KOCHA MWENDA AJILIPUA KUSEMA KUHUSU MO,MPAKA NAOGOPA!! AMSIFIA HERSI SAID,ETI SIMBA NI WAJINGA

  Рет қаралды 22,152

LIKE MEDIA

LIKE MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 4 ай бұрын
Uko sahihi sana Kaka Mwenda. MO siyo Mwekezaji.
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 4 ай бұрын
Nakukubali sana kaka wengi wameamua kuisaliti timu kwa matumbo yao na uchawa kwa mwekezaji. Simba hatuna mwekezaji, ni wajanja wajanja tu. Mo aachie waje wengine.
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 4 ай бұрын
Kocha uko vizuri simba imeuzwa kwa mabeberu wanyonyaji wasiojua mpira. Tutapata taabu sana tuombe huruma ya Mungu waturudishie timu yetu tutembeze bakuli.
@venantnyiriri67
@venantnyiriri67 4 ай бұрын
Mwenda nakukubali sana kaka, nikweli mashabiki na wanachama wa Simba hatujielwi.
@shyneafya2468
@shyneafya2468 4 ай бұрын
Dah nimefurahii sana kuona mwanachama kama huyu mzee kwakweli nimependa i wish ningekuwa kwenye media ningeongea ukweli mtupu wanamuogopa MO. Shida inaanzia hapo
@MenruphKahimba
@MenruphKahimba 4 ай бұрын
Nakukubali sana mwenda wanasimba wote tungekuwa km Mzee mwenda simba tungefika mbali sana maana viongozi wangetueshimu wanachama na kutusikiliza
@user-js7lr8vr9i
@user-js7lr8vr9i 4 ай бұрын
Huyo mo niwakufukuza anatumaliza kama kunahasara kwanini hasiachie timu huyo ni mnyonyaji tu
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 4 ай бұрын
Kweli kaka tusaidie yule muhindi ni mpumbavu sana atuachie timu yetu
@briantafari9224
@briantafari9224 4 ай бұрын
Mzee Mwenda ndio sauti 🇰🇪
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe 4 ай бұрын
Unanichekesha sana kocha mwenda eti wapumbavu
@chemstry409
@chemstry409 4 ай бұрын
Mwenda nakukubali sana lakini UNCLE TOM OR THOMAS KIPESI' Hakuwepo alikuwa bado yupo Dar Young Africans...😂
@chemstry409
@chemstry409 4 ай бұрын
Pasuka Pasuka MZEE MWENDA....😂😂😂😂
@HamzaHeri
@HamzaHeri 4 ай бұрын
HUYO MTANGAZAJI HANA AKILI UNAMUELEZA UKWELI ALAFU ANAWEKA UTANI
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 4 ай бұрын
Watuachie tim yetu mbwa hao na mangungu hakuchaguliwa kajichagua mwenyewe hakuna lolote
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 4 ай бұрын
Mtangazajiii naisiii kamaaa naeee simbaaa semaaaa kochaaa mwendaaa Jeshiii anamtoaaa kwenyeee msitariiii sanaaa kaka
@januarysungura8119
@januarysungura8119 4 ай бұрын
Hongera sana kwa kutueleza ukweli ,mwenye akili na achukue ,mjinga aendelee kufungamana na mangungu
@ocaml8698
@ocaml8698 4 ай бұрын
Si Mangungu tu Mo ndy shida, huyu jamaa anaongea ukweli, Simba wanamuogopa Mo, "akijitoa" hiki ndicho wanachoogopa. Mangungu hana nguvu kwa katiba ya Simba, wenye nguvu ni Mo na Try again na hii itawatesa sana, ni ujanja ujanja tu. Wangepatika kumi kama huyu jamaa labda kuna kitu kingenyooka.😊
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 4 ай бұрын
Mm mtu yoyote ambae ana tetea maslai ya Simba nipo upande wake
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t 4 ай бұрын
Hata RAGE alishasema mashabik wa simba ni mambumbumbu na juzi kati tu hapa wakati wakijaribu kupitsha katiba yao mwenyekit aliwahita mashabik wa simba ni wapumbavu
@salumkunguge-zj4sq
@salumkunguge-zj4sq 4 ай бұрын
😊0
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 4 ай бұрын
Mpubavu mwenyewe wew bwege. Ni heri utoe ushauri kuliko kutukana wenzako. Kama unaona mo hafai kadhamini wew hiyo team au tafuta mdhamini muweke ndegelesi
@chemstry409
@chemstry409 4 ай бұрын
Mzee Mwenda taratibu....😂😂😂😂
@user-px6ho3dp8j
@user-px6ho3dp8j 4 ай бұрын
Hongera kk
@FabianMichael-gu1is
@FabianMichael-gu1is 4 ай бұрын
Hahahah Yan Mzee nmefulahi San funguka bab angu
@husseinmpuruti1372
@husseinmpuruti1372 4 ай бұрын
Please kocha mwenda na GB64 ninawakubali sanaa hebu kwanza kutanani naye
@MenruphKahimba
@MenruphKahimba 4 ай бұрын
Simba atuja pata Muwekezaji wa kweli simba tuna muwekezaji mjanja mjanja na tunaomba serikali isitoe nafasi ya kumpa MO DEWIJI timu naiomba serikali isimpe timu kabisa inaonekana simba itakufa kabisa na hii simba inaistoria ktk nchi hii haistaili kufa
@tajiribarua
@tajiribarua 4 ай бұрын
2 Rashidi abdalah 6 lenye 10 Michel poul Gaga hakuwapo alikwenda yanga yeye na mogela
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 4 ай бұрын
MO aliikacha Simba miaka 3 ilyopita
@IdrissuHassan
@IdrissuHassan 4 ай бұрын
Hata mimi siendi ukitak niiete Shabiki Mandazi, au Shabiki Chapati na maharage😂😂😂
@brunomchalla4439
@brunomchalla4439 4 ай бұрын
Wanachama hawajui haki yao kikatiba. Wanao uwezo wa kumn’goa Mangungu kwa kura za maoni (veto). Ukweli ni kwamba bila uongozi huo kuangushwa Simba itabakia kushuka daraja.
@sikujuahamisi7252
@sikujuahamisi7252 4 ай бұрын
Big up
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 4 ай бұрын
😂😂cc Wananchi hii ndo burdaaaaaaaani yetu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@luganomwaipopo1987
@luganomwaipopo1987 4 ай бұрын
Nimekubali kocha mwenda sisi ni Makolo!!!! 😢😢😢
@DenisiSanga
@DenisiSanga 4 ай бұрын
Kweli kaka tumechoka kama na ni mbabaishaji atuachie timu yetu Bora tujue hatuna tajiri kuliko haya tunayo pitia
@careenkijonjo9833
@careenkijonjo9833 4 ай бұрын
Mzee mwenda Nakukubali sanaaaaaa
@mussalimbe6673
@mussalimbe6673 4 ай бұрын
Wewe ndiye mpumbavu na watoto na mkeo na baba Yako na mamako
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 4 ай бұрын
Kaka yangu hebu fuatilia maana ya neno kabla ya kulipuka kwanza. Hebu mtafute babu au bibi wa Kizaramo jaribu kumuuliza ni nini maana ya Kolo au Makolo. Kolo ni mmoja na Makolo ni wengi
@mussalimbe6673
@mussalimbe6673 4 ай бұрын
Huyu jamaa nilijua lengo lake
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 4 ай бұрын
Ww muongo namba 3 alicheza Rashidi Abdala ndie aliepigwa chenga na bori zouzou na kuandika bao la pili
@andrewdaudindullu1749
@andrewdaudindullu1749 4 ай бұрын
Mwameja,kasongo, Mkuki, Rashid Abdalah, masatu, idd seleman, mashine, Masha, chumila,malota na mliberia
@FabianMichael-gu1is
@FabianMichael-gu1is 4 ай бұрын
Hahahaa funguka baba angu
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 4 ай бұрын
Daaaah jeshiiiiiiiiiiii mwenda 😂😂😂😂😂😂
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 4 ай бұрын
KAKA MWENDA WEWE NI MKONGO(DRC) ? Siielewi hiyo Lafudhi yako. 🙏🙏🙏
@hashimhassanimassawe8366
@hashimhassanimassawe8366 4 ай бұрын
Haaaaa.kumbe.unatumwa.nahuyouliemtaja.hapo.kwawenyeakili.wamekukujuwa.apo
@HamisRashid-xl4mn
@HamisRashid-xl4mn 4 ай бұрын
SEMA MZEEE MWENDA SEMA WALA USIPEPESE MANENO WAMBIE UKWELI
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 4 ай бұрын
Mwenda uko Sahihi
@chemstry409
@chemstry409 4 ай бұрын
Wanachama wa SIMBA..WAPUMBAVU??!!🙉🙉🙉
@chawawaally2020
@chawawaally2020 4 ай бұрын
❤kombe la cuf sio shirikisho
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 4 ай бұрын
Kumbe hamed Ally ni utopolo
@user-yt1lz6hz5p
@user-yt1lz6hz5p 4 ай бұрын
Mo atoke nimjanjamjanja
@user-ds3ry5ws9q
@user-ds3ry5ws9q 4 ай бұрын
Kaka manenoyako swadkta kabisa hatuna mwekezaji akawekeze kwenye criket ndiyo asili yake yeye kila siku anakula hasara alafu anaingangnia nini aondoke
@elgringo8592
@elgringo8592 4 ай бұрын
Mzee uko sawa😂😂😂
@hdgodiweson8579
@hdgodiweson8579 4 ай бұрын
Mwenda 👏👏👏💪💪💪
@user-xm8kq3gv9i
@user-xm8kq3gv9i 4 ай бұрын
GAGA RINO HAKUWEPO SIMBA MUDA HUO
@HamisRashid-xl4mn
@HamisRashid-xl4mn 4 ай бұрын
KAMCHAGUA NANI NAWEWE MUANDISHI
@jdanny497
@jdanny497 4 ай бұрын
Umenena vema bro
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 4 ай бұрын
Viongozi ni mafisadi Hawana uchungu na timu yetu wameshindwa kuiendesha kirabu watoke
@user-xm8kq3gv9i
@user-xm8kq3gv9i 4 ай бұрын
MWENDA NAOMBA no zako
@JumaKamasa-kl6pz
@JumaKamasa-kl6pz 4 ай бұрын
Asande baba🤣
@MathiasFungavyema
@MathiasFungavyema 4 ай бұрын
Kwenye makolo sasa😅😅😅😅😅
@RamadhanirMuyigi
@RamadhanirMuyigi 4 ай бұрын
Huyu jamaa anaongea ukweli
@FabianMichael-gu1is
@FabianMichael-gu1is 4 ай бұрын
Hahahaha funguka baba angu
@janatamoe3466
@janatamoe3466 4 ай бұрын
Muwekezaji wetu ni muongo muongo, anatufelisha atuachie timu
@user-jn3nf7uw1w
@user-jn3nf7uw1w 4 ай бұрын
Huyu abaki sambusa iendelee kula kichapo
@husseinmpuruti1372
@husseinmpuruti1372 4 ай бұрын
Kocha mwenda na GB64 nimekuwakubali
@erastomathias911
@erastomathias911 4 ай бұрын
😂😂😂
@HamisRashid-xl4mn
@HamisRashid-xl4mn 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 4 ай бұрын
Sikainunua amesema?
@YohanaaroniYohana
@YohanaaroniYohana 4 ай бұрын
😂😂🙌🙌
@erastomathias911
@erastomathias911 4 ай бұрын
Mwenda unaongea kwel
@PhilipoFabian
@PhilipoFabian 4 ай бұрын
Uko vizur Sana.
@PhilipoFabian
@PhilipoFabian 4 ай бұрын
Mm mpaka nikiona energy ya mo napata kichef chef
@OmariSwedi-qw3dk
@OmariSwedi-qw3dk 4 ай бұрын
Mwenda nakukubaliii
@hashimhassanimassawe8366
@hashimhassanimassawe8366 4 ай бұрын
Ukweli.weni.mpumbuvukabisa.haitakaa.iruditena.nyiekukaamilangoni.etihamnamwekezaji.unatumwanani?kwani.enginea.hajasemaga.kuwa.wamepata.hasara?weukowapi.mshamba.tu.mbumbuno.l
@andrewdaudindullu1749
@andrewdaudindullu1749 4 ай бұрын
Mwameja,kasongo, Mkuki, Rashid Abdalah, masatu, idd seleman, mashine, Masha, chumila,malota na mliberia
@RamadhanirMuyigi
@RamadhanirMuyigi 4 ай бұрын
Huyu jamaa anaongea ukweli
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 124 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН