PLAN B _ Episode 3

  Рет қаралды 226,052

kp wa Aquino

kp wa Aquino

Күн бұрын

#bintinyoka #kp #kpnazebuu #lastcard #wamangushi #zebuu #tanzania

Пікірлер: 888
@sylvieminani3913
@sylvieminani3913 3 ай бұрын
Yaani tanguu nianze kuangalia vipindi vya hawa wajama sijapata hata like moja nipeni like moja tuu plz
@BundalaShija-yb4vo
@BundalaShija-yb4vo 3 ай бұрын
Unataka like za nini kalale
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 3 ай бұрын
​@@BundalaShija-yb4voAkalale voo😂😂
@ZakayoTv-media
@ZakayoTv-media 3 ай бұрын
😢😢😢😂
@numpefikimwaipopo
@numpefikimwaipopo 3 ай бұрын
Sasa like we za nini wewe ndo utoe like Kwa wahusika
@aishawhite1107
@aishawhite1107 3 ай бұрын
Uliwahi kutoa maoni yeyote??
@MagrethBernard-p2n
@MagrethBernard-p2n 3 ай бұрын
Mama zetu wanapambana kutulea katika maadili mazuri na kutuombea kwa Mungu ila tamaa zetu zinatufanya kukengeuka. vijana wenzangu hii movie inafunzo kubwa tujifunze
@NshomaSayi
@NshomaSayi 3 ай бұрын
tunaopenda kuangalia uku tunasoma comment gonga like KP one love❤❤❤❤
@MezaFrancico
@MezaFrancico 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MezaFrancico
@MezaFrancico 2 ай бұрын
Love❤ Amob e
@abubacarassanetoziy4747
@abubacarassanetoziy4747 3 ай бұрын
Ila mimi nipenda sana muonekano mpya WA sheishei kama wewe kama mm like hapo please
@GentilKakule-rd2pz
@GentilKakule-rd2pz 3 ай бұрын
Kama wa mkubali sheishei gonga like zake hapa
@AbdallahAbed-jh8zj
@AbdallahAbed-jh8zj 3 ай бұрын
@marialumbanga
@marialumbanga 3 ай бұрын
Huyu dada shei wa moto tembeaji yake kama mgambo wa jiji
@GentilKakule-rd2pz
@GentilKakule-rd2pz 3 ай бұрын
Yaani we Acha tu, sheishei wa moto sana🔥
@PeterMakunyu-uz5et
@PeterMakunyu-uz5et 3 ай бұрын
Nice job,,,I like it... from Kenya 🇰🇪
@chadiaManirakiza
@chadiaManirakiza 3 ай бұрын
mimi wakwanza kutoka burundian naomba like hata moja bas❤
@Nzoyikorera
@Nzoyikorera 3 ай бұрын
Tupo wengi frome burundi 😅😅😅❤
@deborahmidiburo3541
@deborahmidiburo3541 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ShabanLamadhan
@ShabanLamadhan 3 ай бұрын
Vp
@AbdallahMpinga-p4m
@AbdallahMpinga-p4m 3 ай бұрын
Jaman sijawai ata kupata like moja nisaidien ata tano tu
@Mwamaisha
@Mwamaisha 3 ай бұрын
😂😂😂 nmependa iyoo sawa mm acha njitolee kukusaidia na like yangu maskini mpenziiiiiiii 🤣🤣🤣🤣
@dadaamwazewe1299
@dadaamwazewe1299 3 ай бұрын
wangap wanakubali hii PLAN B❤guys kazi nzur sana tumpeni Sheila mauwa yake kwakwel Sheila kila kazi unaendanana party yake❤❤❤😂
@MashaMbwana
@MashaMbwana 3 ай бұрын
Nyumba ndani nzr nje sasa 😊😊
@PaulChanda-er4wx
@PaulChanda-er4wx 3 ай бұрын
Mimi niwa pili, nipeni likes zangu please 🎉 Je suis à Lubumbashi en RDCongo
@HassanPilimo
@HassanPilimo 3 ай бұрын
Chukua hiyoo
@Africanchild-x6n
@Africanchild-x6n 3 ай бұрын
Congo kwa ambaje???
@Nyotajada
@Nyotajada 3 ай бұрын
Ila sheila jamani kila sekita kanapendexaaa tu❤️🌹🌹
@MohammedyNanjega
@MohammedyNanjega 3 ай бұрын
Kwel kabisa😂
@ElizabethChalle
@ElizabethChalle 2 ай бұрын
Uyu dada yuko pw
@PostineYesare
@PostineYesare 2 ай бұрын
Binti likoma huyo like father like daughter❤😂
@usterbae
@usterbae 3 ай бұрын
Wow nimefurahi sana kwa kutuletea part 3 anyway good job Mr kp na team yako for really mnajua San may God bless you all love you guys❤❤❤❤
@ChukuwaChako4
@ChukuwaChako4 3 ай бұрын
Wakwanza Leo kp like zangu tupo pamoja sana
@Amena-z5r
@Amena-z5r 3 ай бұрын
Wow kp nimewahi tena jaman naomba like zangu plz alafu bila kusahau team strong wale wa 2025 January tujuane kwa comment nawapenda sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@siliviaDali
@siliviaDali 3 ай бұрын
Heri ww...mm n 2026
@aminanaima6899
@aminanaima6899 2 ай бұрын
Yupoooooo
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 3 ай бұрын
Sheila mmh Mungu akusamehe, ila n Kaz tu ucjar
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 3 ай бұрын
Style ya Kp ... Round hii iko Poa sana🥰🙏👍🙌
@shabaniathumani2284
@shabaniathumani2284 3 ай бұрын
na tamani kuonana sheilah una nifurahishaga saana karibu simiyu
@timothy7615
@timothy7615 3 ай бұрын
msijifanye hamjamiss suraj😅😅😅 mnipitie
@sadahamad6158
@sadahamad6158 3 ай бұрын
Kuomba like tu kutoa maoni aaah 😂😂😂 ila kisai ujambazi unafaa kweli kazi nzuri sana washirika
@Lovekidoti32
@Lovekidoti32 3 ай бұрын
Ila KP movie zako ni movie ambazo ni za kutumia akili sana, wewe ni nouma
@Thedy-tp5ei
@Thedy-tp5ei 3 ай бұрын
Kabisaaaa
@Gladys-254
@Gladys-254 3 ай бұрын
Kabisaa ata enye ilimuangushà ni Ile ya sonaà😅
@Lovekidoti32
@Lovekidoti32 3 ай бұрын
@@Gladys-254 unaona last card imetumia akili kubwa, na wamangushi ni movie za kutumia akili achana na hizi movie nyingine ambazo story zao ni common
@JeanModero
@JeanModero 2 ай бұрын
Bonjour tuongee ki faratcha
@Sharifaliuma-gb3vt
@Sharifaliuma-gb3vt 3 ай бұрын
Sheria hongera sana unastahili upewe maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉
@AgnesyMakongo
@AgnesyMakongo 3 ай бұрын
Najua lazima kp atakuja kumpenda zebu mazima💪💪
@FitinaWilondja-m7c
@FitinaWilondja-m7c 3 ай бұрын
Sheila ongera kwa ubora zaidi wa ujuz wa computer naona umefanya kazi nzur🎉🎉🎉🎉🎉
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 3 ай бұрын
Move zenu nzuri saana zinamafunzo piya ila tafadhari naomba mmengeweka sauti ya kawaida na si hiyo yaani kama vikatuni wakati move ni yenye mafundisho mazuri 😊siyo kwa ubaya nawapenda saana ❤🎉
@Thedy-tp5ei
@Thedy-tp5ei 3 ай бұрын
Zebuu ndo anaongea kama kitto alekebishe saut
@Gladys-254
@Gladys-254 3 ай бұрын
​@@Thedy-tp5ei ndo sauti ya mtoto wakitajiri siwajia wadekezwa😂
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 3 ай бұрын
​@@Thedy-tp5ei shida wametengeza sauti
@purityrehema543
@purityrehema543 3 ай бұрын
Wakwanza leo naomba likes zangu kp na zebuu, 🎉🎉🎉🎉watching from 🇰🇪
@EdwardTz.
@EdwardTz. 3 ай бұрын
washaupiga tena jaman hawa jamaa nawakubali sana maana wanacheza kama pele
@NansiJuma
@NansiJuma 3 ай бұрын
Carol from Uganda Sheila Niko am happy sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RAMSOJOSEPHAT
@RAMSOJOSEPHAT 3 ай бұрын
Yaani huu uyanya mm naukubar kama last card vile
@celestinkenga9212
@celestinkenga9212 3 ай бұрын
I see.sheishei.ukatili.umekupendeza.kwel
@mpeliibrahim398
@mpeliibrahim398 3 ай бұрын
Sheila unanifurahisha sana
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 3 ай бұрын
Wp suraj
@BethshebaNgendabanka
@BethshebaNgendabanka 3 ай бұрын
Kp you are so intelligent bro ,my best actor in tz❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@EuniceVureze
@EuniceVureze 3 ай бұрын
Hii team ni noma wee Sheishei na Kp alaf Libozi uchizi na uganga una kufaa kabisa 😂😂😂😂😂
@PatrickJonh-s3l
@PatrickJonh-s3l 2 ай бұрын
Shey mwana harakati huru oya sio poah unyama sana ❤❤❤❤❤
@James-hb2gv
@James-hb2gv 3 ай бұрын
nampenda sana sheibshei jaman mwambyen jamess nampenda sana ety ❤❤❤ daa!!!
@zawadichengokatana4750
@zawadichengokatana4750 3 ай бұрын
Shei shei na kp hongereni sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BiisheBugao
@BiisheBugao 3 ай бұрын
Yani shei shei waniacha hoi😂😂😂 mummy jamani kila ninapokuona muonekano wako...
@DM.2200
@DM.2200 3 ай бұрын
Sheila nakuona mbali katika uigizaj keep it up! 🎉🎉
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 3 ай бұрын
Mimi uyo kwa kp na zebuu tukiona nani atamshinda kisai 😂😂😂❤❤❤❤❤
@salomeIzaac
@salomeIzaac 3 ай бұрын
You guys .....walai mmebarikiwa...your acting are professional .kazi nzuri wadau
@philohmutua2968
@philohmutua2968 3 ай бұрын
Wqaaa anaitwa shey shey❤❤❤❤
@edgarlaurian-d8w
@edgarlaurian-d8w 3 ай бұрын
FROM RWANDA ,, APPRECIATE 🎉💪💪💪💪SANA THIS FILM PRODUCTION,, GREAT ORGANIZATION 💪💪💪💪
@Africanchild-x6n
@Africanchild-x6n 3 ай бұрын
How is Rwanda
@ShaniLamay-ln6se
@ShaniLamay-ln6se 3 ай бұрын
Jamn Mimi wakwanza kp njoo nipe like yanguuuu nawewe kama ni mpenzi wa hii movie usininyime likee❤
@ShaniLamay-ln6se
@ShaniLamay-ln6se 3 ай бұрын
Ila kp jamn basi Muwe mnarusha Kila baada ya siku Moja mnachelewa tunakosa uhondo pliiiiiiz
@madymag6926
@madymag6926 3 ай бұрын
Wow sheila weeeh Nakubali kazi zenu nizuri sana kp ❤❤❤💪💪💪
@BintiMweluhanga
@BintiMweluhanga 3 ай бұрын
Daaaah kp and shei shei penda sana nyinyi ❤❤❤❤❤❤kp na watu zako mungu azid kuwapa kipaji KP ukinyoa una pendeza sana🎉
@gaddafi47
@gaddafi47 3 ай бұрын
MISS SHEI SHEI 😂😂❤❤👊👊✌️✌️
@ellykaka2360
@ellykaka2360 3 ай бұрын
LEO NIPEENI 100 TU REAL FUNS🙏🎤
@tumainigilbert
@tumainigilbert 3 ай бұрын
Sheila jasili kweli nakupenda juu unajiamiya kabisa
@MariaFilibert-wf3om
@MariaFilibert-wf3om 2 ай бұрын
Basi hapa hawawezi kufika nimeipenda hiyo sheila
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 3 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
@Kono_well
@Kono_well 2 ай бұрын
Najua nimecjelewa sana ila hii movie imenibamba kuanzia themes had characters, nimependa sana mwonekano wa Sheila,,,,, af nilichogundua kwenye haya maisha elimu ndo ufunguo wa maisha,, bila elimu huwez kufanya chochote had kwenye kuigiza unahitaji high knowledge,🎉🎉🎉🎉🎉 congratulation kp wa aquino
@elizabethuwezo290
@elizabethuwezo290 3 ай бұрын
Hawa waigiza movie hii wanaonekana wasomi sana ❤❤
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 3 ай бұрын
NAKUBALI SAN TEM KP HII KAZI KALI SAN 🎉🎉🎉 HONGERENI SANA
@kpwaaquino
@kpwaaquino 3 ай бұрын
Shukran Sana
@aliyahaji8512
@aliyahaji8512 3 ай бұрын
Thank you kb na zebun na all the team ❤❤❤❤4rm United Kingdom 🇬🇧 🇬🇧
@SharifuAlbughuli
@SharifuAlbughuli 3 ай бұрын
Wangp wanasubir kuona couple ya kp n zebu ❤❤❤
@SHALIFUSHALIFU-id9ku
@SHALIFUSHALIFU-id9ku 3 ай бұрын
Kp please msijehalibu movie zenu kama wa2 furani mna2furahisha sana nazinafundisha movie zenu ila msijehalibu kuna movie ambazo za M2 furani huwezi kutizama ukiwa na wtt au ukiwa nawazazi wako niotopolo m2pu alocheza jitahidini muendelee hivi hivi asant
@MwanamisiBakari-xh3jo
@MwanamisiBakari-xh3jo 3 ай бұрын
Mwaomba like tu lkn kupongeza kazi y kp aaah
@KatotooKavishe-bw6tq
@KatotooKavishe-bw6tq 3 ай бұрын
Ila Sheilla 😂😅 Nakupenda Hadi siyo vizuri yani❤❤
@jescambilinyi
@jescambilinyi 3 ай бұрын
Shei shei anajua mpaka anaboa kinoma aiseee amevaa uhusika kinoma
@Mwasivevo
@Mwasivevo 3 ай бұрын
Walahi kep WE noma❤❤
@AjuwaeTannu
@AjuwaeTannu 3 ай бұрын
Nakubal sana kp Kwa kazi nzuli
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet 3 ай бұрын
#kp waquino izi movie ndo tunazopenda ,msihegemee kwenye vitu vya manyokanyoka achieni akina clam , sisi tunapenda movie zisizo tabirika kinachofuata ,kama hii na last card ❤❤❤ much love from democratic republic of congo
@MilembeLugwila
@MilembeLugwila 25 күн бұрын
Clam kafata nn kwenye hii comment😊
@ShimbaYohan-p1u
@ShimbaYohan-p1u 9 күн бұрын
Kwel kabxa ❤❤❤
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 3 ай бұрын
Leo hii Norah anasidiria hongera uko mrembo,,,halaf Sheila uko next level mashallah kazi yako Iko lit🔥I really love it keep it up guys en feel loved from 🇰🇪🇰🇪
@ZainaboAli70Zainabo
@ZainaboAli70Zainabo 3 ай бұрын
Mimi ni watatu naomba like zenu jamani
@MaryamSafi-vm6or
@MaryamSafi-vm6or 3 ай бұрын
Wow shei shei yuko vzr san kaz nzur kp 🎉🎉🎉 mambo ni🔥🔥
@REHEMAOSCAR
@REHEMAOSCAR 3 ай бұрын
Kp na zebuu naomba kua moja ya wasanii wako
@bayahamisi
@bayahamisi 3 ай бұрын
Nmeingoja sana🎉🎉🎉 kaz zenu nzuri
@MwanapiliSidi
@MwanapiliSidi 3 ай бұрын
Sheishei WW Hauna baya❤❤❤😂😂
@salimasava11
@salimasava11 3 ай бұрын
Zepuu kaa rada mwamba anakuja(KP)🎉🎉🎉🎉
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 3 ай бұрын
Bonge moja la movie ya kwenda 🎉🎉🎉🎉
@amam2211-
@amam2211- 3 ай бұрын
Nimewahi leo kp kipengele hanacho kipenda love form kenya pesa kwanza kp
@Africanchild-x6n
@Africanchild-x6n 3 ай бұрын
Kenya Kwa ambaje??
@MercyWafula-x1x
@MercyWafula-x1x 3 ай бұрын
Hivi mnaombanga like za kazi gan
@MrsDariya-y1j
@MrsDariya-y1j 3 ай бұрын
KP ukatumia akili nyingi Sana hongera endelea kutuburudisha
@Leyla-n6x
@Leyla-n6x 3 ай бұрын
Shey shey ww ni noma kabisa nimekupenda bule🎉🎉
@ShakiraIbrahim-e7c
@ShakiraIbrahim-e7c 3 ай бұрын
Duh sheyshey we ni nyokooo hila xjakutukana
@ArodiahCharles-n7l
@ArodiahCharles-n7l 3 ай бұрын
Wa 50 leo naomba like
@AishaNajib-n1f
@AishaNajib-n1f 3 ай бұрын
Daah sijawai ona watu wenye akili kama ya sheishei mungu akupambanie ufike mbali
@MarieOlepa
@MarieOlepa 2 ай бұрын
Cheche uko sérieuse kinoma nimekupenda katika movies zote umecheza kwa hiyi umetisha kinyamaa😂 bzuuuu à toi checheee😅😅
@NancyOkumu-dc8np
@NancyOkumu-dc8np 3 ай бұрын
Mimi WA kwanza nipeni likes zangu,,,,,nawatch nkiwa kenya
@RAM7_TZ
@RAM7_TZ 3 ай бұрын
Jamani kazi Kali sana zaidi hata ya Ile LAST CARD, KP ni noma hii story ni level nyingine baba ila Sheila unajua sana daahhh nimeipenda hii movie mungu aniongoze nisikose hata epsd moja❤❤❤❤❤
@celinendikiminwe6053
@celinendikiminwe6053 3 ай бұрын
Da sheilla😂😂😂 hongela scène zote jamani unajuwa kuziheza dada uko na kipaji ❤❤
@reginajustini5271
@reginajustini5271 3 ай бұрын
Kisai kanenepa adi kitambi 😅❤
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 3 ай бұрын
Chezea pesa wewe😂😂😂
@Bahati-wu4bs
@Bahati-wu4bs 3 ай бұрын
Hujakuona deboz😅
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 ай бұрын
Nayule mwenye kisura cha kitoto sijui yuko wapi😂😂😂.Suraji
@HadijaKanze
@HadijaKanze 3 ай бұрын
Congrats Sheila napenda unavokua sirious❤❤❤❤❤❤
@apolinemalungano9155
@apolinemalungano9155 3 ай бұрын
😂😂😂😂 Sheila bwana eti huyu demu utamla na utampiga picha za utupu 😂😂😂
@Clyton593
@Clyton593 3 ай бұрын
Me naamin sheishei cio mwiz ni mpelez pamoj na diboz cio chinz ni mpelez Bali sheishei anashilikian na kp kuwajuwa waarifu
@rosemarenga832
@rosemarenga832 3 ай бұрын
At mm naisi ivyo
@PurityMwongeli-p9f
@PurityMwongeli-p9f 3 ай бұрын
Sheyshey mjaja kweli
@jescambilinyi
@jescambilinyi 3 ай бұрын
Aiseee Kp unatumia akili nyingi sana kwenye movie zako aiseeee mpaka nakuogopa,wewe jamaa ni hatari mnooo
@JerryGebiyr-dv6jp
@JerryGebiyr-dv6jp 3 ай бұрын
Kali sana 🔥🔥🔥
@Ngwanasamaka
@Ngwanasamaka 3 ай бұрын
Sheila unajua kucheza kweny pay ako jamn
@shabaniathumani2284
@shabaniathumani2284 3 ай бұрын
wa kwanza
@Mahratshafi-jn3tq
@Mahratshafi-jn3tq 3 ай бұрын
Ila sheila kachangamka sana nyie kamsela kabisa😂😂😂 shei sheii umeweza uhunii dadangu ama mwaonajee na nyie😂
@samuelbaraza7447
@samuelbaraza7447 3 ай бұрын
Aki shei shei amefiti his sehemu kabisa😂😂😂😂😂😂 nikiwa kenya 🇰🇪 ♥️
@allywazirikimweri1319
@allywazirikimweri1319 3 ай бұрын
Kabisa nilijua nimeona pekeyangu
@kutailass6671
@kutailass6671 3 ай бұрын
Upande wa mrembo pia yupo Norah yaan kitaeleweka tu😂
@NicolasAbdoul
@NicolasAbdoul 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Acha akufundishe kutongoza
@celinandyamkama1821
@celinandyamkama1821 2 ай бұрын
Nampenda sana Miss Shei Shei anavyoigiza yuko makini sana ❤
@LilianWanyonyi-d3k
@LilianWanyonyi-d3k 3 ай бұрын
Kp unapenda kuigiza vizuri sana nawapenda sana
@MeshlUwimana
@MeshlUwimana 2 ай бұрын
Sheila kila kitu kaweza
@ZoazinaJohn
@ZoazinaJohn 3 ай бұрын
NIKIWA zangu huku huku Dar -tmk yombo kilakala full bando❤ namuona Norah Mara hii akiwa mwana IT anakwenda kuharibu mipango Mapema 😂. KP akili nyingi sanaaa..... Good job 🔥❤ wewe na TIMU yako endeleeni kutuburudisha. Dibozz Hana uchizi yupo kwa kazi maalum hapo mtaniambia
@EliaKornelio
@EliaKornelio 3 ай бұрын
😊😊 daaah Sheila umetisha sana 🎉🎉
@aminanaima6899
@aminanaima6899 2 ай бұрын
Much luv❤❤❤ from Kenya
@OmanOman-y7z
@OmanOman-y7z 3 ай бұрын
Sheila kiboko nakupa mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂😂
PLAN B _ Episode 4
32:24
kp wa Aquino
Рет қаралды 215 М.
EXCLUSIVE NA MZEE LIKOMA
26:37
Kp&Zebuu Media
Рет қаралды 66 М.
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 21 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 59 МЛН
PLAN B _ Episode 5
32:09
kp wa Aquino
Рет қаралды 202 М.
---------MKATABA WA KINGEREZA WAMUINGIZA MATATANI😃😃😃😃😃
13:41
BINTI NYOKA - EPISODE 1
12:43
kp wa Aquino
Рет қаралды 770 М.
EXCLUSIVE; KP NA ZEBUU WALIVYO KUTANA HADI UCHUMBA
49:23
Mbengo Tv
Рет қаралды 378 М.
BENZEMA FULL MOVIE   KP NA ZEBUU
3:20:38
kisaitz
Рет қаралды 191 М.
KITU KIZITO FULL VIDEO HD
22:31
kisaitz
Рет қаралды 355 М.
Kp & Zebuu | All 2023 Clips In One | Volume 01
1:59:38
Zebuu
Рет қаралды 246 М.
PLAN B _ Episode 6
35:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 203 М.
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН