PLAN B _ Episode 2

  Рет қаралды 276,011

kp wa Aquino

kp wa Aquino

Күн бұрын

Пікірлер: 570
@isayamwanjoka3958
@isayamwanjoka3958 6 ай бұрын
Bonge moja la tamthiliya sauti safi, mziki safi, waigizaji safi, mtiririko safi gonga like kam unaikubali hili dude
@usterbae
@usterbae 6 ай бұрын
Congolesheni Bwana kp kwa kazi nzuri nawapenda wahusika wote ❤❤❤
@Asma-hn1jk
@Asma-hn1jk 6 ай бұрын
Nani anamkubali sheshe 💪💪tujuan 😊
@SummaiyaKassim-zv5nt
@SummaiyaKassim-zv5nt 6 ай бұрын
KP Mungu akuzidishie ujuzi na akili kwenye kazi zako
@mkanyafamily
@mkanyafamily 6 ай бұрын
Nilichogundua watu wanawahi kutoa comment kabla hawajaangalia CONGRATULATIONS KP
@BintiMweluhanga
@BintiMweluhanga 6 ай бұрын
Nakubar team kp kazi nzur mungu awasimamie
@MagrethBernard-p2n
@MagrethBernard-p2n 6 ай бұрын
kaz zenu huwa nazipenda sana, akili nyingi nguvu kidogo🎉🎉🎉🎉
@GentilKakule-rd2pz
@GentilKakule-rd2pz 6 ай бұрын
Kazi nzuri sana kp hii inaweza sana naikubali kinoma
@SelemaniIddy-nc1n
@SelemaniIddy-nc1n 6 ай бұрын
Kazi nzuri sana team kp mnajuwa sana
@IrakozeJuliette-so1iu
@IrakozeJuliette-so1iu 6 ай бұрын
Jamani kp na zebu nawapenda sana
@MauwaKhamis-b2m
@MauwaKhamis-b2m 6 ай бұрын
Up vzur san sheishei ila unatembey uchi sana mbn
@FettyDMOSO
@FettyDMOSO 6 ай бұрын
Kp nakupenda bule kazi nzuri❤❤
@ngusakalima9899
@ngusakalima9899 6 ай бұрын
Ila sheila unavituko wewe mwenzangu❤❤❤❤❤
@Joelmwandete
@Joelmwandete 6 ай бұрын
Wakwanza leoooo hemb team kp tujuane gonga kopa hapooooo
@Kurathunghain
@Kurathunghain 6 ай бұрын
Nkubali mzee likoma 😅😅
@DelvinChepkorir-t1d
@DelvinChepkorir-t1d 6 ай бұрын
Najua tu kp hawezi fanya hayo,,,,,,😅😅😅 congratulations wote Sheishei jameni hadi nguo
@halimamathew285
@halimamathew285 6 ай бұрын
Mimi Nawakubali.wote Maana Wanajuwa.kazi.mzee.likoma.hongera.sana.kisai.nakukubali.hutuangushi.mAnna.karata.unazo.cheza.yani.upo Vizuri.shelisheli Pia Upo Vizuri.wote.kwakweli.mppovizuri❤
@IsaacKinama
@IsaacKinama 3 ай бұрын
Mnajua sana vijana ❤️
@suedswedgotagota9732
@suedswedgotagota9732 6 ай бұрын
Ongera kwa kazi nzuru kip wa Aquino pamoja na timu nzima
@ChristianRugenge-kd1xh
@ChristianRugenge-kd1xh 6 ай бұрын
Sisi wengine tuna kesha KZbin kwaku fatiliya kazi ya sheila , sheila wewe noma kabisa upewe mauwa yako salute kwa kazi nzuri saana❤❤
@RosalineWakina
@RosalineWakina 6 ай бұрын
Wa kwanza leo jamani..nawakubali sana watu wangu kutoka kenya❤❤
@pauloosward9690
@pauloosward9690 6 ай бұрын
Kp na zebuu mbona Kuna mhusika mmoja waga hatumuoniii mama mzaaa
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 6 ай бұрын
Mhusik yupi
@RuthNyatuka-qe3kd
@RuthNyatuka-qe3kd 6 ай бұрын
Congratulations kwa kutuletea mapema uendelee hivi kp🙏🙏🙏🙏
@SameripatriciopauloPatri-pv5kg
@SameripatriciopauloPatri-pv5kg 6 ай бұрын
Em primeiro lugar hoje peço like from Moçambique
@ZoazinaJohn
@ZoazinaJohn 6 ай бұрын
❤❤❤❤hampoi Wala hamboi haki ya nani vileee..... Hata MB haziniumi walahii kwenu nyie😂❤😂❤🎉🎉🎉😂😂❤
@jameskalugo4583
@jameskalugo4583 6 ай бұрын
❤🎉kaz Safi team strong hongereni Sana mwaah
@Amena-z5r
@Amena-z5r 6 ай бұрын
Wow wakwanza leo kp plz naomba like hata kumi tu 😢😢❤❤❤🎉🎉🎉
@MaryElizaElizabeth
@MaryElizaElizabeth 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😢😢😢
@pauloosward9690
@pauloosward9690 6 ай бұрын
Wa kwanzaaa plan b
@MayengDulu
@MayengDulu 6 ай бұрын
Kazi yawizi Iko poa sana❤❤❤❤❤❤ safi Sana makaka
@Monicah-do9ob
@Monicah-do9ob 6 ай бұрын
Hizo razita sinazeeza kp ,movie nyingine usiweke nywere hauko smart, unakaa mzee Sana.
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 6 ай бұрын
DAAAH HIIII PLAN B SIJUI NIIFANANISH NA NINI ILA KIUKWELI KALI SAAN 🎉🎉🎉🎉🎉
@allywazirikimweri1319
@allywazirikimweri1319 6 ай бұрын
KP na ZEBU hongereni mpo vizuri kwenye hi tasnia
@MwanaishaChileta
@MwanaishaChileta 6 ай бұрын
Kp kwakweli ino biriani nimeipenda kwakweli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PurityMwongeli-p9f
@PurityMwongeli-p9f 6 ай бұрын
Wah.kube sheyshey n mwizi pia
@Tikijmlengo
@Tikijmlengo 6 ай бұрын
Kisai zakihun anaziweza🎉🎉🎉
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 ай бұрын
Sijui anajikuta nani😂😂 misifa kibao
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 6 ай бұрын
​@@m.mmarckus6298na mumemsikiliza kisai anavyo ongea lkn km anaongea na ulimi wala sijui ni kithembe
@MauwaKhamis-b2m
@MauwaKhamis-b2m 6 ай бұрын
W mwish mm jaman naomb like zenu hap kp n zeb nakuombeni muslimu muigie kweny dini y kiislam naipend Sana michez yenu munajuw kueti nyny il nakuombeni muslimu ten
@MercyKahindi-go2nr
@MercyKahindi-go2nr 6 ай бұрын
Wooow wapili jaman nmewai leoo❤❤❤
@TumainiUrio-k7o
@TumainiUrio-k7o 6 ай бұрын
Shey shey kanichekesha hapo kwenye kuiba nguo jaman
@ShukraniNiyonsaba-ne2sx
@ShukraniNiyonsaba-ne2sx 6 ай бұрын
Shey. Nakupenda bure. Tusomane bas😅
@ShimbaYohan-p1u
@ShimbaYohan-p1u 3 ай бұрын
Nice sana hongereni
@ringstone5388
@ringstone5388 6 ай бұрын
Ohhh atimaye nami leo nimekuwa watatu piga keleeeeeeeeeee 😂😂😂😂
@PatriciaMshanga
@PatriciaMshanga 6 ай бұрын
🎉❤nimeipenda
@NancySibiaOnguti-gb9yq
@NancySibiaOnguti-gb9yq 6 ай бұрын
Kuna moto hapa but itakapo fika mwisho kp atakua amechoka sana heeee hile mbio anajukuliwa mmmmh😢😢😢😮
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 6 ай бұрын
Ila shey shey na kp 😂😂😂 noma sana
@EMMAMTEY-vh7on
@EMMAMTEY-vh7on 6 ай бұрын
Na mm Leo nimewah naomben like zangu. Kama unamkubali kp
@Jasweety
@Jasweety 6 ай бұрын
Mnajitahidi kuwahi jaman had raha❤❤
@monamm7482
@monamm7482 6 ай бұрын
Big up team kp by the zebuu
@ChristinaBoniface-hf9lo
@ChristinaBoniface-hf9lo 6 ай бұрын
Mix shey shey wew ni atali sana😅😅😅
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 6 ай бұрын
Shey shey amevaa bukta ya Darkid😂😂😂❤
@YohanaThobias-n1q
@YohanaThobias-n1q 25 күн бұрын
Kila movie mnayo itoa kama team ni kal 2 aixee😂😂😂😂
@SemeniJuma-vm9jd
@SemeniJuma-vm9jd 6 ай бұрын
Kazi nzuri sana nawapenda sana
@SemeniJuma-vm9jd
@SemeniJuma-vm9jd 4 ай бұрын
Ila mbona wanachelewesha??
@AishaIsmael-o8j
@AishaIsmael-o8j 6 ай бұрын
Tunaomkubali sheila tujuane❤❤❤
@JérômeCitoBaguma-i3p
@JérômeCitoBaguma-i3p 6 ай бұрын
Ndugu zangu namisi sana Suraji ndani ya timu kubwa ya KP na zebu
@shemsafafa3917
@shemsafafa3917 6 ай бұрын
Tupo pamoja saana❤❤
@christianapyuza2570
@christianapyuza2570 6 ай бұрын
Kazi sheilamwanangu na Darkid kupoteza location ya simu ya Nora🤣🤣🤣
@HappyMoses-rt1nv
@HappyMoses-rt1nv 6 ай бұрын
Leo nimekuwa wakwanza ❤❤
@esternaftary6420
@esternaftary6420 6 ай бұрын
Nimechelewa kidogo tu yaaan
@WilsonKAMBALE-io6fv
@WilsonKAMBALE-io6fv 6 ай бұрын
Djami napenda kazi yenu munajitahidi nawapenda sana ninacho omba like hata tatu
@MawazoJustin-fw2ws
@MawazoJustin-fw2ws 6 ай бұрын
Kila nikiomba like saison sipewagi like ya kp na zebuu
@DelvinChepkorir-t1d
@DelvinChepkorir-t1d 6 ай бұрын
Ya nini
@ridhaashauri
@ridhaashauri 6 ай бұрын
Sasa nawewe nikp amazing zebuuu
@MELVINBBY
@MELVINBBY 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂shey shey ushakuwa kibaka pia ww
@Zaitun-o9s
@Zaitun-o9s 6 ай бұрын
Jamani mbn pambe
@SibijaliLim
@SibijaliLim 6 ай бұрын
H moj kali🎉🎉🎉🎉🎉wallah
@MauwaKhamis-b2m
@MauwaKhamis-b2m 6 ай бұрын
Ila samahan Kam nitawakwaz muko vizur kwa kueti mmwaàaaaaaa kp nawapend San ila muigie mwenye dini y kiislam kwa mugu kuna Moto mkali
@sadahamad6158
@sadahamad6158 6 ай бұрын
Mnaosema wa kwanza haya tumeni salamu kwa familia zenu 😂😂😂😂 tena wanaume pia wamekazana naomba like nyooni ovyoo hongera kp kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉
@saidkhamis210
@saidkhamis210 6 ай бұрын
Waambie bwana imekua tabu hii like
@sadahamad6158
@sadahamad6158 6 ай бұрын
@@saidkhamis210 nakwambia hadi kero
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 6 ай бұрын
Ni bora tukupe ww maana umeongea la maana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@birungideborah
@birungideborah 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@saidjalala32
@saidjalala32 6 ай бұрын
Nimecheka kwa sauti😂😂😂😂
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 6 ай бұрын
OYA NAKUBALI TEAM KP PLAN B TUNAYO NA TUNA TAMBA NAYO HONGERENI SANA KWA UBUNIFU WA KIPEKE YAKE INAVUTIA SAN
@SophiaMfinanga-mr8bm
@SophiaMfinanga-mr8bm 6 ай бұрын
Mam Kp anajua sana kuigiza big up for her❤️
@JescaMvula-od5eb
@JescaMvula-od5eb 6 ай бұрын
Tupo p1 man nazifuatilia kila move zako zote nimezipenda kaka 🎉🎉🎉
@Mariam-w6o8o
@Mariam-w6o8o 6 ай бұрын
Sheyshey nimambo mbaya sana daah 😂
@ZariaAlmasi
@ZariaAlmasi 6 ай бұрын
Kwan izo like zina nn mbon kila mtu anaomba embu nipeni na mm izo likeee
@malichanda3146
@malichanda3146 6 ай бұрын
Mzee likima et unakuwa kama upo mwenye kipindi cha yesu😂😂😂😂
@TAJIRICALVIN
@TAJIRICALVIN 6 ай бұрын
Andika vizur
@ngandajunior8896
@ngandajunior8896 6 ай бұрын
Wa nne leo😂 nipeni likes zangu
@khadija2113
@khadija2113 6 ай бұрын
😂nimecheka MM jamani Sheila kp nawapenda sana❤❤❤❤❤❤
@salumuwembo-fo5rr365
@salumuwembo-fo5rr365 4 ай бұрын
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🥰💯🎉🎉
@UmmyKadzo
@UmmyKadzo 6 ай бұрын
Plan B naona inakuja poa sana ,,big up Kp🥳🥳
@shadrackothieno2389
@shadrackothieno2389 6 ай бұрын
Wow wakwanza kp nipe like 5 TU aki
@Nemawema
@Nemawema 6 ай бұрын
Leo am on time ❤❤❤❤
@MudyAboud
@MudyAboud 6 ай бұрын
Jaman wale wachelewaji wenzangu jamani tujuane😂😂😂😂
@melaulepotot
@melaulepotot 6 ай бұрын
Movie tamu sana 🎉🎉🎉 yenyu team izima kp
@joynessmichael1824
@joynessmichael1824 6 ай бұрын
Hongera sana team KP Kwa kazi nzuri 🎉
@GraceMbulu-rp8ko
@GraceMbulu-rp8ko 6 ай бұрын
Sheila uko vizuri sana❤❤❤
@Lidya-e1i
@Lidya-e1i 6 ай бұрын
❤❤❤wueh ebu mtoe maoni kwanza yawah
@FatmaIsmail-k6f
@FatmaIsmail-k6f 3 ай бұрын
Namkubali kishen huyu dada
@MajimbiTz
@MajimbiTz 6 ай бұрын
Wa mwisho 😂😂😂 naombeni like hata 10 basi
@elishayaredi
@elishayaredi 6 ай бұрын
Mimi ni WA mwisho jaman NAOMBA like za mwisho
@JulietJoseph-r1y
@JulietJoseph-r1y Ай бұрын
Apovipi
@RozaliaSimon-mh6cm
@RozaliaSimon-mh6cm 6 ай бұрын
Kam unamkubali shey shey gonga like mpk kaiba nguo😂😂❤
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 6 ай бұрын
😁😁😁😁😁🤣maskini kepi acana nauyo mwanamke mwizi
@ridhaashauri
@ridhaashauri 6 ай бұрын
Nampenda sana likoma 🎉🎉🎉
@HamisHussein-w9g
@HamisHussein-w9g 6 ай бұрын
Ahahaha😅😅😅😅 shei shei nae mwizi kumbe
@adonightkerush6875
@adonightkerush6875 6 ай бұрын
I really enjoyed 😂😂😂🎉🎉🎉wenye waliona notification hivi na kuanza kuwatch immediately tupa like hapa🎉❤
@PhaustinNchimachalo
@PhaustinNchimachalo 6 ай бұрын
🫡 kweli kaka unaweza
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 6 ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo
@EmmanuelUshindi-n9m
@EmmanuelUshindi-n9m 6 ай бұрын
Zebuu ni muke wa kp ama ni katika uigizaji tu😂😂 0:07
@PriscarwawudatumboPriscar
@PriscarwawudatumboPriscar 6 ай бұрын
Sheila kumbe uko poa kwa michongo ..hongera sana
@HajraIddy
@HajraIddy 6 ай бұрын
Mbn mwachelewesha sanaaa hivy emb mjitahid kuwahishaa
@BoyiJuma
@BoyiJuma 6 ай бұрын
Jaman xheil umedamxhi kinom❤❤❤❤🎉
@HassanPilimo
@HassanPilimo 6 ай бұрын
Wàkwanza Jaman naombeni like Zangu hata 10
@SaphiaCharnary
@SaphiaCharnary 6 ай бұрын
👌👌👌👌👌
@HassanPilimo
@HassanPilimo 6 ай бұрын
@Bestudio-2 hàya bhn nashkur
@HassanPilimo
@HassanPilimo 6 ай бұрын
@Bestudio-2 hàya sauwàààà shukrani
@franciscaauma-md4wj
@franciscaauma-md4wj 4 ай бұрын
Suraj kapotea wapi
@FranckShabani
@FranckShabani 6 ай бұрын
Nipo tayari jamani naomba like zenu kwaku sapoti wa sujaha zetu kp na zebuu
@LeylaMgaya-og5mm
@LeylaMgaya-og5mm 6 ай бұрын
Ni motoooo move tunayo hapana chezea plan B ni fireeeeeee, hongereniii sana team.
@azizahmohamed3495
@azizahmohamed3495 6 ай бұрын
Ila Sheila we n mtu n nusu 😂😂😂😂asa ulijuaje km KP anakimbizwa jmn 😅😅😅😅hpn kwakweli salute kwenu
@EuniceVureze
@EuniceVureze 6 ай бұрын
Uuwee huku ni kumoto Kp and Sheila big deal Team strong 💪💪💪💪much love guys
@WilliamOmbochi
@WilliamOmbochi 6 ай бұрын
Nmeiwapenda n nitawapenda xn ❤❤❤ u and I really appreciate you
PLAN B _ Episode 3
35:19
kp wa Aquino
Рет қаралды 275 М.
DUNIA (Ep 42)
20:50
ASMA FILMS
Рет қаралды 229 М.
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
CHOKOCHOKO | Kp Na Zebuu
18:14
Dibozi Manuva
Рет қаралды 301 М.
UTUMBO NDIZI FULL MOVIE SEASON ONE [1-10]
2:41:32
Dar film media
Рет қаралды 3,4 М.
FAMILIA YA MZEE KICHECHE - FULL MOVIE (Ep 1-10)
3:14:46
kicheche
Рет қаралды 396 М.
LAST CARD FULL MOVIE _ (EP 1-10) FULL HD
3:21:39
kp wa Aquino
Рет қаралды 283 М.
BINTI NYOKA - EPISODE 1
12:43
kp wa Aquino
Рет қаралды 850 М.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 355 М.
MY DAUGHTER  I ep 15 I
15:35
CLAM VEVO
Рет қаралды 321 М.
PLAN B _ Episode 1
40:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 496 М.
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН