#KONGAMANO

  Рет қаралды 44,000

NY TV

NY TV

Күн бұрын

Kongamano kubwa la Roho mtakatifu Light House Tegeta-Masaiti

Пікірлер: 65
@jasperjackson8871
@jasperjackson8871 3 жыл бұрын
Babaa mchungaji Mimi mwanao niko Mtwara newala nakupata vilivyo nimebarikiwa Sana ni ombi langu nimuone na kumshuhudia Mungu wa baba zetu Yule Mungu wa askofu Razaro,Mwinjilisti Moses Kulola,kina Alice Kapiga Mungu aliyekua anashuka na kulithibitisha neno kwa ishara nyingi za Roho Mtakatifu.Uamsho kwa kanisa ndio ombi langu kubwa Ile Yoeli 2:15
@Paulamulito
@Paulamulito 2 жыл бұрын
Amen hiyo injili ni kali inasema ukweli kabisa
@irenewaeni7009
@irenewaeni7009 3 жыл бұрын
Man of God that is the word I need Niko Kenya I need that anointing teach me
@nicolausmosesi1839
@nicolausmosesi1839 3 жыл бұрын
Mnacheza vizuri kama huku kwetu ubungo ucc safi sana
@mapindapeter915
@mapindapeter915 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu, Mungu akupake mafuta zaidi
@flancelaurent2331
@flancelaurent2331 3 жыл бұрын
Yesu tusaidie katika miaka hii kumi na tatu ya Moto wa uamsho tuna mtaka bwana na nguvu zake kikweli na tutaomba sana
@swahiliandculture6599
@swahiliandculture6599 3 жыл бұрын
From SOUTH KOREA nabarikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe daima❤
@prophetdenissamweltanzania4865
@prophetdenissamweltanzania4865 3 жыл бұрын
Can I have your address or your phone number?
@prophetdenissamweltanzania4865
@prophetdenissamweltanzania4865 3 жыл бұрын
Can I have your phone number?
@stevenmhochi9113
@stevenmhochi9113 3 жыл бұрын
Injili hiyo mimeikubali,barikiwa sana
@leonidashatungimana6850
@leonidashatungimana6850 3 жыл бұрын
Yoooooo Mungu awabaliki saaana
@entetegroup3031
@entetegroup3031 3 жыл бұрын
Amin?
@gideonjackson3659
@gideonjackson3659 3 жыл бұрын
Hii ndyo ngurumo ya upako.....mzee hatar....I love you pastor.
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 3 жыл бұрын
Barikiwa Mwalimu ..Haya ndio Mafundisho ya Kweli. Uamsho lazima... Hatutaki ibada za wapanda mahindi....
@asajilejoseph5882
@asajilejoseph5882 3 жыл бұрын
From Zambia kitwe nakupata vizuli mtumishi ubarikiwe sana
@monicajohn1508
@monicajohn1508 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba yangu kwakweli nakuelewa sana
@festaaroni1736
@festaaroni1736 2 жыл бұрын
Ameni
@estermasuke9842
@estermasuke9842 3 жыл бұрын
Nena baba kadiri Mungu alivyokujalia. Nakuelewa Sana mchungaji kwa huduma yako.
@japhetkonga6493
@japhetkonga6493 2 жыл бұрын
Mtumishi yaani sema tu na mungu atusaidie tu kama rehema mungu aturehemu?
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 жыл бұрын
Kwa kanisa linapoelekea, kama mtu huna mafundisho lazima uende na maji. Utasilibwa mafuta, maji, chumvi na kulishwa udongo mpaka ukome. Wengi hawajui maandiko wala uweza wa Mungu hivyo hupotea kwa kukosa maarifa. Wengi wa mitume ni waabudu shetani na wachawi hasa. Mungu atusaidie sana.
@emyemy2229
@emyemy2229 3 жыл бұрын
Duu hilikanisa mungu awabarik
@annajames2930
@annajames2930 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana ninepokea
@sturidamsesa7958
@sturidamsesa7958 3 жыл бұрын
Hakika umenifumbua macho ubarikiwe baba
@emyemy2229
@emyemy2229 3 жыл бұрын
Mliokua Tanzania hii neema isiwapite
@angelmertus3864
@angelmertus3864 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba
@malindisamwel4144
@malindisamwel4144 3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@majorsonayoub2172
@majorsonayoub2172 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa huduma hii ,Mungu awainue zaidi, samahani nahitaji kupata hii CD, nitapata wapi?
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 3 жыл бұрын
Hakuna injili ambayo naichukia Kama injili ya udhehebu hata Yesu mwenyewe aliwakemea mafarisayo waliojifanya watakatifu sana
@davidst8951
@davidst8951 3 жыл бұрын
MIUJIZA INATOKEA NA HAIJAWAH KOMA TOKA YESU MITUMU HADI LEO....SHIDA MNATAKA ITOKEE TUU T.A.G...HUO UJINGA USHAPITWA NA WAKATI....KAKOBE,MWINGIRA GAMANYWA.MALISA MABOYA....N.K WOTE HAO MUNGU ANAWATUMIA...SIJAENDA HTA NJE YA NCHI...BADO.....
@oprahsalum8185
@oprahsalum8185 3 жыл бұрын
From South Africa to GOD ALMIGHTY be all the glory
@oprahsalum8185
@oprahsalum8185 3 жыл бұрын
@Evangelist daniel Kolenda l rebuke you in Jesus name you always want to dupe people using the name of the Lord repent repent!!!!!!!!
@annakaminyoge9292
@annakaminyoge9292 3 жыл бұрын
Amina amina! Hakika kanisa linahitaji uamsho na karama za Roho Mtakatifu Asante baba!
@pelekanzalia4950
@pelekanzalia4950 3 жыл бұрын
Binafsi nimekuelewa mtumishi, kanisa laleo linayumba,uamusho niwamhimusana.
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 3 жыл бұрын
Nitume wakwel wapo na manabii wa kwel wapo na wauongo pia wapo tusiwe tunaponda tu jamani tuache injili ya udhehebu
@suzanjohn5834
@suzanjohn5834 3 жыл бұрын
Amen
@bulamumkangya3897
@bulamumkangya3897 3 жыл бұрын
Naomba namba ya sim mzee wangu.
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 3 жыл бұрын
Kama Hawa t.a.g wanaona nitume na manabii ni huduma za kipepo na wao ndo watumishi bora bac kwann wasiombe Mungu awauwe nitume na manabii wote?mbona hao t.a.g kila cku wanaenda kwa manabii kuombewa?
@levieaoevorphans6484
@levieaoevorphans6484 3 жыл бұрын
Mungu azidi kuku wezesha kwa yote
@omanabcd9249
@omanabcd9249 3 жыл бұрын
Hahaha
@emanuelelisante4324
@emanuelelisante4324 3 жыл бұрын
Sauti inasumbua
@emanuelelisante4324
@emanuelelisante4324 3 жыл бұрын
Daniel!!
@ngox100
@ngox100 3 жыл бұрын
Naomba location ya kanisa
@nytv8472
@nytv8472 3 жыл бұрын
Kanisa lake lipo majumba sita
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 3 жыл бұрын
@@nytv8472 majumba sita ndio wapi sasa.fafanua mahali
@jasperjackson8871
@jasperjackson8871 3 жыл бұрын
Majumbasita unapanda Hari za gongo la mboto au Mombasa au ukonga madafu au banana kisha unashuka kituo cha pili kutoka uwanja wa ndege yaani majumbasita halafu unashuka kituo kinachofata cha njia panda segerea ukishuka tu unavuka upande wa pili wa barabara ukiuliza kwa Mchungaji Magembe ni kama nusu kilometa tu unakua umefika.naamini utakua umenielewa barikiwa mtumishi wa Bwana.
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 3 жыл бұрын
Haya ndiyo mafundisho...Uamsho ndio Habari ya Jiji... Roho Mtakatifu: Kazi na Karama zake...hazijulikani...kwa waamini wengi..1Wakor 12:1 ...Wengi hawajui Karama za Roho Mtakatifu.. Barikiwa mno Mwalimu wetu Rev. M M....Tunakupata huku KLM...Mungu afungue milango na kukupa kibali cha kuwakutanisha LIVE waamini wote wa (TAG, PAG, Elim Pentecoste, FPCT na PEFA) ktk Kanda mbalimbali...Amina...
@davidst8951
@davidst8951 3 жыл бұрын
YAANI MAHUBIRI YAKO YOTE.....UNAISHIAGA....KUPONDA MITUME MANABII......KWANI TAG.MNA UGOMVI GANI NA MANABII NA MITUME.....?!MPENDE MSIPENDE MITUME WAPO NA MANABII WAPO AND U WILL NEVER STOP THEM
@angelmwanga2795
@angelmwanga2795 3 жыл бұрын
Ifike atua watu wajitambue unanunua mafuta ya upako maj ya upako ukatumie shida zako ziishe mnashindwa kusoma bible achen ujinga
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 жыл бұрын
Wewe ni kipofu wa kiroho. Huna hata msingi wa unachokiongea. Mafuta, Chumvi, sukari, udongo na vitambaa badala ya Yesu ni kama sanamu. Hao manabii wengi wao wahuni, walevi na wakala wa shetani.
@frankizack3401
@frankizack3401 3 жыл бұрын
@@laurentraphael5470 hao ni watu wanao taka miteremko
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 3 жыл бұрын
@@angelmwanga2795 Wote hamko sahihi. Baraka za Mungu haziuzwi. Hizi ni biashara chafu. Yesu wala manabii wa kweli hawa kujiingiza kwenye biashara. Watu wa Mungu wapo kwenye biashara tupu. Angalieni na jitahadharini sana. Baraka zaMungu ni za bure kabisa. Timiza asemacho.Fuata na uishi atakavyo yeye.
@mosesshaban6463
@mosesshaban6463 3 жыл бұрын
Ubarikiwa mtumishi wa kweli wa mungu
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 3 жыл бұрын
Katika biblia Kuna huduma tano utume unabii uinjilist ualimu na uchungaji Sasa mbona hizi mbili unabii na utume Hawa wenzetu wanaziponda Sana vip mbona hizi nyingine wanazikubali bac wazikatae zote
@michaelpaul2237
@michaelpaul2237 3 жыл бұрын
Hakuna anaepinga huduma Ila inatumikaje?kinachothibitisha huduma Ni Bible si mtu apendavyo hata mchungaji akikengeuka Atakemewa Mtume Paul alikemea waalimu wa uwongo, uwongo kukemewa sio dhambi.
@stanleygodifrey1187
@stanleygodifrey1187 3 жыл бұрын
Amani hujamwelewa mtumishi huyu. Yuko sahihi kanisa
@davidst8951
@davidst8951 3 жыл бұрын
T.A.G....SIO KANISA KA TATU KWA UKUBWA DUNIANI....HATA SIJUI UNA MAANA GANI?!TATIZO INJIRIVYA KIDINI SANA NA MAPOKEO YA KALE YA ULOKOLE.......?!KANISA LA KWANZA VIPI CATHOLIC,MOROVIAN,ANGLIKANA,ADVENTIST...HAYO NI YA HPA TUU SIJAENDA.....NIGERIA WALA USA......
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 жыл бұрын
2 Wakorinto:11.13 Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. 2 Wakorinto:11.14 Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. 2 Wakorinto:11.15 Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.
@davidst8951
@davidst8951 3 жыл бұрын
@@laurentraphael5470 ..KUWEPO NOTI YA BANDIA YA ELFU KUMI HAINA MAANA HAKUNA NOTI HALISI....MNAJIFICHA KWENYE KICHACHAKA CHA MITUME NA MANABII FEKI..ILA UKWELI T.A.G...HAMUAMINI KATIKA HUDUMA YA MITUME NA MANABII.....YAANI ETI HAWAPO NI AGANO LA KALE.....!?SASA HUO UPUUZI HAUKUBALIKI...."AKATOA WENGINE KUWA MITUME.MANABII,WAINJIRISTI,WAALIMU,WACHUNGAJI".....SASA HIZO NAMBA MBILI MNAZIEDIT KWANINI....!?MMEJAA DINI NA KIBURI
@davidst8951
@davidst8951 3 жыл бұрын
@@laurentraphael5470 LAKINI PIA UJUE WAKO WAALIMU WA UONGO...YESU AMESEMA NA PAULO PIA.....SASA NYIE MANABII MITUME TUU NDO FEKI....!?OKAY TUONYESHENI BASI MTUME AU NABII MMOJA WAKWELI TUMSIKIE ALIYEKO NDANI YA T.A.G AU NJE......!?LIENI..KATAENI.MITUME NA MANABII WAPO NA HAMTAWEZA KUONDOA HILO.......MMEJAA DINI NA ULOKOLE WA KALE.....
@davidst8951
@davidst8951 3 жыл бұрын
@@laurentraphael5470 eti...T.A.G....NI KANISA LA TATU KWA UKUBWA DUNIANI....KWA KIPIMO GANI.....!?HUYU MZEE MAGEMBE KALEWA SANA DINI......!?SO SAD, MAANA TUU YA T.A.G....T.IMESIMAMA KAMA TANZANIA......SO UKIENDA KOMORO..AU ETHIOPIA HILO KANISA HALIPO........AU LIANZE NA...E.A.G....!?ACHENI UDINI T.A.G..KIZAZI HIKI HAMTOBOI..HAPA NI PASU KWA PASU KILA MTU NA KIPANDE CHAKE........
@michaelmbwambo4788
@michaelmbwambo4788 3 жыл бұрын
WEWE NI PEPO NAONA UNAONGEA PUMBA TU KILA COMMENT YAKO HUJAITWA NA YYT KUMSIKILIZA
#SAFINA# USALAMA WAKO NI KUBAKI KWENYE SAFINA;REV.MOSES
49:20
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 48 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН
NAFASI YA KANISA PART 1 - REV: MOSES  MAGEMBE
1:05:15
Sautikuutv
Рет қаралды 17 М.
DR.MTOKAMBALI KUWA ASKOFU MKUU WA TAG KWA MARA NYINGINE TENA
5:50
REV.GABRIEL SULLE
Рет қаралды 3,9 М.
KATIKATI YA MIUNGU - Swahili Nonstop Worship by Rosemary George
58:45
Rosemary George
Рет қаралды 131 М.
ROHO MTAKATIFU NDANI YETU
34:07
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
Mch magembe ktk semina ya vijana
13:01
Joffrey Sagaya
Рет қаралды 18 М.
KUMPOKEA ROHO MTAKATIFU NA NGUVU ZAKE
9:28
Archbishop Prof. Sylvester Gamanywa
Рет қаралды 1,6 М.
MATOKEO MAKUU YA MAOMBI - REV:MOSES MAGEMBE
1:07:33
Sautikuutv
Рет қаралды 69 М.
sikiliza mafundisho toka Pastor Tony Osborn Kapola
52:07
WORSHIP GOD FOREVER
Рет қаралды 7 М.
#KIPIMO CHETU HIKI HAPA#DR.REV.MOSES MAGEMBE
38:13
NY TV
Рет қаралды 61 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН