Nafutilia nikiwa Kenya. Mimi nimelelewa kwa family ya wakristo lakini hii topic Ni ngeni kwangu. Nazidi kufumbuka macho ya kiroho . MUNGU akubariki Sana.
@halimamaganga82683 жыл бұрын
This man of God Knows, His knowledge about bible and prayers has saved my job and delivered me and my family from evil
@الحمدلله-ذ7م7د2 жыл бұрын
Ameeen and ameeeeen GOD blessed You Apastor 🙏🙏🙏
@shikeniwilliam55319 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi 🙏 Nafuatilia kutoka Sweden 🇸🇪 nimefurahi sana kwa kuongea ukweli kuhusu biblia, wachungaji wengi wanapenda kuwaaminisha waumini kuwa Yesu alishamaliza pale msalabani na ukishafunguliwa ndio imeisha, kumbe ndio vita vimeanza.
@georgemallya43113 жыл бұрын
Hongera sana.prophetic gymnastic Apostle Mtalemwa
@hildacolleta49693 жыл бұрын
Shalom mtumishi wa Mungu,nilikuwa na shida kwa kidole changu cha gumba cha mguu wa kushoto ilikuwa kama mdudu anatembea tembea, ulipoomba nimeuona mkono wa Bwana Mungu nimepona sihisi chochote tena. Jina la Bwana wetu Christo Labarikiwe. Ubakirikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@ruthkiptoo98862 жыл бұрын
Thanks apostle for your teachings may God bless you abundantly me ni mkenya na Niko na shida mtoto wangu wa 8 months alifariki na nikapoteza mimba ya miezi 6 walikuwa twins please pastor remember me in prayers
@felestinekwamboka28733 жыл бұрын
Apostle mtalemwa this is real endelea kutusaidia mungu akupatie nguvu zaidi watching live from Dammam.God bless you abundantly.
@martherkwamboka83783 жыл бұрын
Wau amazing be blessed and your teachings are really wat happened in many places
@emmasidi94463 жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumishi Apostle naamini haya mafundisho yako yata badilisha maisha yangu
@lydiakagai58083 жыл бұрын
Am watching from Kenya unajua kufunza powefl hii imenitendekaea
@rahabnkya82763 жыл бұрын
OH JESUS CHRIST, I'M REALLY HAPPY ABT THIS TEACHING . THIS PASTOR HAS BEEN CLEAR IN HIS TEACHINGS. SOME WILL DARE TEACH CLEARLY LIKE THIS COZ THEY TO SCARE THEIR HANDY WORSHIPPERS LEST THEY RUN AWAY TO OTHER CHURCHES AND LOSE "SADAKA MBALIMBALI " THANKS AND SORRY. HAPPY MERRY Christmas 2020.
@absalomkaaya94233 жыл бұрын
The love of God is ever the same yesterday, today and forer, His revealations are for our own good, believe and be delivered from the powers of eval. Satan is always distroying, stealing and killeaning for that is his works.Believe God, you shall be esterblished, believe His prophets you shall prosper.Do not be a follower, become a believer of Jesus, ye will be given power to become a child of God. Injoy your father's house. Be blessed.
@lydiakagai58083 жыл бұрын
Haki this is the true gospel kuja Kenya utusaidie
@ruadruad10733 жыл бұрын
Amen nashukuru mungu kumbe kuna wachawi duniani 😂🙄🙄🙄💞💞🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@clairemuchai6233 жыл бұрын
Amen God bless you Apostle
@aayeshakhan99623 жыл бұрын
Yoo iyonikweli kabisa ayo mambo yako katika familiya mingi kumbe ni ucawi mungu atusaidiye sana
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
amen chief kwa masomo mazuri Mungu akubariki
@rashidkura62153 жыл бұрын
Am a Muslim but i appreciate the teaching
@rahabnkya82763 жыл бұрын
God bless u ABUNDANTLY! Pastor Mutalemwa . Send us more of your video in this channel, very powerful and tough touching. I'll follow you in spirit. AMEEN.
@twidikagejoel18923 жыл бұрын
God bless you Apostle,May the Lord continue to use you
@honestyminde55193 жыл бұрын
Thanks for enlightening me Man of God!!. Ni somo zuri sanaa!. Haya Mambo yapo sana kwenye Jamii yetu!!. We unknowingly blame people!. Mungu tusaidie!!.
@gabriellyadam94153 жыл бұрын
Amen.Apostle unafundisha kweli yote.kuokoka sio lelemama ni kupambana
@lilianearomo91673 жыл бұрын
Be blessed, may God continue to pour more wisdom onto your spiritual world,
@elvinakatema49833 жыл бұрын
Watching frm saudi am blessed apostal nmejua kuna uchawi
@esthercharles22103 жыл бұрын
Umenifungua sana Apostle natamani uwe unapost haya masomo kila siku.
@elvinakatema49833 жыл бұрын
No l,
@maryngina11493 жыл бұрын
Be blessed poster with your family... God bless you.
@lydiakanah44783 жыл бұрын
Naomba nifika ,,ecg one day
@kajujumary67293 жыл бұрын
I love your teaching apostle You have really blessed me. And making me understand the scriptures very well God bless you are much blessed with all gifts.
@sajohoproductstv30793 жыл бұрын
nimebarikiwa mnooo na somo hili. mungu azidi kukuinua mtumishi wa mungu.
@alimambabazi36663 жыл бұрын
Ubarikiwe Apostle mutalema May Almighty God bless you and your ministry and your family in Jesus mighty name Amen 🙏
@حسامالراشدي-د9ن3 жыл бұрын
Nakujaaaaaaa Mtumishi Barikiwa sana Mungu akuinuweeeeeee
@saramalila44413 жыл бұрын
Naamini mungu tunaye mtumikia ndie tunaye muomba akupandishe mpaka viwango vya juu sana
@jacklineikoki6653 Жыл бұрын
I'm blessed kwa kwel ❤❤❤
@suzanalemau66013 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa na nimevuka Mungu akupe Miaka ming chief uendeleee kuhubir kweli ya Mungu inayotuweka huru
@ahmedamer32593 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mwana wa mungu
@annemarienyankiye762 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@davidkihiga35313 жыл бұрын
natumai wengi wa watu wamefunguliwa maana ni deep revelation . Kuna wale ambao hawana karama hii wao watakuwa wanapinga . Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu .
@marympemba18293 жыл бұрын
Asante muchungaji kwa mafundisho mazuri sana, mungu akulinde tunakuhitaji sana/ na tunahitaji sana mafundisho yako Kwa kipindi hiki, mungu akulinde
@neemahamisi43023 жыл бұрын
Asante yesu kwa ajili ya apostle mtalemwa
@rahabnkya82763 жыл бұрын
BEASTS! Pastor ,MUTALEMWA, SEND CORONAVIRUS TO THESE BEASTS AND SURELY PRAY LET THEM DIE SIMULTANEOUSLY AND LEAVE US PEACE WE ARE FED UP WITH BAR YESU SPIRITS.
@alineniyo32593 жыл бұрын
Nimefunguliwa na kubarikiwa pia
@msangodiesel31323 жыл бұрын
Katika watu wamenifanya nifwatilie dini wewe paster nimebadilika hadi Kaka yangu anashangaa
@joycemaige86833 жыл бұрын
Yani wewe upo na mimi katika hili mung amuweke na family yake
@apostlebenmwangi51473 жыл бұрын
Huyu mtu wa mungu ana funza naweza mpata anje.
@victorishengoma45992 жыл бұрын
Paulo hakuwa ndani ya kristo
@reymasenya64503 жыл бұрын
Thanks for man of God
@sarahwawuda51643 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Apostle kutoka uanze hili somo nimekufwatilia nimejifunza
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Pastor Mutalemwa, kuna roho imetuvaa hasa wdtoto wangu hawaoi hawaolewi. Niombee Pastor. AMINA mtumishi
@joycembeikya1703 жыл бұрын
Mungu akubaliki unaendelea kunifungua macho ninapata macho ya kilooo
@majaliwasaid65433 жыл бұрын
Mungu naomba unisaidi niwaze kufika katika madhabahu hii
@angelkanoga21753 жыл бұрын
Nimefunguliwa kwa hili somo
@zawadijoel75163 жыл бұрын
Bwana akubariki na azidi kukuinua mtumishi wake
@judamsaki56093 жыл бұрын
great sana
@OmanOman-yn2zj9 ай бұрын
Ameen 🙏GOD bless.you daddy❤❤❤😢😢🙏🙏
@leonbwenda19453 жыл бұрын
Asante Apostle
@dilurai42043 жыл бұрын
Nguvu za uchawi zishindwe katika Jina La Yesu Kristo
@rosemarywahome3673 жыл бұрын
Hallelujah.....
@angelkanoga21753 жыл бұрын
Asante Mungu
@entoroboyamama22393 жыл бұрын
Thanks the man of God
@amakamraqterry59203 жыл бұрын
Fundisho liko sawa
@aayeshakhan99623 жыл бұрын
Mafundisho yako yanafunguwa akili zawatu wenge kunavitu vinatendeka nawatu wanajuwa nikawahida tu kumbe niucawi mungu atusaidiye sana mafundisho mazuti unasema ukweli
@jemimahjamilay.m62393 жыл бұрын
Jesus is the healer I connect
@anwarihamza49813 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeni. Naelewa zaidi.
@naomifavor28873 жыл бұрын
Good teaching
@misslevis66313 жыл бұрын
I was waiting for this.
@jacquelineelly66843 жыл бұрын
Same here.... i so wanted for this one to be uploaded. Hii seminar 🙌
@misslevis66313 жыл бұрын
Long live Chief wa watu
@beatricenyiro59133 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi watching from USA
@wilricktesha39163 жыл бұрын
Ameen
@marympemba18293 жыл бұрын
Amina 🙏🙏
@gracekabigi96803 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua ili tupone wengi.
@mercylineabuko95723 жыл бұрын
Amen amen
@ChristianOnlineServices3 жыл бұрын
I connect apostle
@chariteucoun26073 жыл бұрын
Bravo !!!
@Tangazafrica3 жыл бұрын
Fire Fire
@berthinamenda17762 жыл бұрын
I'm free in jesus might name Ameeeeen
@msangodiesel31323 жыл бұрын
Maada nzito
@rahabnkya82763 жыл бұрын
HAYAWANI MBWA MWITU, USIBWEKEE, USINIGOMBANISHE. ANIMAL SPIRITS IN HUMAN BEINGS. OH JESUS CHRIST WHAT A CURSE TO US ALL
@kadzomasha85393 жыл бұрын
Amen
@rahabnkya82763 жыл бұрын
ROHO YA MNYAMA FICHUKA KWA JINA LA YESU.
@ladyhellen77oti653 жыл бұрын
True
@anwarihamza49813 жыл бұрын
Yaaaaah
@amosjeremiar80063 жыл бұрын
AMeen
@anwarihamza49813 жыл бұрын
Ooooooyess
@vickymahanga77343 жыл бұрын
I received
@jokshannubuntu25803 жыл бұрын
❤️🇧🇮
@pastorkennypauls94863 жыл бұрын
My Goodness, This is The GOSPEL
@nginamugwe80933 жыл бұрын
Kama kunae haelewi mafundisho ya Apostle ww karogwa aki....hekima uko nayo Apostle ya kufundisha Biblia