Hii ndiyo Injili ya Kristo inatenganisha mifupa na nyama,maji na mafuta....kutoa utu wa kale na kuvaa utu mpya...Be blessed servant of God
@GetrudaJoseph-g6rАй бұрын
Amina baba tumepokea ujumbe kwa moyo mmoja. Bwana YESU Atusaidie. Miujiza tuipokee.
@marykibwana94134 жыл бұрын
Barikiwa baba, Mungu aendelee kukutumia kanisa lipone. Gonga like kama unakubali maneno yangu.
@absalimlufyagile49744 жыл бұрын
Hongela sana kwa mafundisho mazuri ambayo ni hadimu sana kwa kizazi Cha leo
@isaacmolllah94514 жыл бұрын
Nakubaliki
@beatricewanjiku40782 жыл бұрын
wambie ukweli barikiwa mhungaji
@EmmyLungwe-pi1oi Жыл бұрын
, God bless you pastor
@mamacherie2103 Жыл бұрын
@@isaacmolllah9451😮😮99y😮😮😮 33:28
@justamwesiga18774 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi baba yangu wa kiroho..pia Mungu akupe maisha marefu zaidi
@ShemaWimbabazi19 күн бұрын
BARIKIWA naye Bwana yesu kristo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@elizabethmgassa7243 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba yangu mpendwa..unaisema kweli tena unakemea kabisa.barikiwa sana baba.
@venancemwanya42122 жыл бұрын
Mchungaji Magembe wewe ni mmojawapo wa wachungaji wachache sana mlio salia hapa duniani. Mungu akutie nguvu na umri mrefu ili uendelee kuifanya kazi ya Mungu.
@juliussabuni20332 жыл бұрын
Mzee Magembe uko wap I? Nataka kujifunza kwako
@KenethdanielManyesela21 күн бұрын
Asante mtumishi barikiwa natamani sn injili km hii jamani ili tuwe watofauti, Sisi Ni vielelezo hapa duniani.. Asante Yesu Kwa kunipenda.
@jonassafari761918 күн бұрын
Hongera Mchungaji ! Kweli,mimi ni mmoja wa wanaoshukuru kwa ujumbe unao kwa ajili ya kutetea injili ya kweli kwa nyakati huu,pia ushuhuda ulio nao. Mungu atukuzwe.
@irenemunuo17104 жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi ya huduma mtumshi wa Mungu. Mungu azidi kukutumia katika shamba lake.
@agnesspaul1866 Жыл бұрын
❤❤❤❤nimeamini watu mkiwa na hofu ya Mungu mnafanana Mungu awe nawe baba
@AngelBayo-p5u4 ай бұрын
Asante Mungu hakika wanahitaji kuwa na wachungaji wenye msimamo namna hii, ubarikiwe mno mtumishi wa Mungu
@PeterMahona-zd3oz3 ай бұрын
Safi sana.mtumishi wa mungu mungu aliye hai anaishi napenda kumtafakali mimi namuona nimzee wameka niwasikunyingi hakuna wakufana yeye nampenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
@VeronicaMacha-pl3xt Жыл бұрын
Piga kazi babaaa wewe ni katika wachache mnaotulisha maziwa yasiyoghoshiwa Mungu akubarik🙏🙏🙏
@IREENNTIJE Жыл бұрын
Asante baba ubarikuwe mno hiyo ndiyo injili ya wa TAG
@romanmwaisela Жыл бұрын
Wazee wa mfano huu ni adimu sana Kwa kizazi hili,sisi tuliobahatika kupata mafundisho tumerithishwa Kwa mwendelezo wa kuchunga kanisa na watu wa Mungu.... HALELUYA mtumishi wa Mungu.
@ednaabyudi84659 ай бұрын
😊
@mtesingwanyanguri34316 ай бұрын
Mchungaji Magembe,mafundisho yako ni adimu Sana kuyasikia kwa wachungaji wengine.Mungu akuzidishie afya baba, Endelea kuwaamsha watu waujuwe ukweri.
@jimmyfund15023 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu zaidi ili tujifunze zaidi kwako.
@mediavumbi9243 Жыл бұрын
Asante sana muchungaji kwa Neno,umenirudisha kwa misingi ya Neno la Mungu, ubarikiwe sana
@VertasiaMatimbwi4 ай бұрын
Mungu azidi kutumia katika viwango vya juu zaidi ili kukomboa kizazi hiki asante Mungu Kwa utumishi wa huyu mchungaji
@Spark8Technoo6 ай бұрын
Mungu nakuomba unipe uyu mtumishi wako ili awe Baba yangu wa kiroho anifundishe kukutii ww na nikutumikie mpaka mwisho wa maisha yangu niziache njia zangu mbaya nikugeukie ww muumbaji was mbingu na nchi.
@micamathew25954 жыл бұрын
Bwana Mungu atutie nguvu jmn!!! Nimeguswa sana na mahubiri ya huyu mchungaji!! Jmn Bwana Yesu asifiwe sana
@RhodaKibona-w9j18 күн бұрын
Unatukumbusha mbali sana mtumishi wa Mungu,baba,mzee wetu mpendwa wetu mzeekorola, alitufundisha kumjua Mungu wa kweli...
@GhislaineMuhindo5 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.akuongezeye miaka mingi zaidi ya miamoja.unatufundisha mafundisho Mazuri sana.❤
@charlesgasper22433 жыл бұрын
Ufunuo. Wa Yohana. alionyeshwa. Kuwa kutakuwa nawahubiri wenyekujitukuza kuwa wametumwa na Mungu kufanya miujiza lakini tahadhari ikatololewa watavaa ngozi zakondoo lakini ni mbwa mwitu! Tutafakari. Wakristo mbwa Huyo humula mnyama akiwa jai mpaka anakufa. analiwatu tena wanakuwa wengi. Sana tujifunze kwa Huyo mchungaji au some I kitabu chaufunuo vinginevyo mbinguni kuingia! Labuda!!!!
@cristianoprincegabrielles39512 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi Wa Mungu aliye Juu..... Bwana Yesu akutendee Mema Baba Mchungaji Magembe
@bobnassa61514 жыл бұрын
Am not Christian but this pastor is truly touch my heart, Glory to God & we are all brothers & sisters 🙏
@this.is.aaliya73953 жыл бұрын
May the Lord touch you soul in Jesus Name and may the Holy spirit réveil himself in you bless you brother
@monicabh16683 жыл бұрын
I pray for you brother one day Our living God will touch your soul 🙏🙏🙏
@sammymasinde3732 жыл бұрын
Okoka brother
@harrietkiden7808 Жыл бұрын
Brother Bob Nassa, may the Holy spirit continue to touch your heart and get more revelation
@imangunjaimangunja Жыл бұрын
@@monicabh1668 0l
@jumamwita231718 күн бұрын
Karibu kanisa la waadventista wasabato tunakutamani sanaa uwe mmoja wetu utatufaa
@KenethdanielManyesela21 күн бұрын
Mungu atuhuwishe na atusaidie tuhubiri kweli ya Mungu.
@FlorahMuhonja3 ай бұрын
Hak I God bless you kwa kunionyesha njia ya kwenda mbinguni be blessed
@JamesPaulo-x3z4 ай бұрын
Mungu akujalie baba yangu mussa, azidi kukulinda na kukutunza.
@nominetjacob8137 Жыл бұрын
BWANA YESU kRISTOR akubaliki sana mtumishi wa MUNGU BWANA YESU kritor aliye hai ubarikiwe akuongezee siku za kuishi ili injili kama hii tuendelee kuisikia maana vijana wa kisasa hawaelewi injili iliyo sahihi ni ipi na kuombea maisha malefu MUNGU muumba mbingu na Nchi akupe maisha malefu Baba yangu
@ModesterSakyambo Жыл бұрын
Amina baba endelea kutusahihisha maanake Kuna waumin hatujui tumetoka wapi. Mungu akubarik baba
@JAMESMUTUNGI-o3b5 ай бұрын
Thanks mtumishi,glory returns to jesus...the church needs revival.
@christsontarimo58033 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaaaaaa..,,,,Watu watubu Dhambi wamrudie Mungu..,,Wokovu si kimbilio la kupata mafanikio ya kidunia..., Nanukuu maneno ya Askofu wa kwanza wa TAG Tanzania (Emmanuel Lazaro) "Mimi siwahubirii mafanikio, nyie mliumbwa kufanikiwa tangu mwanzo..." Wakristo Turejee huu mstari tutaelewa kwanini Mungu hajibu Maombi yetu. Isaya 59:1-2
@ZunRecordStudio2 ай бұрын
Hakika mtumishi unanena vema make sisi washirika hatueleweki nimepokea Sina budi kusema mungu kaniona Asante baba by recho dede
@mossesezekiel7862 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU sema tupone! Heleluya Bwana YESU asifiwe sanaa
@elienew37884 ай бұрын
Amen niombee na mimi Mchungaji nko na.vita ya kiroho maishani na Familia yangu pia magonjwa na issues zinazo fuata mfano watu wafamilia yetu ni ngumu kupata ndoa changamoto za kiuchumi etc
@gloryurio12133 жыл бұрын
This is a true servant of God, Mzee Mungu akupe nguvu
@SabinaEzekiel-vb5nh8 ай бұрын
Amina, nampenda sana mchungaji huyu, Mungu ampe maisha marefu.
@ElizabethNgusway4 ай бұрын
Ooh mungu akubariki mtumishi wa mungu hakika mimi na barikiwa sana
@VioletMbezi Жыл бұрын
Baba ubarikiwe sana hii ndio injili ninayo itafutasana kwa sasa maana hata mimi nilipotea baba nahitaji kupona unanibariki sana,ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa uhai
@mayelegeneral10 ай бұрын
Mzee ubarikiwe na munguwetu
@annamwaipopo94853 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana kwa neno lako Mungu akupe maisha marefu na akubariki mchungaji wetu
@LucianSanga20 күн бұрын
Asante kwa Mafundisho ya BWANA
@graytonndamgoba4805 Жыл бұрын
There is authority in this man when he speaks.Haleluja
@cresensiankwera1776 Жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na mahubiri ya baba mchungaji🙏🙏🙏👏👏
@martinakyoo1482 жыл бұрын
Bwana Yesu azidi kukutumia kwa utukufu wake Mzee wetu Mch Mose's Magembe ,siku zote jumbe zako zinanibariki.
@prosperprosper31924 жыл бұрын
Barikiwa sana Mjoli wa Bwana 🙏 🙏 akika nimebarikiwa nimeona ukinipigisha atua kwenye uduma yangu nanisema nimechukiwa na wengi kupitiwa hii clips kwenye magroup ya kiroho ila fanya kazi baba hata Yesu aliposema kweli wengi walimchukia dah ninamengi sana ila Mungu akubariki mno🤝🤝🙏🙏
@SimonAkyoo5 ай бұрын
Ubarkiwe mtumishi unaongea ukwel kabisa
@SafielMsuya-d2k2 ай бұрын
Amina mtumishi barikiwa sana
@richardesther67384 жыл бұрын
Asante jactani kwa kutuletea congamano hili maana kiukweli limenibariki ,ombi langu kwako utuletee kongamano lote kuanzia siku ya kwanza hadi siku ya mwisho pia utuwekee hadi mwisho wa maombi maana tujifunze na kuombewa pia usikate muda wa maombi ,asante
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Amen, ntafanya hivyo
@NyotaMahuvi4 ай бұрын
Balikiwa sana mnapatikana wapi@@PromovertvTz
@fredrickbaijukya28002 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu ili uzidi kufundisha Neno la kweli maana kanisa limeishajichanganya.
@MESHACK-yk6lj5 ай бұрын
Kbsaaa
@nkunsialfred65953 ай бұрын
Mungu Akubariki muchungaji❤
@FrancisMwamboma-g6c Жыл бұрын
Asante baba iyo ndio injili apaswa buhubiliwa na watu wote
@YoungsHilary-xd2ml Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana ,Asante Mtumishi wa Mungu
@MichaelMushilu2 ай бұрын
Ni kweli Leo tunaogopa kuwambia watu kisa wataondoka kanisan, Mungu atusaidie sana kuisema kweli kwa kanisa
@hilgathjoshua88044 жыл бұрын
Akiri zimeisha hata ufahamu wa kuazima hakuna 😊😊😊 Barikiwa mchungaji 👏👏👏👏
@Nacy-vt5yb5 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe ukweli ndio huu na ukweli huweka watu huru mungu anasema tunapotea kwa kukosa hekima na marifa mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@makongoronyerere15644 ай бұрын
Much respect fodher
@BoniphaceKoladoJohn2 ай бұрын
Ibarikiwe sana Mchungaji
@siboniobubinga45234 жыл бұрын
Ni mm peke angu namuona ....kafanana Na marehemu Mengi au daaah.,..Ujumbe mzur saaana Be blessed😍
@linahselestina60254 жыл бұрын
Hata mimi naona hvy
@PhilipoNjau6 ай бұрын
Yap, copy right Mzee Mengi
@ezekieljacob57956 ай бұрын
Not even close wewe una makengeza
@henricamikambi614725 күн бұрын
Kimo, sura na upara ni mengi mtupu
@agness252217 күн бұрын
Kweli wamefanana
@alfredmwangi96402 жыл бұрын
Powerful n practical, oh God revive us again !
@ElishaWilson-c7p6 ай бұрын
Barikiwa sana baba na Mungu akupe umri mrefu zaid
@tumainiurio3644Ай бұрын
Hakika Yesu Kristo ni Bwana.
@labannewharvestmedia405218 күн бұрын
Ubalikiwe na Mungu
@SultanMgani Жыл бұрын
Ubariki wewe ndio Mzee unazeeka na pamoja na Yesu barikiwa sana
@hansondaniel-nb2jn Жыл бұрын
Nampenda sana huyu mzee mungu amuweke hai
@noelmbosa2736 Жыл бұрын
Amina baba wapo watumishi wasiojua wajibu wao ni majungu tu madhabahuni hawajui ni ofisi ya Mungu madhabahu!inashangaza sana nimekuelewa sana baba.!
@victorwilbard25854 жыл бұрын
Asante sana kwa mahubiri mazuri. Nimefarijika sana kumuona Baba yangu Mch.Urassa.
@AbedinegoSteven Жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa bwana kwa ujumbe wako mzuli ambao umeuandaa mungu wambinguni akupe neeema kubwa kwa ajili ya maneno yake watumishi wa sasa ni wachache ambao wanaotoa meseji ya hivyo walisha baki toa ubalikiwe mala nimeona nyota yako imeibiwa mala nimeona kabuli kiukweli acha mungu akutumie ktk viwango vikubwa amen🎉
@AbedinegoSteven Жыл бұрын
Asante sana
@simonwanyama7494 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtu wa Mungu,mimi ni simon toka kenya
@sammymasinde3732 жыл бұрын
God bless you for the wonderful massage
@KevinRajab5 ай бұрын
Mose's magembe barikiwa sana mtumishi wa "MUNGU"🙏
@shabanimbwambo7297 Жыл бұрын
Asante sana mwinjilishi umegusa sehem sahihi
@RhodaKibona-w9j18 күн бұрын
Amina mtumishi, wa Mungu Mungu wa mbinguni akutete,akupiganie sana...
@nyabutv228319 күн бұрын
❤❤❤❤ mungu anawatu wake huwatumia akiamua waliokuwa wazaifu BWANA huinuliwa hata kama ni zaif
@MzubaloJunior7 ай бұрын
❤❤❤❤ Mungu akupe maisha malefu baba
@ezekieljacob57956 ай бұрын
Marefu
@BaloziAron-ff1ly9 ай бұрын
I'm blessed sana Mungu akubariki sana
@rosehaule67658 ай бұрын
Mungu ni mwema nyakati zote❤
@nemaodhiambo72744 жыл бұрын
Powerful message We all need repentance
@tutuyamononi51854 жыл бұрын
Glory to God Bishop welcome Kenya
@AmosWangese-mk9yy Жыл бұрын
Thank you pastor be blessed
@jacquelineb36434 жыл бұрын
Mungu akubariki akuongeze Miaka mzee naitaji kuokoka umeguza Maisha yangu
@leonardliberath26644 жыл бұрын
Ubarikiwe unaweza ukaja kanisan kwake,karibu
@jacquelineb36434 жыл бұрын
Niko kenya ameguza maisha yangu sana
@aganzemukongomani2723 жыл бұрын
Mutumishi wamungu,mungu akusaiidiye sn uwedeleye kuhubiri manone mazuri kama haya napiya akuongeziye miaka yakuiishi ili utuokowe mubitedon bibaya amen.
@AnodiJumbo19 күн бұрын
Jamani naomba kujua kanisa lauyu mutumishi like wapi?
@thomasisimkonda50722 жыл бұрын
Asante pastor Kwa kunena kweli
@PETERNKUFYA11 ай бұрын
Baba Mungu akubariki sana unafundisha sijapata kuona
@joemunyasya79584 жыл бұрын
Nimependa xana mafunzo yako Rev .moses magembe am revived already fire is burning in me may the Lord keep u and bless u pastor
@SanwelMarco19 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@rosendanshau26744 жыл бұрын
We mch ulikuwa wapi wewe na mafundisho yako mazuri Mungu akutumie kuponya makanisa yya kipentecoste jamani Mungu atuponye nakupenda baba chapa neno
@willisonrushenza74274 жыл бұрын
Nakuelewa mtumishi wa mungu hakika weee ni mtumishi wa mungu aliye hai Amina sana
@ellymaz21874 жыл бұрын
@@willisonrushenza7427 Mungu aliyehai huandikwa kwa herufi zote kubwa au ya kwanza. Ukiandika herufi ndogo kama ulivyoandika ujue unazungumzia mizimu. Ubarikiwe
@lydiawanjiru5654 Жыл бұрын
Kweli Mungu amembakisha wa chunganji waukweli, Mungu wetu na azindi kumuinua, Amen
@nickodemsimchimba5944 жыл бұрын
Nimetokea kumpenda Sana huyu Baba,ana neno la kweli moyoni! Amembeba Mungu alie hai!
@titogood30023 жыл бұрын
Amina
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
true
@jamsonjasson7591 Жыл бұрын
Wewe umesema amembeba MUNGU ila sio MUNGU,,
@WilsonNiwagila-fh7pu Жыл бұрын
Anasema ukweli. Tuhubiri NENO Sio maneno. Tujue historia yetu, Tutambue wakati huu Mungu anataka tufanye nini Na Maadalizi ya kesho no yapi?
@adennashon11 ай бұрын
Mungu akutunze na kukuongeza miaka.
@gracepalex74544 жыл бұрын
Wewe ni mtumishi wa kweli kila neno lako linagusa mioyo .... Mungu akupe miaka mingi
@mosesndahani2434 жыл бұрын
Huyu kwahakika ni nabii wa kanisa la leo. Mungu akupe neema zaidi
@mazongholabaraka65754 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wake Mungu.
@janetnzai98664 жыл бұрын
Mungu akubariki Baba akupe maisha marefu uzidi kuokoa nafsi za watoto wa Mungu
@sumaKaya-rd7ms Жыл бұрын
L
@RajiTarie-d5c6 ай бұрын
Big Ameen mtumishi.. balikiwa sana kwa ujumbe mzuri
@NGUSSAPAULO-ll6gm5 ай бұрын
Hongera mtumishi wamungu ❤ nakumbuka mafundisho kama haya nakumbuka yalikuwepo miaka 19880❤
@NGUSSAPAULO-ll6gm5 ай бұрын
Yalikuwepo mwaka 1980
@JastFinancial024 ай бұрын
Abarikiwe SANA mtumishi wa Bwana
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Mchungaji, naandika tu sijui hata kama unaweza kunijibu. Kuna wimbi la watumishi wa Mungu manabii wanaodai kukutana ana kwa ana na Bwana Yesu na akawafunulia mambo ya mbinguni na kuzimu. Wanatushirikisha mambo mengi kuhusiana na maono/mafunuo waliyopata. Moja ya mambo wanayotuambia Bwana Yesu aliwatuma kuonya kuhusu Wanawake kujipamba, kwamba, wanawake wanaojipamba (kuvaa vitu bandia kama wigi, kucha, kope; kujichubua rangi ya ngozi, heleni, bangiri, shanga, n.k.) kamwe hawatoingia katika Ufalme wa Mbinguni. Nawaona baadhi ya wanawake unaowahubiri hapo wapo hivyo. Jambo hili limekaaje Kiongozi wangu.
@salvinahassan8778 Жыл бұрын
Wokovu ni process,. Kufika mbinguni ni Neema, kukamilia ni pale safari yake imefika mwisho, kanisa ni sehemu ya uponyaji, Kila mtu ana siku yake
@salvinahassan8778 Жыл бұрын
Kujua kama mafunuo Yao ni kweli au sio kweli, yapime kwenye biblia
@emmylema5911 Жыл бұрын
Soma biblia maana unabii unapimwa kwa neno la Mungu
@MariaJuma-q2k Жыл бұрын
Mimi ni msabato,lakini nilikuwa najipamba tu,lakini nikawa sikuwi rohoni,nashuku tu,Kisha nikaanza kuota ndoto zakulala nawanaume nisiowajua naninaowajua,nimeombewa sana,nimefunga sana,lakini nilikuwa sifunguliwi,Hadi nipo kwenye mfungo naingiliwa kimwili nakula vyakula ndotoni,nikamlilia mungu sana,nikamuomba anionyeshe mlango ni Upi unaoingiza uharibifu kwangu,siku Moja nikalala,nikaona maono,jini lilinitokea limejipodoa kama wanawake wakawaida,napafyumu limepaka vipodozi nilivyokuwa navyo ndani,likataka kunigandamiza kitandani,nikakemea likapotea,nikamuuliza mungu ,akaniambia ndo huo mlango,nikaamka asbh nikatubu,nikavichoma VYOTE,nikanyoa nywele,nikafunguliwa bila hata maombi,,nikaamini,vipodozi nimlango wauharibifu mkubwa sana,usijifananishe namtu yeyote hata kama nimtumishi ,thamani Yako anajua mungu tu,wengine hujui wanamaagano gani
@MariaJuma-q2k Жыл бұрын
Ndugu,ninao ushuhuda wavipodozi,vimenitesa sana,Hadi nilipoviacha,viliniua kiroho kabisa