mungu awe nanyi muendelee na utme huo wa uimbaj
@VictoryTluway
@VictoryTluway Ай бұрын
Very nice message Hongera sana wanamakaburi
@johnsadiki2657
@johnsadiki2657 Ай бұрын
Sauti safi sare safi picha safi. Mungu awape nguvu zaidi KMK Makuburi kuendelea kumtumikia. Tanzania bonjour
@marrievenance4264
@marrievenance4264 Ай бұрын
Hakika najivunia kuzaliwa Tanzania🥰🥰🥰, Amani na salama 🙏🙏🙏
@thomasnduva9662
@thomasnduva9662 Ай бұрын
Mungu bariki Tanzania,mungu bariki kenya na afrika yote tuwe na amani.i love you guys
@JacksonKisakali
@JacksonKisakali Ай бұрын
Hawa jamaa wanajua hadi wanakeraa dah. Hongereni sana kmk
@janephasuguri5327
@janephasuguri5327 Ай бұрын
Waoooo, bonge la wimbo🫶👌. Nmependa sana hapo mwisho jinsi mlivyomalizia, aisee mmefunika kabisa😅❤👏
@joelsum3707
@joelsum3707 Ай бұрын
bwana awe nanyi siku zote kwa uimbaji uliyo Bora zaidi hongereni sana
@Patrick_Mndeme
@Patrick_Mndeme Ай бұрын
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika. Amani na Salama
@LuciaPascal-q4h
@LuciaPascal-q4h Ай бұрын
Namm naomba nijiunve na iyo kwaya
@petermachariandegwa449
@petermachariandegwa449 Ай бұрын
Mko juu tu sana 🎉
@geraldriziki965
@geraldriziki965 Ай бұрын
Hongereni sana Ngoma Kali sana….
@NICHOLAUSMATINGO-km9wh
@NICHOLAUSMATINGO-km9wh Ай бұрын
What a writing from BMM legend💪💪💪
@ClevinaJoseph
@ClevinaJoseph Ай бұрын
Kazi nzuri sana❤❤
@PioEzekiel
@PioEzekiel Ай бұрын
Asifiwe sana Mungu anayewagawia watu karama kubwa namna hii
@FELICIANHHINDO
@FELICIANHHINDO Ай бұрын
Mt kizito nawakubali mno
@erickweloba2272
@erickweloba2272 Ай бұрын
Hongereni wapendwa... nzuri saana na ya kutia moyo
@SimoniMusic
@SimoniMusic Ай бұрын
🥰🥰 what if kmk you give us another album like yesu ni mwema❤🎉
@WillySinho
@WillySinho Ай бұрын
Hamjawahi kuniangusha kila toleo lenu liko moto wana kmk ❤❤❤❤❤❤
@BenedictKosgei
@BenedictKosgei Ай бұрын
Kongole wanamakuburi kwa uimbaji wenu
@paulmatoke4102
@paulmatoke4102 Ай бұрын
Very nice and awesome song Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ongeren sana KMK
@Arati3
@Arati3 Ай бұрын
Wimbo mzuri sana🎉,,,Amani itawale
@marthambiu5754
@marthambiu5754 Ай бұрын
Your neighbor we love you
@raphaelmutua4942
@raphaelmutua4942 Ай бұрын
Amani na salama,Mungu na azidi kuwamiminia baraka tele
@jacksonmwangangi2380
@jacksonmwangangi2380 Ай бұрын
Nzuri sana. Wimbo uliopangwa ukatii. Mungu mkuu atukuke milele. Baraka.
@EverineRoman
@EverineRoman Ай бұрын
Nice song Mungu awabariki na tubarikiwe sote 🙏
@boisarea8550
@boisarea8550 Ай бұрын
Very nice song, the content and melody reflecting perfections of both artist and singers
@zephaniakapanda
@zephaniakapanda Ай бұрын
Mnajua kuimba kwakweli
@lameckmeshack3881
@lameckmeshack3881 25 күн бұрын
Ahsant hakika ni Kaz nzuri
@teshakinyakunga8739
@teshakinyakunga8739 Ай бұрын
Mungu Atukuzwe Milele
@RomaniSwai
@RomaniSwai Ай бұрын
Mend san kmk
@Makothful
@Makothful Ай бұрын
Wimbo umetulia kinanda kimetulia kila kitu kiko kwenye perfection. Keep going. @Mukasa, wimbo nzuri sana ulioutunga. Endelea na moto huo huo.❤❤
@LucianaHubeth-p9i
@LucianaHubeth-p9i Ай бұрын
Hamjawahi kubowaa
@simonmlelwa440
@simonmlelwa440 Ай бұрын
Here we are …. Glory Tanzania
@ngutukamola599
@ngutukamola599 Ай бұрын
Wimbo mtamu sana Mungu azidii kuwapa nguvu mnapoendelea kumtukuza ❤ You're my favorite catholic choir ❣️😍❣️
@LuciaPascal-q4h
@LuciaPascal-q4h Ай бұрын
Nijiunge na iyo kwaya naomba vigezo
@portinontani445
@portinontani445 Ай бұрын
Apo mwshoni apo saut ya nne weeh mmenyooosha 🙌🙌
@EpitasBoniface
@EpitasBoniface Ай бұрын
Hamjawahi fanya vitu vikawa vya kipolepole. ❤,
@fredmhiche3614
@fredmhiche3614 Ай бұрын
This blue attire is very very impressive
@raymondlaurent9403
@raymondlaurent9403 Ай бұрын
Kibwagizo ndo hatari zaidi.... Hamjawahi kukoseaaaaaa❤❤❤❤
@OnesmoReuben
@OnesmoReuben Ай бұрын
Mungu awe nanyi katika Kila kazi yenu
@dennisonsare1976
@dennisonsare1976 Ай бұрын
Kutoka Kenya nawapenda sana. Hongera sana. Love it.
@JulianaMichael-d2g
@JulianaMichael-d2g Ай бұрын
Hongera sana KMK kwa wimbo mzuri, Mungu azidi kubariki utume wenu
@keida.k.akaswitie6861
@keida.k.akaswitie6861 Ай бұрын
I can see new faces.... Kudos wakuu
@simonpetermukolwe4582
@simonpetermukolwe4582 Ай бұрын
❤wimbo bora Sana, nmebarikiwa
@johnb.j.m206
@johnb.j.m206 Ай бұрын
Amani na salama. Hongereni sana Makuburi
@Mr_destiny
@Mr_destiny Ай бұрын
Always peace and serenity reign❤❤🙏🙏🙏🙏
@petermasila7163
@petermasila7163 Ай бұрын
Kazi njema siku zote
@dianamakware4225
@dianamakware4225 Ай бұрын
Huu wimbo jamanii nilikuwa nauwaza hatimae umeutoa. Hongereni Sana kwa kazi nzuri , NIMEBARIKIWA
@mussakasela5562
@mussakasela5562 Ай бұрын
Kama kawaida yenu familia hamnaga kazi mbovu hongereni Sana KMK
@brightonpeter1034
@brightonpeter1034 Ай бұрын
Amani na salama 🙏 kwa maombezi ya Mt Francisco wa Assisi mzidi kubarikiwa 🎉
@mussakasela5562
@mussakasela5562 Ай бұрын
Mzee Byarugaba kaua Sana kwenye hii video na fimbo yake 😄😄
@rukiamadati336
@rukiamadati336 Ай бұрын
Hongera Sana Ujumbe mnzuri🙏🏾🙏🏾
@MichaelAnatory-t9j
@MichaelAnatory-t9j Ай бұрын
Moto wa kuotea mbalii huu
@janemarymilemberutahoile7210
@janemarymilemberutahoile7210 Ай бұрын
Hongereni Mtunzi na safu yako🙏🙏🙏❤❤❤💪💪💪
@janefrolakalinga5664
@janefrolakalinga5664 Ай бұрын
Safi sn wimbo mzuri mno
@SautiTamu
@SautiTamu Ай бұрын
Hongereeni team KMK
@simonnaman-b1y
@simonnaman-b1y Ай бұрын
B.m anajua kupikq mziki Mungu akubqriki
@kwayabikiramariamamawashau2448
@kwayabikiramariamamawashau2448 Ай бұрын
Hongereni Sana KMK choir 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@RobertMofulu-yi6xe
@RobertMofulu-yi6xe Ай бұрын
Hongera sana kwa uinjilishaji
@fredrickkioko-j4r
@fredrickkioko-j4r Ай бұрын
Twaikubali
@geoffreymisiani5843
@geoffreymisiani5843 Ай бұрын
Barikiwa Sana Wana KMK ❤❤❤
@elizabethmihambo1909
@elizabethmihambo1909 Ай бұрын
God bless Tanzania, God bless KMK always you inspire the majority.
@fredmhiche3614
@fredmhiche3614 Ай бұрын
Hongereni sana KMK kwa kazi nzuri
@bahatimashalo4335
@bahatimashalo4335 Ай бұрын
Hongeren sana KMK kwa kazi nzuri na ujumbe mzuri kwa taifa ❤
@fridoliusrushunju9093
@fridoliusrushunju9093 Ай бұрын
Mbarikiwe sana 🙏
@JovinJosephat
@JovinJosephat Ай бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa
@janefrolakalinga5664
@janefrolakalinga5664 Ай бұрын
Hakika Tanzania ni ya Amani na salama
@annakalisti
@annakalisti Ай бұрын
Hongerani sana kmk makuburi 🔥🔥🔥👏
@anthonymusyoki6947
@anthonymusyoki6947 Ай бұрын
Good patriotic song,,,God bless your ministry
@daudinamwatta4655
@daudinamwatta4655 Ай бұрын
Congratulations 🎊 👏 KMK hamnaga kazi mbovu
@kijansulwa2711
@kijansulwa2711 Ай бұрын
❤Amani na salama Tanzania
@harrywamalwa1788
@harrywamalwa1788 Ай бұрын
KMKM ❤❤❤
@fransisdindiri476
@fransisdindiri476 Ай бұрын
Tunaisubiri❤❤❤❤❤❤❤❤
@DianaMlowe
@DianaMlowe Ай бұрын
❤❤❤ hongereni sana kmk
@irmgardsamia1827
@irmgardsamia1827 Ай бұрын
Amani na salama ❤♥
@eugenekeragori
@eugenekeragori Ай бұрын
Good song kama Mimi mkatoliki nimependa sana..kongole nyie wanamakuburi
@nicholasmutinda2048
@nicholasmutinda2048 Ай бұрын
Very much sweet voices and melody🎉
@annamosha968
@annamosha968 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jumakizito8390
@jumakizito8390 Ай бұрын
Congrats
@KaizaMfuse
@KaizaMfuse Ай бұрын
Kmk mnakiti chenu mbinguni
@emma_mtapila755
@emma_mtapila755 Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Amani na Salama
@richardkingi660
@richardkingi660 Ай бұрын
Amani idumu milele
@joddetedominic4530
@joddetedominic4530 Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Ellybeny
@Ellybeny Ай бұрын
👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@jovinusjulius9840
@jovinusjulius9840 Ай бұрын
@harrywamalwa1788
@harrywamalwa1788 Ай бұрын
Wakenya, na nyinyi je?
@aaronjoachim9292
@aaronjoachim9292 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@isayakalinga6475
@isayakalinga6475 Ай бұрын
ila Mukasa
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Kenya ya Mungu Mmoja (Official Music Video)
9:59
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Nyakutununta (Official Music Video)
7:24
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 52 М.
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 2,6 МЛН
PERFORMANCE KALI KUTOKA KWA KWAYA YA CATHOLIC MT. SECILIA MAKUBURI
23:26
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 1,5 МЛН
Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish
9:48
KAPOTIVE
Рет қаралды 1,2 МЛН
UKWAKATA MAKUBURI - MAKUBURI 25 (Official Music Video)
10:01
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 118 М.
TEMBEA NAMI (Official Video) - KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
10:41