KOCHA RAMOVIC AMEWAANDALIA NINI DODOMA JIJI? MSIKIE HAPA AKIZUNGUMZA KUELEKEA MCHEZO WA KESHO

  Рет қаралды 4,265

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 Күн бұрын
Kila la kheri inshaallah kuelekea mechi ya kesho Allah awafanyie wepesi na muweze kushinda ushindi mnono 💚💚💛💛
@elizabethmanya4399
@elizabethmanya4399 Күн бұрын
Kila laheri chama langu mungu awalinde
@HawaAlznezbar
@HawaAlznezbar Күн бұрын
Yanga bingwa 🎉🎉🎉
@mbarakasijaona7638
@mbarakasijaona7638 Күн бұрын
Mungu ibariki young Africans daima mbele nyuma mwiko
@MariamZanzibari
@MariamZanzibari Күн бұрын
Allah awape mazuri ya uwanjani awape mchezo mzuri na wenye ushindi na Amani
@saidikomba3120
@saidikomba3120 Күн бұрын
Mimi nakuelewa sana kocha wangu timu imebadilika sana alafu unawapa nafasi vijana wote
@HusseinKafuta
@HusseinKafuta Күн бұрын
Kila la kheli timu yangu pendwa Yanga Africans inshallah tutashinda mechi ya ligi zidi ya Dodoma jiji inshallah
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani Күн бұрын
Amen
@joojombi2341
@joojombi2341 Күн бұрын
Mola awajaalie kila la kheri inshallah matokeo mazuri tunawaombea
@aishabakari8040
@aishabakari8040 Күн бұрын
Wa kwanza 🎉🎉🎉🎉
@kazembemohamed3014
@kazembemohamed3014 Күн бұрын
Kufanyaje
@JacklineMsafiri-b1v
@JacklineMsafiri-b1v Күн бұрын
Kwani wanacheza lini Jamani 👏
@YesePanja
@YesePanja Күн бұрын
Ni kesho tu saa kumi
@saidikomba3120
@saidikomba3120 Күн бұрын
Wasiokuelewa watakuelewa siku moja utaludisha heahima yetu
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 Күн бұрын
Point 3 muhimu msimdharau mpinzani wenu na msifanye makosa mengi natumieni nafasi kwa usahihi Kwa wakati sahihi pia mcheze kitimu na kukaba nakuzuia kwa usahihi pia kutokaa nampira muda mrefu sehemu unayotakiwa kufunga au kutoa pasi pia kuzuia au kukaba nawatakia ushindi mnono na nafasi zikijitokeza magoli mengi ni muhimu kwetu pia
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 Күн бұрын
Good luck
@HabibaKhamisi-xo8tz
@HabibaKhamisi-xo8tz Күн бұрын
Tuna imani na ww sanaa kocha wetu wa boll tunajuwa unauwezo mkubwa ishaallah kesho ushindi
@HusseinMkwachu
@HusseinMkwachu Күн бұрын
Hiyo Rotation hiyo ndio inatufurahisha. WACHEZAJI wako YANGA kuipambania sasa kama hachezi inamharibia CV yake. Tutashinda INSHA'ALLAH
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Күн бұрын
Kila la kheri apo kesho inshallah
@upendoluva2066
@upendoluva2066 Күн бұрын
Tunawatakia Kila la heri Wana jeshi wetu.yanga oyeee
@MsellemAbeid
@MsellemAbeid 20 сағат бұрын
Vijana pigeni kazi point 3 muhimu sana
@robertchazya2351
@robertchazya2351 20 сағат бұрын
Yanga inakwenda kutawala football ya Afrika, na awamu hii ikivuka makundi ni mpaka finali 📌
@sabrinakassimu
@sabrinakassimu Күн бұрын
nangaliatu ili kusa pot ila sija elewa alicho ongea💁
@saeedmagoda9651
@saeedmagoda9651 21 сағат бұрын
pole mama ndio ukubwa huo😂😂😂
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Күн бұрын
Gusa achia dwende kwao
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Lissu Azungumzia Mahusiano Yake na Mbowe: 'Hali Sio Nzuri Sana'
9:13
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН