Hzi vita zote zinaandaliwa na chura wa jangwan lkn mwenye kutoa MUNGU tutashinda inshallah🤲🤲🤲🤲
@Visionaria_HD15 сағат бұрын
na tumeshinda Aisee
@LindaMbilinyi-n3n15 сағат бұрын
@@Visionaria_HD MUNGU co wao pke yao💪😜
@rashiedmasoud132410 сағат бұрын
Wanathubuti hadi kuvunja kanuni kwa hizo figisu na tff pamoja na bodi ya ligi wapo kimya
@LindaMbilinyi-n3n10 сағат бұрын
@@rashiedmasoud1324 huu mwaka hta wafanyaje ni ubaya ubwela lazima tuchukue kombe
@JeniAlex-e4v11 сағат бұрын
Mtakoma 🦇🦇🦇🦇🦇 fc
@AishaSaidAlly12 сағат бұрын
Mungu atushikie mambo magumu yote. Wana SIMBA...NGUVU MOJA
@HassanSangu15 сағат бұрын
simba wame nalingine simba wahame nakwanini simba awamalizi uwanja wao
@YohanaJumanne-v3vКүн бұрын
Kmc wachukuliwe hatuwa tena iwe ya faini kubwa ili wajifunze ujinga huo Simba ina mechi wanaendaje wao tena dharau hizo kama vp hawataki Simba iangalie tu uwanja mwingine na Moodewji ajenge kiwanja
@bernardmboma146115 сағат бұрын
Walitumwa na yanga hao kmc. Tuhame hapo
@LindaMbilinyi-n3nКүн бұрын
Waz kbsaa wametumwa mbwa hao
@MudiMachi16 сағат бұрын
Kwanini matukio yanajirudia nakwa Simba tu wanamatatizo gani awo kmc
@BugaliMisa14 сағат бұрын
😅😢
@JafariNahimba18 сағат бұрын
Mkubwa ni jalala haina shida
@peterpaschal4522Күн бұрын
Hizi viwanja vimekuwa kama nyumba za kupanga tu😂
@LitoDossani18 сағат бұрын
Simba tengeneza uwanja wako Team kubwa uwanja auna
@Visionaria_HD15 сағат бұрын
nyie mnao
@davisbwatwa11517 сағат бұрын
hivi vitu vinapangwa angalia kwa pamba,sasa kmc na huko nyuma azam kuweni makini si unaona utopolo wanatukana magereza,akina mandala alivokimbizwa hizo njama tu utopolo mmmh
@AnnoyedDove-oo3kkКүн бұрын
Walitumwa kuweka majini niliyaona nikiwa tu nyumbani
@shamissuleyman489414 сағат бұрын
Uwanja ww umekodisha halafu ww ulieukodisha unataka utumie ww siushakodisha au huna pakulala nyie vyura mnaongea tu lkn kanuni hamzijui kabisa
@Zaynabahmed-ey4zuКүн бұрын
Hao wanetumwa wakafanye yao simba ipoteze
@bernardmboma146115 сағат бұрын
Twende kwenye uwanja wa Azam na hao wakujidunga fc hawawezi kuhama hapo maana hawana sehemu nyingine yakwenda. Yanga wachawi hao 😂😂
@JeniAlex-e4v11 сағат бұрын
Mchae baba ako we🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌 fc
@bernardmboma146110 сағат бұрын
@JeniAlex-e4v mbwaa nyinyi yinawauma sana
@IMANIMWAITEGE-ve8grКүн бұрын
Kwani Simba Hawana kiwanja cha mazoezi.wajenge viwanja vyao hiyo numba ya kupanga
@taseleli9181Күн бұрын
Utaratibu unasemaje?
@Josephtibu-l9e18 сағат бұрын
nandiyomana mechi ilikua ngumu sana kumbe walitumwa na wachawi wenzao kutoka jangwani
@JeniAlex-e4v11 сағат бұрын
We🐛🐛🐛🐛🐛🐛🐛🐛🐛 fc nyamaza
@bjshio3249Күн бұрын
Huo ni ushamba wa Mwafrika. Wewe unajuwa kabisa Leo Kuna mechi unaendaje kufanya mazoezi huko? Hizi Timu Zina viongozi kweli? Kanuni hazipo? Bongo😂
@shaameshaame972119 сағат бұрын
ushamba wa kisenge
@HamisaHamedyКүн бұрын
Mjenge viwanja venu
@vicentbunzal734222 сағат бұрын
Nyie mnavyo vyenu
@MonicaMbossa17 сағат бұрын
Nyumba umepangisha halafu unataka ulale humohumo, SSC jengeni uwanja wenu
@Visionaria_HD15 сағат бұрын
na nyie jengeni wenu, kafuate sheria utaelewa haujui unachokiongea af hawajalipwa kwani
@faisaloaljabry640012 сағат бұрын
Wewe nyamaza hujui kitu
@AnciscoKayomboКүн бұрын
Hao walikuja kuroga walitumwa na Utopolo mbumbumbu hao