Wale wa 2020 wako wapi??? Kweli old is gold...always a hit🔥🔥🔥
@StoicAurelius14 жыл бұрын
Tuko hapa 11/2020
@sureyahassan10363 жыл бұрын
Namkumbuka mama angu kipindi alivo olewa na mwarab alikuwa anaipenda atalii
@abdulbasitfardin27583 жыл бұрын
Sana tu
@nancymwanyae77303 жыл бұрын
2021 Niko ndani🥰🥰 team Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪,old is good
@zueshisia42563 жыл бұрын
Ramadan here listening while preparing iftar❤❤❤❤
@kithinjimuriungi88113 жыл бұрын
Tuko ndani
@nancymwanyae77303 жыл бұрын
@@kithinjimuriungi8811 karibu
@nancymwanyae77303 жыл бұрын
@@zueshisia4256 Ramadhan Kareem
@zueshisia42563 жыл бұрын
@@nancymwanyae7730 Shukran dear🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@امينةكنيا6 жыл бұрын
Mwanaisha from kenya; Hii nyimbo yanifariji moyo wangu kwani nilikuwa kwenye shida na sasa nimefungukiwa namshukuru Allah mlezi wa viumbe
@munamunastylista76376 жыл бұрын
امينة كنيا pole dada
@musangarobert41026 жыл бұрын
this song makes me relaxed
@aishalumelezi55895 жыл бұрын
Dah yani we acha tu
@najmaabdalla46495 жыл бұрын
Hata mie imenikosha wallah
@babarahmababarahma604 жыл бұрын
Hahahaaaa
@stephenkaguora9414 Жыл бұрын
Umejuaje kama sio chuki usipo like 2023,Bado Iko moto kama pasi
@ibbu-tz3 жыл бұрын
Hahahahah hizi nyimbo ni za utani wa ngumi asee 🤣🤣🤣 OLD IS GOLD 🤣🤣 24/06/2021 Leo. Noma sana
@doreemoshi87074 жыл бұрын
Mpk leo 2020 kama bado upo nahii like
@haifayunus77293 жыл бұрын
Umejuaje kama sio umbea...haloo ooh twende nalo 2021...."sadakta nimefanikiwa"nashukuru jalafiullah.
@teejayangel66382 жыл бұрын
Please translate
@mwanaishahussein26355 жыл бұрын
Kaka wa piano,chukua 100% 👍👍👍👍
@abdulrahmanabubakarshariff97494 жыл бұрын
Ntampata vipi huyu mshairi ni Mtunze zawadi mashallah kaimba vizuri na lugha nzuri
@JonathanBulendadavis4 ай бұрын
❤❤❤Wakongomani wenzangu kina mama angu mzazi mpenzi wataarabu nyimbo zakale naku penda Sanna mom❤❤❤❤kher machaallah
@rajabungunga14515 жыл бұрын
Wangapi wana skiliza mpaka 2019 2020 kama tupo weka like yako hap twend saw
@mawaidhaduaquran77025 жыл бұрын
Niko hapa
@nomorestorynomorestory38354 жыл бұрын
Me too love it mpk 2020
@bonsilayo49834 жыл бұрын
Yap
@cybercafe-m3n5 ай бұрын
asxvnnn mkjhbgghj
@JkJohn-l9l10 ай бұрын
Wa Congomani sisi tuko pamoja nanyi❤
@LizzyKennedy-j9q3 ай бұрын
Nani ako hapa tarehe 01/09/2024 😅😅😅halooo,tujuane jamani... Hi tu nitashukuru...
@rehemarashid90744 жыл бұрын
July 2020 Nani akisikia huu wimbo na inamchangamsha ☺️☺️☺️☺️napenda hii meaning ya tarabu big up
@amirymuna22284 жыл бұрын
Jua mungu hapigi kwa fimbooo pia huwezi kuliziba jua kwa ungooo gonga like 2020
@matumbaikale80153 жыл бұрын
Wow
@NyabMasanja7 ай бұрын
❤
@JescahMuruwa3 ай бұрын
Never tried taarabu but today I have realised its a reality music,uwezi kuliziba jua
@brodernaberwaldsvag37964 жыл бұрын
Mwaka mpya 2021 from Sweden, naipenda nyimbo hii jameni.
@brightaquilla78404 жыл бұрын
Jua Mungu hapigi kwa fimbo; Jua Mungu hapigi kwa fimbo Adhabu yako elewa... Nimefanikiwa mie Nimeongokewa mie Nimebarikiwa Mie
@hamisare50734 жыл бұрын
I am from Somalia and i realy don't undrestand this song says but i love it- i play agin and agin viva Zanzibar song umejuaje
@catherinemwende86042 жыл бұрын
Mwisho wa mwaka wambea mtakoma 2023,,❤️❤️❤️
@georgeopara48795 жыл бұрын
Dah! Nani kama mwanaidi shaban 2019.inanogesha kwelikweli
@lucybahati4125 жыл бұрын
azaz
@viviankrembokarembo8224 жыл бұрын
Sadakta mwanaidi
@JoeWalker2544 жыл бұрын
Hakuna
@lilianwere96284 жыл бұрын
2020 quarantine season tukijituliza😷😷🥰
@alexonesmo17534 жыл бұрын
Poleni sana kenya
@DanielAdoni4 жыл бұрын
ndio, hata mimi ni hapa. kweli kweli, bwana.
@hudda98934 жыл бұрын
Tupo
@peterkhanyifu61594 жыл бұрын
Nipo
@hamidyusuf71074 жыл бұрын
Kama kawa
@aimfetty16415 жыл бұрын
Wataka kuliziba jua na ungo maneno mazuri sana old is gold
@aminanuria76705 жыл бұрын
Ngoma iko juu sana
@rahmamusa-cf7yw10 ай бұрын
taarabu will always be music for understanding and understanding people lyk us who do listen to it😍😍
@aminaamish27276 жыл бұрын
Wangapi wa 2019
@Maccaire5 жыл бұрын
Amina Amish tuko wengi
@georgeoparawafula75005 жыл бұрын
Wambeya wapo mpaka 2019.pambe tu
@muddybilishi22215 жыл бұрын
Shoo kisingeli
@ramadhannassor77175 жыл бұрын
Pamoja sana
@hanifajuma3425 жыл бұрын
tupo wengi.
@sarahkaranja6784 жыл бұрын
Who is listening ? June 2020 quarantine treat 😀
@JoeWalker2544 жыл бұрын
Its july honey
@sadadullah38304 жыл бұрын
Am here after quarantine season
@chebbyissa66534 жыл бұрын
Here in August 2020
@getrudemwendamkono3984 жыл бұрын
Waooo
@marianhussein73216 жыл бұрын
Jua Mungu Ameshanilipia....nimefanikiwa mieee... Wapi nduruuuu...
@babikirmusa69636 жыл бұрын
Haloooo
@neemamasha60194 жыл бұрын
Weweeeeeee
@maryammkassim6353 жыл бұрын
Weweeeeeeh
@amirymuna22284 жыл бұрын
Gonga like hiii taarabu ina ukweli katika maisha yetu
@AshaJuma-eg8gk7 ай бұрын
Wamejuaje?nimefanikiwa2024
@lilianengesia70315 жыл бұрын
2019 watching. huwezi kuliziba jua na ungo huwezi
@dennisfestus11235 жыл бұрын
Lilian Engesia kweli huwezi kuliziba jua
@kennedymunguti24922 жыл бұрын
For the generations to come be sure this lady was a super hero and will remain to be forever. One love taarab
@ibraboss83935 жыл бұрын
gonga like kama unamkubali uyu mama
@harunilibangite4814 жыл бұрын
She hás know
@saidaismail92034 жыл бұрын
Mashaallah mwana wa shaabani nakukubali sana
@zamzamabdulismail50023 жыл бұрын
@sheshi beshi huwezi ziba jua na ungo kamwe
@lyimoabdulrahman21823 жыл бұрын
Tulioletwa huku baada ya kumuona Sabra wa Ishaka gonga like
@brianlangi82632 жыл бұрын
Who else is taking solace in this song after his or her favorite candidate didn't win the 2022 August polls like I'm doing
@shantellyriannah82445 жыл бұрын
😍😍😍nani yupo around nasikiliza... hehehe hujui kusonga sima ya bada😂😂😂😂naipendraaa hii nyimbo aki😍😍😍
@irenechogoofficial59013 жыл бұрын
Huyu mama aje asimame women rep here in Nairobi Kenya 🇰🇪 kura zote kwake wangapi wame kubaliana NAMI?
@SWEETGALKHAN_001 Жыл бұрын
Jamani naja kwa mpingo ,its 2023 na ngoma yavuma kikweli ❤,nalikubali hili siku zote ❤❤❤ naliskizaga siku zote ✅✅from Kenya big love ❤
@abuusirlehsirleh Жыл бұрын
Nakupenda hata mm
@SWEETGALKHAN_001 Жыл бұрын
@@abuusirlehsirleh ❤nashkuru mpenzi
@abuusirlehsirleh Жыл бұрын
@@SWEETGALKHAN_001 nahitaji tuwasilia dia
@SWEETGALKHAN_001 Жыл бұрын
@@abuusirlehsirleh Toka wapi ?
@abuusirlehsirleh Жыл бұрын
@@SWEETGALKHAN_001 toka saudia arabian and you
@isaabdulaziz35916 жыл бұрын
When taarab was on top of things..... Old is gold...
@sirajimohamed78015 жыл бұрын
Eser Mailu true
@baddyboy83322 жыл бұрын
Still on Top
@Abiprague4 жыл бұрын
I don't understand Swahili, but il love the melody of this song and all TAARAB Music so much. Thank you Mwana Idi Shaban for this elegant song
@nancymwanyae77303 жыл бұрын
It's nice song dedicated to haters ,in other words haters can't stop your blessings
@omanphone34553 жыл бұрын
Aweee
@akeem12213 жыл бұрын
IT is like Casha Cabdo from Bajuni tribe in Somalia.
@Abiprague3 жыл бұрын
@@akeem1221 yes same family tree. Somali music copied from Taarab Music
@DiiriyeAbdi-xh8ms Жыл бұрын
Mejuwahe nim nakiwa
@MutieMuleOfficial5 жыл бұрын
2019 na bado nasikiza hii, kweli nyimbi tamu hudumu milele
@sirajimohamed78015 жыл бұрын
Mutie Mule dah nilijua niko peke yangu kumbe tupo wengi mbaba
@LailatiMasoud10 ай бұрын
😅😅😅nyimbi
@sarafinanchulia28274 жыл бұрын
Nani tuko pamoja 2020 kwa mwanaid,huwezi kuliziba jua kwa ungo hahaha pambeee
@nancywairimo38464 жыл бұрын
Am here
@chrisadha1206 Жыл бұрын
Taarab is one genre of music that will never be outdated. The old it gets the better it becomes ❤❤. Moto moto jameeni
@zurichzurichmketema62242 жыл бұрын
Dah hii umejuaje Kama si Umbea ?? Inanikumbusha mbali Sana hakika vyakale Ni dhahabu 🔥🔥❤️❤️💯
@achienglilian63956 жыл бұрын
We were listening to this song in 2005 while moving in to our new house. .my then newly born son is now 14yrs old... 😍😍😍😍😍😍
@jamalyjawadu66313 жыл бұрын
Kweii kazi ipo
@castaecas9502 жыл бұрын
17 now eh 😂😂. Haya msalimu
@denismigayi8513 Жыл бұрын
Now a teenager at 19yrs
@achienglilian6395 Жыл бұрын
@@denismigayi8513 yes .
@wadhifatv88273 жыл бұрын
“Hebu Domo Lako Fungaaaa -Mungu hapigi kwa Fimbo” 2021🔥
@sylviachristopher84812 жыл бұрын
Yaani growing up listening to this was the best feeling ever n then I would wait to listen to it on BBC Swahili
@kiraithentaugu78914 жыл бұрын
My all time dawa ya roho, "kasirika sasa vimba"🥰🥰
@nasmamohamed37425 жыл бұрын
Gonga like twende sawa 2019
@josephwakoli49945 жыл бұрын
Naku penda Dadi
@HassanHassan-iw7xr4 жыл бұрын
@@josephwakoli4994 et j'en suis
@hosenihemedy80054 жыл бұрын
naikubar xana
@kikweteluqman93414 жыл бұрын
Dada unaniuwa I love you
@fatmamaere965723 күн бұрын
Truly Old is Old❤❤Leo nmekumbuka hii nyimbo ndo nkaja mbio hapa kuuskiza. Ahh imenikumbusha kitambo nkiwa mdogo,nlikuwa namuona Mamangu akiskiza hii nyimbo kila siku. Lyrics bado zimo akilini,wala hazijanitoka😅😅 Ahh jamanii long live Taraab✨❤❤❤❤
@judynjeri13416 жыл бұрын
2019 who is here mziki mtaamu sana
@Maccaire5 жыл бұрын
Judy Njeri tuko wengi. Tigawana njeri
@cholloriyamiy89955 жыл бұрын
East Africa melody taarab group.. Song: Utajuaje km si Umbea.. By Mwanaid shaaban..
@annewaweru59395 жыл бұрын
One of my favourite songs. Maneno kuntu!!🔥🔥
@mayilazaddock14825 жыл бұрын
Niko hapo.
@RobertShikanda-eg5oe8 ай бұрын
Ulijuaje kama si umbeya .naendelea kuzikiza tamu kweli.wakenya wenzangu mpo, Tanzania 🇹🇿 vipi .Uganda 🇺🇬 hamjambo
@MgeniHamisi-g5w2 ай бұрын
Watanzania wajue pwani pia kuna taarab😂
@bintmwanyello23505 жыл бұрын
Wangap bado twaskiliza hii taarab tamuu 2019??
@aristideskimbi47965 жыл бұрын
Tupooo
@whatsupwhatsup4574 жыл бұрын
Mahasidi mmeskia⚠️ you cannot stop the blessings 🔑🔓
@mwanaidihassan5386 Жыл бұрын
kabsaa
@starfire35663 жыл бұрын
Wakenya wenzangu Nani anasikiza hii nyimbo November 2021 drop a like🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@frankamash3 күн бұрын
I really like taarab songs......tunavuka nalo 2025 kwa uwezo wa Allah
@hanifahramzy26465 жыл бұрын
"Jua Mungu hapigi kwafimbo" 2019 sep Old is gold indeed👌💯
@maureenatieno3730Ай бұрын
Jamani napenda sana mziki wa taarab kwa kweli Yana mafunzo katika maisha ya binadamu.
@athumanimatola83474 жыл бұрын
Hakika taarabu hii bado inaleta ladhaa hasa inaposema umejuaje kama siumbea looooh!!!👌👌 2020 sasa nani anaisikiliza!!?
@AaAa-tf7sl2 жыл бұрын
Mm hapa
@AbigaelNdiga8 ай бұрын
Wimbo wa taarab kweli ni tamu, ndugu na dada zangu tuzienzi kabisa. Hongera Mwana Idi Shaban bingwa wa taarab muziki......swahili culture ♥ 👌 on fire 🔥.
@mohamudovzenden38754 жыл бұрын
One of the best taarab of all time ...Mwana Idi Shabaan with her sweet voice ..Inani bamba Na Eid al Adha 2020 nikiwa full Handas
@guyo13 жыл бұрын
😂😂 🍃🍃
@gloriahchesoli80423 жыл бұрын
You don't dissappoint@2021
@nairobinightlifetv65602 жыл бұрын
Ati nini 😂😂😂😂😂 Astaghfirlah
@nehemiakipchumba2543 жыл бұрын
Taaamu....mapenzi yangu kwa Taarab ni asilimia mia. 2021 and can't stop watching,wapi likes zangu jamani,mnipe 100 likes bila chuki jameni.
@SospeterKatumo11 ай бұрын
Unikumbusha siku ya kuingia jiji Mombasa
@yvonnemwendwa31798 күн бұрын
Wale tunaskiaa Dec 2024
@lenahkuvuna82993 жыл бұрын
Macho yako kama mamba wala hujui kufumba kakikupiti kitu kirembo ##teammafisi##
@oyayatimothy12902 ай бұрын
Nakumbuka nilienda likoni kutongoza dem Moja anaitwa felistas mtaita all the way from makande Kenyatta flats.
@simiyuhudson33663 жыл бұрын
Whenever am taking a healthy breakfast i must listen to this song
@millicentmuhando5014 Жыл бұрын
😅this comment though
@IssaOmary-od8hn2 ай бұрын
Jamaniii iiingoma yani naipendaaa sanaaaa yani siaaachi siachiiii🎉🎉🎉🎉 mpk 2025
@faridamandee69425 жыл бұрын
Huwez kulizba jua na ungo ni kweli mumy nic sanaaa
@aishaomari72995 жыл бұрын
Farida Mandee umeonaa
@Tetoyousef10 ай бұрын
I hear from Sudan. 🇸🇩 I love my favorite song. I don’t understand anything they say, but I love singing
@onyangoonyango56113 жыл бұрын
Reminds me of Khadija Ali, possibly the best female voice to grace radio in Kenya.
@nairobinightlifetv65602 жыл бұрын
Where'd she go?
@francismwangi45972 жыл бұрын
Same
@lawrencemuthoni1587 Жыл бұрын
Bado ako kbc...
@PriscapicaMwaleКүн бұрын
I love listening to taarab songs though I don't know what they sing about ever since I started traveling to Tanzania❤
@husseinyussuf48697 жыл бұрын
10 years ago i was younger and now am old the hit still iconic
@zuhrahalima59877 жыл бұрын
hussein yussuf how old are you now.
@annmokami75746 жыл бұрын
+Zuhra Halima tamu kweli
@SHARQAWIOALLY5 жыл бұрын
true
@navatilovarhfaith60885 жыл бұрын
Nice songs ever
@sirajimohamed78015 жыл бұрын
Hussein Yussuf :pamoja
@SwahiliBridge4 ай бұрын
Hii taarab nzuri aiseee😂😂😂😂😂❤❤❤❤ zamani walikuwa wanaimba bana👊🙌🫶
@Ms.Gaudium Жыл бұрын
Listening to Taarab reminds me of my grandma, a best friend I miss everyday. Thank Universe for KZbin I get to celebrate my best friend through this special music❤️
@afrakanaswahilitv55202 жыл бұрын
Wakenya jifunzeni kutoa maono yenu katika lugha yetu ya kiafrika ya Kiswahili badala ya kuenzi na kueneza lugha ya wazungu wa Uingereza.
@abdulsudeismanutdspereira43195 жыл бұрын
Ndiooooooo....2019 still watching it from 254 Taarab tamuu isay...ndani ya 001💪💪❤❤🔥🔥🔥
@nancemartine59004 жыл бұрын
Abdulsudeis ManUtd's Pereira waooooooh gud song god bless you mom and nice beauty
@issaaweso44134 жыл бұрын
Abdulsudeis ManUtd's Pereira waoooo sopoaaa
@hassanmkotya82043 жыл бұрын
Nani kaja baaada ya kumsikia @lavalava ndani ya mashamshamu
@lianastephano32214 жыл бұрын
2020 who?
@AminaCuisine6924 жыл бұрын
Sep 9th 2020.
@annienjango58333 жыл бұрын
Eeeh ulijuaje 😊😊taarab kipenzi changu 😍❤️
@mercynyaura53458 ай бұрын
Chokuu brought me here 🤣🤣🤣 2024
@bianka_cruce20207 ай бұрын
Gaaaiii haha same
@Hhenryarero Жыл бұрын
The Yellow Dressed Swahili Melodies from Pwani wanauliza Swahili...??????